Mama usiogope kukopa hata Mwenyezi Mungu anakopa saana. Imeandikwa kumpa masikini ni kumkopesha Mwenyezi Mungu. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, kukopa ni maarifa, Deni halimfungi mtu ......
Yaani lisu ni kweli Hawa ccm wametupanda kichwani kama sisi tunafananishwa na mibuyu tutawaonesha kwenye masanduku ya kura awamu hii hatutaibiwa kama miaka iliyopita
Yaani kama Shelui hamjaelewa hii shule ya bure toka kwa Bw. Lissu, nyinyi basi tena 🙌
Mama usiogope kukopa hata Mwenyezi Mungu anakopa saana. Imeandikwa kumpa masikini ni kumkopesha Mwenyezi Mungu. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, kukopa ni maarifa, Deni halimfungi mtu ......
Asante sana kamanda mpaka tuyatoe hayo mashetani yanafanya anasa kwa pesa za masikin
✌️👊👍.
Pamoja lissu
Yaani lisu ni kweli Hawa ccm wametupanda kichwani kama sisi tunafananishwa na mibuyu tutawaonesha kwenye masanduku ya kura awamu hii hatutaibiwa kama miaka iliyopita
Kwa mara ya kwanza leo Lisu ameongea bila kumtaja Magufuri labda ameanza kuwaelewa watanzania.
Onyesha watu mpiga camera
Hatuoni wahudhuriaji