@@AbuufawzanaSalafiy Assalamu alaykum. Akhy Niko n ombi Maalum. Kama itawezekana kkubalika. Mimi n Kijana kutoka Zanzibar pia n Mwanafunzi ambae nafuatilia Elimu n kujifunza Dawatu Salafiya. Ombi langu. Sheikh Abuu Ubayda na Abuu Ahmad Abdul Rahman Awesu hawa watu wakiongea na kijibu Hoja hua wanaeleweka Sana kuliko wengine kutoka na upole wao, na utaratibu wa kijibu kama tunavyojua kwamba Dawatu Salafiya inahitaji upole n huruma
Allah akupe khery na AKUHIFADHI Sheikh wetu Kassim Mafuta Kassim aamin. Sisi tuko pamoja na wewe bega kwa bega, Masufi na Mahizbi hawatuezi tena n kila wakijaribu kukujibu n kukutaja katika clips zao ndio watu wanazidi kubainikiwa na Haki, n wamesababisha watu weng sana kuanza kufuatilia Darsa zako. Hivi sasa vijana wengi wengi tena wengi sana katika Simu zao, zimejaa Mawaidha yako hata vijana wakawaida tu wamegundua kweli Sheikh upo katika Haki, tena Majibu ya Sheikh Abdul Rahman Awesu kwa yule kijna dah. Ndio imekuja kuamiliza mno na Abuu Ubayda Hussein majibu yamenyoooka kabisa
Hebu Tazameni Hili Mahizbi kina M Bachu, A Bahero, N Kishki, D.S Salama, S Barahiani, Mshawahi Wasikia Waki Wasema Mashia !? Au Kuwasema Makhawariji !? HAPANA Lakini Shughuli yao Kubwa Ni Kuwasema Masalafi Tena Kwa Dhulma AJABU SANA !!!
Maadui Da'wah Salafiya Chuki Zita Wauwa... Da'wah Salafiya nikama Jua Huwezi Zuia Mwanga Wa Jua Kwa Viganja Au Tonobari !! Da'wah Salafiya Na Misingi yake Ni Haki itokayo kwa Allwah ivyo Hamtoweza Kuizamisha Haki , Wala Kuizima Nuru Ya Allwah.
Jambo jepesi sana hilo ndg, Anza na familia yako Kisha majirani . Ukihakikisha wote wanaswali swala Tano tu, kitabu Cha Allah kitakuwa kimeanza kutumia. Usitumie nguvu nyingi zama hizi
Usitake huruma Shekhar Kassim unachapw vibaya miaka hii ulikuja na ujuaji na kuwadharau watu hayo ndo matunda unyapt sasa. Elimu so yako peke yako. Saiv ukiradiwa hujibu yamekushinda😂
Sheikh Kassim Mafuta Allah amhifadhi aamin. N Mwamba Sana hatetereki na vitoto vidogo vyenye Elimu ndogo kama . Muhammad Bachu, Haji Upepo na Abuu Nuaym ambao wanataka Umaarufu n kijipendekeza kupitia sheikh Kassim Mafuta lakini Sheikh sio mtu Rahisi kama mnavyodhan n watasubiri Sana Sana tena Sana
@@2km.a579 n kweli kabisa Sheikh Kassim Mafuta n Mwanadamu anapatia na Kukosea kama walivyo wanadamu wengine . Labda Mahizbi hawaelewi lengo la kuekwa Toba na Allah.
@2km.a579 ndo aje abainishe kam hachapwi kwa haki au anachapw kwa haki. Tunachokiona sisi anachawapw kwa vitabu na sunna kwaujumla sasa kam ni mwamba aje ajiteteee. Mamb yakukimbia kimbia ni ishara hawezi na ishara ya udhaifu .Hapa ni bakoratu miaka hiii
Allah akuhifadh shekhe kasim
@@HajiHajihaji-n7w Aamiin
Allwah Mtukufu Amehifadhi Shekh Wetu Abul-fadhili Kassim Mafuta Na Ampe Nusra Juu ya Maadui Wake Maadui Wa Da'wah Salafiya.
@@Alikyms-j5j Aamiin
Allah akuhifadh Sheikh wetu mpendwa na akukinge na fitna za binaadam
@@moussaabdallah-h4u Aamiin
@@AbuufawzanaSalafiy Assalamu alaykum. Akhy Niko n ombi Maalum. Kama itawezekana kkubalika.
Mimi n Kijana kutoka Zanzibar pia n Mwanafunzi ambae nafuatilia Elimu n kujifunza Dawatu Salafiya. Ombi langu.
Sheikh Abuu Ubayda na Abuu Ahmad Abdul Rahman Awesu hawa watu wakiongea na kijibu Hoja hua wanaeleweka Sana kuliko wengine kutoka na upole wao, na utaratibu wa kijibu kama tunavyojua kwamba Dawatu Salafiya inahitaji upole n huruma
Allah akupe khery na AKUHIFADHI Sheikh wetu Kassim Mafuta Kassim aamin.
Sisi tuko pamoja na wewe bega kwa bega, Masufi na Mahizbi hawatuezi tena n kila wakijaribu kukujibu n kukutaja katika clips zao ndio watu wanazidi kubainikiwa na Haki, n wamesababisha watu weng sana kuanza kufuatilia Darsa zako. Hivi sasa vijana wengi wengi tena wengi sana katika Simu zao, zimejaa Mawaidha yako hata vijana wakawaida tu wamegundua kweli Sheikh upo katika Haki, tena Majibu ya Sheikh Abdul Rahman Awesu kwa yule kijna dah. Ndio imekuja kuamiliza mno na Abuu Ubayda Hussein majibu yamenyoooka kabisa
@@zanlec7357 Aamiin
Kumbe yupo uyu bwana mana dah amegaragazwa sawna
@@MahmoudAli-rs5mi Nani alomgaragaza??
Kila siku yupo hewani, wa kumuangusha ni Allah pekee sio yeyote. Sema hukua online usijifanye kushangaa
Hebu Tazameni Hili
Mahizbi kina M Bachu, A Bahero, N Kishki, D.S Salama, S Barahiani,
Mshawahi Wasikia Waki Wasema Mashia !?
Au Kuwasema Makhawariji !?
HAPANA
Lakini Shughuli yao Kubwa Ni Kuwasema Masalafi Tena Kwa Dhulma AJABU SANA !!!
??????!!!
Hiyo dawa unayo jinasbisha nayo nikama inalaana kwasababu wanafunzi wako wengi wamekutukana wakina abu haatim
Je una ilimu yoyote ili ututolee au ni maneno matupu tu?
Maadui Da'wah Salafiya Chuki Zita Wauwa...
Da'wah Salafiya nikama Jua Huwezi Zuia Mwanga Wa Jua Kwa Viganja Au Tonobari !!
Da'wah Salafiya Na Misingi yake Ni Haki itokayo kwa Allwah ivyo Hamtoweza Kuizamisha Haki , Wala Kuizima Nuru Ya Allwah.
Sisi hamu yetu nikuona uislam unakua na kinatumika kitabu cha allah kama sheria kuu sio habari ya salafi
@@MahmoudAli-rs5mi Lakini unajua nini maana ya salafi ????
Jambo jepesi sana hilo ndg, Anza na familia yako Kisha majirani . Ukihakikisha wote wanaswali swala Tano tu, kitabu Cha Allah kitakuwa kimeanza kutumia. Usitumie nguvu nyingi zama hizi
Usitake huruma Shekhar Kassim unachapw vibaya miaka hii ulikuja na ujuaji na kuwadharau watu hayo ndo matunda unyapt sasa. Elimu so yako peke yako. Saiv ukiradiwa hujibu yamekushinda😂
Sheikh Kassim Mafuta Allah amhifadhi aamin. N Mwamba Sana hatetereki na vitoto vidogo vyenye Elimu ndogo kama . Muhammad Bachu, Haji Upepo na Abuu Nuaym ambao wanataka Umaarufu n kijipendekeza kupitia sheikh Kassim Mafuta lakini Sheikh sio mtu Rahisi kama mnavyodhan n watasubiri Sana Sana tena Sana
Sisi wanafunzi wake hatujamtukana nawala hatumtukani bl mahizbi wasojielewa nawala hawakufahamu mafunzoyake ndomana wanaleta kelele mitandaoni كذب
Inategemea anachapwa kwa haki? Wala hajibu wajinga shekhe wetu wanaopyora. Na haimaanishi hakosei yeye. Ila kumvamia yeye hairudishi daawah nyuma
@@2km.a579 n kweli kabisa Sheikh Kassim Mafuta n Mwanadamu anapatia na Kukosea kama walivyo wanadamu wengine .
Labda Mahizbi hawaelewi lengo la kuekwa Toba na Allah.
@2km.a579 ndo aje abainishe kam hachapwi kwa haki au anachapw kwa haki. Tunachokiona sisi anachawapw kwa vitabu na sunna kwaujumla sasa kam ni mwamba aje ajiteteee. Mamb yakukimbia kimbia ni ishara hawezi na ishara ya udhaifu .Hapa ni bakoratu miaka hiii