WABUNGE MMETENDA UUNGWANA NA USTARABU MKUBWA SANA KWA RAIS SAMIA- DKT.BITEKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • TUTAENDA KUISIMAMIA MIPANGO HII ILI MATOKEO YAPATIKANE
    “Wabunge mmetenda uungwana mkubwa sana kwa mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusukuma mipango ya serikali kwaajili ya kuwahudumia wananchi lakini pia Bunge hili limethibitisha uungwana na ustarabu na leo tunakuunga mkono, tunakutia moyo, tunakuombea, tunakutakia mema na matashi yetu kwa Rais wetu ni kuona tanzania inaendelea” Mhe. Dkt. Doto Biteko

КОМЕНТАРІ •