ITAKUTOA MACHOZI HISTORIA YA MDOGO WAKE MBOSSO AMENITELEKEZA WASAFI NILIENDA AKANIFUNGIA VIOO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 357

  • @nahyamateru3645
    @nahyamateru3645 2 роки тому +2

    Jaman msaidie wmpate kakaake ivi mbosso aoni mdogo wake anavyo pata shida ebu ajitokeze jaman🙄🙄

  • @danielmwainyekule1792
    @danielmwainyekule1792 2 роки тому +29

    Dogo pambana wewe ni mwanaume
    Achana nao hao wanao kukataa wewe jiamini Mungu atakusaidia,hata ukimpata mboso hatakusaidia chochote,

  • @samwelenjuma3312
    @samwelenjuma3312 2 роки тому +17

    😭😭😭very painful hawa wasanii basi hawaendi popote the story hurt me 😭😭😭

  • @halimashaib9102
    @halimashaib9102 2 роки тому +18

    Mambo ya family yafika hadi huku. Sio kila kitu kinasimuliwa jamani

  • @mupassalaurent1171
    @mupassalaurent1171 2 роки тому +1

    Ana fanana naye

  • @TwalibuMsharaba-xh5xz
    @TwalibuMsharaba-xh5xz Рік тому

    Never give up pambana usikate Tamaa dogo muombe mungu napia mbosso mdogo wng najua mtakutana tyu atakusaidia

  • @kasembomasele5918
    @kasembomasele5918 2 роки тому +5

    Pole sanaa dogo, mmefanana Sanaa. Pambana wewe utatonoa kinnomaaa usihofu

  • @blueberrypotatogames7950
    @blueberrypotatogames7950 2 роки тому +1

    Mkoshi!!! Watangazaji na uyo rofa. Mmetafuta kitu cha chakudangashiya mboso mmekosa. Wivu. Kila mtu akisonga mbele nyinyi mnapatwa na wivu. Kila mtu yuko na bienye mungu amemuaidi

  • @evanusder8493
    @evanusder8493 2 роки тому +9

    Hiyo ni ngumu wazazi wakiwa ni tofauti hasa kwa familia nyingi hili hufanyika.

  • @rahmasamson4427
    @rahmasamson4427 2 роки тому +25

    Maskini 😭😭😭😭😭 hivi huyu mbosso haoni hizi interview jamani

  • @piccokikongwe5437
    @piccokikongwe5437 2 роки тому +9

    Naitwa Picco kikongwe ni mwana music wa bongo flavor, niliimba kikongwe, swagga na nyinginezo, hizo chini Ni platfom ambazo music wangu unapatikana za zamani andika Picco kikongwe Album utapata ngoma zote za kitambo, na ukitaka mpalya andika Picco ameshushwa utapata music mzuri mkali wa kijanja na wa kisasa, sapoti music wa nyumbani msapoti mtanzania mwenzio
    1. Boomplay
    2. Audiomack
    3. Spotify
    4. Apple Music
    5. Shazam
    6. Deezer
    7. UA-cam Music
    8. Notjustic
    9. Soundcloud
    10.Tidal
    11. Amazon
    12. Facebook
    Etc

  • @semanimasere7126
    @semanimasere7126 2 роки тому +1

    Mungu apendi

  • @saidmduma9706
    @saidmduma9706 2 роки тому

    siwez kumtafuta mtu hana mcgango wala msaada na mimi pamba ongeza juhuni ya kazi zako nzuri utafanikiwa

  • @OnePATCHO
    @OnePATCHO 8 місяців тому

    Pambana pekeyako mungu ata kuseidia,ata mbosso kuna siku yeye mwenyewe hata kutafuta tu hukitoboa❤

  • @amanikarisa9759
    @amanikarisa9759 2 роки тому +2

    Mbosso take this,this is really your brother and never crusfie him for nothing kama mwenyewe binafs hajakukosea usimlenge labda kwa makosano ya wazazi wenu apana sio poa bro tomorrow is always dark..

  • @kubulizuberikubulizuberihu5896
    @kubulizuberikubulizuberihu5896 2 роки тому +20

    Cha msingi mdogo wangu unachotakiwa uanze kumtafuta baba yako ili muyamalize na baba yako ili akuunganishe na kaka yako

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 2 роки тому +9

    Minamshauri amtafute baba yake kwanza baba ndio atakae wakutanisha watoto wake atamuita tu mboso aonane na nduguye

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 2 роки тому +6

    Sasa si amtafute babake jamani mbosso anausika nanini...elewana kwanza na mzee

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 роки тому

    Muulizeni vizuri. Subiri ukaribishwe.

  • @Wastara001
    @Wastara001 2 роки тому +15

    Tatizo vijana wengi wanapenda dezo. Fanya kazi ya halali....acha kusuka nywele wewe ni muislamu

    • @abiboseleman1649
      @abiboseleman1649 2 роки тому +2

      Mangapi unayoyafanya weee ambayo hayako sawa na uislam na jee hebu jiulize wewe mwisho kufanya ibada lini??????

    • @Wastara001
      @Wastara001 2 роки тому +3

      @@abiboseleman1649 rudi uisome dini kwanza. Acha kiherehere. Kwa hiyo watu wasikataze madhambi????

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 2 роки тому +1

      @@abiboseleman1649 unakurupuka na kusapoti anachokatazwa MUISLAM. Mwenzako ametimiza tulivoamrishwa WAISLAM, kukatazana MABAYA na kulinganiana katika KUMCHA ALLAH ( swt). Unachukuwa mzigo wa Madhambi BUREEEEE. Kama ulivo shauriwa... KASOME.

    • @bekabakari7394
      @bekabakari7394 2 роки тому

      Wewe ulipokua na umri
      Huo ulikua he?

    • @hamidusibye5241
      @hamidusibye5241 2 роки тому +1

      SIKU ZOTE SHETANI HAKOSI WAFUASI WA KUMPINGA MWENYE MAONYO YA MWEMYEZIMUNGU,SAID ACHANA NA HAO MATAIRA WANAOKUJIBU KIFARA MAPAKA SHUME KABISA.

  • @aminamohamed3916
    @aminamohamed3916 2 роки тому +1

    salàm alekum mashallaah munafanana sàna bila kuliza

  • @mwanatummohammed6967
    @mwanatummohammed6967 2 роки тому

    Wamefanana saana MashaAllah adi sauti utathani mapacha❤️😇

  • @emmanuelmasse6219
    @emmanuelmasse6219 2 роки тому +7

    Kumbe baba mmoja mama tofauti hapo kusema ukweli kukusadia inahitaji moyo Sana
    Tena usikute hapo huyo baba yenu alimuacha mama yake na mboso anateseka na wanae ndio akaanza mahusiano na mama yako
    Hivyo nawewe haso kijana Kama yeye alivyo haso mtegemea Cha ndugue hufa masikini

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 роки тому

      kabisa ndugu upande wa baba hawana nguvu kama mulozaliwa tumbo 1 mama hapa msaada kwa mbosso ata simlaumu mbosso atulie tuu dogo

  • @aminangombe8815
    @aminangombe8815 2 роки тому

    Daah! Kumbe mama tofauti! Kukusaidia inataka moyo Xana

  • @SuzyMukhawana
    @SuzyMukhawana Рік тому

    Suzy nikiwa Kenya too mach ❤️❤️

  • @doublej5688
    @doublej5688 2 роки тому +2

    Good work

  • @erickelia9826
    @erickelia9826 2 роки тому +20

    Mbosso kwa jinsi mnavyo fanan na huyu dogo hakika ni ndugu kabisa

  • @rossikirossiki6518
    @rossikirossiki6518 2 роки тому

    Pole Kaka ndugu apate nawe upate undugu waleo nimtihani uwenaco ukimtegemea mwanadamu utabaki njiapanda

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 роки тому +8

    Sauti ya mboso kabisa sura pia

  • @joyokumu6791
    @joyokumu6791 2 роки тому +24

    Pesa zisizo za halali huezi wasaidia ndugu na dada wa damu lazima pia wajiunge na uharamu huo ndo waendane.

  • @mdadif5225
    @mdadif5225 2 роки тому +1

    Sahii mbosso tajiri hata hakumbuki family 😲😱inauma sana 😢mbosso mchukuwe broo please 🙏#kenya

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 2 роки тому

      Md adif kuna tatizo ndani ya familia hiyo ya mboso kuchangia baba mama tofauti japo wanafanana sura

  • @khebbetydikson4195
    @khebbetydikson4195 2 роки тому +6

    Shida sio mboso shida inakuja kwa mzazi kutowafahamisha watoto kujuana toka wakiwa wadogo

  • @abuusahya6130
    @abuusahya6130 2 роки тому +20

    Sauti ya mboso kabisaaaáa

  • @mwantumjaff2589
    @mwantumjaff2589 2 роки тому +4

    Umenenepa mzee baba J, kwel hkun mwembamba 😂

  • @vveronicamakori2297
    @vveronicamakori2297 2 роки тому +3

    Ooh my God mbosso unamlenga ur brother, 😭so painful Sana. Ukipata ur brother akikutafuta take interest on it u never know tomorrow

    • @isaacelijah6516
      @isaacelijah6516 2 роки тому

      Uc chargi wa2 wakati hujui kinachoendelea sio.

  • @ekwensirobinson
    @ekwensirobinson 2 роки тому +3

    Let this brother not give up

  • @asmotz3327
    @asmotz3327 2 роки тому

    Kwa kweli inaskitisha kijana kama mm 2 bado mdog sana ila asichoke mungu yupo pamja na yeye

  • @ezekielsimon1066
    @ezekielsimon1066 2 роки тому +3

    Dogo ana sauti Kali sana akihimba

  • @shroerascomedy8675
    @shroerascomedy8675 2 роки тому

    Akikukataa we kuja Kenya tupige mjengo bro😅😅😅

  • @rayanaabdallah6580
    @rayanaabdallah6580 2 роки тому +3

    Pambana mdogo wangu siku hizi damu si nzito tena kama zamani

  • @richardmayugu515
    @richardmayugu515 2 роки тому +15

    jamani sikilizeni burudani mengine waachieni mambo ya kifamilia hayo acheni UMBEYA

  • @ffaa4744
    @ffaa4744 2 роки тому +2

    Hujaupata umbosso umeanza na ww kusuka yebo loooh 😀 kazi ipo

  • @richardmayugu515
    @richardmayugu515 2 роки тому +8

    kwani kasema katelekezwa c kasema mwenyewe hawajakaa pamoja mda mrefu toka utotoni sasa mngekuwa nyie mngemfahamu

  • @chumbulajames9895
    @chumbulajames9895 2 роки тому +2

    Iyo yote m2 akiwa xehemu flan me cwez kujipendekeza kabsa kabxa

  • @kbaleofficial3040
    @kbaleofficial3040 2 роки тому

    duh jamn hatakam mama tofauti sio kwaukatili huu jamn

  • @Pratnumzsimba
    @Pratnumzsimba 2 роки тому +5

    Muda wote alikua wap?

  • @mcharmo2544
    @mcharmo2544 2 роки тому

    Dah jamani sauti kabisa ni ya Mbosso Khan

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 2 роки тому +6

    Nyie mnaemtukana mboso akil zenu fupi sana huyu dogo anatakiwa amtafute baba mzazi na sio mboso maana mboso sie aliezaa na mama wahuyu kijana

    • @fadhilsamwel3965
      @fadhilsamwel3965 2 роки тому +1

      exactly bro big point

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 роки тому

      nashangaa kabisa mbosso halaumiki haswaa amlaumu mama ake alotembea na baba wa mbosso machizi wote wanaomtupia lawama mbosso angekua mbosso hana umaarufu angemtafuta wamuache ndugu wa baba 1 kupendana kumsaidia ndugu ni mulozaliwa mama 1 tuu

    • @fatumakassim64
      @fatumakassim64 2 роки тому

      Ata wew chizi unae sapont boss utakuja kujua tu badae

  • @festolemsmuhindo4700
    @festolemsmuhindo4700 2 роки тому

    Kabisa wanafanana sana, asiofu kakake mboso ni mtu mzuri sana, te bwana mboso

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 роки тому +3

    Kweli kafanana na mboso

  • @julietnamayega2525
    @julietnamayega2525 2 роки тому

    Kwa mtazamo wangu ni wazazi hawakuleta watoto pamoja kujuana so so makosa yo mbosso by the time huyu mdogo wake akuae mtu mzima tayari mbosso alikua ashaenda kuhangaika mjini but asikufe moyo watapatana tu

  • @saudasaleh5694
    @saudasaleh5694 2 роки тому

    Hata sauti ni moja wanafanana sana

  • @richgambi6694
    @richgambi6694 2 роки тому

    Ndege mzuri hutua penye mti mzuri

  • @shreemwanakombo6794
    @shreemwanakombo6794 2 роки тому

    Kwani uyu mbosso haendagi kwao jamanii.....atakama pia yeye alipitia hard life bt sio poa vile anafanya he has to be with his family bwana ......kama vipi mbosso anafail

  • @Best_tz
    @Best_tz 2 роки тому

    Inasikitisha lakinn uskonde bwana mdogo ipo siku mungu atakufanyia wepesi

  • @cheupestefano5424
    @cheupestefano5424 2 роки тому +5

    Unamtafuta MBOSSO akufanyie nini kama babako mwenyewe hakushughulikii

    • @hamisimohamedhamisi3241
      @hamisimohamedhamisi3241 2 роки тому

      Ww muache amtafute kaka yke ww ayakuhusu kaka tafuta mboso utampata

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 роки тому

      ndo apo nashangaa

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 роки тому

      @@hamisimohamedhamisi3241 kwani mbosso ndo baba alolala na mama ake aende uko hujielewi na ww wamtafute baba ake uko

    • @elishakishiwa599
      @elishakishiwa599 2 роки тому

      dogo ana haki ya kumtafuta kka yake maana ndugu ni kubebana so anaamin akimpata kka anaweza kumwezesha kwa chochote akajikwamua kimaisha hii ndo big up kwa wachaga maana akiwin mmoja atawawezesha na ndugu zake so dogo akipata nafas ya kuonana na mbosso naamini mbosso atafrah sana the way dogo anavyosema mbosso yuko pekeake so atakuwa hapy sana kuonana na ndugu yake wa dam

    • @elishakishiwa599
      @elishakishiwa599 2 роки тому

      @@zuleikhakhamis3303 kwan kumtafta kka ni vibaya kama unaonyesha chuki kwa ndugu wasiokuhusu itakuwaje mmeo akiwa na mtto wa nje si patachimbika isitoshe dini yako inaluhusu so kusema kwamba kwan mbosso katembea na mama wa dogo ni kujizalilisha wewe na jamii yako acha roho mbaya

  • @rahmankaran7287
    @rahmankaran7287 2 роки тому

    Kafanana nae kweli 😍

  • @tedymdee9995
    @tedymdee9995 2 роки тому

    Mhhh jaman awenahuruma huyo mbosso

  • @ayoayoo1222
    @ayoayoo1222 2 роки тому

    Mwambie aende kwa producer mocco genius atapata number ya mbosso

  • @puyapotiger4732
    @puyapotiger4732 2 роки тому +2

    Kama kwel mboso kwel kamsahau ndugu bas mung atampotezea leng ata kumchukuabt kuish nae ad dog anapata tabu hv

  • @stevenruhunga3677
    @stevenruhunga3677 2 роки тому +10

    Wachafu wote kweli wachafu kabisa. Ukishazama wachafuni kilakitu hakiendi unakata idi ndugu wa dam

    • @azizakombo376
      @azizakombo376 2 роки тому

      Daa kweli bwana ukiingia uchafuni lazima na wwe uchafuke tu maana huyu mboso ni ndugu yke kabisa yaani

    • @alainnduwimana544
      @alainnduwimana544 2 роки тому

      Punguzeni mdomo mimi tangu n'a zaliwa wanasema n'a fanana n'a Davido je nijiite ndugu yake nendeni taratibu

    • @balakajolam3211
      @balakajolam3211 2 роки тому

      Dogo sasa unamtafuta mtu umempata kakufungia vioo ww kaendelee kuosha tu magari mungu atabless tu kazi yako achana na misuko iyo pesa ya kusikia inatosha kununua homo ili utimize ndoto zako napia acha kitonga Maana apo unamtafuta mbosso ili upate kitonga tu

  • @tedymdee9995
    @tedymdee9995 2 роки тому

    Pole dana

  • @sadayusuf887
    @sadayusuf887 2 роки тому

    Ila wababa nyie ndio mnayaleta haya yote pole pambana achana na wanao kukwepa mola atakupa mafanikio InshaAllah

  • @khadijas4201
    @khadijas4201 2 роки тому +8

    Background music is annoying!!

  • @maresianantibakazi-yh4qd
    @maresianantibakazi-yh4qd Рік тому

    Wanaume mungu atawachoma moto

  • @magamatorignal2879
    @magamatorignal2879 2 роки тому

    Kwani mbosso Hataka kusema Ajuwi kama ana mdogo wanke

  • @mohammedali-yj6wv
    @mohammedali-yj6wv 2 роки тому +1

    Maskini Pole sanaa wasani hadi ndugu muna watelekeza mhhh kwani mboso hajui kma ako n ndugu

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 2 роки тому

      katelekezwa na baba ake mbona hamsemi wkt baba ake yuko hai na hataki kumtafuta ujinga huu

  • @stanleybaraka3227
    @stanleybaraka3227 2 роки тому +3

    Dogo nakushauri umtafute budako muongee mwanzo then uyo ndo atakusaidia kumpata mboso

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому

      di hadi huyo mboso awe anamjua babaake na aweko naye ktk maisha?

  • @ozilozil1775
    @ozilozil1775 2 роки тому

    Umesuka unataka kusaidiwa fanyeni Kaz acheni uhanisi mnataka dezo dezo

  • @mlolabooy9074
    @mlolabooy9074 2 роки тому +2

    Ndug yke huyu 😜😜😜

  • @linarsaumu5234
    @linarsaumu5234 2 роки тому

    Munafanana had sauti congratulations

  • @marthabura2266
    @marthabura2266 2 роки тому

    Mboso usifanye hivyo ndugu yako huyu mnafanana naye jamani pesa usikupe jeuri please .

  • @rukiaomar3369
    @rukiaomar3369 2 роки тому +4

    Nenda wasafi onana na dida utafanikiwa iwenda yeye akakusaidia

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 роки тому +2

    Mboso please tafuta brother ako

  • @assanisefu7080
    @assanisefu7080 2 роки тому +1

    Kwanini mbosso anafanya hivo kwandugu yake?

  • @martinngala6722
    @martinngala6722 2 роки тому

    Kaza buti bro

  • @nboyclassic3648
    @nboyclassic3648 2 роки тому

    duu kwer wamefanana sana mbosso

  • @brianorenge7423
    @brianorenge7423 2 роки тому +1

    N ngumu dana hyo historian mandugu

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 2 роки тому +1

    Dogo nakujua Kuna siku nilikutania kuwa kuosha Prado na ist Bei sawa ukacheka Sana

  • @kabulabuyunge8783
    @kabulabuyunge8783 2 роки тому

    Habari za gwajima

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 2 роки тому

    Oh kafanana na kakae hadi sauti mashallah

  • @ernestkarigi745
    @ernestkarigi745 2 роки тому

    Mbosso I want to tell you this what goes around comes around don't do this to you younger brother

  • @videowritter.8380
    @videowritter.8380 2 роки тому

    I looking video from Pemba

  • @geraldtarimo2550
    @geraldtarimo2550 2 роки тому

    Mboso Mimi nishabikiyako Sana,lkn kwahili acha usenge, msaidie nduguyako,pesa zinamwisho

  • @mfaumealphani3554
    @mfaumealphani3554 2 роки тому

    Basi kama nikweli mungu a tamlipa kwa kukataliwa yeye mboso siye msani WA kwanza

  • @cyrusmalel7504
    @cyrusmalel7504 2 роки тому

    Mnachafua bro wangu mbosso

  • @khalmudodoma6271
    @khalmudodoma6271 2 роки тому +2

    Nipeni namba za huyo dogo

  • @pilyali6933
    @pilyali6933 2 роки тому

    Inauma sana jamani mboso anavyomfanyia uyu dogo sio poa. never

  • @mohamedoman9344
    @mohamedoman9344 2 роки тому +2

    Mm naitwa Mohamed natokea nchi Oman anapenda sana kipindi chako

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому

    Jmn kwanza ckilizeni kwanza ndo muanze kumtuhum mboso cio mnakurupuka tuu kumlaumu mbosso

  • @nekesaester2068
    @nekesaester2068 2 роки тому

    Waaaaah.....😳😳😳😳😳

  • @farhyaabdallah2089
    @farhyaabdallah2089 2 роки тому

    Jamani wanafanana mpaka sauti

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 2 роки тому

    Ndo kasuka mirasta ovyooo au nae anataka kutoka kimzk🤣

  • @splanevanuelguyms7254
    @splanevanuelguyms7254 2 роки тому +1

    Uyo jama ni mbosso tu,
    na sasa ni video nyingi sasa,
    kwa nini mbosso ajali kuja kuangalia pacha mgodo wake,
    sasa uyo jama ajikaze sana ....🙏🙏🙏

  • @shakukawele9959
    @shakukawele9959 2 роки тому +6

    Mungu wangu huyu ni Mbosso mtupu

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 2 роки тому +2

    Wewe mtangazaji wacha uchonganishi ugomvi wa wazazi unawahusu Nini watoto

  • @ekwensirobinson
    @ekwensirobinson 2 роки тому

    Kenya

  • @ayetafatuu8715
    @ayetafatuu8715 2 роки тому

    Mtafute mungu

  • @christopherniyimbabazi9969
    @christopherniyimbabazi9969 2 роки тому

    Tupo south Africa 🇿🇦

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 роки тому +2

    Kiki nyingi si rahisi kumfikia mboso je kama unaenda kumzuru ungeenda taratibu tuonyeshe kithibitisho basi kama ni braza ako