Nakukubali sana Man..kutokea kibenten Hadi hapa mgeni wa Kijiji. Kwa kweli wewe hodari. Hongera sana kwako pamoja na wenzio wote. Tunaipenda sana kazi yenu😘
Movie nzuri sana, kobelo anachekesha sana, machachari sana, yaani amechangamsha kwenye hii movie, big up sana kwake, ila wote mlioshiriki mmeweza sana, pongezi kwenu. 25.10.23.
Subhana Allah nkiangalia filam za kikorea wana act filam za kupigana ndio mila zao,wahindi kuimba kudharau askari ndio utamaduni wao,wazungu na warabu mapenzi ya dhati husussan lwa watoto mbona michezo yetu ni kuwanga tuuuu duh kumbe utamadumi wetu ni kudhulumiana kichawi Subhana Allah Subhana Allah Subhana Allah
Daah aisee sikujua kama muvi itakuwa nzuri mbaka imenisawishi kuipenda na kuiyangalia aisee ongereni sana mme jitaidi pia nimempenda sana uyo koba mlugulu katisha sana
Hii ndiyo bongo move Tz 🇹🇿 kila kitu kinawezwa Yani est Afrca wata sema Yani mpka msemee namta sema mana bongo move wara bongo fleva kila kitu kinawezwa
Hapo ndomnahalibu kujitangaza nauhondo unaisha watuwanajua kuwa ni uongo kitu ambacho halitakiwi watuwajue kweli mumeanda vzuli sana mulekebishe kwahilo
Nimewapenda Sana Yan kibando chako hujutii kukiwek hasa ukiwa unaangalia mgeni WA kijiji mmejua kupangilia half nipapo Tu papo gongesha like yako hapa kama umewakubal
Ninzuri Sanaa inabamba very good mgeni wa kijiji nipeni like zangu hata100
Boncena nmemuona akiwa kwenye muvi ya kicheche akiwa luta man aiseee nmefatilia na nmeipenda kaz
Wallah huyu mgeni wa kijiji nimempenda bule💞💞💞💞
Nakukubali sana Man..kutokea kibenten Hadi hapa mgeni wa Kijiji. Kwa kweli wewe hodari. Hongera sana kwako pamoja na wenzio wote. Tunaipenda sana kazi yenu😘
Movie nzuri sana, kobelo anachekesha sana, machachari sana, yaani amechangamsha kwenye hii movie, big up sana kwake, ila wote mlioshiriki mmeweza sana, pongezi kwenu. 25.10.23.
Mmejitahidi sana kwa kweli. Hongera sana na naamini mtaleta nzuri zaidi
Yani huyu mganga akomi nimecheka ety nimemuweka kwenye kichupa amecholopoka katoto kadgo haka 😂😂😂😂😂😂😂🔥🙏🙏🙏♥️
Big boss angalia nyingne sijui nan alimuiga mwenzie kati ya hizi
Jamani 🎉😂❤😢 congrats 🎉👏 kwenu nyote
Then mgeni ❤ wa Kijiji nimekupenda sana Bure
Jitahidini muwahashe sinson 2😂😢❤❤❤❤❤ good job
Fantastic movie..Boncina nakufuatilia kutoka tz got talent😂😂😂😂 ww muanzilishi wa tz got talent..ulituchota kipindi kilee....love from oman🇴🇲❤️
Mgeni wa kijii nimeikubali,ruta man, mgeni wakijiji man umeweza kishenzi ❤❤❤❤nakufuatilia nikwa Kenya,kazi nzuri zaidi gotea mganga hapo nyuma....
Namkubali sana mgeni wakijiji ❤❤one love from kenya 💚❤
😊 in FL
❤
Mmbo
Bonsina Utafika mbali
Yule mganga 😂😂😂😂eti linakupwita
Kweli nzuri tunaipenda Sana tunaitizama tukiwa DRC 🇨🇩
Movie ya kwanza ya kiswahili Inafuatana bila kukatizwa,nzuri sana
Mashalah ! Filamu nzuri kama sijawahi kuona! Hongereni sana kabisa !!!
Usiku
Mgeni Wa Kijiji congratulations 😊😊😊😊
Mh
Haaaa hi ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🥱🥱🥱🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavuzangu weeee🥱🥱🥱🥱😓😓😓kusema ukweli nimewapenda. Mon from 🇨🇦
Move Ndefu Ataaa Nimeangaliya Mpka Nimeshikwa Na Usingizi Kuamka Inaendelea Cjui Apa Kati Kati Kumeendaje😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Umeigiza vizyri mgeni wa kijiji hunger uko serious huchokozi mtu mpka uchokozwe hongera
Nawapenda sana kwanza mngeni wa kijiji umecheza vizuri 🎉
Umeona ee kwanz apend kujionesha
Subhana Allah nkiangalia filam za kikorea wana act filam za kupigana ndio mila zao,wahindi kuimba kudharau askari ndio utamaduni wao,wazungu na warabu mapenzi ya dhati husussan lwa watoto mbona michezo yetu ni kuwanga tuuuu duh kumbe utamadumi wetu ni kudhulumiana kichawi Subhana Allah Subhana Allah Subhana Allah
❤❤bonsina nimekukuvali sana umetisha🎉🎉🎉🎉 congrats Bonsina nakupa pongezi nyingi kwa hiii movie 🍿
Mgeniii ni nomaaa😗😗
Waaaaah mumetishaaa nawafuatilia sana kutoka saudiii ❤❤❤❤❤
Utawajua kwa matendo mgaga na mchawi wanafahamiana tuwe naoo makn
Wueeh! Aisee kali mno
Much love from Kenya 🇰🇪 ❤❤
Nakubali sanaa ni vile sipo Tanzania 🇹🇿 nipo Kenya ila najihisi nipo Tz maana hii kipindi mbona kali 👏👏👏
uyu mjombaake boncena bado hajakuwa ngulinkwenye uigizaji anaitaji msasa zaidi haoneshi uhalisia km kobelo,,,,kobelo saluuuti kwako more 🔥🔥🔥🔥🔥 kobelo umecheza sanaaaaaa tena sanaaaa unakipaji kikubwa sanaaaaa
Jaman nmecheka mpk bas hii movie kali mno ❤❤😂😂😂😂ila inanivunja mbavu ile kinoma😂😂😂
Hahahah big up sanaa mgeni wetuu🎉🎉🎉🎉🎉
Duuh nimeipenda from Oman 🎉🎉
Welcome
❤❤ mbavu zangu mieee jaman 😂😂😂😂😂😂 Allah atunusur Yarrab 🤲
❤❤❤ Yaan film nzr sanaaaaaaaaa.. pambeee sana...ni simpo lkn ni nzr ❤❤❤
😂😂😂😂hiyo ndio imeisha au.. jaman 😭💔
@@ukhtysahu-s3v same here from oman
Hongera sana mgeni wa Kijiji kwa kazi mzuri 🇰🇪🇰🇪
Nawapenda from burundian ❤
Wooooow yapendeza mnoooo part 2 twaigoja .❤😊😊😊😊😊😊
Congratulations mgeni wa kijiji,yani nimependa huna shobo 🥰🥰🥰🥰
Hongera sana mgeni wa kijiji congratulations 🎊 broo❤❤❤nimependa
Safi sana mgeni wa kijiji mm mwenyew kazi hy na mm nakutana nato na wachawi nawaona good sana mwanetu
Bonsena mluguru hatari sana😂😂😂😂😂
Kali sana hii Boncena❤❤❤🎉🎉🎉
Movie nzuri sana nmeipenda muno ❤❤❤🎉
@@JanetRiziki-ut2is kwel
@@JanetRiziki-ut2is heee adi Titanic kigeuzwa boat,🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri kaka Boncena big up sana tunakukubali toka Burundi.Tena hongera sana kwa mara nyingine
Ngeni wa kijiji unanifurahisha sana hongera sana kwa unachowafanyia hawa wachawi
Direct SABI🎉🎉🎉🎉Salamu zangu zimufikiye 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😅
Mumetisha Sana,much love from🇸🇦
Kobelo broo ni bonga moja la actor broo congrats 👏
Mganga daaah umenichekesha sana 😂😂😂😂
1:41:24
Daah aisee sikujua kama muvi itakuwa nzuri mbaka imenisawishi kuipenda na kuiyangalia aisee ongereni sana mme jitaidi pia nimempenda sana uyo koba mlugulu katisha sana
Du nakubali leo kuifatilia muvi hiii tangu Jana husiku saa sita mpka ss nalala saa kum na mbili hongeleni mmenisisimua na nimeipenda
Wapi mgeni wa kijij❤❤🎉🎉🎉🎉
Nakubari sana kazizenu nimtanzania🎉nipo omani napambana nawapa mauayenu vipenzi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu kaka kilobero ananibamba manze... acha ata mimi nifunge mlango😂😂😂😂😂😂😂❤
Hahahaha mmenifanya niipende bure filam hii kila ninapo zidi kuicheki move hii inanipa hamasa ya kuifatilia chumvi nyingi hongera sana kazi nzuri
Iko good hasa huyu genius ndo Mattishall mbaya
Ila mganga kinamramba😂😂😂😂😂na hakomi🤣🤣huyu Kobero nae uchawa anauweza🙌🙌😂😂😂
Jamani kobelo noma sana 🔥 🔥 sana
Like it keep on going much love to all acto4s💕
B issa b issa 😂😂😂😂 unam angu vumbi balaa😂😂😂😂 b issa sio Kwa mbio hzooo😂😂😂😂 pole San ujui pia ulimwapo pole San 😂😂😂😂😂
Umeweza sana Brother wana man
Kabisa
1:25:08 😮😮
Hongera sana kijana
🎉,Mimi ni kutoka D R C
Mumetisha vibe Iko juu, si kwa Io nyimbo ya kilingeni😂😂...
@Boncena kazi nzuri kaka🎉🎉🎉🎉❤❤
Movie tamu sana good job guys
Kweli bwana sikuzote Wachawi hawalogi mtu asiekua na Faida mfano hapo wa levi😂
Eti kitoweo kitacho kuja nipate NYAMA ya kalio😂😂😂😂😂
Yani hiii movie nime ipenda sana 🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Nime penda sana hii move kiboko,much love from kenya ❤❤
Hongera xana sana mgeni wa kijiji na mganga wko naikibali movie hii nkiwa kenya
Boncena nakupenda sana nakusikiza nikiwa gulf
Asante sana
Njoo WhatsApp group 0659096471
hongera sana...nimependa sana kuwatch hii video....five star.........
Broo like you like that from got talent
😂😂😂😂 movie yapendeza jameni❤
Nimekuelw dada jamn sn sem kit kidg
Sana
Huyu mama aliyepotelewa na mtoto hawez kabisa
Movie inanivudja mbavu nacheko so much love from DRC 🇨🇩
Ndonaanza kuifwztiliya nimetuliya sasa❤
Hii ndiyo bongo move Tz 🇹🇿 kila kitu kinawezwa Yani est Afrca wata sema Yani mpka msemee namta sema mana bongo move wara bongo fleva kila kitu kinawezwa
Big up bro ❤❤❤❤❤
Respect brother🎉🎉🎉🎉
Nime MPENDA sana mgen wa Kijiji kutoka njombe😂
Ndio wewe ndiye kiboko chao Mungu na okuongoze ndugu yangu yaani nimefurahi sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😂
Yaani hongera sana mgeni wa kijiji
🤣🤣 Yani me uyo mkuu ndio hana ni acha hoyi kila kitu acha Shobo bac ety hyo ndio mgeni acha Shobo tulia🤣🤣🤣🤣🤣
Asaaaa nimeceka Hadi kufa kazii nzuliii Sana nawapenda asa uyo Kaka kukomesha wacawiiii good boys
😀😀😀🤣🤣🤣🤣mganga nipe mbavu zang uwiiiiiiiiii jamani mgangamganga😂😂😂😂😂😂
Boncena anatongozwa huku anaangalia pembeni na kushika miti ka msichana jmn😊😊😊😊 meipenda hiyo,lkn maajabu mdada kumtongoza mkaka 😅😅😅😅
Kutoka kenya nimeipenda munipe like zangu
Daah nimependa kweli Aisha upwiru
Hapo ndomnahalibu kujitangaza nauhondo unaisha watuwanajua kuwa ni uongo kitu ambacho halitakiwi watuwajue kweli mumeanda vzuli sana mulekebishe kwahilo
Movie nzuli sana nimeapenda❤
😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤😅😅😅😅😅iyi movie 🎥 imeniburudisha kiroho nakimwili❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉😅😅😅 big up sana brother Bossena pia kwa team nzima❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😅😂❤
Sijaona filam Kali ya kichawi kma hi...hongereni ... watching from Kenya
Kuna ingine inaitwa big boss Kali sana
@@ALFREDMUNYALO big boss ya clam vevo ? Niliiona
Ok poa...Wana movie safi sana
Ongera sana bonsina Kwa Kaz nzuri sana
KAZI safii Sana from kenya
Season 3 please
Nimewapenda Sana Yan kibando chako hujutii kukiwek hasa ukiwa unaangalia mgeni WA kijiji mmejua kupangilia half nipapo Tu papo gongesha like yako hapa kama umewakubal
Kobero jamani nimechekaa🤣🤣🤣🤣
Daaaah nilichekewa kuifatilia nimecheka 😅😅😅😅😅
Kutoka Nairobi hakika Ni meikubali
Sana naomba muendelee yaani mpaka ni medawonlod
Hahahaaa mgeni wa kijiji kiboko ya wachawi live bila chenga anawaona kila kona nimecheka weee
kobero from me❤❤❤from kenya 🎉
Boncena ukona kazi Safi sana noamba kufanya nawe kama hutojali
Bayser ww n handsome mm nakupenda n pia nakutaka walai unajua kuigiza,ivi una mke?
Jaman naomba kuuliza naomben mnijibu ety mgen wa kijiji imefika mwisho
Good boncena❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimeipena sana mana filamu nzuri
hongereni sana " oyaaaaaaaaa baisa"