CHRISTIAN VS MUSLIM DEBATE KENYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 лис 2024
  • Ігри

КОМЕНТАРІ • 83

  • @elygreneusmvuba
    @elygreneusmvuba Місяць тому +19

    NINAOMBA WAANDISHI WA VITABU WAANDIKE KITABU CHA NDACHA CHA MIDAHALO YAKE HIYO HUYU MTU HAKUWA MILELE AKIFA TUBAKI NA NUKUU ZAKE KATIKA MAANDIKO. AMEN

    • @LaughKey-f8x
      @LaughKey-f8x Місяць тому

      Hii umesema 💙🌺

    • @zachariamichael8871
      @zachariamichael8871 29 днів тому +2

      Ndigu zangu wakristo tukumbuke Mwal Ndacha hana hela za kuweza kufanya mambo mskubwa kama kuweka nukuu zake katika vitabu ili iwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo au ukuzunguka kila mahali kuleta elimu ila wakristo tukijitoa kwa kuchangia tunaweza kueneza ukristo maeneo mengi sana maana hakuna muislamu hata mumoja anaeweza jibu hoja za ndacha

    • @obedorora6789
      @obedorora6789 27 днів тому +2

      Nakubalianana wewe 100%
      Mafundisho ya Ndacha yanafaa kuandikwa Kwa vitabu.Kila topic owe ndani.

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr 26 днів тому +1

      Kwelii kabisaa huyu ametufungua mambo mengii sanaaaa

    • @PascalMbilinyi-u6d
      @PascalMbilinyi-u6d День тому

      Kweli Yan huyu aandikiwe akifa uyu wakristo hatutapata kama huyu

  • @edwardkarithi2347
    @edwardkarithi2347 17 днів тому +2

    Out GOD's logic teacher mwalimu ndacha neema ya mungu ikulinde ukae miaka mingi .This world needs u vry much.u ar the greatest pillar of our faith at all times

  • @josephineobure3420
    @josephineobure3420 12 днів тому +1

    Mwalimu Ndacha barikiwa sana MUNGU azidi kukulinda siku sote🙏🙏🙏

  • @DanielErnest-nn2zj
    @DanielErnest-nn2zj Місяць тому +3

    Kama unaamini hiyo muislam ni msomi imekula kwenu huyo ni mchanga kiimani halafu hoja zote zimemshinda nafikiri majini yamewapanikisha, Yesu siku zoye anashinda, ubaeikiwe sana Mwalimu Francis Ndacha na Biblia nuru ya dunia

  • @Anonymous-w9v-i1p
    @Anonymous-w9v-i1p 23 дні тому +1

    Ndacha wewe ni bakora ya kuchapia upotofu wa imani ya kiisalmu...endelea kuwaelemisha mwalim Ndacha nasi tutasupport kwa kadri ya uwezo wetu 👏

  • @benardnjoka5359
    @benardnjoka5359 27 днів тому +2

    Ameshakubali kuwa mkristo

  • @alfredpius-g6k
    @alfredpius-g6k Місяць тому +2

    Ndacha mungu akubariki Hawa waislam wabishi tu anaelewa lakini hataki kukubali ,napenda vile unawjibu kupitia bibilia

  • @zachariamichael8871
    @zachariamichael8871 29 днів тому +3

    Ndigu zangu wakristo tukumbuke Mwal Ndacha hana hela za kuweza kufanya mambo mskubwa kama kuweka nukuu zake katika vitabu ili iwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo au ukuzunguka kila mahali kuleta elimu ila wakristo tukijitoa kwa kuchangia tunaweza kueneza ukristo maeneo mengi sana maana hakuna muislamu hata mumoja anaeweza jibu hoja za ndacha

  • @DavidMwangi-fd2wi
    @DavidMwangi-fd2wi 19 днів тому

    Mungu mwenye rehema awape nguvu ya kuweza kuendelea na mafundisho ya kielimu🙏🏻🙏🏻

  • @dieudonnendakola9339
    @dieudonnendakola9339 17 днів тому +1

    mungu akubariki

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 7 днів тому +1

    Kweri tunaomba Midahalo yote ndacha alifanya wandishi waiweke kwenye vitabu mafundisho yake niaukweri tena kunawatu hawaoni mithaharo rakini kwa vitabu kusambaratika duniani watu watajuwa ubarikiwe ndacha we ni shujaa wa Mungu

  • @JoaquimSantosJosefo
    @JoaquimSantosJosefo Місяць тому +1

    Amina

  • @BulozeMahano
    @BulozeMahano Місяць тому

    Mwalimu Ndacha ubarikiwe kwakuwa umenifundisha kua na Roho munene

  • @PascalMbilinyi-u6d
    @PascalMbilinyi-u6d День тому

    Ndacha ni king of maandiko hakuna shee anaeweza kuvunja maandiko ama hoja zake mazinge kamshindwa sule kashindwa kinyogoli shafii wote chali wamebaki comedy tu mungu akubaliki sana mtumishi

  • @benardnjoka5359
    @benardnjoka5359 27 днів тому +1

    Muislamu hawezi tulia

  • @AnithaMuvurwaneza
    @AnithaMuvurwaneza 29 днів тому

    Yesu hamuwa mwanadamu Kama sisi yeye ni Mwana Wa Mungu

  • @0badiaMwasongwe-rt1wr
    @0badiaMwasongwe-rt1wr 26 днів тому +1

    Yaan ukiwasikilizaa unajua Tuuu yupi anamuwakilishaa shetani na yupii MTU WA MUNGU.

  • @MarthaMasha
    @MarthaMasha Місяць тому +1

    Waislamu hawana utulivu kabisa, dakika 30 zake ndacha alitulia ila dakika 30 za ndacha anamvurugaaaa, aaaaaa

  • @jmanp1261
    @jmanp1261 Місяць тому

    Mtumishi Ndacha, huyo ameshindwa hoja kabisa, hao waislamu kumbuka wana majini, yanapoona ukweli umewabana wanaamua kuvuruga ili watu wasijue KWELI. Nashauri, ukiona Shetani anataka akupeleke mwelekeo usiofaa, kwa mfano alipoleta hoja ya jiwe, Yesu kushikwa, wafu hawana ijara, nk ni kupoteza muda, yaani amekutoa kwenye reli. Mada ilikuwa Yesu alisulibiwa, sasa imekuwa maswali yasiyo ya mada. Siku nyingine uwe makini na hao wenye majini. Hoja zake ulizokuwa unapitia zingefaidi wengi wanaosikia. Shetani akaingilia ili huo ukweli usijulikane.

  • @MjInsightMedia
    @MjInsightMedia 20 годин тому

    Kumbe usomi sio degree ni hekima. Nakumbuka mwalimu ndacha siku moja akisema yeye aliwachia class 7, huyu muislam ameenda mpaka chuo kikuu lakini hekima na elimu ya ndacha imekua mzito kwa huyu muislam mpaka anaanza kupuyanga Tu. Pastor unanishawishi sana

  • @gervasbeno5589
    @gervasbeno5589 22 дні тому

    Jamaa Mbishi sana ,hasomi maandiko yeye analeta maneno yake

  • @peterkailibi1278
    @peterkailibi1278 Місяць тому +1

    Good job

  • @Nolithajack12
    @Nolithajack12 Місяць тому

    Amen

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Місяць тому

    Huyo shekhe kaja na mbwembee yingi heti nimsomi huyo ajielewi

  • @MarthaMasha
    @MarthaMasha Місяць тому

    Weee, kuwafundisha waislamu niuwe na roho ngumu sana

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 25 днів тому

    Mnahangaika nakauoslamu kakitu kakutunga kumpinga kristu

  • @benardnjoka5359
    @benardnjoka5359 27 днів тому +1

    Waislamu ni shida tupu

  • @peteromitto910
    @peteromitto910 25 днів тому

    Tafadhali kamulize, mtoto ndio awe tumboni mwa make hutoka wapi? Na MTU akifa Ananda wapi? Kamulize huyu sheikh?

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB Місяць тому

    Ndach. Unamajibu mazito hawezi akakubali

  • @emmanuelchomboko2911
    @emmanuelchomboko2911 28 днів тому

    Mmmmh yani huyu shehe jamana sijapata ona yani anavuruga mada ..hana maandiko kizunguzungu kitupu maswali ya mwalimu ndacha hajibu sijawai ona mvurugaji kama huju

  • @johnngige5794
    @johnngige5794 28 днів тому

    Hapa tuna shekhe hajielewi kabisa. Achinjwe tumle krismass tu

  • @goddwynngereza4520
    @goddwynngereza4520 27 днів тому

    Hakuna shekhe hapo, jamaa ni mweupe balaa. Hana anachokijua anaropoka tu

  • @Benjathekingofficialtv
    @Benjathekingofficialtv 20 днів тому

    Huyu jamaa wa midevu hajui maandiko 😂

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 28 днів тому

    Ndacha ni kiboko

  • @KoomeNzima-e2v
    @KoomeNzima-e2v 28 днів тому

    Ameni

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 25 днів тому

    Badala ya kufuga akili unafuga ndevu

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 18 днів тому

    Isaya ni KITABU ambacho HUYO muislamu ameanza nacho 1:18 njoni tuhojiane. Namshauri asome pia Isaya 53 sura yote...HUYO anayeuliwa na Mungu ni nani? BILA shaka ni Yesu. je anasadiki kuwa YESU alisulubiwa..
    Pia Yesu alipozikwa kaburi lililindwa na maaskari wa kiromani ili wanafunzi wasimwibe , lakini maandiko yanasema .ASKARI hao walishuhudia kuwa YESU amefufuka...lakini wakapewa pesa ili waseme hakufufuka.
    Zaidi waislamu...wanaitumia salamu ya Yesu alivyotumia kuwasalimu wanafunzi BAADA ya kufufuka "salaam alaikum" yaani "amani uwe nanyi" Hivyo Aya hiyo wanaamini kuwa ni salamu ya haki kusalimiana Wacha Mungu....
    Basi wanakubali alifufuka.
    Nawapenda waislamu...wanaanza kuelewa kuwa waadventist wasabato ndiyo wakristo wa kweli wanaongozwa na Yesu mwenyewe na ndiyo WATU wa KITABU.
    Pia Quran inawaahuza Waislamu kuwa ikiwa Kuna jambo la kiimani wasilolielewa waende kuwauliza WATU wa KITABU...na sasa wanauliza habari za kifo Cha Yesu maana hawaelewi...

  • @Austinemarko
    @Austinemarko Місяць тому

    Mwalimu huyo ataweza kweli na wewe vile ulimgalagaza sulle.

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 Місяць тому

    Kusema kwao .... sisi hatukumuua sasa hapo waisilam miungu yenu ni mingapi?

  • @jmanp1261
    @jmanp1261 Місяць тому

    Hadi ameanza masuala ya version na tafsiri!!!! 😮😮😮 Yaani hapo ni Shetani amemvaa akili kwa nguvu zote. 😂😂😂 Yaani shetani anatapatapa kumlinda huyo mateka wake.

  • @basilejuma
    @basilejuma Місяць тому

    Enyewe huyu shehe ajui lolote,badala atoe hoja kimaandiko,anaanza kupinga kwa lazima, ndacha hoyeee

  • @LovelyComputerChip-cj4wz
    @LovelyComputerChip-cj4wz Місяць тому

    Aisee huyu ni mwalimu ama nimwanafunzi damu na kufa yani hana andiko yesu hakufa sasa ni damu🤔

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Місяць тому

    Kwenye uislamu uongo kwao ni sawa hii Dini ni ya ajabu ndiomaana majini yameikubali

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 28 днів тому

    Wewe sheker ludi darasani ujui lolote mimi uwa nasema waslam vichwa vywao nivigumu kuelewa

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 Місяць тому

    Hiyo ufunuo Yohana 1:18 hiyo inawamaliza waislamu na allah wao na mtume huyo aliyetabiriwa kwenye mathayo 24:11

  • @ThulaniPrince
    @ThulaniPrince Місяць тому

    Ndacha nimekupata vyema hapa bila ushabiki, ubarikiwe ila huyo shehe uuu aendelee kufanya utafiti

  • @MjInsightMedia
    @MjInsightMedia 20 годин тому

    Sasa huyu ni mwanafunzi wa Sule, kama ulimgalagaza Sule huyu mwanafunzi je? Huu ni msiba

  • @marioeliaselias148
    @marioeliaselias148 Місяць тому

    kwanza uyu shehe afuati utaratibo, cha muhimu ni yeye akubali kufundishwa, apate kuokoka

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 Місяць тому

    Mtumishi mpe elimu uyo she

  • @YvetteIrakoze-eu6ww
    @YvetteIrakoze-eu6ww 21 день тому

    Eti yesu kalasamaki kwasababu ni angel ivi je? Mungu alipo watuma malaika kwend kuangamiza sodoma nagomaro malaika wakaanza kupitiya kwa Ibrahim akawapokeyakawapacakul wakala nahao je Apo imekaaje?mungu azoweleki wew kile unaon akiwezekan kwamungu kinawezekan nanjoman yesu kala kama malaika waliokula kwa ibrahim

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB Місяць тому

    Sauti hakuna

  • @RashidAbdi-d8e
    @RashidAbdi-d8e Місяць тому +1

    Ndacha umeshindwa kudhibitisha hoja shubha tele tu😂

    • @japhetndoro6533
      @japhetndoro6533 Місяць тому

      We'we ukoshabiki lakini hucikizi ungekuwa wasikiza ungejua ndacha anasema nini

    • @sebastiansalamba313
      @sebastiansalamba313 25 днів тому

      Waislamu mmekaririshwa tu ndacha ni mwl kweli

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 25 днів тому

    We shekhe mjinga hivi mtu akifa mara azinduke ghafla utamuwao wewe au utamkimbia acha uongo

  • @mwoso
    @mwoso Місяць тому

    Ndacha mtoe huyo muisilamu hapo! Alitoa hoja zisizoeleweka na akakataa kukupa muda wako umjibu. Sasa amekaa hapo kukupotezea wakati bure!

    • @mwoso
      @mwoso Місяць тому

      Ndacha Uwe unasearch watu kama hao kabla kuingia studio yako! Anaweza tumwa kujilipulia hapo! Sijaona hoja yoyote ametoa kuhusu mjadala

    • @SomoeEdhwa
      @SomoeEdhwa Місяць тому

      ​@@mwoso kwa mwenye akilii zakisawa sawa utaziona hizo n hoja ni za kwelii kabisaa....kasomenii

    • @mwoso
      @mwoso Місяць тому

      @@SomoeEdhwa hoja zipi ? Kapewa muda wake wa zaidi ya dakika 30 kuongea! Wakati zamu ya mwalimu ndacha ilifika amjibu, akamnyima nafasi Kwa kumfruga! Ndacha nae nimtulivu sana.

    • @mwoso
      @mwoso Місяць тому

      @@SomoeEdhwa tukasome nini? Wengi wanaosikiza ni wasomi

    • @LovelyComputerChip-cj4wz
      @LovelyComputerChip-cj4wz Місяць тому

      Mwamba kajinyionyesha elimu yake hamna kitu

  • @gibsonmomanyi2692
    @gibsonmomanyi2692 Місяць тому

    Sasa huyu mwalimu wa kiislam mbona haelewi kuwa yesu alisema itatimizwa kwa siku tatu,ndacha huyo anakata maandiko

  • @KoomeNzima-e2v
    @KoomeNzima-e2v 28 днів тому

    Turne in lamu

  • @ernestbensonmwamengo1642
    @ernestbensonmwamengo1642 18 днів тому

    I love Jesus ❤
    I love the Bible ❤
    I love the cross❤
    Jesus crucified, ❤
    died,❤
    buried in the curved tomb,❤
    his grave guided by Roman soldiers,❤
    Jesus resurrected from the died, ❤
    Jesus witnesses to his disciples, ❤
    and descended to heaven ♥️
    Jesus is coming again take his followers ❤
    Jesus will judge the live and the died,❤
    judge evil people ❤.
    Jesus blood makes me free from the sin❤❤❤.

  • @exseviangaeje1158
    @exseviangaeje1158 Місяць тому

    Uyo muislam Anajua ubishi tu Hana andiko anaweweaeka tu

  • @mwoso
    @mwoso Місяць тому

    Huyo hana ata elimu ya uisilamu kujadili na wewe

    • @mirande-e7z
      @mirande-e7z Місяць тому

      Umejuaje hana elimu ya uislam

  • @peteromitto910
    @peteromitto910 25 днів тому

    ECCLES: 9:5-6 For the living know that they will die, but the dead know nothing at all, nor do they have any more reward, because all memory of them is forgotten. 6 Also, their love and their hate and their jealousy have already perished, and they no longer have any share in what is done under the sun

  • @zachariamichael8871
    @zachariamichael8871 29 днів тому

    Ndigu zangu wakristo tukumbuke Mwal Ndacha hana hela za kuweza kufanya mambo mskubwa kama kuweka nukuu zake katika vitabu ili iwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo au ukuzunguka kila mahali kuleta elimu ila wakristo tukijitoa kwa kuchangia tunaweza kueneza ukristo maeneo mengi sana maana hakuna muislamu hata mumoja anaeweza jibu hoja za ndacha

  • @zachariamichael8871
    @zachariamichael8871 29 днів тому

    Ndigu zangu wakristo tukumbuke Mwal Ndacha hana hela za kuweza kufanya mambo mskubwa kama kuweka nukuu zake katika vitabu ili iwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo au ukuzunguka kila mahali kuleta elimu ila wakristo tukijitoa kwa kuchangia tunaweza kueneza ukristo maeneo mengi sana maana hakuna muislamu hata mumoja anaeweza jibu hoja za ndacha

  • @zachariamichael8871
    @zachariamichael8871 29 днів тому

    Ndigu zangu wakristo tukumbuke Mwal Ndacha hana hela za kuweza kufanya mambo mskubwa kama kuweka nukuu zake katika vitabu ili iwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo au ukuzunguka kila mahali kuleta elimu ila wakristo tukijitoa kwa kuchangia tunaweza kueneza ukristo maeneo mengi sana maana hakuna muislamu hata mumoja anaeweza jibu hoja za ndacha

  • @zachariamichael8871
    @zachariamichael8871 29 днів тому

    Ndigu zangu wakristo tukumbuke Mwal Ndacha hana hela za kuweza kufanya mambo mskubwa kama kuweka nukuu zake katika vitabu ili iwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo au ukuzunguka kila mahali kuleta elimu ila wakristo tukijitoa kwa kuchangia tunaweza kueneza ukristo maeneo mengi sana maana hakuna muislamu hata mumoja anaeweza jibu hoja za ndacha

  • @zachariamichael8871
    @zachariamichael8871 29 днів тому +1

    Ndigu zangu wakristo tukumbuke Mwal Ndacha hana hela za kuweza kufanya mambo mskubwa kama kuweka nukuu zake katika vitabu ili iwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo au ukuzunguka kila mahali kuleta elimu ila wakristo tukijitoa kwa kuchangia tunaweza kueneza ukristo maeneo mengi sana maana hakuna muislamu hata mumoja anaeweza jibu hoja za ndacha