Huyu dada ni muongo. .. katika mahojiano ya kwanza alisema Martha alikuwa anaishi na mtoto yatima.. sasa hivi tena anasema ni mtoto wake yeye huyo dada, lipi ni lipi hapo??.. ambao hatujamuelewa huyu bidada embu tugonge like za kutosha hadi ukweli ufahamike...
Mbosso pole sana bro usijali kwa yote yanayo tokea mungu anakufundisha kitu na pia kama mtt yupo na wana mficha mungu ni mwaminifu atakutafuta tu usijali ila kama marehem alikudanganya kuwa amepata mtt na ww huku hakuna mtt msamehe kabisa akapumzike kwa amani
Daaa jamani poleni sana 😤😤😤😤 Mungu aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho hakika inauma sana mbele yake nyuma yetu apumzike kwa amani 🙏
Poleni sana wafiwa wote ,inauma sana msiba omba usikufike usikie kwa jirani, mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi alikuwa anafurahisha kwa comedi yake.
Muandishi hongera yako, uvaaji wako unaendana na mazingira. Martha sikuwa nikikujua ila wewe ni mwanaadamu hivyo naweza kusema kujuana au kutokujuana si neno kwani aliye kufa ni mwanaadamu kama mimi na siyo mnyama, hivyo nakuombea kwa Mungu akupokee kwa amani, umetangulia na sisi tupo nyuma yako.
Natamani cku moja watu tufahamu kuwa thamani ya wokovu una faida kubwa sana ktk maisha ya mwanadamu. Nimeumia sana binti mdogo ajatimiza kusudi la Mungu.
Inalillah wainaillahi rajiun mwenyezi mungu amlaze mahali pema ila marhemu ndo anajua mtoto wa nani ndo maana alikataa mtoto asijulikane kama ni wa mboso poleni sana wafiwa
Mdg wangu mboso likuepukalo lina kheri nae, ww bado mdg nanikioo cha jamii hata leo kama uko tayari utapata wako achana na malumbano pambana na hali yako unawako kiunoni usilumbane wala usitie neno kama ulikua unachunwa shukru mungu
kweri kunawatu wanaroho ya chuma yn kama wanauzuni na msiba kumbe roho mbaya sizan ata marehemu Martha angefurahiya iki msichanganye maswala ya mtoto n mamboyenu ya kifamilia.mungu akusamehe ww dada na amlaze mahari pema dada yetu be
Nimegundua kitu 😍 huyoo mtoto alietajwa hapo Chris hao ndugu wamuonyeshe sura coz lazma mwixho wa picha huyo mtoto aletwe hapo kumzika mama waandixhi msiwe mbali cku ya kuzika lazma kuna dada yeyote abambeba huyo mtoto atapewa udongo na huyo dada atachukua udongo watamwaga kaburin kuzugixha watu wasielewe but ndo atakua mtoto wa martha lazma apewe kipaumbele
Kwanza R.I.P. Boss Martha mungu akulaze mahali pema .Lakini jaman point zauyu Dada zinashangaza kasema alikuwa ankaa namtoto yatima mala mtoto wake mala wamdog wake jaman mboso sio chisi wala hatafuti kiki angekuw anazitaka angesema kipindi yupo hai msimfanye mjinga kias icho
Martha alisema utafiki na Mbosso hautaisha kwenye maisha yake yote na Mbosso akasema juzi kati alikuwa wapo kwenye kutafuta nyumba akae Martha na mwanae ghafla hatunae tena na kumbe huyu ni moja ya haters wa Mbosso na hiyo familia ilkuwa na chuki kwa nn tuwapambe wakati sio watu wazuri RIP Martha,Mbosso Allah akuzidishie subra
Mtoto atakapozidiwa kwa tatizo lolote la kihoma ndipo atakapousishwa baba yake ndipo nasi tutajua ukweli wa huyo mtoto lakin mkae na mtambue damu ya mtu haipotei acheni dhurmaa mungu anawaona ila pole Sana kwa msiba.
Innalilah wa innalilah rajiwn Mungu akulaze mahali pema peponi kwanin labda mnasema mboso hana Mtoto NA amrehem inamana mboso anata futa kiki kwa amrehem kiki gani sasa kwa mfano mnayo sema nyie mdada damu ya mtu haipotei ataskumoja naona mnaeza mkasema hata amrehem alivo fariki anatafta kiki NA akili zenu fupi mpeni mboso Mtoto wake wekeni wazitu roho mbaya za nini labda co vizuri pumzika kwa amani martha
Maisha bhana chamsingi mbosso na marehemu siwalipelekana hospitari kujifungua awatole cady za hospital na ata vipicha vyao vile vya wcb demu akiwa na mimba full kupiga umelishika tumbo nn vitoe muindi wa kusini ukate mzizi wafitina RIP Martha mbele yako nyuma yetu....au vipicha navyo alikukataza kupiga
Ila jamani kwa stori hizi, inaonekana bado huduma ya afya ni mbaya sana, maana alikuwa anaumwa magonjwa ya kawaida. Yaani hapo kwenye dosage wamemchanganyia madawa vibaya akadanji
Huyu dada ni muongo. .. katika mahojiano ya kwanza alisema Martha alikuwa anaishi na mtoto yatima.. sasa hivi tena anasema ni mtoto wake yeye huyo dada, lipi ni lipi hapo??.. ambao hatujamuelewa huyu bidada embu tugonge like za kutosha hadi ukweli ufahamike...
Mungu awatie nguvu ktk wakati huu mgumu
JOHN TUJU ...ayisee makini sana ww...huyu dada naona kama muongo hata mm
.
hujamwelewa ndo mana ume comment kitu ambacho hakipo
Duuj
JOHN TUJU mtoto hana baba wala mama mara mtoto wa mdogo wake anaemfatia yeye ndo anakuja matha
Poleni na msiba. Mungu amuweke mahali pema. Na wewe dadake Martha unangozi na rangi nzuri sana mashaallah.
Pole sana Dada ,Mungu awe mfariji mkuu katika familia yako
Poleni sana Mungu awafariji!...."😭😭😭😭 boss RIP
Jamani mama analia sanaa huko mpaka machoz yananitoka jamaniiiii munguuu huyuui
Mungu atijaalie mwisho mwema🙏
Tusiongee mengi ukwel anaujua yeye na muumba wake.
Amin
Mbosso pole sana bro usijali kwa yote yanayo tokea mungu anakufundisha kitu na pia kama mtt yupo na wana mficha mungu ni mwaminifu atakutafuta tu usijali ila kama marehem alikudanganya kuwa amepata mtt na ww huku hakuna mtt msamehe kabisa akapumzike kwa amani
Duuh dunia hii ukiona unashida jua wapo wenye shida zaidi yako poleni sana
Umeniliza sana Dada,poleni sana,pole pia kwa mashabiki zake Martha
Kwa tulio wahi kudanganywa kama mbosso tunaumia sana wanawake waongo Kama hawa nibora watangulie tu, tutakutana paradise
🤣🤣🤣🤣
Inauma sana ndo mana nasema ambao hawajui machungu yake wabaki wakiyaskia tu kwawatu
English practicing with Michael Valles inaumiza sana hawa watu mungu anawaona....lakin wanajikomoa wenyew maan ni dhambi kubwa sana.
Daaa jamani poleni sana 😤😤😤😤 Mungu aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho hakika inauma sana mbele yake nyuma yetu apumzike kwa amani 🙏
Poleni sana wafiwa wote ,inauma sana msiba omba usikufike usikie kwa jirani, mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi alikuwa anafurahisha kwa comedi yake.
Poeni wafiwa kazi ya mungu...mbossa katatizwa hpo sijaelewa kbsa
Muandishi hongera yako, uvaaji wako unaendana na mazingira.
Martha sikuwa nikikujua ila wewe ni mwanaadamu hivyo naweza kusema kujuana au kutokujuana si neno kwani aliye kufa ni mwanaadamu kama mimi na siyo mnyama, hivyo nakuombea kwa Mungu akupokee kwa amani, umetangulia na sisi tupo nyuma yako.
Poleni sana!! God give you strength and hope...
Nothing to smile about... ukweli wao waujua wenyewe na Mungu wao, Allah mwongoze innocent child, from +254.
Heartfelt condolences from Kenya.... God grant u patience in this trying moment!!!
Pole sana jaman
Poleni sana nyote familia ya mdada alietuacha MARTHA mungu ampe kauli thabiti,innalilai wainahilai rajuin
Natamani cku moja watu tufahamu kuwa thamani ya wokovu una faida kubwa sana ktk maisha ya mwanadamu. Nimeumia sana binti mdogo ajatimiza kusudi la Mungu.
Mungu akulaze mahala pema,dada Martha
Bwana alitwaa nabwanaametwaa jinalabwana ribarikiwe amen
pole sana kwa familia,jamaa na marafaki ya Martha mungu amlaze pema peponi.
Daaa pacha ana sauti nzuri jamani. Pole sana kwa kuondokewa na pacha wako
Kwanini ivyo na ww mume wako kashafariki dhuuu bado ww ni mudogo tatizo ni nini bwana wa milele mungu wa macheshi wasaidie bwana
Poleni sana wapendwa wote, hapa Duniani tunapita.
mmmh my swetyheart mbosso wachana nao kama bado wataka mtoi come 254 nitakupa
😂😂😂😂
Bint Tsulu mmmh hata Mimi nataka mtoto
Msaidie tu manake imekua niaibu kubwa sana
Inalillah wainaillahi rajiun mwenyezi mungu amlaze mahali pema ila marhemu ndo anajua mtoto wa nani ndo maana alikataa mtoto asijulikane kama ni wa mboso poleni sana wafiwa
Mdg wangu mboso likuepukalo lina kheri nae, ww bado mdg nanikioo cha jamii hata leo kama uko tayari utapata wako achana na malumbano pambana na hali yako unawako kiunoni usilumbane wala usitie neno kama ulikua unachunwa shukru mungu
Mwenyezi mungu Awape Subra familia.
Sasa uyo mtoto mnataka Amkose na Baba pia Achen ujinga Angalien kilicho mbele yenu aya maisha, ila polen
Denicy didasi
Umeongea point sana
Basi kila anae teleza anakua mji nga kwani hamuwezi kusawazisha watu bila ya kuwafananisha na ujinga?
Mgonjwa akishaanza kutaja tu watu walio kufa huyo harudi tena!pumzika kwa amani Martha
Nikweli nimeshuhudia my kwa baba yangu alikuwa anamtaja mama yake
Amina
Mgonjwa akikataa dawa sheikh andaa kaburi
Polen wafiwa siku Zote kazi ya mungu haina makosa r i p matha
Poleni sema Dada maelezo yako ayatoshelezi
Huyu dada mbona simwelewi, Mara Martha alikuwa anaishi na mtoto yatima, Mara mtoto ni wa mdogo wao?
May ur soul rest in peace Martha
Noah Gondwe anajichanganya. Mara yatima mara wa Mdogo wake. Masa au Matha *Mather*
mmmh polen sana
Mbosso Fanya hivi chukua mtoto mkafanye DNA ndio ujue ukweli pengine unalilia mtoto mwenye sio wako
Polenii jamaniii.....😔😔😔🙏🙏Mungu awapee nguvu#
poleni sana wapendwa kwa msiba
kweri kunawatu wanaroho ya chuma yn kama wanauzuni na msiba kumbe roho mbaya sizan ata marehemu Martha angefurahiya iki msichanganye maswala ya mtoto n mamboyenu ya kifamilia.mungu akusamehe ww dada na amlaze mahari pema dada yetu be
Mungu anawaona
Pole dada hyo Ni safar ya wote
MUNGU itie nguvu familia hii 😓
Uwiiiii wew dada jmnii mbosso sio chizi
Poleni wapenda hta sisi tunaumiwa Mungu awatie nguvu ktk wakati huu mgumu cna
Poleni sana,Dunia Njia Wote Tunapita. Poleni sana Wapendwa Dah!
Nimegundua kitu 😍 huyoo mtoto alietajwa hapo Chris hao ndugu wamuonyeshe sura coz lazma mwixho wa picha huyo mtoto aletwe hapo kumzika mama waandixhi msiwe mbali cku ya kuzika lazma kuna dada yeyote abambeba huyo mtoto atapewa udongo na huyo dada atachukua udongo watamwaga kaburin kuzugixha watu wasielewe but ndo atakua mtoto wa martha lazma apewe kipaumbele
Kama kweli mtoto sio wa mboso, basi ilitumika trick ya nina mimba yako kumbe si kweli ili mtu apigwe pesa za matumizi hewa...
Pole sana Dada unaongea na majungu kweli
Inna ilah waina ilehi rajiuni mungu awape subra InshAllah heri
Dada anatafuta kiki yakulia msibani hunajipiya
🤣🤣🤣😥😥oneni uruma jamani mambo ya kiki pembeni.
Kwanza R.I.P. Boss Martha mungu akulaze mahali pema .Lakini jaman point zauyu Dada zinashangaza kasema alikuwa ankaa namtoto yatima mala mtoto wake mala wamdog wake jaman mboso sio chisi wala hatafuti kiki angekuw anazitaka angesema kipindi yupo hai msimfanye mjinga kias icho
Hapo suluhisho ni D.N.A tuu..nothing else Mbosso
Nafikiria mboso anajiskiaje Ana hali gani baada ya kuskiliza hizi interview pole broh
Hamna kitu inauma kama hiyo asikwambie mtu
Pole sana dada mbele yetu nyuma yake
Martha alisema utafiki na Mbosso hautaisha kwenye maisha yake yote na Mbosso akasema juzi kati alikuwa wapo kwenye kutafuta nyumba akae Martha na mwanae ghafla hatunae tena na kumbe huyu ni moja ya haters wa Mbosso na hiyo familia ilkuwa na chuki kwa nn tuwapambe wakati sio watu wazuri
RIP Martha,Mbosso Allah akuzidishie subra
Inauma sana jaman pole familia
Poleni ndugu , ila dada una moyo mimi nisingeweza kabisa kuzungumza na huyo mwandishi maana msiba bado mbichi hivyo😢😢😢😢
Poleni Sana mungu awatie nguvu
Pole sana dada angu
Da polen sana
Pole sana sana
Poleni sanaaaa
Poleni sana
Jaman wandishi watu mngekuwa mnawaacha kwanza jamani dar MTU bado anamajonzi mnahoji pole Dada aisee
Hii kweli wawe wanapumzika kwanza
Mtoto atakapozidiwa kwa tatizo lolote la kihoma ndipo atakapousishwa baba yake ndipo nasi tutajua ukweli wa huyo mtoto lakin mkae na mtambue damu ya mtu haipotei acheni dhurmaa mungu anawaona ila pole Sana kwa msiba.
Poleni wana familia
Dahhhhhh wanawake wanachanganya Sana watu wanabambikiwa na kunyimwa watoto kila siku
Nyie mpeni mboso mtoto wake jomon mungu atawarahan jomon
Polen Sana wafiwa mungu ndo anajua ukwel Sina la kusema R. I. P Mathaa
Jamani kwanini mnahoji watu wakiwa kwenye hali hi??
At least msiba ungepita kwanza duuh waandishi wa habari jamani
Ndo maana kwenye vita huwa hawauliwagi
Innalilah wa innalilah rajiwn Mungu akulaze mahali pema peponi kwanin labda mnasema mboso hana Mtoto NA amrehem inamana mboso anata futa kiki kwa amrehem kiki gani sasa kwa mfano mnayo sema nyie mdada damu ya mtu haipotei ataskumoja naona mnaeza mkasema hata amrehem alivo fariki anatafta kiki NA akili zenu fupi mpeni mboso Mtoto wake wekeni wazitu roho mbaya za nini labda co vizuri pumzika kwa amani martha
Dah pole mumy
Poleni familia IRA tendeni haki kwa mboso
Pole Sana mboso hio now mijike
Pole sana wanafamilia, ila kina dada muache kujichubua..Marehemu mweupe kina dada weusi ti mpka tuna shaka kua sio ndugu.
Hahhahahah manban jamani
Hahahahahaha
😂😂😂😂😂
Ukiangalia lips ndo utajua kama ni ndugu
Wewe mshamba kwani kwako wote ni weusi au wote ni weupe Kama mmoja karithi kwa baba na mwingine kwa mama
Mungu akulaze maala pema amen 🤲
Tutendeni mema kunamaisha baada ya kifo mungu atusaidie
Maisha bhana chamsingi mbosso na marehemu siwalipelekana hospitari kujifungua awatole cady za hospital na ata vipicha vyao vile vya wcb demu akiwa na mimba full kupiga umelishika tumbo nn vitoe muindi wa kusini ukate mzizi wafitina RIP Martha mbele yako nyuma yetu....au vipicha navyo alikukataza kupiga
Poleni sana jamani
Poleni sana kwa msiba jaman
Mama pole ni mipango ya mungu
Kuna maisha baada ya msiba,tutasikia mengi tuwe wapole.Mungu amlaze pema peponi na mbele wewe Martha nyuma sisi punzika kwa Amani.
Mungu atusamee sisi wanawake😢😢😢😢
Yale ya muna love yanajirudia… atari fire 🔥
Duh
Duh
Acha kabisa yan kaz ipo
😂😂
mungu awape nguvu wafiwa.
Pole sana dada piga moyo konde safari ya kurudi kwa baba ni ya kwetu sisi sote kibaya ni kutangulia .
Pole sana M2 wang
Mbosso
Mara mtt alikuwa Yatima Mara mtt wa Dada yake siwalewi hawa ndugu Mara ni wakwake
Poleni mungu, ampunguzie adhabu za kaburi 🙏
Hata ww ambaye sio mtoa hukumu ushajua amefanya kosa mhhhh piga vilungu uyo moto kwa sana
Pole sana Dada nimpango wamungu, R I P Mart her
Innalillah wainailah rajiun Allah ampmzshe mahala pema pepon
Pole sana my dear.
watu wanasemaga kua uyaone duh kwaiyo mboso kachanganyikiwa au jamani mungu nisamehe
Poleni sana kwa msiba.. 🙏🏽
Pole pacha da
Wandish jmni 😭 kilakitu mnauliza watu wapo msiban Bado mnatak kujua maish yake hamewez kuwaach Kwanza wamalize majonzi
uyo dada ni mipango mwanzoni arisema mtt yatima sasaivi eti wa dada mmmhhh mseme tuu arimkosea mungu akuwa na imani iyo bwana matha
jamani mkiwa wagojwaaa mkijihis kuumwa mwende kutibiwa msifuge magojwa maralia inauaa😢😢😢😢😢😢
Duh kizungumkuti hiki mbona mnatuchanganya...lakini namwamini mboso hapa Ila itabidi atoe ushahidi zaidi
Duh ati hakuzaa makubwa...Rip martha
Mhhhh jamani sisi wanawake niwabaya sana inaonekana martha alimdanganya mboso jaman wakaka kuwen makin sana
Ila jamani kwa stori hizi, inaonekana bado huduma ya afya ni mbaya sana, maana alikuwa anaumwa magonjwa ya kawaida. Yaani hapo kwenye dosage wamemchanganyia madawa vibaya akadanji
😲😲🙄🙄Mara hii matha hn mtt jmn 😢😢Hee Yasha kuwa hayo
Poleni
Dah maisha ya dunia yanahuzunisha Sana poleni sana☹️☹️☹️