Shangwe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 24

  • @eliudsumbi5403
    @eliudsumbi5403 3 роки тому +2

    Hongereni sana Chang'ombe DSA mko vizuri # MUNGU aendelee kuwapigania msonge mbele zaidi

  • @katavifundi4220
    @katavifundi4220 3 роки тому +2

    Mbarikiwe wote mlio toa muda wenu pesa zenu bando lenu kufanikisha kazi nzuli mbarikiwe sana by FUNDI KATAVI

  • @RJHOPETV
    @RJHOPETV 3 роки тому +1

    Mbarikiwe sana na Bwana

  • @vicentmabula9250
    @vicentmabula9250 3 роки тому

    Hakika kwa Yesu ni shangwe tele
    Mbarikiwe sana wapendwa 👉from Y.A KAGUNGA 🎤

  • @jenesiaishengoma4001
    @jenesiaishengoma4001 3 роки тому +1

    Wimbo mzuri hongereni

  • @deborasamwel4454
    @deborasamwel4454 3 роки тому +1

    Amen ,Mungu awabariki msonge mbele

  • @KamosaGervas
    @KamosaGervas 6 місяців тому

    Mpo vzur vijana

  • @katavifundi4220
    @katavifundi4220 3 роки тому

    Kazi nzuli mbarikiwe wote mlio toa muda wenu pesa zenu bado lenu kufanikisha kazi nzuli mbarikiwe sana by FUNDI KATAVI

  • @kioga2nd
    @kioga2nd 3 роки тому

    Binafsi nimebarikiwa na naupenda sana huu wimbo. Yona Mungu akubariki na akutumie zaidi na zaidi. Endelea kumtumikia hatokuacha....
    Says... Salome Johnson (Chautundu)

  • @calebzseneda1777
    @calebzseneda1777 3 роки тому +1

    Ni Shangwe🔥

  • @jailossilubonde931
    @jailossilubonde931 3 роки тому

    Barikiweni nyote

  • @sirmyusah732
    @sirmyusah732 3 роки тому

    Mbarikiwe sana vijana

  • @saimonmgabo79
    @saimonmgabo79 3 роки тому

    MUNGU AWABARIKI

  • @servantofyahuahambassadorofyah
    @servantofyahuahambassadorofyah 2 місяці тому

    ❤❤

  • @neemamussa509
    @neemamussa509 10 місяців тому

    🙏🙏

  • @samuelelikana3459
    @samuelelikana3459 3 роки тому

    🔥🔥🔥

  • @edwinmmary8459
    @edwinmmary8459 3 роки тому

    Njoo rafiki twende kwa BWANA ni furaha na shangwe tele nimependa mno uimbaji katika wimbo huu sauti zooote zasikika.
    Martha nimekupata nimeridhika ongeza tabasam pls.
    All in all Mungu awabariki nyote.

  • @eunicegerald732
    @eunicegerald732 3 роки тому +1

    I can see u dears so happy to see Mr. Yonah.. 👏

  • @yonabenja_mparehalisi
    @yonabenja_mparehalisi 3 роки тому +1

    Waooooo....hakika ni shangwe 👏👏

  • @yonabenja_mparehalisi
    @yonabenja_mparehalisi 3 роки тому

    Waooooo....hakika ni shangwe 👏👏