Muvizetu tukitaka kuzifratiria hapa ndomunapo kuja ku tuzi watazamaji wenu mna eda siroo sana bass munge weka hata namba ya sim mtu akitaka kupata muvi kamiri aripie wapi mumtumie asipo taka kuripa anacha sio wote watashindwa kusapoti mm nirikuwa sipendi muvi zakibongo saivi na fratiria mnataka niache Tena kisa vipisi sana
Chapombe😂😂😂
Ongereni sana❤❤❤
Chidy kama chidy apa uyo jamaa hana nguo zingine au mnatuona sisi maboya sanaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Zur kweli Jmn amutafuti mt mwingine munipe nafas
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mnachelewa sana jamani harafu tushajua wahusika wa movies mnapoteza dakika kwa kutambulisha movies fupi sio sawa kwa kweli
Warejelee tena pengine hawajaskia😂
Jamani inachelewa sana kutoa
Aky introduction tena mbna
🎉🎉
Tamuu🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kazi nzuli jamani ❤❤❤❤ mungu awalinde
😂😂😂😢😢 🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
he guys mbn kaz safi sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana
Mwachelewwsha saana jitahidi ni kiasi much love from Kenya 🇰🇪😮😮😢
Mwendelezo jameni 🎉🎉🎉
😂😂 michongo ya pesa hapo fresh!
Ongeleni sanaa kwa movie tam na yenye mafunzo mazuri ya maadilifu mungu awabaliki sanaaa ,,,dj kakh from Kenya
Mungu awalinde nakila jambo bayaaa pia m ni mtanzania ila niko Kenya tu kikazi but Kissii FM radios n Deejeys
Jamani muendelezooo😢❤❤❤❤
jaman mm nakipaji Cha kuigiza natafuta na fasi ila ongeren
Hongera kka maguru film zako nzuri masshaallah Allah akuzidishie kipaji chako utimize ndoto zako.,.nimependa nkiwa Kenya
Asantee
Kakaa yake halima nahuto tu kodivuwage unabadilishaaa ety kasije kuota mizizz ety😅😅😅😅😅😅😅
Mapenzi yanauma axikuambiem2
Namm nikama halima😂😂😂😂
Zuri sana ila unachelewesha sana nawapenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Good job,,,,,😅😅😅😅😅😅😅😅
Xana 🙏🙏 sema tuongeze speed ya kuzitoa haraka 😅😅
💗💗💗💗
Nikais hamtotoa msiwe kimya sana hakika namis mwendelezo 💞💞💞 MUNGU awafanyie wepesi 🙏
Move nzuri sana ila muache kuimba imba nyimbo
Kazi nzuri sema kuchelewa nayo
❤❤🎉🎉❤❤🎉
❤❤❤😂tuko mbele pamoja kazi nzuri sana
my
Jamni nimecherew ila mm nimeipenda san hasa huyo muha wa nyamoli msalimie
Th❤❤Thenks
Tuna wa big upsna hku Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥💯
Nakubali san mna jua sana
😂😂kijana acha tamaaaa😂😂
❤❤❤❤
Mnachelewa mpaka mnatusahaulisha. Hii inawapunguzia idadi ya wapenzi. Ushauli wa bule tu
Kila baada ya week moja j3 itakua hewan kunachangamoto zilizo nje ya uwezo wetu
Mnachelewesha movie Bana..jikazeni msicheleweshe tena nawapenda sana
Hapo tena tusubil mpk jumamos ijayooo ep11 2tajua ha2jui
Mnachelewesha sana ahead ya jini jaman
Kazi nzuli kabisa big up ❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😅😅🎉kaka halima wanibamba😂😂❤
Nakubali wanangu
Sayumwe ww mbona unanichekesha 😂😂 nahubadilishi hizo nguo
❤❤good job
❤❤❤❤kazi nzuri
Endeleeni na yakumi na moya
Nawapenda bure
Jmn msicheleweshe sn ep 11 please
Kazi nzur sem mnachelew
Kaka yake Halima badilisha nguo basi 😂😂😂
Kazi nzuri ❤
Mwachelewa sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤💯💯💯💯
Mnachelewa alf vipande vinakua vifupi mmhh bado sana jamn
Next episode plz ❤❤❤
mpewe mauaa yenu sasaa
Umeona hapa tutaaza kusubili mpaka tuje tuwaombe ndo mnatoa
Kazi nzuri
my
nawapenda jamani nipeni likes zangu ata kama ni tano tu
We kavu nn nineipata
Akii hadi hamu yakutizima ahadi ya jina inaisha kwasababu wanatukawiza mnoo si haki
Finally mmeangusha Episode 10 twangoja next jamani ❤❤❤❤
eps 11 please\
Mnachelewa xana jameni
Nzuri ila inachelewa unakata tamaa
Aki msicheleweshe ep11tafadhali❤❤❤ twaingoja kw hmu, cjui kw nn mwaichelewesha mnatuboesha aki😢
Kumekucha np hap kutoka omani nawafatiliy San kk halima na mwezako tatu pasu kichwa wallah
Oya we magulu ndo hatuwezi kupa tena mwendelezo epsd 11 yaniii tunasubilia mpaka hamu inaisha
❤
Jamani ep ya 11 itatoka wiki gani
J3
Nashida na halima namba take nilipoteza
nilikua naisubiri❤
❤❤3
Naombeni like zango apo
Tunasubiriya muendelezo munachelewa jamani
Mnachelewesh kutoa jmn mpak wengine tunakata tamaa duuuh muwe mnatuletea hii kazi chapuchapu
Machine kali Sanaa shida moja inachelewa kutoka
We kavu nini
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kaka ake halima ananip rah kwel kwel
Mnajelewa wadau😢
Nilikuwa nafikiria mlibaniwa
dah ila wabong
Maguru next please
😂😂😂😂😂MLEVI HAONI VIZURI IMEBIDI AFIKICHE MACHO
Muvizetu tukitaka kuzifratiria hapa ndomunapo kuja ku tuzi watazamaji wenu mna eda siroo sana bass munge weka hata namba ya sim mtu akitaka kupata muvi kamiri aripie wapi mumtumie asipo taka kuripa anacha sio wote watashindwa kusapoti mm nirikuwa sipendi muvi zakibongo saivi na fratiria mnataka niache Tena kisa vipisi sana
Kila j3 ndugu inakua hewan
Munachelewesha mpk tunasahau
Munachelewesha vipande
nani kaskia ngumi za kila rangi akamkumbuka muheshimiwa Kanumba
Muko vzli jamani ila munatuchewesha washabiki wenu
Na muna chelewa sana
Pongezi zangu ziwa fikiye kwa kazi nzuri muliofanya... Ndio mwisho ao inaendeleya ?
Mbon mnachelew kutow ahad ya jin hiv jamn
Kutoka episode SI kitu rahisi
Wah sometimes let's understand them kutengeneza episode SI kitu rahisi na kama unakubaliana na Mimi gonga likes hpa
Yeah pia alieleza kuna mvua❤❤@@irenepeter9397
Mbona mnachelewa bwana ahadi ya jini noma fanye muwe mnarusha hata vipande 2 kwa wiki has
Mnachelewa xana kutoa paka tunasahu
Djamani mhalakishe .mwendelezo
🎉🎉
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤