Uharibifu wa wanajeshi kutoka Somalia kijijini Ishakani, Lamu
Вставка
- Опубліковано 28 гру 2024
- Kijiji cha Ishakani huko Lamu kilihifadhi wanajeshi zaidi ya 900 kutoka Somalia waliokimbilia humu nchini baada ya mapigano kati ya Wanajeshi wa Jubaland na wale wa Somalia National Army majuma mawili yaliyopita. Wakazi wa kijiji cha Ishakan sasa wanalalamikia uharibifu mkubwa wa miundo msingi kama vile shule na vyoo kando uliotokana na kuhifadhiwa kwa wanajeshi hao eneo hilo. Na kama anavyoarifu Abdulrahman Hassan, wakazi hao sasa pia wanakabiliwa na mlipuko wa maradhi ya Kipindupindu.
The plan ya huyu Ruto ni mbaya sana. Mungu na atulinde, na asambaratishe hiyo mipango..
Uko na shida ya akili?
Amekula Kuhe Huyo
Aden duale
This is very serious for Kenya security as a country
2027 is too far. Lets fix us fix this mess right now.
Hawa tunaowaonyeshea huruma na kuwapa makao ndio baadaye utuvamia sisi wakenya
Angalia nyuma Uganda is kushika
Ao wamengia bila matumaini wape miaka miwili tu wataanza kununua apartment apa Mombasa na Nairobi
Kuna shida wakinunua kama wee hauna pesa nyamaza kaka
Warudiswhe kwao jamaa zetu hawana shukuran
lazy body try ur best uwache laziness
Kwani utaki wa endelea maisha yao mtu hawezi ku kaa pali moja
Nadhani Kenya wanafaa wafwate mfano wa tanzania na Congo, hakuna foreigner kununua chochote, n warent tu lkn wasinunue land....
Nivita Vilitokea Kw Kadari ya mungu Nakama Nikimaisha watu wa kiunga Na Ishakani Wanapata chakula cha misada kutoka ras kemboni Nasahi Wamerudi mwakao kukiwa Na Amani Wala hawana njaa Ila watu waishakani ndio wako hali ngumu wasaidiyeni lakini sio wakiemboni
Hawa sio wangeni ni alshababu
Hawa sio wangeni ni alshababu ngonja munasikia tu
@@janetmugure234ni 😂wapajuni
The mess being done slowly by slowly by duale and ruto...gosh!!!!
For the news piece to be reliable kindly provide video evidence from government agencies or even from locals of the soldiers/ civilians.
Si warudi kwao
Wakenya msipige kelele hizi ni vita vya mara kwa mara leo wao kesho nyinyi na simaanishi kuwa ni kesho kama kesho na maanisha it can take a year or a decade or millennium. The situation of war is not good. Pray for peace🙏🇹🇿
Tuna karibia uchaguzi
@worldtrendingmoments4742 uchaguzi wapi? Ya kenya hadi 2027 na tanzania hadi 2025 mwishoni.. unasema uchaguzi upi?
Yani our country is sinking slowly tu tukionaga tu
These people are bajunis not somali
@@abassadan2541walio ingia si wabajuni, walio wa karibisha ndio wabajuni...
Problem occurs everywhere, we the residents welcomed them and they'll soon return to their homes. What's the problem with you, refugees are all over the world helpless and looking for a place to call home . Yes they'll come with their shortcomings but helping is a must
@@Abdull528 not really, Somalia is safe now warudi kwao, all over the world refugees are being returned to their homes. Kenya right now has no capacity to help others it's time we look out for our own pple first
@@florencezawadi3784 nop 😂. There are bajunis who live in raskamboni and they are the ones to cross . Hiyo pua si yetu .si watu wao waliwakaribisha
Whst do you expect with Somalians in office of DCI & NIC
Ni somali not Somalian. Kenya is home to many somalis and we have huge land here .sisi ni Modo wa nyumba pia. Read a book mara kwa mara
@@حسن-بشير-101 What huge land are you talking about?are you insane!
Inaitwa North Eastern . Fanya hivi enda google maps check size a wajir pekee . Kenya sio yenu pekee ni ya sisi sote .
@@حسن-بشير-101 Kenya is for kenyans not everyone our land size doesn't matter we can decide to leave it bare as it is , Somalis are immigrants and can be removed at any given time
@@حسن-بشير-101watu wakae makwao yawa, Kenya tuna shida zetu tayar, serikali yetu imeoza upande huo, sijaona refugees tz lkn Kenya wanakaribishwa any how, baadae they attack you na huo wema wenu....
jeshi ya kenya iko kwao pia🎉
Dying daily under shabab hands
nOW YOULL START HEARING CASES OF ALSHABAA IN THE COUNTRY....HOW DID THIS HAPPEN AND WE DO HAVE OUR OFFICERS IN THOSE LOCATION??????
Huyu mtu ruto nn mbaya n yeye
Shida ni wewe!
😅 who is the cs and prezo
Murkomen
Wakuje Kenya we are peaceful muache ujinga
Mwaishi wapi nyinyi watu huko...?? Njooni Mombasa mule Raha nyinyi
Na wakikakaa huko lamu alafu baadaye wawageuke kwa wema wenu?
Na kenya ikivamiwa na vita kwasababu yao ama watakaa huku kenya kwa muda mgani?
Wema wetu ndio unaotutongea Lamu
Hawa ni wapajuni
@@abassadan2541kwa hio wako ulayaa??? Si wako lamu visiwani...
Zamani wasomali mashifta walivamia na kuwavurusha maeneo yenu leo hii mnakaribisha wasomali na kuwapa hifadhi,,😂😂
nashangaa
@@moliosumba8190😂these are pajunis not somali
😂Hawa ni wapajuni si wasomali
Sema tena, mana wanajisahulisha, walikuwa wakivua watu mpka nguo walizo vaa kwa mabasi, Sai kuntulia wanawakaribisha tena...
@@abassadan2541waliongia si wabajuni...
Wueh
Wajinga sisi 😂
weh bajuni pia sisi tumewakaribisha kismayu 😂😂
@@ahmedfeleb4877😂uwaambie ni wapajuni
Somalia ni laana kwa Kenya. Hakuna kitu kizuri kwetu kutoka kwao Warudi kwao haraka!.
We interfere with people's affairs now it's is upon us
Yhis is the people ruto wants to use 2027 for his benefits
Somalia kukitulia watakubali twende tuishi huko
Am Somali sii thani if they'll even accept me as a Kenyan wachana na wewe 😂
Never
Uliza tena mpenzi, maana vya kera....
Watajaribu kuchukua North Eastern
@@abdiahaji5653😂😂😂😂
Welcome this is your second home. Soon you'll go home safe.
Boarding boats without safety jackets. 🤡🤡
😂😂
People are tired with life
ukapokonya siraha aje??raia??😂😂
Jaba😂
Pajuni
@maxipajunimus-7-m3j
😂ni pajuni
Apo sasa amenichekesha 😂
Huu ni upuzi
Stop crying these pajunis not somalis
@@abassadan2541mbona unawatetea kila mahali are you one of them???
@@florencezawadi3784 these are bajunis and they live lamu and raskamboni ya somalia 🇸🇴.are you blind or unakataa watu wenu
Peleka hao kakuma refugee camp
Ata izo refugee camp zifumgwe,wasomali ni watu wa vita tupu,Eastleigh ni mapigano tupu na kudungana na vitu, terrorist Hawa watu