Vijana mnakwama wapi unauwa ndugu yako kwa sababu ya vitu vya dunia unasahau nawe utakufa na utaniacha shetani a nawashawishi sana mrudie Mungu ndie kila kitu
@@DavistarMataMediaDM pole sana mkuu nilihisi kitu kama hicho ndio maana umekua mkali kidogo kwa mshika camera unamshitua mara kwa mara asijisahau... ila naimani utaipata tena ili tuendelee nayo🙏
Yani uyu kaka mjinga sana
Dhuuuu, chatu ni mnyama wa kawaida
We davista tunamuomba mla GANJA
Stor nzur
Miziki inazingua
wa kwanza like kama zote kwangu
Pamoja sana bro tuletee yule mvutajibang🤣🤣🇪🇭🇪🇭
Dah yule mvuta bangi nilimuelewa Sana plz mtafute tena
hata mimi nimemkubal
Davistar Thanks for the good work
Aasante wa kum leo, bt anasimulia vzur tunaahukuru Dm may God bless you
Pamoja sana bro devistar nakubali
Asante kwa muendelezo DM...!! 🤝 Good work
Noma sana
La mungu akusame kwakwel
Daaah waganga nyinyi Mungu anawaona aiseee....yan kwa shetani kuna mambo ya kutisha tisha tupuuuuuu
Pamoja hadi mwisho🇰🇪
Kaka Mungu akubariki sana kwa kaz hii ya kituelimisha
Vijana mnakwama wapi unauwa ndugu yako kwa sababu ya vitu vya dunia unasahau nawe utakufa na utaniacha shetani a nawashawishi sana mrudie Mungu ndie kila kitu
Atare cna daah mungu tunusuru
Asante kwa muendlezo
cute emmy njooooooo chidada changu mamba tayar🇪🇭🇪🇭
Hongera n pole umefikia stage flnii ivii yawatu kukuamin san
Kawaidaa Bundi sio mxuri akija usiku juu yanyumba nakulialia jua kuna jambo latokea ila nashangaa kwann warabu wanawafuga hata wanaongea nakuitajina lamtu ila sio mnyama mxuri
Kk Davi, hii back ground sound itoe manake ipo juu kwa sana
Mhmhmh dunia inamambo mengi mungu turehmu wanao xna mambo ni magmu tamaa ya mali
Hi pesa jamani MUNGU tunusulu na hii dunia iliyojaa mashaka na vituko 😪
Dah!
Mungu akubariki na kazi yako kaka Davistar 🙏🙏🙏
🤗🤗 atufungulie grp🇪🇭🇪🇭
@@ayshamahariq6665 Hilo group itakua Hatari maana twaeza oana Bure kwa group yy akawa shahidi 😂😂
@@somoeawadh7774 patamuuu hapoooo🤣🤣🤣 hatuezi
@@ayshamahariq6665 😄😄😄
@@somoeawadh7774 ungea nae atufungulie🤣🤣
Nimewahi leo
Davistar mambo yapo!!!
Part 3 plz
Sauti ya jamaa inafanana na yule jamaa wakuoa majini mwisho wa siku akazulumiwa nyumba yake na Mpemba
Jaman kwani iliendelea alivyo maliza mkataba??natamani aje atuadisie ilivyo kua
Waaao
Nimewahiiii
Tunaedelea still.congrats
Hatar sana hiyo yote mali ya urithi tuuh mmh kwani alokufa alikua havipendi vitu vyake
Yule jamaa wa bangi vp
Mmmh waganga wachawi wakubwa
Leo nimejitaid sana
Ongera yako
Daaah kubabake dunia Ina mambo
Pamoja sana
Good morning...😊😊
Story gwaridee hii me nawait story birianiii....kama zile za j17 na mfaumee!!!!
Duu hatari 😔😔
Mbona notification sijapata mpaka saizi?🙄🤔
Mnasujudia Majini mtakwenda kuchomwa nyinyi.
🇰🇪🙌
Here with davista..God bless your work
Amiin 🙏🙏🙏
000000000000000000
Nachelewa siku mbili kwasababu ya mtandao tulizimiwa mtandao
Asalam alkm bro davistar nakuomba unisaidie na number yako please
Duh
🤔
DM jitahid ulete file la yule mvuta bangi, muuza mkaa, story ilikaa poa Sana ile, iliishia patam sana....!! 😁
Material yake yalifutika ndio maana nimeshindwa kuendelea nayo
@@DavistarMataMediaDM pole sana mkuu nilihisi kitu kama hicho ndio maana umekua mkali kidogo kwa mshika camera unamshitua mara kwa mara asijisahau... ila naimani utaipata tena ili tuendelee nayo🙏
Daa Mali ya urithi mnatoana roho
Ni ushetani tu kwakweli
Hupaswi kuhoji chochote
Jamani ham jambo wote
Inatisha🙄
Tunaendelea vyema
32
Story nzur inafundisha
Ufanye test na home work..maana story inafundishaa😅😅
Patam hapo
@@fadhiliswalehe9286 checheeee🌋
Yule wa utajiri aliekaribia kufa vp? Mtafute brother tujue maendeleo yake
Mdau Mwenzangu Yule jamaa adi mwenzi mwenzi wa kumi na mbili
Atakua ameshakufa huyo
Tuletee yule aisee jamaa tujue kweli au ndo story za mjini nn,
@@fatmaalrshdii7615 ndio amfatilie mwezi wa kumi na moja ili tujue maendeleo yake
@@meisme7540 nikweli kabisa atugee mrejesho aya mdau Mwenzangu Tuwendelee kumkumbusha ili tujuwe
Davi jaribu uwe unaweka dakika30
Muendelezo jmn
jangombeboys1999
Kumekucha
Ukipata ndugu anatamaA na mali kazi kwel kwel
Mapema mno ila tuletee yayule mvuta bange tumalizane nae
😄😄😄
Nikweli kabisa Yule jamaa yuko nakitu fulani ivi anasimulia kwa isia ya mvuto mzuri sana
Aasante wa kum leo, bt anasimulia vzur tunaahukuru Dm may God bless you