Mashirika ya kijamii yataka wanasiasa 25 kuzuiliwa kuwania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Mwaniaji mwenza wa Naibu Rais William Ruto, Rigathi Gachagua ni miongoni mwa wanasiasa 25 ambao mashirika ya kutetea haki za kibinadam sasa yanataka wazuiliwe kuwania uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. Mashirika hayo chini ya muungano wa National Integrity yasema kuwa Gachagua, Gavana Anne Waiguru, Aliyekuwa Gavana wa Nairobi Mike Sonko, Mwaniaji mwenza wa mgombea wa ugavana Nairobi Phillip Kaloki wote wana maswali ya kujibu kuhusu maadili yao. Gatete Njoroge anaangazia mengi zaidi kuhusu ripoti hii

КОМЕНТАРІ • 61

  • @collinskahati3846
    @collinskahati3846 2 роки тому +7

    That's the way to go. Kenya mpya.

  • @muruguruwanganangu427
    @muruguruwanganangu427 2 роки тому +5

    Yes now we as kenyans we want those implicated to go Home!! The church should join this lobby group

  • @dominicmurithi8557
    @dominicmurithi8557 2 роки тому +1

    Why now?and thy hv been in leadership for the last four years.

  • @danielmacharia466
    @danielmacharia466 2 роки тому +4

    Mulikua wapi Uhuru akichaguliwa

  • @transforminggraceministries
    @transforminggraceministries 2 роки тому

    Hallelujah

  • @rtyf6096
    @rtyf6096 2 роки тому +2

    Hiiiii Kenya iko na vihoja sasa wacha niwe mgombea mwenza wa RUTO

  • @ATUTIJM
    @ATUTIJM 2 роки тому +6

    Sadly you are one sided. This makes you irrelevant. Raila, Karua, Ruto, Gachagwa, wote hawatapita Chapter6. You have been selective and therwfore irrelevant. You dont represent me in your opinion

    • @wwabete2009
      @wwabete2009 2 роки тому +1

      You are right sir! But we have to climb the ladder from somewhere below before we go up and get those you have cited. That's how everything works in life! You start down and by the time you are up, you have got the knowledge and the experience and the wisdom to complete your task!

    • @our10picks18
      @our10picks18 2 роки тому +2

      We have to start from somewhere! If you see the fight against corruption as one sided, then we’ll never make any progress!

    • @georgemwangi7400
      @georgemwangi7400 2 роки тому

      Where is the KEMSA report? and pandora papers? , Gov. Ngilu is an inciter too. Kanjwang, Orengo and baba for TREASON, MARTHA sue to BAT scandal. Like both sides without favours need total overhaul.

  • @bonfaceamanyi2732
    @bonfaceamanyi2732 2 роки тому +1

    Wat about raila kujiapisha???????? Chunga midomo zenu hizo, mwaona wengine n wengine hapana

  • @justokarii
    @justokarii 2 роки тому +1

    Citizen mko na ufala sana.. Hii tv yenu itazimia

  • @dr.enokim4705
    @dr.enokim4705 2 роки тому +5

    Uhuru is so wise, finish them.. but we will still vote them

    • @higahassib6614
      @higahassib6614 2 роки тому

      How can you support the corrupt people. We need to join hands our brother and sister. In order to have a clear Governer. How can someone have to hundred million

    • @Tressy322
      @Tressy322 2 роки тому

      Azimio wametajwa 12 heri kenya kwanza n 9 azimio ndio nyumba ya waizi

  • @sirryhmes5277
    @sirryhmes5277 2 роки тому +1

    Nifungeni Mimi muache Kenya Kwanza,God bless Kenya Kwanza

    • @mechrayop2783
      @mechrayop2783 2 роки тому

      Ati ufungwe unajua watoto wake wanasoma wapi. Mamako anasema ako na mtoto pia

    • @sirryhmes5277
      @sirryhmes5277 2 роки тому

      Uliza nasomesha Nani bwege wewe

  • @moseslimu9080
    @moseslimu9080 2 роки тому +1

    Hiyo sio haki ata kidogo ju hawa ni watu Kenya kwanza

  • @davidmugambi248
    @davidmugambi248 2 роки тому +3

    Walikuwa wapi Mr. Pandooraa akichaguliwa🚮🚮🚮

  • @r..6842
    @r..6842 2 роки тому +1

    Guys !!you don't have to be in Azimio or against KK to know that Gashagwa is a big red flag even people from KK should accept this.

  • @dr.enokim4705
    @dr.enokim4705 2 роки тому +1

    Vitu zenye citizen hupenda

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 2 роки тому

    UDA waiziiii

  • @alinurumohamed2318
    @alinurumohamed2318 2 роки тому +2

    Human right has been captured by state to paint uda learders bt even Martha karua also stole in b a t scandal also why not joho

  • @johnkaranja1712
    @johnkaranja1712 2 роки тому

    Kubuka uhuru na ruto walikuwa na KESi tukawachangua na zao zilikuwa za mauaji hizi ni za kuhujumu uchumi hizo ni siasa mbaya

  • @jameskimani6850
    @jameskimani6850 2 роки тому

    Waende nyumbani wangoje kesi zao

  • @njokithiga6795
    @njokithiga6795 2 роки тому

    Walijua lini mbere Iko sawa na Chaguaruto,,,na yule mtu wa kujiapisha ama yeye ni mweupe , tutigithiiei

  • @mebakarimohamed686
    @mebakarimohamed686 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣Aisha juwa mbaya

  • @jonnyaga8904
    @jonnyaga8904 2 роки тому

    What law are these busy bodies talking of? You just can't apply a wish or desire that's based on whims without any law upon which such desire is founded.

  • @iannjaps5649
    @iannjaps5649 2 роки тому +3

    Boring Citizen bring us real news not this nonsense

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 2 роки тому

      Hujalazimishwa kutazama hii channel, tafuta ile itakuridhisha wewe ama uanzishe yako ndio uishi kwa amani

  • @kelvinmbogo2382
    @kelvinmbogo2382 2 роки тому

    Have not seen name of kemsa brothers in the list.??? Kemsa billionaires should be jaile and number two we know DPP did not even file a case to them,,,,number the person who sworn in himself still should not vie for any position in our country.... So we are wise Kenya and stop focusing on targeted group....stop pretending and showing people that you're fighting corruption when you are advertising corruption.

  • @bonfaceamanyi2732
    @bonfaceamanyi2732 2 роки тому

    Babu Owino ako n maadili mema????? Shenzi shenzi shenzi sijatukana mtu mm, but inauma sana vile mnafanya kazi kwa kuonea upande mmoja

    • @Tressy322
      @Tressy322 2 роки тому

      Ako kwa list azimio wametajwa12, kenya kwanza9

  • @moseslimu9080
    @moseslimu9080 2 роки тому +1

    Hiyo ni kuegemea upande hiyo tunakataa kabisa!!!

  • @husnaali7708
    @husnaali7708 2 роки тому

    👏👏👏👏👏👏

  • @dorcasw3004
    @dorcasw3004 2 роки тому

    Wanafaa kuwa jela

  • @robertkariuki3066
    @robertkariuki3066 2 роки тому +3

    This is a stupid way of intimidating Rutonated aspirants but still the move is unstoppable hadi kwa debe

    • @prisillakimani3590
      @prisillakimani3590 2 роки тому

      Soma history ya hao watu please before you comment seems wewe bado nimtoto

    • @robertkariuki3066
      @robertkariuki3066 2 роки тому

      @@prisillakimani3590kwa hapa tuko shule tena wewe mkumbwa uko na kula mbili ama ni mehe mehe

    • @paulmurimi3137
      @paulmurimi3137 2 роки тому

      Kariuki will be looted even his inner clothes ndio amke.

    • @robertkariuki3066
      @robertkariuki3066 2 роки тому

      @@paulmurimi3137 were in uganda when people were being washed n became white as snow in capital hill ama yenu tu ni midomo learn about politics wewe enda ukazimie na baby yako

  • @ombogaedwin4867
    @ombogaedwin4867 2 роки тому +2

    They are joking let them try that's the next government boss

  • @alicemaina1784
    @alicemaina1784 2 роки тому

    Babu awino ako wapi

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 2 роки тому

    Not bad idea bt is too late why now ,just go back and try 2027,bt make sure you represent your clams earlier,so that the law can work up on them,saa hii achieni Sisi tuwaangushe

  • @hezronwanjau4802
    @hezronwanjau4802 2 роки тому

    Hiyo Ni politic

  • @kimutaisaul7321
    @kimutaisaul7321 2 роки тому

    Bure kabisa, what about the kemsa group, Raila and team, wacha kulenga watu where were you all that time?

  • @na-shownakshi7453
    @na-shownakshi7453 2 роки тому

    Afro kaende kaende 😂😂😂

  • @mikerutto8164
    @mikerutto8164 2 роки тому

    Wapi babu owino🤣🤣

  • @mwalimumwalimu9683
    @mwalimumwalimu9683 2 роки тому

    Walikuw wap

  • @blessedlemayian6324
    @blessedlemayian6324 2 роки тому

    This is just politics.....SI eti wanataka mema kwa wakenya....woooooote wako kwa ofisi ni wezi tuh