Ee mwenyezi Mungu, tufungue macho ya Rohoni tuujue ukweli na hiyo kweli ituweke guru,tuombee watumishi,viongozi wetu,na familia zetu daima, ili tuupate utukufu wako na karama zaidi zitokazo kwako.
Mbarikiwa mutumishi wa mungu,, sijai fudishwa kuombea mutumishi lakin nimejifusa kuombea mutumishi,, mungu wangu nisamee kwa kutuombea mutumishi wako😭😭😭mungu nipe neema ya kuomba saidi,,, 🙏
Asikiaye na afahamu,sema Mtumishi watu kunyonya upako tu,kuomba hawaombi inaishiaga mdomoni,jamani Watumishi ni wakuombea kumbe unafiki hawaombi, Yaani nakuelewa sana wewe ni msema ukweli walivyo jazana hapo unao km hata 10 hawafiki. Kanisa tupone
Amen Mungu akufunulie zaid umetukumbusha Mambo ya msingi sana.
AMEN asante mtumishi umetufafanulia hili nitawaombea watumishi.
Ee mwenyezi Mungu, tufungue macho ya Rohoni tuujue ukweli na hiyo kweli ituweke guru,tuombee watumishi,viongozi wetu,na familia zetu daima, ili tuupate utukufu wako na karama zaidi zitokazo kwako.
Thx kwa SoMo zuri
Amen god bless you so much pastor
Asante sana Apostle. Mungu atusaidie kiwaombea Watumishi wetu.
Very powerful
Mbarikiwa mutumishi wa mungu,, sijai fudishwa kuombea mutumishi lakin nimejifusa kuombea mutumishi,, mungu wangu nisamee kwa kutuombea mutumishi wako😭😭😭mungu nipe neema ya kuomba saidi,,, 🙏
Facts
Nimekupata vizuri Apostle
Oh Mungu wangu nisamehe sikufundishwa kuombea watumishi kwa uzito huu chief leo ndio umetuambia tusamehe😭😭
Ameni mtumishi ...
Kwa kweli tumekuelewa mimi ijapokua sijafunga ila nawaombea sana wateule namjua mnayopitia ni magumu
Truth 🙌🙌💝
I pray for you Baba Everyday
Mimi amina aw Kenya 🙏🙏🙏🙏
Asante mtumishi
Amen. we must pray for them are the body part of Jesus Christ to minister the word of God to his people
Amina amen
🙏🙏Asante .
Asikiaye na afahamu,sema Mtumishi watu kunyonya upako tu,kuomba hawaombi inaishiaga mdomoni,jamani Watumishi ni wakuombea kumbe unafiki hawaombi,
Yaani nakuelewa sana wewe ni msema ukweli walivyo jazana hapo unao km hata 10 hawafiki. Kanisa tupone
NIUKWELI CHIEF LAZINA TU CHUKUWE JUKUMU LA MTUMISHI SISI WASHIRIKI TUOMBE . U R FOR US &US FOR YOU .OUR ISRAELA HER GONE
Nikweli mtumishi wamungu