Muhtasari: Isaya 40-66
Вставка
- Опубліковано 3 гру 2024
- Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Isaya 40-66, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Isaya anatangaza kwamba hukumu ya Mungu itaitakasa Israeli na kuandaa watu wake kwa ujio wa mfalme wa kimasihi na ujio wa Yerusalemu mpya.
#BibleProject #Biblia #Isaya
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA