NYUMBA YA BIBI NA BABU MBIONI KUHAMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @Mahruqiya
    @Mahruqiya 3 місяці тому +3

    Wakijaliwa kuhama, Fabi na team yako wasaidieni kuwahamisha ili muwatazamie vitu vyao, visivyofaa vitupwe. Inabidi kuwasaidia ni watu wazima, malipo yenu kwa Mwenyezi Mungu, mbarikiwe.

  • @ruqayaissa990
    @ruqayaissa990 3 місяці тому

    Mashaalla fabi na adamu mungu awape kila la hery

  • @mauasylla5024
    @mauasylla5024 3 місяці тому

    Faby, mimi ningeona hilo banda la zamani libomolewe. Tumjengee jiko la nje na choo. Hilo banda libomolewe iwaondolee unyonge. Mungu atuongezee riziki tuchangie.

  • @AsiaSalim-e4d
    @AsiaSalim-e4d 3 місяці тому

    Masha ALLAH

  • @leilabuisha9976
    @leilabuisha9976 3 місяці тому

    Allah akubariķ kakaetu Fabi

  • @aminaramdan3283
    @aminaramdan3283 3 місяці тому

    Fabi Usisahau Mafundi waoteshe ngazii Tafadhali hapo Mlangon wasipaache hivyo ni Hatari kwa Hao wazeee... Kila Aliye changia Mchango MWENYEZI mungu Awafungulie milango ya kheir na Baraka Pamoja na Uzao wenuu BIIDHINI LILLAH

  • @edithtarimo5872
    @edithtarimo5872 3 місяці тому

    Toa.mawasiliano

  • @leilabuisha9976
    @leilabuisha9976 3 місяці тому

    Ungeli wajengea baraza nje ya kupumzikia..

  • @KhadijaPozzy
    @KhadijaPozzy 3 місяці тому +1

    Mashaallah

  • @MariamHamad-lr3xc
    @MariamHamad-lr3xc 3 місяці тому

    Alhamdulilah

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 3 місяці тому

    Mashallah

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 3 місяці тому

    Alhamdulillah Mungu ni mwema

  • @Salmamkwendasalmamkwenda
    @Salmamkwendasalmamkwenda 3 місяці тому

    Mashllah

  • @edithtarimo5872
    @edithtarimo5872 3 місяці тому

    Fabi naomba mawasiliano

  • @alibulushi-d9j
    @alibulushi-d9j 3 місяці тому

    Fabiy kwanza ndoo waweke kule hapo watakuwa hawalali kwaiyo bora maji waeke huko mkumbini

  • @zaituniallyjuma8845
    @zaituniallyjuma8845 3 місяці тому

    we fabi mwambie bibi hiro banda afuge kuku

  • @janemusumba820
    @janemusumba820 3 місяці тому

    Huyu bb Hana shukuran anataka kila kitu asemi Asante kwa nyumba😮😮😮

    • @fatmaally
      @fatmaally 3 місяці тому +1

      msameh siunajua uzee nao

    • @khadijahhussan182
      @khadijahhussan182 3 місяці тому

      Si ameshukuru apo jmn ujasikia, ila waja khaaa amkosi la kusema

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 3 місяці тому

    Na ndoo ya maji yakunywa muache aweke

  • @Mahruqiya
    @Mahruqiya 3 місяці тому

    Fabi hilo banda watakuwa hawalali hapo, wakiacha vitu wataibiwa, nani atalinda. Na pia sio salama kuacha maji au vyakula katika hilo banda, dunia hii ina mambo mengi na sio salama. Wahame na vitu vyao. Hapo ibaki jiko kama jiko tu lakini hata chakula wawe nacho katika nyumba mpya.

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 місяці тому

    Alhamdulilah