JUHUDI ZA SHEIKH ABUU MUA3WIYA KUPATIKANA KWA SULUHU BAINA YA MASALAFY, SHEIKH ABUUMUA3WIYAرحمه الله

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @YusuphSulemani
    @YusuphSulemani 3 місяці тому

    Daaaaah wallah shekh kajitahid sana kutak suluhu machozi yananitoka

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  3 місяці тому

      Naam lkn Allah alilokikadiria halinabudi kutokea

  • @ABUUBAAZNYUNGU
    @ABUUBAAZNYUNGU 5 місяців тому

    ALLAH AWAONGOZE MASHEIKH WA KISALAFY YAISHE MAGOMV YENU !!!

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому

      Amin

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 5 місяців тому

      ​@@Ibnsalim3 yaani hapa ni kumuomba Allah tu Mana huwa najiuliza kwann Mashekh wa kisalafy wasikae wakayamalza? Sema ile Fitnah ya Morogoro Alhamdulillah iliisha....bado hii sasa! Allah atie Nusra kwakwel

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU km utaisikiliza hii audio mpk MWISHO utafahamu jubu la suali lako sheikh tyr ameshalijibuu

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 5 місяців тому

      @@Ibnsalim3 Nshaisikiliza! Ni kumuomba tu ALLAH atie Nusra katika hili na awape ujasiri wa kusuluhisha haya magomvi kwa ajili yake In shaa Allah!

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому

      @@ABUUBAAZNYUNGU amin

  • @AbuubarmackJuma
    @AbuubarmackJuma 5 місяців тому

    Tunayajua mengi kuhusu Abuu Muawiya tukiyasema tutamuongezea mzigo wa madhambi tuu huko aliko ... tuseme tuu Allaah amsamehe

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 5 місяців тому

      ALLAH akuongoze kijana na atuongoze soote maaan waoongea matope kiijjana

    • @hafidhwajina6718
      @hafidhwajina6718 5 місяців тому

      Wewe na nani?

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому

      @@AbuubarmackJuma Naam munayajua kwssb yy sio maasumu sw km vile tunavyoyajuu mengi ya sheikh qassimu mafuta, ni vyema kila mtu amsitiri nduguyee naa amuombee kheiri na hivyo ndio tunavyotakiwa waisilamu kusiriana na kusameheyana na kufamishana kwa hekima na adabu na kuhufadhiana karamat zenu, mm namuomba Allah aunganishe ummah huo na awaunganisha ahalu Sunnah na aaondoe magovi na chuki zetu na ss masalafy tuwe mapenzi BAINA yetu na kuilingania Sunnah ya Mtume wetu na tuonanane nae Allah tukiwa tumeridhiwa

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 5 місяців тому

      Sisi pia tunayajuwa mengi yaliyojificha kwa hizbu mafuta wa pongwe

    • @hassanhamid4359
      @hassanhamid4359 5 місяців тому

      Yaseme yabainishwe

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 5 місяців тому +1

    Kasima mafua hataki kukaliwa juuu
    Ndo maana majadida wote wamepiga mkia chini

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 5 місяців тому

      @@pavillioncry5241 Usimdhanie Shari sasa! Kwani Mafuta ana uongoz wowote mpaka asitake kukaliwa juu?

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 5 місяців тому

      @@pavillioncry5241 ... Halafu hyo kadhia ya Jadeedah kaeni na shekh wenu Barahiyani mumwambie ataraajui kwa kuwanasibisha wanachuoni na hizbu salafy... Dawatusalafiyyah imejengwa katika misingi ya kuwaheshim na kuwahifadhi wanachuon!....Na nimeona darsa zake za 2007 huko,bado msimamo wake ni huohuo kuwa waasisi wa salafiya Jadeedah ni maulamaa akina rabii.....Hii sio katika Ahlusunnah wal jamaa

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 5 місяців тому

      Naaam namimi nimebainikiwa hivyo Akhy wala hujamdhulia. Uongo

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 5 місяців тому

      Hilo ni ukwel qassimu ni mtu ambae anapenda ukubwa na kibri anacho

    • @ABUUBAAZNYUNGU
      @ABUUBAAZNYUNGU 5 місяців тому

      @@abbaspaziaog2188 huwez kujua yaliyofichikana katika nafsi ya mtu

  • @AliAli-lu7or
    @AliAli-lu7or 5 місяців тому

    Sasa myinyi mlishindwa kusubiri mkawa mnahangaika mara mko bukhari namatabligh mara pamoja na mohammed bachu mara mko nabarhayan sasa mlikua hamjui mshikewapi ndio mkadondoka

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому +2

      Huna hoja hapaa ndio Mana unaleta talbisi ss tunaongelea hili ww unaongelea jengine

    • @hassanhamid4359
      @hassanhamid4359 5 місяців тому

      Huyu ana mapenzi yashetani hangalii haki labda kasimu maasum

  • @AbuubarmackJuma
    @AbuubarmackJuma 5 місяців тому +1

    Mimi ninachokiona wajinga bado ni wengi katika dini na watu wengi hufuata matamanio kumtetea Abuu muawiya na kumponda Abul fadhli tena bila ya ushahidi ni kufuata matamanio ...watu wamche Allaah

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому +2

      Ktk hao wajinga ww ni moja wao, ss hatumtetei Sheikh Abuu mua3wiya Bali tunatetea hakki ambayo aliyokuwa nayoo na Wala hatumpondi sheikh qassimu Bali tuyaponda ile dhulma aliyoifanya kwa ndugu zake na kukataa sulhu na kusema uongo na kumzulia sheikh abuu Mua3wiya pasi na hakki Wala kisisi wa kufuatilia mambo na Wala pia ya Kuongea na sheikh abuu Mu3wiya na kumpa nasaha, na mm namnasihi sheikh wetu mpendwa Sheikh Qassimu ingawa mm ni mdogo kielimu na kimarifa na kiumri pia kuwa arekebishe hii dawa'aa na aunganishe wanasunnah na ache kuwa yy ndio sabb ya Farka na mtafaruku ktk dawa'aa, ksbb ww ni sw na baba kwetu na ss ni km wanawe hivyo atumie upole na hekma huirejesha dawa'a hii ya hakii km ivyokuwa hapo mwanzo

    • @HassanHamad-rf9tq
      @HassanHamad-rf9tq 5 місяців тому

      Miongoni mwa wajinga ni wewee unaonekana unafuata ushabiki na shekh wako akisema hicho wewee unafuata hata kama anakosea wewee bado upo tuuuu unamuunga

    • @hassanhamid4359
      @hassanhamid4359 5 місяців тому

      Hii nidini usinune kutolewa makosa shekh wako yule kasimu mafuta nibina Adam asijezani hana dhambi wala hakuna mkamilifu mkamilifu ni Allah tu

    • @hassanhamid4359
      @hassanhamid4359 5 місяців тому

      Sawa baraka llah fikum

  • @Abuzubeyr-b3x
    @Abuzubeyr-b3x 5 місяців тому

    Sulhu ya vp?kwani qadhia ni qadhia binafsi au ni qadhia za kimanhaji?

  • @AbuuSumayyah-rh7oi
    @AbuuSumayyah-rh7oi 5 місяців тому +2

    Hawa watumaji wa hizi bayaani feki huwenda ikawa wana magonjwa sugu ambayo kwasasa hali ilipofikia huwenda wakawa wenda wazimu hasaa

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому

      Mwenda wazimu ni ww Ambae. Unaefanya dini yako ni sheikh qassimu mafuta na Mtume wako ni yy, moyoni kwako Kuna kufuli na machoni mwako Kuna upofu huwezi kuona hakki hata km ipo mbele yako kwasbb ya sumu iliyoenea ktk moyo wako

    • @AbuuSumayyah-rh7oi
      @AbuuSumayyah-rh7oi 5 місяців тому

      @@Ibnsalim3 hayo maneno yko yanabainisha ukweli wa kile nilicho kiongelea hapo kabla kwani huenda ikawa ww hadi sasa unaimani ya utume kuwa unaendelea maana using usingeli jaalia kuwa kuna watu wanaitadiki utume kwa kasim mafuta au tusibitishie hilo kama lipo na kama hujasibitisha basi hutatoka katka yale maradhi niliyo yasema

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому

      @@AbuuSumayyah-rh7oi ndugu yangu Allah akuongoze ww na mm, hebu jaribu kuyarejea majibu yangu na utayafahamu vzr, Mimi sikujema sheikh wetu Sheikh qassimu ni mtumee sawa lkn Hindi munamfanyaa na kumfuata kila alisemalo sawa ni sahihi au laa bila nyy wanafunzi kulichunguza vzr hunalifuataa kma kwamba yy ni maasumu hakosei kwn Mtume pekee yake ndio anayo darja hiyo ya kusikilizwa na kutiiwa kwa kila akisemacho na anachokiambrishaa sw kwhy sheikh qassim hawezi KUFIKIA hicho cheo kwasbb ni mitume tuu, na hivyo hivyo sheikh wetu mbora sheikh abuu Mua3wiya Allah amrehemu sio km hna makosa anayo, sw kwhy nyy wanafunzi munamtetea sheikh kassimu ht km yy ndio aliyekosea na kumfuata ktk kosa lake

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  4 місяці тому

      Ss lengo tufiche Bayana wakati wa haja, ss hatuwezi kuwafanyia khiyana watu km nyy kunavyofa fanya sheikh wetu amefariki رحمه الله تعالى lkn Kuna watu hawajui kuwa ukweli nyy ndio hamtaki masalafy wawe pamoja na kuunganisha neno lao

  • @allywaziry6419
    @allywaziry6419 5 місяців тому +1

    Mimi binafsi sioni Sawa kueneza haya baada ya sheikh abuu muawiya kuwa hatukonae, tuiwache hii fitna sasa, tuinyamazie kama walivyonyamaza baadhi ya masheikh, nawausia ndugu mnaotuma ktk Chanel hii, Al akhy Allah amrehem anafawaid nyingi mnoo mtutumie, na sio fitna

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому

      Ahsante akhuy kwa ushauri wako mzr sanaa, tumeituma hii video lengo ni KUBAINISHA HAKKI tuu kwasbb Kuna watu wanamsema vibaya sheikh na kudai madai mengi mabaya hivyo imetumwa ili watu wajue juhudi aliyoifanya sheikh kuwafanya masalafy wote wawe pamoja na washirikiae ktk dawa'a na watu wafaidike na Elimu lkn pale walipo msema vibaya sheikh nikaamua kuitumaa hii ili watu wanaotafuta kheiri na kuijua HAKKI ipo wapi ndipo nikaitumaa hii lkn sikua na haja kuiwekaa humuu

    • @AbuuFudhwayl
      @AbuuFudhwayl 5 місяців тому

      @@Ibnsalim3 Al Akh Allah akubariki, hizi bayaani na mihaadhara zatakikana hasa kuwekwa kwani zisipowekwa watu wanaokusudia shari na kumsema vibaya sheikh abuu muawiya hawapo kimya walimsema akiwa hai na hadi sasa ameshatangulia mbele za Allah bado wanamsema. Hivuo mim nashauri ziwekwe ili masalafi wazidi kubainikiwa. Tujikumbushe kauli ya imamu Ahmad Allah amrahemu alipomjibu Muhammad bin Bandaar baada ya kumuambia إني ليشتد علي أن أقول: فلان ضعيف، فلان كذاب، فقال
      إذا سكت أنت، وسكت أنا فمتى يعرف الجاهل الصحيح من السقيم؟

    • @AbuuFudhwayl
      @AbuuFudhwayl 5 місяців тому

      @@Ibnsalim3 Ungeliutuma pia ule muhadhara wa siku ya jana yake. hizi ruduud na baiyyan ni muhimu mno. Allah akubariki.

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3  5 місяців тому

      @@AbuuFudhwayl ahsante akhuy inshaa Allah tupo pamoja na kw hkika tutajutahidi kuziweka ili mwenye kutaka hakki wabainikiwe na wale wasio itaka wakatae BAADA ya kufikiwa na hakki hiyo

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 5 місяців тому

    Kumbe abuu umeir ni mtu mbaya sana dahhh
    Kamdhulumu sana shekh abuu muawiya
    Lakini na yy atakatwa kama alivowakata wenziwe