MKALIWENU AONESHA KADI YA GARI (BMW) ALILOPEWA NA NABII MKUU GEORDAVIE
Вставка
- Опубліковано 11 лют 2025
- MKALIWENU AONESHA KADI YA GARI (BMW) ALILOPEWA NA NABII MKUU GEORDAVIE
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Hii ni jibu tosha kwa mtu mnafiki na maadui wa watumishi wa Mungu hongera mkali maana unasem ukweli
Shetwani howo uf baka mochoni
Duwee is back 😂❤❤❤
duwee anaiwezea refresh xana 😀😀
Balozi wake aliwahi kunifukuza nisihudumu na wala nisionane nae nabii , ukweli sijarizika na aina ya msaada anao utoa , wanafanya kulitangaza kanisa lakini ukweli nyuma ya capeti wanyonge hawasaidiwi zaid ya masuperstar ....
Pole Sana ndugu..Dini za Africa ni Biashara
Mwenyenacho anaongezewa! asiyenacho hata hicho kidogo atanyang'anywa
@@mwlpierre well said
Hukuaga mstaarabu
Laaanatullah shetwani
Aliyeolewa na Mkaliwenu kala hasara na hana ndoa ni ushetani km kabadili dini kuwa muislam nn kinampeleka kanisani tena kidini ndoa hamna hapo dada akae kwa tako moja tu
Jaman hizonjaazenu mutakuja kufirwa, sasa tamaa vijana zinawaponza, wabadili dini kisa kari, kinachofata sasa nikuwa mke wawat kazi kwako
Duwe anajua
Silielewi ili kanisa na mmiliki wake kabisa aisee
270m unaijua ww 😄😄😄😄 kuagiza sidhan km inafika hata 50m na kuiuza hapo ilipo 25m unapata kwa mbinde
Hii nchi lkn 🤣🙌🏽
Njaa tu
Hivi hili kanisa lina wahitaji kweli? Au waumini wote wamejitosheleza? Kama wapo wenye mahitaji maalum kwenye kundi hili then kuna maswali mengi juu ya hawa wasanii wanoenda na kupewa magari kwa sadaka za wanyonge hao
inaitwa ngurumo ya upako
Yan lina wahitaji tena wengine wanateseka vibaya mno ,,weka akilin kwamba kwann wasipewe wao na wanapewa wengine , ipo sababu
Kaongeaaa ukweli
mkaliwenu tintad ya nn wakati we mwenyewe mweusi
'WATU WENGI MNAJUDGE COVER KWA KITABU CHA NJE' AHAHAHAHA
Honqera sana
Ila huyu mtangazaji na Huyu mnafiki eti mkojani asije akabadilisha dini
Kafiri uyu fryuuu
Yaani gari nilivyoina Siku ile nikajua tu ni ya mtu alikuwa anaitumia inaonekana imetumika sana ni sawa na mimi nimpe mtu gari langu la zamani nililotumia nimelichoka nimenunua jipya
😂😂😂😂
Kama Amekupa Kweli Siyo Kiki Ni Vizuri
Hakika munqu nimwema sana
Promotion ya kanisa hii amini
Halafu we mtangazaji mna fikii
yuko kzn
Ni muislamu uyoo kasaliti uisalm kwa BMW
Kasaliti vp?
Mujinga sana huyo kasaliti uwislam kwer
Unaakili za kimaskini sanaa, pata hela ufute huo ujinga kichwani
Mkali wenu anaitwa Jackson…………. Au ??
@@ommietrendz7175 Baba yake muislam Mama yake Mkristo na kabadili dini kaoa kiislam sasa nn mnaona hapo km sio kusaliti dini
Vijana tafuteni hela gari la DK LEO watu wapo Namba E
Ww una hata baiskel
Atakuwa choko uyu watu wana magari mpaka namba AA na wanatesa nayo road acha uzwazwa wewe namba hii ndio nini cha ajabu una namba E paso mwenzako ana namba D bmw hahahahahha
Wewe uliyebarikiwa hiyo E mshukuru Mungu, hiyo A yenyewe usifikiri inaokotwa
Kama Amekupa Kweli Siyo Kiki Ni Vizuri