Emotional Instrumental Type Beat - "NDOTO YANGU" (Bongo Fleva Instru) Prod. Tizo Touchz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 55

  • @Billyflavour
    @Billyflavour Місяць тому +3

    maisha kama kunguru ninatamani niwe uhuru ewe mwenyezi niangazie nuru ili kesho nije faulu
    wengi wamenibania michongo wanatamani wanione niko chini ila ipo siku tu siku yangu na wao watashangaa
    sichoki kupambana vita napigana usiku mchana eeh
    nikiamini nikiamini zitatimia
    sichoki kupambana vita napigana usiku mchana eeh
    nikiamini nikiamini zitatimia
    MKALI WAO TIZOO KWENYE CHORUS🔥🔥🔥

  • @hdmasterplan
    @hdmasterplan Місяць тому +1

    Mikazo 👍👍

  • @Nyota_Shujaa
    @Nyota_Shujaa 28 днів тому +1

    Nakubali kaka

  • @talimlwangi
    @talimlwangi Місяць тому +2

    Mwamba kabisa @tizzotouch more respect young brother

  • @PrinceTimek
    @PrinceTimek 29 днів тому +1

    Good Work 🎉🎉

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili Місяць тому +1

    Ejabless💪

  • @Rackxymusic
    @Rackxymusic Місяць тому +2

    Good work my elder❤

  • @saidially930
    @saidially930 29 днів тому +1

    Wazazi wangu wamefariki nimesoma kwa tabu na dhiki kula kwangu kwa mikiki hali yangu ikawa iki kipi ichi kipi

  • @Ratyiyo
    @Ratyiyo 29 днів тому +1

    We dream it we will make it beat kali Ejah Bless 👊🎉

  • @shuaboy6753
    @shuaboy6753 Місяць тому +1

    kali

  • @ushindibishopofficiel6775
    @ushindibishopofficiel6775 Місяць тому +8

    Wakwanza natamani kupata projet ya huu Wimbo beat nifanye

  • @brillian.chirchir
    @brillian.chirchir 26 днів тому +1

    🔥🔥

  • @MujongaSelemani
    @MujongaSelemani Місяць тому +1

    Nakubali dj 🎉🎉

  • @PanduOfficialTz
    @PanduOfficialTz Місяць тому +1

    Tizo Touch, niseme Asante sana Kaka unatupa idea nyingi sana kupitia Kazi zako👏👏👏
    God bless you 🙏 🙏

  • @Kingperex
    @Kingperex Місяць тому +2

    Done ☑️ all

  • @DjTabriz
    @DjTabriz Місяць тому +1

    weh tizo 🤣😅😁 hujii

  • @Kingzillahmusiq
    @Kingzillahmusiq Місяць тому +1

    Kali sanaa bro hii

  • @ESONKOYO-MWENYEWE
    @ESONKOYO-MWENYEWE Місяць тому +1

    Hello my brother am from Kenya nakutambu kibao❤❤❤

  • @alextz5877
    @alextz5877 Місяць тому +1

    Mzee kwa kubalance biti unaua

  • @clevisaboytz544
    @clevisaboytz544 Місяць тому

    🔥

  • @ommygee2003
    @ommygee2003 29 днів тому +2

    Bro kuna changamoto kubwa sana tunazipitia' wengi wetu sisi tukipiga beat huwa tuyasikia yale makodi tuliyo piga tunaomba msaada Bro

    • @tizotouchz
      @tizotouchz  29 днів тому

      Nilielekeza kwenye channel kaka jinsi ya kumix beat pitia kwenye channel " ahsante "🙏

    • @ommygee2003
      @ommygee2003 29 днів тому

      @@tizotouchz ahaa asante bro🙏🏽

  • @nickluca1512
    @nickluca1512 Місяць тому +1

    One for Christmas please kak❤

  • @BillHunter-Musician
    @BillHunter-Musician Місяць тому +1

    Nipe ruhusa nipite nayo kesho😂

  • @Frankmabadi60
    @Frankmabadi60 Місяць тому +2

    Huwa napita tuu bila ku comment ila kwa beat hilo nime shindwa kuvumilia ume piga mzee

  • @Misterveguelicude
    @Misterveguelicude Місяць тому +1

    Qui peut traduire les mots en français svp le refrain