KISUGU AFUNGUKA MAZITO YALIYOTOKEA KWA SIMBA UWANJANI /TAZAMA ALICHOSEMA HAPA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 110

  • @NolaskoMwinuka-s5v
    @NolaskoMwinuka-s5v 4 дні тому +19

    Kaka kisugu unatuwakilisha wote Kwa kutete haki ya Simba mungu akutangulie

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 4 дні тому +12

    KISUGU ATAKUWA NABII WA SIMBA❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @jofreymhagule7505
    @jofreymhagule7505 4 дні тому +12

    Simba tunaujumiwa sana ktk hii nchi

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 4 дні тому +3

    Hongera mkuu wa mkoa kwa kazi njema,ubarikiseeeee!

  • @Orgy-go1gj
    @Orgy-go1gj 4 дні тому +2

    Kisuguu kila ukitabiri linatokea ,vita ni vita kweli ❤❤❤❤❤

  • @jamessakaya1890
    @jamessakaya1890 4 дні тому +6

    Hii mbaya sanaaa

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 дні тому +10

    Huyu mkuu wa mkoa hatufai kabisa

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 дні тому +8

    Siyo kulialia mkuu wa mkoa mpumbavu sana

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil 4 дні тому +4

    Atujuwi uyo kama simba nguvu moja mbuzi uyo

  • @hassanbakari5607
    @hassanbakari5607 4 дні тому +7

    Huu ni upuuzi uliopitiliza huyu mkuu wa mkoa atenguliwe mapema tu

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 дні тому +2

    Kwl kbc huyo mkoa afungiwe kbc halina mana

  • @IsraelJacobo-r9r
    @IsraelJacobo-r9r 4 дні тому +3

    Alichokifanya mkuu wa mkoa siyo sawa!!

  • @Dibawanjama
    @Dibawanjama 3 дні тому

    Kisugu ushakata passport usije Ukapotelea pasiko julikana😅😅😅

  • @abdisalim7900
    @abdisalim7900 4 дні тому +5

    Ni aibu kubwa sn kwa Taifa hili lenye sifa kadhaa duniani,kuwa na viongozi km hy inaonekana hy si mwanamichezo ni bendera fuata upepo tu,anajaribu kuwafurahisha watu aliowakusudia,naamini atashindwa vibaya

    • @HamisiUliza
      @HamisiUliza 4 дні тому

      Aibu ya nn mkoa wa mkoa amefny vzr

  • @abuurayyan4537
    @abuurayyan4537 4 дні тому +2

    Ila waandishi wa habari jaribu kuwa weledi katika taaluma yenu mnatuaibisha na kuaonisha tasnia ya habari

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 4 дні тому +1

    Ndo viongoz wanchi yetu hii,Simba nguvu moja

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 4 дні тому +1

    Poleni sana

  • @piusmwakyembe4545
    @piusmwakyembe4545 4 дні тому +15

    Mkuu wa mkoa hafai anangilieje mambo ya mpila atumbuliwe huyo

  • @NURUKIMEA-z6u
    @NURUKIMEA-z6u 3 дні тому

    Ni kweli mkuu wa mkoa wa mwanza amezingua Sana ila Sheria ichukue mkondo wake mana sio mazuri Simba na yanga ndo Tembo ya Tz kwaiyo hujuma zanini wakati mpira unachezwa uwanjani

  • @maalimzingizi4221
    @maalimzingizi4221 4 дні тому +1

    Ubaya ubwelaaa 😂😂😂😂 bado hamjasemaa dadek

  • @AmosiPeter-z3g
    @AmosiPeter-z3g 4 дні тому +1

    Mkuu. Wa mkoa mjinga atuachie mkoa wetu mjinga. Sana. Huyo

  • @MbeziRiverMkuranga
    @MbeziRiverMkuranga 4 дні тому +3

    Mkuu.wamkoa atulie zake asilete mambo ya sangala na sato

  • @kamanywadetv98
    @kamanywadetv98 4 дні тому +5

    Mkuu wa mkoa hajitambui kabsa.....ushabiki anachangany na madaraka ...kiufupi amekosea na wenye mamlaka wanapaswa kumuonya anataka kugawa watanzania na CCM

  • @ramadhanikapona4317
    @ramadhanikapona4317 4 дні тому +2

    Ndugu yangu kisugu hii nchi inaserikali haiwezekani mlete dharau kwa serikali, acheni uhuni.

  • @fabiandanford3572
    @fabiandanford3572 3 дні тому

    Mbn mnahofu sana na ii game kaanza msemaji wenu kua na hofu

  • @VeronicaJohn-l5s
    @VeronicaJohn-l5s 3 дні тому

    Atukome Simba tunaipenda

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 4 дні тому +1

    UBAYA UBWELA WATAUONA KESHO

  • @FumaoFumao-d8w
    @FumaoFumao-d8w 3 дні тому

    Hawa hiyo ni timu yao wanadhani ina mshabiki wengi kuliko simba kwa hivyo wanataka mwaka huu wa uchaguzi waipe ubingwa ili kuwaŕidhisha wanayanga hata kama mwaka huu hali yao ni ngumu hizo ndizo siasa zinapoingia mpirani TUSIKUBALI WANA SIMBA

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 4 дні тому +1

    mijitu imekosa furah kweny mechi mbili saiv linatafta frah kweny timu za watu

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 4 дні тому +1

    Kadi ipo kesho Nwanza

  • @omarymgovano7209
    @omarymgovano7209 3 дні тому

    Kwahali hii sijui tunaelekea wapi, Mama anasapoti mpira kwa asilimia kubwa sana, tunaomba utupie macho na mikoa inayotaka kutuharibia soka letu

  • @SimonMtuka-u4g
    @SimonMtuka-u4g 4 дні тому +2

    Yanga ikisema inahujumiwa munabana pua ooooh munalialia Sana haya kiko wapi pumbavu alafu kuna mijitu inamtukana mkuu wa mkoa yakiwakuta mutajua

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 4 дні тому

      Acha hizo utopolooo nyie mlifanyiwa lini Fujo kwenye mazoezi hapa nchini,Au kwa sababu Mtanda ni Utopoloooo mwenzio

    • @FrankEnock-q4q
      @FrankEnock-q4q 4 дні тому

      Ona mbuzi hii, kwahyo mkuu wa mkoa kafanya sahihi?? Acha ushabiki wa kifala kenge ww

    • @ROSEJORAM
      @ROSEJORAM 4 дні тому

      Exactly​@@FrankEnock-q4q

  • @rithaKipanga
    @rithaKipanga 3 дні тому

    tumshauli mama amuachishe ukuu wa mkoa ajiunge na genge la utekaji yawezekana ndo kazi yake aliyo somea mpumbafu, mama anasapoti mpira halafu yeye anavuruga mpira, hajitambui

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 4 дні тому +2

    Huyu Mtanda anatakiwaasiwe na double standard kumbuka katika siasa anasafari ndefu.yeye acha awe yanga ila baki na mamlaka ya kuwa ndo Mkuu wa mkoa. Ajifunze kwa Mwigulu kuna mda huvaa jezi ya simba kuitoa double standard.

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 дні тому +1

    Huyo ni uto atajuta kufahamu

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 3 дні тому

    Mkuu wa mkoa anatumika kuihujumu simba

  • @LucyChisunga
    @LucyChisunga 4 дні тому

    Kwan pamba wanajikuta kin nan jamn wapo nafas ya mwish kabisa wanatak kubishan na simba

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 4 дні тому +2

    Halafu kakaYangu jfunze kuwa heshimu viongozi waliopo madarakani,acha dharau,hatupendi watanzania😮

    • @ROSEJORAM
      @ROSEJORAM 4 дні тому

      kiongoz mwenyewe kayataka

    • @rexgodwill7353
      @rexgodwill7353 4 дні тому

      @@josephgalandu128 huku kwenye mpira mtuache na simba yetu hivi hamuwaoni viongozi mashabiki wa simba walivyowastaarabu? Hawachanganyi mafuta na maji kama mashabiki wa timu zingine viongozi..
      Yaani kodi tulipe sisi.. Mshahara tukulipe sisi Kisha utufanyie hujuma za kijinga unyamani hatuna nidhamu ya woga...
      Huku mpira unawakilishwa na serikalini waliopewa majukumu yao wanatekeleza kwa mujibu wa sheria..
      Tusitishane nchi yetu sote hii.. Na mkiendelea kutuletea usenge wa wazi wazi kama hivi ligi haitaisha salama shenzi zenu

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 дні тому

      Wee nae ukiwaheshimu wew inatosha tupishe huko

  • @HassanSadiki-u1z
    @HassanSadiki-u1z 2 дні тому

    Waandishi wanaogopa kuongea ukweli
    Huyo mkuu afukuzwe kazi haraka,hana sifa ya uongozi hata kidogo

  • @yosefamlumbe7044
    @yosefamlumbe7044 4 дні тому +2

    Huyo hana sifa za kuwa mkuu wa mkoa ni kilaza anastaili adhabu kali iwe funzo kwa wengine hakuna alie juu ya sheria asifanye kazi kwa mazoea kama anaswaga mbuzi ikibidi nafac yake itenguliwe na mheshimiwa rais hawa ndio wanao wanao muangusha kiutendaji

  • @RamahMsafi
    @RamahMsafi 4 дні тому

    Anachokiongea kisugu ni point ifike mahal mpira uheshimiwe,.

  • @FredrickIkindya
    @FredrickIkindya 3 дні тому

    Ata Mimi nilikuwepo na anayosema kisugu ni ukweli mtu

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 3 дні тому

    Mkuu wa mkoa ni yanga

  • @HamisiUliza
    @HamisiUliza 4 дні тому +1

    Kwn unaumia 😂😂😂😂😂😂😂 poleni

  • @IsaacPhilemon-mt7bk
    @IsaacPhilemon-mt7bk 4 дні тому +1

    Huyu mkuu wa mkoa wa ovyo sana, anajifanya anaitetea PAMBA akikutana na Simba wakati mech 5 kafungwa na kadraw 4,alikuwa wapi siku zote.

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 3 дні тому

    Weww huna kazi ya kufanya acha ujinga kila siku simba ikisafiri uko nyuma yake

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 4 дні тому +1

    Ni ushamba tu, Mkuu wa mkoa wapi na wapi kupambana na timu moja tena ya Tanzania?
    Dawa ni kuwafunga tu hao pamba

  • @ommary75
    @ommary75 4 дні тому

    Acha uchawi weee mzeee

  • @mpekeomtandalatv2909
    @mpekeomtandalatv2909 4 дні тому +2

    🏃🏃🏃

  • @ismailngulingar2133
    @ismailngulingar2133 3 дні тому

    Sasa kama ulihusika kuipandisha pamba je ndio hiwe tawi la simba huyu elimu ndogo akili hana kabisa.
    Sasa kama mnashinda iweje utokwe na mapovu huyu ni mshamba sana

  • @MajaliwaStanford-ju3pg
    @MajaliwaStanford-ju3pg 4 дні тому

    Modern football kuangalia mazoezi kuna shida gani sasa.

  • @AbduRahim-jf7uk
    @AbduRahim-jf7uk 4 дні тому

    Huyumkuu wamkoa anashida

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 4 дні тому +1

    Lolote limkute mtanda ila simba yetu atuachie..

  • @diesclaudio594
    @diesclaudio594 4 дні тому

    Jamani jiangalieni ataenda kwa waamuzi kueni makini

  • @maulidmango1087
    @maulidmango1087 4 дні тому +1

    Mh rais amyengue ili akadili na mpila aachane na uongozi

  • @ashuraally9064
    @ashuraally9064 4 дні тому

    Ata wengne wa yanga ni vyuraaaaa

  • @yohanamabula7088
    @yohanamabula7088 4 дні тому

    Kalewa madaraka mama amtoe haraka

  • @LeganNtambi
    @LeganNtambi 4 дні тому

    Yani kama mama samia habagui timu yy ni nani mpaka alete ubaguz hapo?

  • @ismailngulingar2133
    @ismailngulingar2133 3 дні тому

    Sasa hapo mkuu wa mkoa kafanya Nini ? Wewe kisugu elimu hana mpumbavu tu

  • @agapthokifyoga3999
    @agapthokifyoga3999 2 дні тому

    huyu nae mjuaji t2 hamna lolote

  • @SimonMtuka-u4g
    @SimonMtuka-u4g 4 дні тому +2

    Hili jinga eeeh kwan wangapi wanasema team fulan ikija kwenye uwanja huu wanafungwa

    • @Khalidniya380
      @Khalidniya380 4 дні тому

      @@SimonMtuka-u4g wew ni mjinga saana hujielewi

    • @ROSEJORAM
      @ROSEJORAM 4 дні тому

      mjnga kama ww

    • @IssacNtacho
      @IssacNtacho 4 дні тому

      @@SimonMtuka-u4g we ni maiti tu

  • @GladnessThomas
    @GladnessThomas 4 дні тому

    Nyie waandixhi acheni ujinga mkiulizwa.maswali ya msingi mnaemuhoji hamjibu mnataka kuuliza nyie tu

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 4 дні тому

    Kazi ya mkuu wa mkoa ni kukagua uwanja muda wa mazoezi!?? Hili litizamwe upya sio vinzuri binafsi hii nasema tena haikubaliki

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 4 дні тому

    Waandishi wa habari matako yenu mbona mnakaaa kimya as if hamjaona kitu eti mnamuogopa mkuu wa mkoa mavi huyu pumbafu saaana

  • @obadiaedward1127
    @obadiaedward1127 4 дні тому

    Jaman mkuu wa mkoa, tunakuombea baya lolote likukute

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 дні тому

    Mkuu wa mkoa wepumbavu tuu fanya yako yampira hayakuhusu

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 4 дні тому

    Huyu mkuu wa mkoa tutampata tu, mpumbavu..

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 4 дні тому

    Kasim majaliw muone mkuu wako wamkoa

  • @HawaAmos
    @HawaAmos 4 дні тому

    Huyo mkuuwamkoa ni bwabwa kweli

  • @kafulirahillaryhabel6728
    @kafulirahillaryhabel6728 4 дні тому

    Kuna shida gani mkuu wa mkoa kuangalia mazoezi ya simba. Mashabiki wa simba mna mambo ya hovyo kweli kweli. Una mambo ya hovyo kweli kweli Kisugu.

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 4 дні тому

    MASHABIKI WA SIMBA WENGIINE NI MANYUMBU TU WANAMWACHIA KISUGU KUSEMA UKWELI JAMAN

  • @greytrevo9055
    @greytrevo9055 4 дні тому

    Huyu jama anabichwa kubwa kama tofali

    • @dianamhanje5157
      @dianamhanje5157 4 дні тому

      @@greytrevo9055 hujafa hujaumbika kaka

    • @HamisiUliza
      @HamisiUliza 4 дні тому

      😂😂😂😂😂😂😂 analalamiki uy

    • @LovelyBoardGames-no6lw
      @LovelyBoardGames-no6lw 4 дні тому

      # na mamayako ana Kuma kubwa na mkundu mkubwa km gorofa la kariakooo fala weeee......

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 4 дні тому

    Acha ujinga wewe nenda uko ukifingwa ufungwe tu usije ukasingizia hayo

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 дні тому

    Mpumbavu ww shabiki wa yanga pamoja na huyu mkuu wa mkoa

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 4 дні тому

    Pamba kesho inawafunga

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 4 дні тому +2

    Yani wewe kila siku ni kulialia tu juu ya yanga. Leo siyo GSM tena leo ni Mkuu wa mkoa. Yani washabiki wa Simba ni wa hovyo sana ktk nchi yetu.

    • @abdulimtima7263
      @abdulimtima7263 4 дні тому

      @@JosephChrisant unatobwa ww

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 4 дні тому

      @abdulimtima7263 inahusianaje na mpira sasa😜😜

    • @Ja60_
      @Ja60_ 4 дні тому +1

      Hawanaga akili sasa hivi ishu ya GSM kufadhili vilabu viingi haipo tena 😂😂😂😂😂😂 au GSM anaharibu mpira wetu anahonga marefa vilio viingi sshv wamehamia kwa mkuu wa Mkoa 😂😂😂😂😂😂😂

    • @JosephChrisant
      @JosephChrisant 4 дні тому

      @Ja60_ Yani hawa watu wana makelele sana. Sasa wanasema Mkuu wa mkoa wa MWANZA Mtanda ni mwana Yanga. Sasa sijui inahusianaje na kilichotokea!. Wanataka nchi nzima tuwe Wanasimba!!.

    • @HamisiUliza
      @HamisiUliza 4 дні тому

      Nikwr mashamb wa Simba Machi sn

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 4 дні тому +1

    Kisugu muongo sana acha ujinga mkuu wa mkoa ameeleza vizuri nyie mmevunja vioo acha ujinga na mtalipa

    • @LovelyBoardGames-no6lw
      @LovelyBoardGames-no6lw 4 дні тому

      # kumamamayooo fala weee u ejielewa na mamayako tumemfira boya weee ukiona watu wametulia na wanakaa kimya ujue tunaheshimu muongozo na Sheria ya nchi Mkuu wa mkoa mambo ya michezo uctake kulinganisha na mambo Yako ya kiubepari watanzania wakajigawa kwa sababu zako mkundu weeee.....

    • @maalimzingizi4221
      @maalimzingizi4221 4 дні тому

      😂😂😂​@@LovelyBoardGames-no6lw

    • @DennisFandi
      @DennisFandi 4 дні тому

      Kumekucha 😅

  • @Ja60_
    @Ja60_ 4 дні тому

    Acha kutoa povu huyu ndiyo mwenye mkoa wake utamzuiaje wajinga nyie, mbona timu mzima ya Black star walitazama mazoezi ya Yanga mkawa support. Halafu huwezi bishana na Serikali elimu yako ndogo Kisugu.

    • @MeshackManoja
      @MeshackManoja 4 дні тому

      Pumbavu kweli wewe mpila unaendeshwa na FIFA nasiyo selikali na FIFA ikiliona hili Tanzania tunaweza kufungiwa kwakosa la selikali kuingilia mpila

  • @Ja60_
    @Ja60_ 4 дні тому

    Uchaguzi unahusiana nn bwege wewe au Simba mna Chama chenu acheni kuitisha watu wapumbavu wakubwa nyie, unataka kuleta uchochezi, Kuna shida gani mkuu wa Mkoa kutazama mazoezi kwani yeye ni kocha? Lack of professionalism bichwa box