PIGO TAKATIFU: SIMULIZI FUPI YA SAUTI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 85

  • @johnmanyeso9262
    @johnmanyeso9262 Місяць тому +7

    Wale tunasikiliza kutoka Kenya like zenu,,ndugu zangu wapenzi WA tz na Uganda ambao tunapenda simulizi chukueni 🎉🎉🎉maua yenu nawapenda san

    • @mushken65
      @mushken65 Місяць тому

      Tuko wengi sana

    • @zenahasan7603
      @zenahasan7603 19 днів тому

      Wadau. Hatakama. Nimechelewa. Naomba. Link. Zenu. Wapendwa🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇮🇹

  • @vyaduoj
    @vyaduoj 2 місяці тому +11

    Asante sana felix leo kazi nitatumika vinzuri , ,, from USA 🇺🇸 , na poleni sana kwa yalio tokea kariako .

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 2 місяці тому +15

    Wakwanza jamani 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @John.L.Laizer
      @John.L.Laizer 2 місяці тому

      @@zenaathumani8144 Ila Zena upewe maua yako kwa kuwahi 🎊

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 2 місяці тому +2

      Jamani watu wa ulimwengu huu ni matazo matupu loooh yaani huyu jems shenzi zake na huyu neema mungu yupo tu 😢😢😢😢

  • @Cyper255
    @Cyper255 Місяць тому +1

    Nimejifunza vitu vingi kutoka kwenye stori hii. Hongera Sana Felix Mwenda

  • @fatmaathumani7569
    @fatmaathumani7569 2 місяці тому +3

    Waooooo kitu moto moto kweli ❤❤❤❤❤❤

  • @cosmasdaudgwemela6046
    @cosmasdaudgwemela6046 2 місяці тому +4

    Nimeipenda sana

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula 2 місяці тому +4

    Nice mwenda

  • @John.L.Laizer
    @John.L.Laizer 2 місяці тому +12

    Duuuh watu mnawahi Sana 🎉🎉🇰🇪 tumefika

  • @yudasijila
    @yudasijila 2 місяці тому +3

    Nakukubali sana 🎉 unatoa vitu kwa wakat

  • @mkasijuma8970
    @mkasijuma8970 2 місяці тому +2

    Shukran brother Felix 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 2 місяці тому +6

    Wa kwanza❤❤

  • @EmmeMrrras
    @EmmeMrrras 2 місяці тому

    Asante felix ❤❤🎉🎉🎉

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 місяці тому +23

    Wapi likes za felix mwenda???? Maua yako hayaapa mtaalam wetu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 місяці тому +16

    ❤❤watu haraz dam nilizani wakwnza kumbe mpo na Mwenda sawa nipen like twende sawa na pigo takatifu😂😂

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 2 місяці тому +4

    Mbona mm nahisi hilo pigo takatifu litamkuta huyu jemsi ......mpuuzi sana ila neema mimba n ya masudiiiiii😮😮

  • @HafashimanaDorine
    @HafashimanaDorine 2 місяці тому +4

    Mwicho waubaya niayibu😂😂😂

  • @ahmedhamisi328
    @ahmedhamisi328 26 днів тому

    Safi.sana kwa mtunzi wa simulizi hii

  • @MaryHaule-vz8bw
    @MaryHaule-vz8bw 2 місяці тому +4

    Asante Felix simulizi ndio kama hizi unasikiliza zina sisimua hongera kwa mtunzi na wewe pia kwa kusimulia vizuri sana

  • @MarthaMartin-q4h
    @MarthaMartin-q4h Місяць тому

    Tujifunze❤❤jamani

  • @tatoo0098
    @tatoo0098 2 місяці тому +3

    Sijachelewa❤❤🎉🎉

  • @mohamedsolomonkuma
    @mohamedsolomonkuma Місяць тому

    Simulizi nzuri sana kama hiyo sauti yako ndugu Felix. Inabamba sana hii story nikiwa hapa Kenya kwa muuwaji, mwizi , fisadi , pathological liar mteka nyara wa vijana rais wa bandia Ruto

  • @EmmanuelElemba-zp9vr
    @EmmanuelElemba-zp9vr 2 місяці тому +10

    Wanne leo 😂😂

  • @HafashimanaDorine
    @HafashimanaDorine 2 місяці тому +4

    Neema akome naubaya wake😂😂😂

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 19 днів тому

    ASANTE. GOD. KWA. KUREJEA. MTOTOPATRA🇹🇿🇮🇹🎉🎉🎉🎉

  • @RahmaMutesi-s4e
    @RahmaMutesi-s4e 2 місяці тому +1

    Félix boss yangu bila wewe sisikiy simulizi yyte😂❤❤❤yan ww nizaidi y dj msati🙏💌🎶

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 2 місяці тому +6

    Jemsi amwandikie mama yake urithi wote, ili neema akome na roho ya kutu aliyonayo, mshenzi sana na masud wake na limama lake neema

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 2 місяці тому +4

    Pigo takatifu kweli neema mamayako amekujaza ujinga pili mkamroga james Mungu naye halali neeama kula jeuri yako shezi zako iwaendee wote wanaona roga bila plan B

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 Місяць тому

      😂😂hao walogaji ktk dunia yao wanajiona wao ndiyo mwisho,hata hawajui kuna Mungu mwamuzi wa mwisho,wamenyooshwa hakuna cha mapinduzi wala nini 🤣🤣🤣

  • @PilliSaidi
    @PilliSaidi 2 місяці тому +8

    Kitu kipya japo tunamajozi lakini tuendelee

  • @msafirimwenetombwe8819
    @msafirimwenetombwe8819 Місяць тому +2

    Yanini Nime elimika kupitia mapito ya matrida na neema

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 2 місяці тому +4

    kweli Dunia Haina huruma n adui wa mwanmke n mwanmke tu

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 2 місяці тому +2

    Nice

  • @zamzamMaulidi-q8s
    @zamzamMaulidi-q8s 2 місяці тому +2

    ❤nzur kaka oman hapa

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f 2 місяці тому +4

    ❤❤❤🎉🎉🎉😂😢

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 2 місяці тому

    🔥🔥🔥👌

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Місяць тому

    Muite Mungu wakati wowote na atakujibu kwa wakati wake 🙏

  • @salmasalmazayn1707
    @salmasalmazayn1707 2 місяці тому +9

    Baada ya kuwasema sana au sio nyie mtakuja kutuuwa 😂

  • @AleKhan-k3z
    @AleKhan-k3z 2 місяці тому +7

    Huyu James ni mwanaume siruali kabisa pumbavu

  • @jokhajj
    @jokhajj Місяць тому

    Simulizi tamu❤

  • @susanmakasembo989
    @susanmakasembo989 2 місяці тому +1

    Tuko pamoja na mwamba felix kwa burudani mwanana from Kenya currently saudi

  • @SergesMfumbe-q3r
    @SergesMfumbe-q3r Місяць тому

    Nikonasikia hii story nikiwa 🇺🇲🇺🇲 mungu akubariki

  • @makrinareopold5040
    @makrinareopold5040 2 місяці тому +1

    Wajina wangu 😭😭

  • @jenniferlicko4736
    @jenniferlicko4736 2 місяці тому

    This story making me very crying 😭😭😭😭 oooops matirda 😢😢

  • @mushken65
    @mushken65 Місяць тому

    Tumefeka Felix tusichelewe 🇰🇪 ya leo ni tamu sana hii simulizi kama kawaida

  • @ZeinabKalama
    @ZeinabKalama 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NusulaNamae
    @NusulaNamae 2 місяці тому +3

    Shukran sana kaka Felix simulizi nzuri ya kutufunza aki wema ihate you with ur family 😢

  • @SarahFei-ei7en
    @SarahFei-ei7en 16 днів тому

    pole sana dada yangu 😢😢😢😢

  • @MwanamisiMwembe
    @MwanamisiMwembe Місяць тому

    ❤❤❤❤

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 19 днів тому

    F, MWENDA. KWELI. HUYU. NEEMA. LAANA. IWE. JUUYAKE🇹🇿🇮🇹🎉🎉

  • @GraceFadhili-vm9kk
    @GraceFadhili-vm9kk 2 місяці тому +2

    Jmn nimechelewa

  • @GraceMbone-bs9gq
    @GraceMbone-bs9gq Місяць тому

    Simulizi tamu lkn daah huyu madrida akili hana ❤❤ kama angekua nayo hayo mateso yote hayangekuapo

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 19 днів тому

    PPOLE. SANA. MAMA. JEMS. MASKINI. MATRIDAPOLE. 🎉🎉🎉🎉🎉F,,,, MWENDA. HOGERA🎉🎉🎉🎉🎉🎉SIMULIZI. ZAKO🇹🇿🇮🇹

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 Місяць тому

    Simulizi mzuli

  • @Zaitunichasama
    @Zaitunichasama Місяць тому

    Mungu ampe staiki yake neema

  • @saudatKombo
    @saudatKombo 19 днів тому

    naomba anamtafuata dda ake sehemu ya 3

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 19 днів тому

    KWAKWELI. MSHAHARA. WA. DHAMBI. NI. MAUTI. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇮🇹

  • @fathmakazungu7911
    @fathmakazungu7911 2 місяці тому +2

    Waaaaaaa malipo ni haa haa pigibtakatifu kweli sijui hiichi kisa ni masaa mangapi daa Dio namaliza Sasa hivi niko Oman 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪👈🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👈 Kenya ktoka

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion 2 місяці тому +5

    😂😂😂watu huwa manatembelea simulizi mix mda ote 😂😂😂khaaa nimekuta views km zote

  • @ZahraAbuu
    @ZahraAbuu 2 місяці тому

    Anayopitia matlida na mtoto wake yameniliza wallah

  • @NusulaNamae
    @NusulaNamae 2 місяці тому +2

    Glory be too God 🙏🙏ukifanyia mutu mabaya lasima utailibia wema go to hell

  • @MwanaMpole-mo5di
    @MwanaMpole-mo5di 2 місяці тому +1

    Sasa mbona staring amekufa

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 2 місяці тому

    RIP Patra😢😢😢😭😭

  • @maggemonalisa4331
    @maggemonalisa4331 2 місяці тому +1

    Jamn sep 11 mbona uendeleiii 😢

  • @SallyJemutai-w5r
    @SallyJemutai-w5r 2 місяці тому +1

    Yenyewe n piko aisee zambi hutafuna mwenye zambi kwa mpiko

    • @mushken65
      @mushken65 Місяць тому

      Jemu usisahahu siku zote kupeperusha bendera ya kenya 🇰🇪 kwa comment zako hapa simulizi

    • @SallyJemutai-w5r
      @SallyJemutai-w5r Місяць тому

      @mushken65 sawa da

  • @JanetMagehema
    @JanetMagehema 2 місяці тому

    Msahara wa dhambi nimauti neema amepata slichokivinaaa

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 місяці тому

    Neema wanawake kma wewe mbingu nikuisikat Mungu ndie mwenye kutoka ukum lakini amsema lililo fungwa Dunia I na mbingun

  • @RizikiChamosi-u4x
    @RizikiChamosi-u4x Місяць тому

    Nema utalipa kwa hikiulicho fanya wewe na famili yako mpaka mtoto wa tumboni akika wewe nimwana haramu

  • @zenahasan7603
    @zenahasan7603 19 днів тому

    WAPI. FELX. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇮🇹

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 10 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤