Yaan wanawake bongo hata ukimuon ana master bc ni zero tu, yaan phd anawatukan mnampigia makofi duh, AMA KWELI BONGO NDO SEHEM PEKEE DUNIANI AMBAYO UNAWEZA UKAWATUKANA KINA DADA THAN WAKAKUPIGIA MAKOFI🙌
Ila hayo mambo ya wanawake mim naona vitu vya kawaida saaaana, ila unavyoviongelea inaonekana kabisa vimekupa ulimbukeni na unaona kama vinakutokea wew pekeako kitu ambacho sio kweli
This guy is crazy😂😂😂 l'm enjoying interviews with Mwamposa. I'm laughing everytime 😂😂
DADA anajipepea na mikono inamaa hamna fan au a-c apo #BIGSUNDAY hall😉😀😊
Daaah watu MNA macho
Eti kwa Bahati mbaya ninawatoto sita mpka hivi
Broo shukur Mungu sio Bahati mbaya kun weny Wanatamani iL hawajafanikiwa
Namkubali sana mwamba anajua ila spoti yake ni ndogo sana ila akipunguza zarau atafika mbali sana
Ana dharau alafu hana uzuri ni rangi tu na hizo ndevu........me siwezi kumpenda
I live uare life man
Labda wadada wa dar 🔥😂😂😂 Sasa dar doesn't define tanzania usitufokee
Hemed PhD nakuelewa sana mwamba
Nampendaaa sana ammy gal kwa sauti yake
Yaan wanawake bongo hata ukimuon ana master bc ni zero tu, yaan phd anawatukan mnampigia makofi duh, AMA KWELI BONGO NDO SEHEM PEKEE DUNIANI AMBAYO UNAWEZA UKAWATUKANA KINA DADA THAN WAKAKUPIGIA MAKOFI🙌
Watu wa ajabu sana
Ujinga Ujing tu
Yasir Alkindi ata ww bro kuwa handsome boy utawatemea ata mate then kesho wanakufata
Yaani acha anavyoniudhi jinsi anavyodharau akina dada..
Anafanya comedy tu huyo hakuna chochote serious hapo
Hivi ndio mumegoma kutupostia mambo na vijambo?
😂😂😂hemedi msenge
Ayiiiiiiii
Wanawake wa BONGO endeleeni kuwa wapuuzi hvy hvy, mtanyanyuliwa sana mwisho wake ztakazo umia ni sehemu za................
Chizi sana uyu bro
Super sanaa
Wajina sisi tunapendwa saana
Noma
Hemedy nakupenda ila mashaallah umejuwa kuwazalisha kupitia uzur wako khaaaah kwer nikinyyamwezi😂
Zaii
Zilly
Wenyew waliosaviwa Lukaku watakuwa wamejisikia😂
Woiiii eti Lukaku 😂😂😂
Mkaali
😂😂😂😂😂😂😂 Damn!!! He's being real....
Huyu jamaa mshamba kinoma halafu limbukeni.
Muislamu mzima herini za msalaba.
Pole sana mshkaji.
Kila mtu na maisha yake broh kama kaamua kwenda jehanam ww nan
Kwani unampelekeaga msosi au shobo za kidini zinakuchanganya
Msenge sana
Eti😱😱😱😱
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huyu Kaka huyu eti wazeee wenzangu
🤣🤣🤣🤣 huyu mwamba interview zake nacheka saana
kkkk kumbe sipo pekeuyangu???.
Phd mwanang ckuping
Fala kwelii uyu
Phd, nakubar
Itz a BSL (BigSundayLive)
Yanga bado sana mnyama Jana kauwa huko Arusha
Hahahah Kumbe Hemed Anataka Watoto Wema Na Yeye Ni ???????🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah, ila huyu jamaa😂
Ila hayo mambo ya wanawake mim naona vitu vya kawaida saaaana, ila unavyoviongelea inaonekana kabisa vimekupa ulimbukeni na unaona kama vinakutokea wew pekeako kitu ambacho sio kweli
Hahahaha...alikuwa na ndoto ya kuwa na watoto wawili and now ako na watoto 6 😂😂😂😂😂😂😂
Na hajaoa🤣🤣🤣🤔
🤭🤔miatisa na moja
Duh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 PhD
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 maselo 🤣🤣🤣🤣🤣
Uyu jama ana wazalisha sana dada zetu😀😀😀😀
Akamatwe ss
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hemed dawa yameno kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wallah mbavu zangu jaman
Hahahahh hemedy ww ni NYOKO hahahah
Aiii
Chizi na wewe lily ommy huna kazi...
Hahahaaa eti Lukaku
Kwa bahat mbaya una watoto 6
Ulitaka kua na watoto 2
Eti gehti kali aiiiiiiiii
🤣🤣🤣🤣🤣jamani hemedi
Emminem
Siamini kama huyu jamaa aliwahi sema apendi kuoga😁😁😁
Fernando papii Ernesto marsero papuchi😂😂😂😂jinga sana wew ila huyu jamaa bwana hana tu ile nyota kali lakin kwa wanawake kamshinda had chibu
Ndo vitu mnapenda wadada wa tz ujinga
Daaa Ili li msela bhana
Huyu jamaa ubongo wake hauna akili
Oyee hemedi
Huyuu boyaaaaaaaa
Uyu jama ni msazi
hemed natamani nifanyie corbo nae
Yani wewe jamaa una maringo sana na mgongo wa ardhi
😀😀😀🙌
Hahahaha
Ana mwil mkubwa lakin hamna kitu kichwan ,et anajisifia ujinga
Sauti ya mamlaka
🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Huyo bado mshamba sasa ww kupendwa na mademu unaona ishu
Unawalea Watoto lkn
kama wewe lukaku ujie kiwango kimbovu ...wadada achen shoboooo
Huyu jamaa kiboko
Nimewaoata
Twakupenda sana kwahio mingu atakutafutia mkemwe
Munaboa
😄😄😄😄
am so disappointed of this video
Duu ongera kudhalilisha mademu
😂
e4ee4e
Hemedi muisilamu umevaa hereni za msalaba,Msiba mkubwa
😂😂😂
Kwan kuna tatizo🤔
@@johnmwadime4590 Kwasisi waisilamu ni tatizo kubwa sana
Alisema ni jumlisha na si msalaba
@@blandinamnyinga8318 Dini hairuhusu kuvaa herini kwa mwanamume
Una mashauzi kwa uzuri gani ulionao???? Me sijawahi kukupenda wala kukuwaza.....fyuuuuuuuuuuuu
Mbona km unateseka😂😂
@@Elcapitano_maestro niteseke kwajili ya Hemedy??? Hahahahahahah wapo wanao nitesa ila sio yeye..anamashauzi tu.
@@dorcaskidoti249 😂😂😂🙌🙌
@@Elcapitano_maestro ndo ivo
@@Elcapitano_maestro 😔😔😔