@@tezuramziray8700 Kupaki gari wakati mnaongoza goli moja ni moja ya mbinu zakimchezo. Wacha sababu mmezidiwa mbinu na Azam mkapigwa. Beki ya Yanga sasahivi haina ujanja ikipata usumbufu zaidi wanacheza rafu tuuu hili tuli liona hata kwenye mechi ya simba na Yanga rafu zilikuwa nyingi sana.
NYIE KOLO VIBONDE TU NABADO TUTAWAFUNGA SANA NA HAO MABWEGE WASHUKURU REFA KAWABEBA CHUKI NA YANGA IKAPELEKEA KUMPA KADI BACA HIZO NI FIGUSU ZA MSREFA CHUKI BINAFSI
Nilikuwa cjui sababu za kuwasha taa siku 3 sasa nimejua kumbe ili wanga waonekane 😂😂😂😂😂😂😂😂
Make hapo kwanza ncheke🤣🤣
Simba nasi tujifunze kwa Azam tujue maana ya derby, inatakiwa tujiulize kwanini tunafungwa na mtu mmoja daily?
Mmmmmh kamdomo
Umeongea ukweli, leo ubora wa Yanga ni wa kiwango cha juu sana. Mlipaki gari na makontena kwa ajili ya watu 9
@@tezuramziray8700 lkn mmetandikwa kale kawimbo je hii yanga mnaifungajeee mnaifungajeee x2🐸🐸🐸👈🏽😂😂😂 vyuraaaaaaAAAA 🐸🐸🐸👈🏽😂
Mshenyetoooo makali utopolo🐸🐸🐸👈🏽😂😂😂
@@tezuramziray8700 Kupaki gari wakati mnaongoza goli moja ni moja ya mbinu zakimchezo. Wacha sababu mmezidiwa mbinu na Azam mkapigwa.
Beki ya Yanga sasahivi haina ujanja ikipata usumbufu zaidi wanacheza rafu tuuu hili tuli liona hata kwenye mechi ya simba na Yanga rafu zilikuwa nyingi sana.
Haaahaaa kaka ibwe iyo Kuna mwengine anasumbuwa nimeielewa😂😂
Sache uongo wamekuwa wachawi sana kama ansbisha nipe namba nikurushie namba nikutumie clip
RASHID MECHI ZA TIMU HIZI KUBWA NIBAHATI TU TIMU KUPATA USHINDI
@@shamissuleyman4894 sasa bahati inakuwa upande mmoja tu?
Mchezo kati ya Simba na Yanga hakuna haki ni upande mmoja ndo unaangaliwa Kila njia itatumika ili Yanga ishinde
Wameshenyetwaaaaaa😂😂😂😂😂😂
HASHIM IBWE MWAMBI REFA AMRUDISHE FEI TOTO KWENYE NAFASI YAKE. MNAMKOSEA SANA FEI TOTO. NA MNAMNYIMA MAGOLI YA KUFUNGA.
Huyo ndomtukutu hamna mwingine😂😂😂
Azam mmewanga uwanjani kwenu yule jamaa mbona ni mtu wenu ameonekana kabisa usijikaushe
@@Vuvuzelaz1 hapa Tanzania timu ambayo inacheza mpira bila makando kando ni Azam tu,ulishasikia Azam Ina kamati kama wakina mzee mlipili?
Sawa tuambie nani huyu maanake hakuna lolote kuonyesha ni wa timu gani?
Acha ushamba wewe usimalize maneno kumbuka zile 4
washa taaa siku 3 wazee wa kuroga waumbuke chezea azam wewe
KAMDOMO
Yanga wachawi twapita nyuma ya mlango
Sipati picha cku hiyo CCM atakapoanguka watu watatembeya uchi wa birthday suit YANGA kafungwa ona shughuli yake mitandaon 😂🎉
Hakika ccm ikianguka watu wengi watafanya sherehe kubwa Sana hapa Tanzania na kwingineko.
😂😂😂...Kuifananisha Yanga na CCM ni sawa na kumfananisha mbuzi 🐐 na ng'ombe...kwa CCM ni kusubiri sanaaa
Simba nasi tujifunze kwa Azam tujue maana ya derby, inatakiwa tujiulize kwanini tunafungwa na mtu mmoja daily?
NYIE KOLO VIBONDE TU NABADO TUTAWAFUNGA SANA NA HAO MABWEGE WASHUKURU REFA KAWABEBA CHUKI NA YANGA IKAPELEKEA KUMPA KADI BACA HIZO NI FIGUSU ZA MSREFA CHUKI BINAFSI
@@stevensosipita figusu za msrefa ndo nn kk😂😂😂😂😂😂 au ndo wenge baada ya kushenyetwaaaa😂😂😂
𝘩𝘶𝘯𝘢 𝘭𝘰𝘭𝘰𝘵𝘦 𝘵𝘶𝘵𝘬𝘶𝘵𝘢𝘯𝘢 𝘵𝘦𝘯𝘢.
@@MaryKagoma cc ni pipoooo
@@stevensosipita simba kibonde kwa Yanga kwa kayoko sawa😃