Bongo la Ngoma kali Sana mistari Yako inasomeka huna Baya fuvu hujawaii kutuangusha Sisi ma fans zako ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥💥💥🌟🌟🌟 ya leo kali 🎉🎉
Bonafsi kwanzia leo ney ndo msanii bora wakiume wa hip hop kuwai kutokea haijarishi anafata misingi au laa maana hip hop ni maisha halisi na rap nikufikisha tu ujumbe
oya team shemtoi tumekuja na familia nzima ya hamdala kiuno tuweke likes kwa fuvu chap then tunarud gerezani kwa afande kwicho 🤗🤗🤗
😂😂😂🙌
Hahaahaha
Duh
Rud Kwa fuvu
@@ShadrackElimu-r3l wewe mzee kombo nini tena?? 😁😁😁🇲🇿❤
Wangap tumeirudia hii mara nyingi
tupo wengi
Sio kurudia tuuh mpak kudownload
Toxic ni rapper mkali bongo kama unaamin ilo angusha like ala
Mwamba hajai feli👊💯👑...🇰🇪254 representing
Oyaah wanangu wa 254..wanaokubali fuvu like apa👊✔️
kali sana broo story imeeleweka na vina vimezingatiwa
Ujuee toxic sijawaii kukupinga ata siku moja sema mtoto yuzzo kaleta zalau nasubilii majibu yako kama una subiri toxic amjibu yuzzo like ap
Yuzo kazingua sanaaa ndo Wimborne gan ule
Wa kwanza 🎉🎉
Tuliocheka kipande cha mwisho "ASHURA UNANISALITIIIII" Tujuaneee 😂😂😂
Baba kajilipua
😂😂😂
Mama mudy ndo hataree😂😂😂
Kubabakee huu 🔥🔥 wa kuotea mbar one day i believe game ya rap itakuerewa unachofanya
Oyaaaa sasa katika ngoma Kali za huyu jamaa hii namba Moja aiseee humu ametisha❤❤❤❤❤
Ni 🔥🔥 Kak umeua kinoma nakubal Sana pamoja 🎉 tukupe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakubali jomba
Love Sana from Kenya
Kali sana hi bro yani sio poa kabisa 🔥💯✊🏾✈️
Bongo la Ngoma kali Sana mistari Yako inasomeka huna Baya fuvu hujawaii kutuangusha Sisi ma fans zako ❤❤❤ from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥💥💥💥🌟🌟🌟 ya leo kali 🎉🎉
😅😅😂😂😂unyama sana brooh🎼🎼🙌
ety ashura unanisaliti🤣🤣🤣🤣 noma mwanangu
Toxic nomaa sana 🙌
Na kuelewa sana toxic ngoma ya 🔥🔥🔥🔥🔥🎉
Love from 🇰🇪 .......keep winning always 💯
😂😂😂😂😂 Ilq we jamaa😂😂😂... Mbuzi mbuzi nimekuita mara 3🤭🤭🤭🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
oyaa mi wakwanza leo mwanangu good work
Oyaa si nikatapa li-mshangazi ni mwendo wa kujituma na kulamba mifangasi😅😅😂
TOXIC..... ilo fuvu lako bovu sana😄😄😄
We nona
H😅😅😅😅😅
Bro umeandika💥💥🚀
Huyu mzee chinga achungwe huyu, Arudishwe tu Milembe maana anawapasua sana vichwa vyenu mwingine huyu kakaa tayari
Oyaa Fuvu We Ni Danger Sana Kaka🎉🎉🎉🎉🎉
Only one fuvu ,,, Punch zimesimama,,, vina na verse zimekaa congratulations
First man in the building
Ana UTI sugu😂😂😂😂 Nilidhani hit ya mwisho ni New King kumbe bado zaja 🌺🌺
😂😂😂😂😂😂 umeuwa mwana, ashura unanisaliti 😂😂😂😂🔥🔥🔥
Mzee weye ni shida 😂😂 🙌🙌🙌 naku kumbali
TULIO RUDIA HILI DUDE ZAIDI YA MALA MBILI TUJUANE APA 😄😄🥰
Nakubali bro umetisha
Ila kwa Ashura broo umetisha
Ni unyama sana damu yangu
2025 ndio nasikia hii nyimbo sijuh nlkua wap
Hatariiii🔥🔥🔥
Mama mudiiiii😂😂😂❤
Dah mwamba wa moto sana🤔 mjini wanakubania tuu
I wish bro uachie ngoma yenye dk 4 hivi mithiri ya nitakinai, jinai yaani uyalalamikie mapenzi.
Toxic ni mkali Kwa michano ila sauti Sawa na young killer❤❤❤
Hii ngoma ni Kali sana sijawah kosa kumaliza wiki bila kuangalia 😂😂😂
Hivi Toxic unashida gani maana we ni noma sana
Bonafsi kwanzia leo ney ndo msanii bora wakiume wa hip hop kuwai kutokea haijarishi anafata misingi au laa maana hip hop ni maisha halisi na rap nikufikisha tu ujumbe
The true boy
unaweza sana kaka Fanya kitu na brother mbuzi
@toxic hii ngoma imenikumbusha mbali😂😂😂
Toxic umetuacha in suspence,Twanga part 2 of this track....hii itasonga mkuu..Good job💥💥💥💥💥💥💥💥💯
Hahaha😂😂 Ashura kaharibu huku😅
Kulambalambaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉chumviniiiiiiiii😅😅😅😂😂😂😂😂
mwanangu toxic fuvuuuu. eti nimemkamua round 5 akasema inatosha kuniandaa naomba mechi ianze
🤣🤣🤣
Bombo claaaaa nakubar sana mwanajesh wa mtwara
Fuvuu🔥🔥🔥🔥
Toxic like acid nakubali sana toka🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
sema ashura Kauwa sn
Oyaa ningekua kua kwenye kamati lawatowaji tunzo zote ungechukua ww maana wew pekee ndo mwanahip hop anaeelimisha jamii!
TOXIC FUVU, we jamaa ni NOUMA sanaaaaaa yani unafanya Rap ionekane mlenda....... Ukigusa tuuuu IMOOOOOOOOO 🫡🫡🫡
😂😂😂😂 mzigo una pwaya kwenye kiti
Hiphop ipo kwenye mikono salamaa kabisa
🎉🎉🎉🎉maua yako fuvu
Good work mwana toxic hii ngoma ni moto
Ngumu kumlea mtoto wa kambo.. ata akushike kalio.. ukimzuia unaonekana tu unamtesa😮😮😢
Yaaaaaa😅
Hiii nyimbo ilipaswa iitwe safari ya kijana 😂😂😂😂❤❤
Dah we Jamaa unajua Sana ila bongo nyoso
Oyaa mwamba wallah unajua sana hii nimekupa saluti man big up
Ww unafaa kuitwa Samone Mwamba😂😂😂😂 uko vzr mpka unakera dogo😂
TOXIC IN AIR ❤🔥🔥 nimerudia mara 100
Mtoto wa Kambo hata akikushika kalio ukimzuia unaonekana unamtesa...😂
Noma sana 😂 yaani inabid ukaze tu
Napenda sana story telling 😂🙌
Oya inabidi toxic ajengewe sanamu lake mchizi noma sana kwenye contect
uy jamaaa genius aiseee🫡🫡🫡🫡
The SONG Is toxic to so real ,you hit it straight
Oyyy oyyyy ngoma si ndio hizi sasa
Kama sio mara ya 100 hii 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Talented Man 👏👏🔥🔥
Kente was here 254 represented
"Nimejikakamua round 5 akasema sasa inatosha kuniaandaa tuanze mechi😅😅" hit🎉
Mteja kama unataka vdeo.. elf.10😂😂
Uyu mwana namkubaligi sana love from Drcongo Uvira👌🔥🔥
Hahahah ❤from Burundi 🇧🇮 et ashura umenisariti
Daah apo kwa baba kupiga yowe kipengere!!!! Sema imeenda
APO KWENY DEMU ANAJUA KINGEREZA NDIO ABBY CHAMS NN😂😂
Sema Toxic unajuwa sana boss
HUYU WA TANO SIJUI MVUTA BANGE ,
MAANA HASIRA ALIZONAZO NI ZA MANGE ,
😂😂😂😂😂NAWEZA UANDISHI TOXIC
Gave unaniuaga sana kbs tjr paradiso juu vraiment
😂 Noma saaana.
Nakubali sana Toxic ww ni mwamba mbunifu
Wa pir
Kaka Mm Kama Mimi Mhhh We 🔥🔥🔥 We Unajuwa Kuindaa Stor Tete Melody Tz Naombeni m like
Wangap wamerudia kuangalia hili chupa weka like
Umetisha sana mwamba wangu🤙🤙
Nategemea kuendelea kukuona huku huku ukiingia bungeni mengi tutayakosa
Hiligoma lingekua mambele mbele huko linge trend sanaaa ilabongo kwer tupo bongoman🦅
Mamaa Mudy
Wewe ni noma🎉
Wee noma 😂 Kak
Ashura kamsaliti dingi mbele ya bi
mkubwa 😂😂😂 like kwa ashura tafadhari
Nomaaaa
Eeeh bhana eee ni noma sana
..kali sana
Mbona umesema haujaoa kwani umeolewa n mshangazi sinza 😅😅😅😅😅😅😅
Mapenz jau🔥🔥💯
😂😂😂😂😂 kwenye kujituma hapo na kulamba mafangasi