Muhtasari: Yohana 1-12
Вставка
- Опубліковано 3 гру 2024
- Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Yohana 1-12, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Yohana, Yesu anachukua mwili wa mwanadamu kama Mungu muumba wa Israeli ili ashiriki upendo wake na zawadi ya uzima wa milele na ulimwengu.
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili: Tai Plus na Eternal Entertainment, Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake: BibleProject, Portland, Oregon, USA
#BibleProject #Biblia #Yohana
Amina 🇨🇩
Kazi nzuri ya kuvutia sana. Asanteni.
Mungu akubariki