Waliofariki kwenye mafuriko mai mahiu wafikia 60

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 тра 2024
  • Idadi ya watu waliofariki katika mkasa wa mafuriko Mai Mahiu imefikia watu sitini baada ya miili mingine miwili kuondolewa kwenye matope wiki moja tangu maporomoko kutokea.
    Kamishna wa kaunti ya Nakuru Loyford Kibaara amesema kuwa watu 23 kati ya 112 waliokuwa hospitalini wanaendelea kutibiwa huku shughuli ya kuwasaidia wakaazi walioathirika ikiendelea. watu 30 bado wanatafutwa huku maafisa wa kijeshi na wale wa Huduma kwa taifa NYS wakiendelea kushirikiana katika shughuli hiyo. Kibaara pia anasema kuwa juhudi zaidi zinafanywa ikiwemo kufuata mkondo wa maji ambao sasa umefikia kilomita sitini kuelekea katika kaunti jirani ya Narok. Ibada ya wafuu inatarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi.

КОМЕНТАРІ • 9

  • @leonardsang387
    @leonardsang387 Місяць тому

    Poleni sana

  • @HusseinKagesho
    @HusseinKagesho Місяць тому

    asanteni kwa moyo wenu mkarimu lakini bwana maina jenga usadizi wenu umeleta picha nzuri kama Mungu amewajalia Mavuno saidieni wengine na huu uwe mfano mzuri kwa wengine waige sio kuachia serikali majukumu yote asantum asantum nawapenda nyote wakenya jina Hussein kagesho mombasa🇰🇪🇰🇪✌❤✌❤🇰🇪✌❤🇰🇪✌❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤✌✌✌✌✌✌✌❤❤❤❤❤❤✌
    kaunti yenu saidieni wadhiriwa wengine wakenya kwa jumla

  • @shabbyofficial_
    @shabbyofficial_ Місяць тому

    Watu wanakufa kama wadudu wallah may their souls rest in eternal peace 😢

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller Місяць тому

      Pia wewe utakufa tu

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ Місяць тому

      @@itsTheTruthTeller pia wewe utakufa tu

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller Місяць тому

      @@shabbyofficial_ exactly, you can't live forever

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ Місяць тому

      @@itsTheTruthTeller yes exactly ..I never said that tho so was wondering why your reply sounded harsh as if I said anything wrong

    • @itsTheTruthTeller
      @itsTheTruthTeller Місяць тому

      @@shabbyofficial_ it only sounded harsh in your head bruh. Read my comment again but calmly and you'll see there's no harshness in it. Take care 🍻