Billnass - Tatizo (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • #Billnass #Tatizo #SlideDigital
    (C) Nenga
    Billnass Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/billnass
    Written & Performed by Billnass & Ril Vin
    For Booking : billnass16@gmail.com
    Contact: +255 713 84 10 47 or +255 782 84 10 47
    Follow Billnass on:
    / billnass
    / bill_nass
    . BillnassTZ
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 10 тис.

  • @davidmpembela8884
    @davidmpembela8884 3 роки тому +15

    Nandy kafanya tunasikiliza ngoma kali sanaaa💔💔💔

  • @andrewmalekela3577
    @andrewmalekela3577 11 місяців тому +5

    Dude fulani la kinyamwezi 🔥🔥🔥.....
    Sijui tatizo inakuwaga nn ngoma zetu hazipenyii mbali 🚀🚀
    🇹🇿
    Dope track

  • @dogobk7796
    @dogobk7796 3 роки тому +23

    Kam umeirudia mal 3 km mim nipen like zen , tukisem hit song ndo hii respect xn nenga hujawai nianguxh cku zot nakubal

  • @respikius3685
    @respikius3685 10 місяців тому +7

    Kuna demu aliwau kunifanyia huu upuuzi ila Leo kwavile anaon Nina ndinga yangu et ananipa hai hai zake za kinafik nishaa mkunjia looh sipo uko Tena kupasha vipolo

  • @stephenmungure7072
    @stephenmungure7072 3 роки тому +17

    Nitakuwa mchoyo wa Fadhili nisiposema hii ngoma ni kali , Billnass tulikumiss kwenye hizi flow sana hizi ndo njia tunakuelewa

  • @yasiniisere3482
    @yasiniisere3482 3 роки тому +14

    Umeturudisha kwenye good music nenga this is real you kumbe kuimba ngoma kali ni mpaka uwe na stress bac kama vp kula mjani ili uwe na hisia za ngoma kali tu daily utuletee maufundi yote we love your music Ariff

  • @zabiburamadhani354
    @zabiburamadhani354 3 роки тому +10

    Nyimbo nzuri mnoooooo nenga pambana wanawake atuliziki ulimvumilia ila leo anaona huna maana

  • @jimmymwachiru3377
    @jimmymwachiru3377 Рік тому +8

    wanaume tukiachwa tupambane tutafute hela ngoma kali

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 3 роки тому +14

    Hii Ngoma mbona nimekuelewa...Kazi nzuri Nenga...respect from 🇶🇦🇶🇦

  • @patrickselengia2115
    @patrickselengia2115 3 роки тому +38

    Wangap tumerudia kuangalia zaidi ya 10

  • @emmanuelboniphace5845
    @emmanuelboniphace5845 3 роки тому +15

    Mapenzi ya kisanii bongo hamyawezi, muachieni beyonce na jayz
    Mtaimbana sana
    Ila ngoma kali, big up nenga

  • @ramadhanyusuph7633
    @ramadhanyusuph7633 3 роки тому +3

    Ingekuwepo kuna tuzo za BITI HILI BITI LINGEBEBA TUZI BITI KALI SANA NI 🔥🔥🔥🔥

  • @emmanuelrjohn6355
    @emmanuelrjohn6355 3 роки тому +37

    Hii nyimbo ni nzuri sana jaman,nyimbo kama hizi hunipa hamasa yakuzidi kupambana na maisha maana madada zetu wasikuizi wanaxhoangalia ni pesa tuu hivyo ni Bora kuwa napesa kwanza afu ndo uanzishe mahusiano bila hivyo pressure itakuhusu. Nyimbo hii naifanananisha na REASON WITH ME ya RUDE BOY.
    Kweli AFRICA twafanana maisha.
    Big up sana kaKa. Nimeipokea hii kazi Kwa roho moja.

  • @masamabinhuse4599
    @masamabinhuse4599 3 роки тому +8

    Ngoma kali 1000% toka jana ndo nyimbo yngu nshairudia mara 200

  • @geraldoluoch9479
    @geraldoluoch9479 3 роки тому +18

    Enyewe wanaume twaumia sana acha tutafute hela🇰🇪 in the building

  • @adamkunasa2540
    @adamkunasa2540 3 роки тому +4

    We jamaa unajua atare sema wabongo hatujuagi kumwmbia mtu ukweli akiwa hai tunasubiri afe ndo tuseme ila mim kwaupandewangu nimramia kusema na pia nimuumini wa mziki mzuri

  • @corneljoseph4698
    @corneljoseph4698 3 роки тому +8

    Nakumbukaa siku una mpa petee tena unapiga na magoti ilaa hawa watt wa kikee bn shenzii sanaaa big up bro tafutaa wa sizee yako kama huyo anajikutaa sukariii 💪💪💪

    • @yunaisamir2099
      @yunaisamir2099 3 роки тому

      Me nilijua tu we et mama ake anaulizwa una mshaurije binti yako mbele ya camera anajibu na mshauri asiolew kwanza kwel jaman mama kama mama

  • @giftedjoseph2516
    @giftedjoseph2516 3 роки тому +10

    Tatizooo ni kwambaa nimeanza na ukurasaa mpyaaa🔥

  • @exauddavid7448
    @exauddavid7448 3 роки тому +26

    Yanii ni 🔥🔥🔥 kama umeirudiya mara mbili ka mm like hapa

  • @samuelakunda48
    @samuelakunda48 3 роки тому +3

    Binadamu wengine sijui wana roho zipi...Achana naye mdangaji yule...Uku 🇰🇪 tunakupenda bro

    • @aishambogo8947
      @aishambogo8947 3 роки тому

      Wapi Kenya Sasa Nyie ndio mtamtoa loho na pumzi HAAAAA NYINYI

  • @makelelebosco567
    @makelelebosco567 3 роки тому +8

    Tatzo n kwambaaaa...nimeanza ukurasa mpya na reason n kwambaaaa NANDY!!!!

  • @anthonymwambepo7441
    @anthonymwambepo7441 3 роки тому +13

    Yani Wewe jamaa mimi ndio mama nakupendaga tu ujawai kuongopa🙌🙌#Mafionso

  • @roseanankwabi6743
    @roseanankwabi6743 3 роки тому +7

    Naona leo umeamua kuparusha mtaa uliotukukuza kinondon Moscow salute Homie

  • @zimudaniel4001
    @zimudaniel4001 3 роки тому +4

    Ww na jux mnaimba nyimbo za maisha ya watu big up mamen bill nenga

  • @rahmabilali2639
    @rahmabilali2639 3 роки тому +8

    hii ngoma ukiisikiliza kwa umaki bonge moja nyimbo billinass uko vzr jenifa tulikumic san

  • @youngsimbawcb1814
    @youngsimbawcb1814 3 роки тому +4

    Daaaaah!!!!! Mbona Kama nyimbo imenigusa Mimi kabisaaaa...... Daaaaah!!!!!

  • @fibonaccimwadime9479
    @fibonaccimwadime9479 3 роки тому +15

    The level of maturity in this song is amazing,#mwanangu nengaaa umekinukisha Kaka🔥🔥🔥🔥

  • @godihkibe5728
    @godihkibe5728 3 роки тому +4

    Ukaniacha ukaeda na masonko,,,,hataliiiii from 254 nengaaa weeee nomaaaaa watajirudixa tu wenyewe tulia

  • @cleverboy9409
    @cleverboy9409 3 роки тому +22

    Huyu jamaa anajua anchokifanya.kama umetambua hilo gonga like hapa👍👍👍

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 3 роки тому +4

    Hii ngoma ni 💥💥💥 hakuna wakubisha na huyu ndio Nenga tunaye mjua. Big up sana mdogowangu

  • @saidikwelikabisamwopola7499
    @saidikwelikabisamwopola7499 3 роки тому +4

    Tatizo mapenzi yalikuzidi fanya kazi unaweza bro wanawake tuishi nao tu lkn ni tatizo pole sana ujachelewa

  • @mustaphmakunganya5194
    @mustaphmakunganya5194 3 роки тому +3

    Sijawah kufikili kama nenga utaimba nyimbo tamu nzuri kama hii ina kila aina ya mafunzo kwa madanga wa sasa honger sana big up sanaa

  • @Self_ish-l6i
    @Self_ish-l6i 3 роки тому +8

    hujawai angusha mashabiki wako ...this is a great hit io instrumental💯

  • @emmakipalula9097
    @emmakipalula9097 3 роки тому +4

    Ngoma Kali balaaa....for the first time nimejua kijana sio wa kawaida huyu.....

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 роки тому +5

    Bonge moja la ngoma nenga umetisha sana 🙌🙌🙌.

  • @innocentmushi3036
    @innocentmushi3036 3 роки тому +4

    Ngoma kali sanaa, Billnass anatakiwa hii ngoma aifanyie promo nje ya tz. Aende Kenya, Rwanda na Uganda.

  • @stupidlyrapper8859
    @stupidlyrapper8859 2 роки тому +4

    Kaniacha kwenye msoto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🏹umeua kinoma hii NGOMA sichoki kuicheki

  • @benjaminsemwenda3152
    @benjaminsemwenda3152 3 роки тому +9

    Nenga Kama Nenga Mafioso Tangu Nakujua Haujawahi Kutoa Boko Keep It Up Mzee Baba 🔥

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 3 роки тому +7

    Nani kaja kusikiliza hi ngoma kali baada ya kumwona NENGA NA NANDY KWENYE JUKWAA MOJA KAMA MM tujuane na likes 🇶🇦.

  • @naumydan9817
    @naumydan9817 3 роки тому +33

    Ngoma tamu 😘😘i see Tatizo kweli Kenya twakupenda Nenga😍😍😍

    • @jamesfrank4204
      @jamesfrank4204 3 роки тому +1

      🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 3 роки тому

      🔥🔥🔥🔥

  • @emmashantax2816
    @emmashantax2816 3 роки тому +15

    #billnas unajua japo kuna keng kasema
    Et umeimba kam taarabu🙆‍♂️ila kiukwel bong la song🔥🔥🔥 like zake nenga 👇🏻

  • @ramaahnaize0190
    @ramaahnaize0190 3 роки тому +13

    Mafiosoooooooooooooooooo nakuita brothr 🙏

  • @magrethraymond1162
    @magrethraymond1162 3 роки тому +10

    Wewe nenga una balaa la peke yako haki kama upo na mm like mingi💪

  • @bayoubsmart6854
    @bayoubsmart6854 3 роки тому +2

    Pole sana mtoto mnzuri kama uyo unafikili angekubali udumu nae bila pesa lakini hongera kwakulejea ufaham wako hivyo basi pambana utatoka achana mastaa wanawake wakibongo machangudoa hao wanajiuza wanasamini pesa kuliko untu wanakazi yakutoa toa kwawanaume wenye pesa utapataje mapenzi ya kweli wezio wanawaza pesa sio mapenzi

  • @nabumsekwa1797
    @nabumsekwa1797 3 роки тому +3

    Nenga nakukubali Sana ushauli wangu km kweli umeachana na nandi komaa usirudi nyum, km ni Kiki tu ili wimbo uwende baridi tu, ngoma Kali, tunapambana tukupandishe

  • @thabeamiage5376
    @thabeamiage5376 3 роки тому +4

    Much love to you bilnas
    Kaza buti ucrudi nyuma ili heshima ishukue mkondo wake

  • @dadyshunaydah9421
    @dadyshunaydah9421 3 роки тому +50

    Nenga New Chapter Kama Umemuona Jennifer Jua Kua Tuko Pamoja Kama SAMAKI na MAJI 'NENGAA'.,✍📖🎙🎶🎷🎧

  • @MohammedyJuma-wf3jc
    @MohammedyJuma-wf3jc 9 місяців тому +3

    Kweli umaskini ni tatzo🎉🎉

    • @barakayusuph4617
      @barakayusuph4617 7 місяців тому

      aissee umasikini unadhalilisha mnoo😢

    • @Haaland406
      @Haaland406 4 місяці тому

      Sio poa umasikini utadharaurka sana

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 3 роки тому +4

    😢😢Imenigusa hii inaujumbe mzuri sana mm ndomana nilishaga kufa ganzi ya moyo nataka iendelee tu ganzi isiishe

  • @tomdackis7281
    @tomdackis7281 3 роки тому +35

    Sasa huyu ndo Nenga wa miaka miwili nyuma🔥na hizi ndo swagg zake✊🏾kazaa bro☝🏾

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 3 роки тому +10

    wale wote walio dislike tumeshawajuwa mmetokea kwa yule wa kono la mavu 😕😎 kwendeni zenu ngoma kali mno hii #Tatizo billnenga 🔥

  • @SualeheDali
    @SualeheDali 2 місяці тому +2

    Tukiwa 2024❤❤❤

  • @hamisreegan3738
    @hamisreegan3738 3 роки тому +4

    Mafioosooh ujawahi kuniangusha kila ngoma ni jiwe tangu ligi ndogo

  • @petroerinest6962
    @petroerinest6962 3 роки тому +4

    Huyu ndio nenga sasa achana na yule nenga wa do me!broo welcomeback to the reality music

  • @daudybwanga7977
    @daudybwanga7977 3 роки тому +4

    Hii ni ngoma ya kwanza kuisikiliza siku nzima ngoma kali sana broo

  • @EliudiMsalale
    @EliudiMsalale 6 місяців тому +1

    Wapi bb levo nakupenda sana

  • @erickkilasi6182
    @erickkilasi6182 Рік тому +3

    Producer wa hii ngoma alitisha sana kwenye hio instrumental👐

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 3 роки тому +10

    I love you nenga no matter how .. nimeumia kuachana na nandy daaaa 😓😓

  • @ylonlinetv3292
    @ylonlinetv3292 3 роки тому +76

    We are always up pitisha like hapa kam we ni team nenga

  • @farizanaseleman9823
    @farizanaseleman9823 3 роки тому +1

    Tena huku Mombasa tunakupenda kinoma Mimi na my best wangu bably✅✅✅✅💯💯💯💯 billnas

  • @mattanofficemusc3535
    @mattanofficemusc3535 3 роки тому +114

    Tatizo humu nacoment lakin like hamnipi🙈🙈🙈 tatizo hilooo 🤣🤣🤣

  • @Swinta-h6b
    @Swinta-h6b 3 роки тому +4

    Shemiji yangu kipenzi wa dadangu African princess umeua

  • @mamychuu7994
    @mamychuu7994 3 роки тому +4

    Keep it bro mungu anakuon na atakufikisha inshallah

  • @merinaemmanuel3593
    @merinaemmanuel3593 3 роки тому +2

    Bonge la song, jtaidin muwe mnatafuta wanawake wenye hofu ya Mungu ili kama umeimba ukweli, muepushe matatizo.

  • @efraimobadia4944
    @efraimobadia4944 3 роки тому +5

    Wee Nandy ww haya mashair huyasikii au!!!!....

  • @edgarkimati2690
    @edgarkimati2690 3 роки тому +4

    Tatzo imekuwa Tatzoo.. ukurasa mpYa.. punch line

  • @yusuphdaudi7293
    @yusuphdaudi7293 3 роки тому +4

    Bill nenga upo vzr my bro bonge la ngoma unajuwa sana kuimba

  • @Oxluser140
    @Oxluser140 2 роки тому +3

    Baada yakuwaona pamoja nimelejea hii ngoma 🔥🔥🔥✌️

  • @anicetmpawenayo3046
    @anicetmpawenayo3046 3 роки тому +34

    Aise mwamba katishaa kinomanoma wale ambao mnaanza new page tujuwane basi

  • @shebyhamza1301
    @shebyhamza1301 3 роки тому +35

    Mwanangu umeuwa kinomaaaaa aya twende tukaanze ukurasa mpya na like nangu

  • @mebtv67
    @mebtv67 3 роки тому +20

    From 254 Mombasa kubwa sanaaa 🅱️🔥🔥🔥

    • @Donsmiletz
      @Donsmiletz 3 роки тому

      ua-cam.com/video/R2Ge-qzZzLs/v-deo.html

  • @lydiakatasi13
    @lydiakatasi13 2 роки тому +2

    Tatizooo.nimeanza na ukurasa mpya bonge la..,mbona imejificha hii nyimbo❤❤❤❤

  • @alikhalifa799
    @alikhalifa799 3 роки тому +4

    Sanaah tuuh...Billnass✌

  • @mrbabadtz9074
    @mrbabadtz9074 2 роки тому +7

    Billnass mkali wa hit

  • @Chugacomedy
    @Chugacomedy 3 роки тому +206

    Tuna kubali Ngomma kaliii sana

  • @odingamawe
    @odingamawe Рік тому +2

    No 1 ❤ kama imetoka leo every day 🇹🇿🌍

  • @hammyrashidi5820
    @hammyrashidi5820 2 роки тому +7

    Baba harusi kama baba harusi

  • @reginaobasco7933
    @reginaobasco7933 3 роки тому +3

    🔥🔥sinaneno laaha tupu💃💃ila napenda Sana goma Kali🎶

  • @farajiwamu9396
    @farajiwamu9396 3 роки тому +8

    KILA NGOMA YAKE INAGUSA MAISHA🙌🏽🙌🏽

  • @dilungamzaramo
    @dilungamzaramo 3 роки тому +2

    Hii ngoma itakua moto kwa mda wote maana matatizo kila siku yapo,,,
    TATIZO

  • @ramadhanabdallah5526
    @ramadhanabdallah5526 2 роки тому +4

    Hii ngoma imenigusa sana...daaah

  • @Kenjihkaipoh
    @Kenjihkaipoh 3 роки тому +27

    Wale wako hapa kwasabu King Kiba alipost wimbo huu Instagram👍👍

  • @barakambwana6145
    @barakambwana6145 3 роки тому +5

    NENGA MBONA KAMA MOVIE VILE
    EBU NIRUDIE TENA NA TENA KULA BEAT, VOCAL, MESSEGE, MELODY and all staff like that..
    UMEUA

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 3 роки тому +2

    Nakukubali Sana Nengaaaaa 🔥🔥🔥🔥💃💃💃🥰🥰🥰

  • @felixthuranira7482
    @felixthuranira7482 3 роки тому +5

    Team BILLNASS

  • @giftedjoseph2516
    @giftedjoseph2516 3 роки тому +10

    We missed you mzee wa maversee🔥

  • @footballbestmoments1931
    @footballbestmoments1931 3 роки тому +3

    Mamboo tunayoyapitia mtaani kila siku

  • @charlzmangera485
    @charlzmangera485 3 роки тому +1

    Duh,!!!! Gud song nenga unawezaaa 👏👏👏👏👏👏👏bt nandy mbona mnaendana tuuuu fanyeni tu mrudiane

  • @michaelalbert5887
    @michaelalbert5887 3 роки тому +6

    Ngoma inamzuka wak🔥🔥ewa kian

  • @saidibhinda6785
    @saidibhinda6785 3 роки тому +4

    #Nenga unaimbia mitaa boy.. Unaimba maisha yangu 😓😪

  • @mettybee6152
    @mettybee6152 3 роки тому +4

    Kaka umeua kwa hili dude
    Much love from kenya

  • @frankbenard4377
    @frankbenard4377 3 роки тому +2

    Daaahhh!!! Wengne tunachomwa kwa petroleum sio kwa Corona tena kwel kifo hskichagui hata mapenzi. Yanau

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 3 роки тому +3

    ilipaswa kuitwa ukurasa ama ukurasa mpya bonge la ngoma aseee

  • @mashoplacky5582
    @mashoplacky5582 2 роки тому +3

    Billnass Kaka Unajua sana Kazi Nzuri More Bless more Heat

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 3 роки тому +5

    Jamani nimesoma nenga nyingi nikawa najiuliza nenga ndo nini....duuu kumbe bill nenga hahahaaa walokuwa hawajaelewa kama mm tu like

  • @EliudiMsalale
    @EliudiMsalale 7 місяців тому +1

    Naupenda wimbo sana

  • @mauadavido4757
    @mauadavido4757 3 роки тому +4

    Ngomaaa kali saaaaana 💯💯💯

  • @nleedon2047
    @nleedon2047 3 роки тому +4

    Daah sema song Kali sana mwanangu bill keep movin achana na huyoo ms**n fanya miziki mnene

    • @ephraziaabas8030
      @ephraziaabas8030 3 роки тому

      Jipatie kipato kwa kudownload application hii!! Tumia simu yako na bando lako likufaidishe
      affiliate.iqbroker.com/redir/?aff=154228

  • @fettyfetty878
    @fettyfetty878 3 роки тому +13

    HUYU BINTI ALIOIGIZA KAPATIA Sana Naombeni Likes Zake

  • @rastonmwakifuna8583
    @rastonmwakifuna8583 3 роки тому

    Ngoma Kali saaaaana, tatizoooo tumeshawahi kukimbiwaaa..... Mkwanjaaa fubaaaaa hawajali hisiaaaa bila notiiii