Wabunge waomba msamaha kwa kupitisha mswada wa fedha
Вставка
- Опубліковано 2 жов 2024
- Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anawataka vijana ambao wamegadhabishwa na hatua ya wabunge kupitisha mswada tata wa fedha kuwasamehe na kuwaruhusu kutekeleza majukumu yao. Kauli ya naibu rais inajiri baada ya baadhi ya wabunge kutatizwa na wapiga kura wao katika hafla mbalimbali na kuwalazimu wengine kutokwenda nyumbani huku wakiomba msamaha.
Endeni mwanzo mfufue walioulia alafu muombe msamaha.Nyinyi bado ni wauwaji na hatujasahau
Kutoka 207 Hadi vita vya Gen z
This country must be fixed, kila mtu asalamiwe, lazima
Tafadhali naomba wakenya, never ever! Ever! allow these stupid politicians to come n talk to u!! May the spirit and blood of the young guys that were killed coz of just asking to be heard snc they were hungry haunt all these politicians and their families.. May they never have peace!!
😢😢😢😢😢
The blood of our young people cries out to God like the blood of Abel, and this is what The LORD says;
It is mine to avenge; I will repay. In due time their foot will slip; their day of disaster is near and their doom rushes upon them." Deutronomy 32.:35.
True
True
Wamalize waende..no apology.
I agree 💯 with you, 2027 we do the necessary, but hii story ya kuresign itatuweka mahali mbaya kama taifa
Walifanya watoto wetu kuliwa 😢😢
@@lucymwai7645 it's true dear, they have done wrong to the nation, but let's calm down for the sake of young souls and we sent them home 2027
😂😂😂😂😂😂😂
They should leave the office that's the only way watoke kwa izo offisi atutaki watu waku bribiwa
We're no longer stupid!to hell with this government!...they knew what they were doing!....
They should first and urgently return the money they greedily enriched themselves with.
This is the condition for partial forgiveness, otherwise watoto wetu wataendelea kuwasalimia
😂😂😂😂😂😂
Twawangoja huku mashinani tuwasalmie
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Salamu alheikum
Hallelujah
Hawa ni mangaa , wakuje ground watusalimie , lazima tuwarekebishe , chuma chao ki motoni , never go against ur boss adhabu ya msaliti ni
Forgive them ONLY if they bring back to life all the youth who died because of them. Had they listened to you, these youths wouldn't have died.
The same guys who later on voted for KDF to be deployed on the streets....smh
Watoto wetu mwenye Alikufa, Mungu iwekewe Roho zao pahali pema peponi. Walikufa kama Babu zao wa Freedom fighters. We salute them. Even if we're not okay. Nyinyi politicians mukijua vile roho zetu ziko na mchunguu.
Lazima wasalimiwe wapate funzo
Na wale mmeua nayo tutamusamehe aje sasa malizeni muende
Genz power 💪💪🔥
Ni salamu hakuna kitu ingine
Gachagwa waache hao wanaviburi waendw kabisa
Pia yeye usimfiche
It's too late for them.
Msamaha wa nini?
Waishi Nairobi .
No more dirty games😅😅😮
They did not listen to their constituents! They have never listened. They should step down!
Lazima Emmanuel Wangwe, Ikana na Aseka wasalimiwe😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hapo sawa kiongos
Unasahau Malulu Injendi😂😂
@@flilechi Ambieni MP wa Lurambi Bishop Khamala Niko na KDF yake 💪💓💓💓
@@wafulacollins6010 Hawa ndo watu tutamulika 2027... Aah Wangwe kiboko yake alikuwa Hayati Hamisi Muganda
Voters are not foolish no one needs you right apologies .. The ship has already sank poleni sana
Mtatusikiza vizuri 2027
😅😅😅 let them stay in hotels
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
THE BIG QUESTION IS, WHOM DO THEY REPRESENT IN PARLIAMENT? KENYANS DONT BE LIED TO! OUR COUNTRY IS ROTTEN IN THE HANDS OF THESE LEADERS! A CHAMELEON REMAINS A CHAMELEON
No apology
gachagua should go home with his boss he keeps annoying us by singing about him and he massacred women girls children in githurai hiding bodies to hide evidence we want justice women in the market were not at any maadamano duale must go to icc
No apologies they failed us big time.They can't be forgiven at all costs.gikaris awache conmanship
Hatutaki waende nyumbani na raisi wao
They should resigh 🙄
Hawa ni mangaa , wakuje ground watusaimie
Asente Kwa kutuonyesha Hawa ni km tulikuwa tumewasahau,we gonna deal with them very bad
😂😂😂😂😂🎉
😂😂😂
Msamaha n mbinguni
Hatuwezi wasamehee coz walifanya watoto wetu wauliwe. Our Hearts are bleeding 😭😭😭😭😭 Munaua Kizaazi chetu. Manashughulikia tu Matumbo zenyu.
😂😂,ameharibu kabisaa.
Hatuezi sahau wale watu waliuawa kama kuku our fellow gen Z
Hata wewe gachagua hakuna mtu atakupigia kura
Ombeni Mungu msamaha, yetu imeungua.
Sisi tuko site lazima mtii.
Watoto waliokufa
watu wazima wasamehewe na nani
Hawa watu hata hawana aibu
😂😂😂Kenya ni filamu
Wameaza kuchora cartoon
Kumbe akili zenu hazifanyi kazi hadi viboko?
Ha😂😂😂
Na kama atungetoka tungefuckiwa na hiyo financial bill yenu
Ask those who get a f***. They enjoy immensely. Be decent bro.
Kenya will change now
Reverse psychology
No apology we want wamalize waende will never forget
You had your say, let us have our way. We reject you in totality. You have clearly proven to us that we don't matter cos of cheap handouts. Tutawasalimia one by one.
Release all abducted young people you have taken.
Hakuna msamaha , mpaka kila kitu kisawazishwe!
Every decision has a consequence wamalize waende
Rigathi asking Kenyans to be fair, shame on you, so many innocent soul were murdered like dogs
We can't forgive Since tumbo yenu do inatamaa,,, dustbin
They should not be apologizing but explaining to the people why they voted yes.This a country apologizing make me feel more disgusted than ever!
hawa hawarudi hatuwataki
Wafanye kazi ama waendelee na wizi? YOU ARE ALL FIRED 🔥!
Sisi sio wajinga...we can see through the lies
Lazima tusalimiane walai
Let them go to the parliament and make a vote of no confidence to Batman then we will think to forgive them after that
hakuna msamaha hapo, ni kujifanya tu, tupatane mashinani
Lazima wafunzwe adabu na jinsi ya kuheshimu wananchi waliowapa kazi sio kufurahisha wakubwa wao ambao hawana haja na wakenya
When Trust is Broken Sorry Means Nothing
Hypocrisy
Fool me once, shame on me. Fool me twice, shame on YOU
Too late for them , they shall face the wrath !!!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Majuto Ni Mjuku...
😂😂😂😂wameogopa salamu TU!!!😂
Nani alimfanya huyu Sharehoder sanitizer.He is also our problem.
Bado ruwaida obo watu walamu muache kulala gen_z no way for another chance
Too little too late..innocent lives were lost! An apology won’t do!
Hao wabunge waede kabisa..
Kwani hawakuwa wanajua wanamaliza wakenya..
Wakakae statehouse
Gen.z.oyee 💪💪💪
They should just resign and go home.. who are they representing in parliament ? .. hii kuburi yao iishe..
Hawa watu hatuwezi kuwasamehea. Kuwasamehea ni kuresign kwao
They did not vote "here and there," they did vote in parliament; I hear it's called August house or something
Youths tunajuwa ni Game plan 🏃🏃🏼♀️
wasamehewe nini ,
Saitan
Lazima wapewe Hi
WE WILL NEVER FORGET !!!
Lazima wasalimiwe. There is nothing like forgiving those fools.
Hakuna cha makundi tayari wameshasema wanacho taka kuteua wawakilishi nikutafuta kumaliza watetezi wa wanyonge kabisa.
Meeting at Nyayo Stadium with GEN Zs and the 5th Regime accompanied with all MPs who voted YES. Follow the GEN Zs success strategies😂
Wambunge wanaomba musamaha wafufue vinjana waliopigwa risasi la sivyo waache kukijeli wakenya
We demand that the parliament is dissolved then you can be able to seek forgiveness
No No No,You Recently voted for KDF To do the operation, Luckily Our Armed forces are such a discipline and humane force.Gen Z kindly Visit All of them
Akuna msamaha waende mafisi wao
Warudishie ruto Hella zake !wasaliti wao!wapy makilap mp wa baringo ?
Akuna musamaha hapo vile walilipwa 2m kwakila mmoja mbona hawakukataa hizo pesa waende wawalipie wale wenye mahandamano ili wa ffect kenyatta hospital bill , hizo ni pesa za uma nizatumika vibaya . Gez shikilie tu hapo hapo
HUYO GASAGWA PIA NI HAKUNA KITU ANAFAA KUTUAMBIA MKORA MKUBWA PRETENDER. HATA ILE ALIKYA ANAJIFANYA ETI WAMEKOSANA NA BOSS WAKE NDIE ATUINGIZE BOX , UKWELI WA MAMBO NI KWAMBA ENTIRELY KK REGIME ARE THE SAME...
Refund the sh2, 000,000 before we accept your apology, to pay for the jss teachers. Stop goggling with our, lives.
Hakuna msamaha lazima tumasalimie kuja nyumbani tutajua venye iko na Genz Z izo matumbo zenu mlipeka kwa president kama yeye ndiye alikuchangua mkasahau ya kwamba raia ndio waliwasidia ukafika apo so kuwa tayari kusalamiwa na Genz Z
Let the not be allowed in their constituency...Waende wakae Kwa Zakayo sugoi..
Hiyo pole tell your wife children and sidechicks coz come 2027 no more high table. Karma is warming up
They didn't listen to the people in the first place. Pride was too high, they thought power belonged to them. It's sickening to vote for someone to represent you but they ignore you and go ahead and do what favours them as an individuals. Hapa hakuna leaders, tumbocrats too. Bure kabisa
Shauri yaoo
A bunch of thieves. Hakuna nafasi watapewa. Ata wewe mwongo kama boss wako tu. Wote nyumbani. Gen. Zs - stay alert. Don’t give them peace.
Shida ni ata apology zao ni uwongo tupu nextweek back to default settings hatutaki. RecallyourMP
It is too little and too late. The damage has already been done. A tragic number of young lives have been lost due to the foolishness, arrogance, and obstinacy displayed by our stupid MPs. Shame on you, we will not forgive you.
MPs terms should be reduced to 3 years. Warudi waombe kura wajue wanafanyia wananchi kazi sio president!!
The problem is expenditure, most share not on productive projects and expect better terms of trade?
Leave alone that corruption! Really kills us
Instead of renovating statehouse, ruto should build extra rooms for them and their families, they'll be safe there