Budhagala ndo Msaniii Bora MZIKI WA ASILI KANDA YA ZIWA TANGU ENZ ZA SAID KAROLI PIGA KAZ KIJANA TUNAKUPENDA NA TUKO NYUMA YAKO! ILA STUDIO ITABD UANZE KUTUMIA ZA KISASA, BICON WAMETOSHA WAMEKUTOA MBALI ILA NI MDA KUBORESHA KAZI YAKO KIJANA NA KUJITANGAZA KITAIFA KISHA KIMATAIFA! HD VIDEO HQ NDO KINACHOTAKIWA
Daah kitambo sanaa
nakukubali xan mzee wa kazi
Nakukubali saaaanakaka
npo Zanzibar mpaka huku wanakujua,p1 sana nyanda
Pamoja sana mwanamalonja
mr budagala uko vzr kaka, nazipenda sana nyimbo zako maana zinakumbushaga mbali sana!
Ununue na CD Zake Sasa, Dar sehemu gani?
Good song Mr bhudagala
Uko vzr bro
nitanunua kaka ucjali, sijua lakin kama zinapatikana huku dar
mi napatikana mkoan simiyu lakin shuguli zangu ziko dar pamoja sana broo
Nakubali san kaka b
Napenda nyimbo za asili yetu
tatizo hamzisambazi maeneo yote ya tanzania mnajipendeleo kanda ya ziwa 2 broo, ila ucjali mi nikiibuka huko nitazitafuta hizo cd
Hapo ndo hua nakukubal bro
Wasukumaaa mpoooooooo
Congrats brother .....
Naomba
Nalezunya
Hahahaha.
Usiombe ukutane na hizi mishe utatamani uwe padre 😂
Hahahah
Ule sawa nyanda
umetisha
Budhagala ndo Msaniii Bora MZIKI WA ASILI KANDA YA ZIWA TANGU ENZ ZA SAID KAROLI PIGA KAZ KIJANA TUNAKUPENDA NA TUKO NYUMA YAKO! ILA STUDIO ITABD UANZE KUTUMIA ZA KISASA, BICON WAMETOSHA WAMEKUTOA MBALI ILA NI MDA KUBORESHA KAZI YAKO KIJANA NA KUJITANGAZA KITAIFA KISHA KIMATAIFA! HD VIDEO HQ NDO KINACHOTAKIWA
Namkubali sana
Pamoja Sana kaka
Turaga ngalo oletuwakisha nyanda
Shije
bicon studio inapatikana wapi?
Budagala uko vizuri kalibu kwetu nkinga
ok thanks brother! i wish all the best......!
😢😢😂😂😂❤
tunakuhitaji hku mara
Jj
vzul
Budagala kinee nyanda ulipatikana ee
Pongez sana kaka budagara