Dar Mjomba - Niombee (Official Video) [SMS Skiza 7300932 TO 811]

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Genius Records presents the official video for "NIOMBEE" by Dar Mjomba.
    Produced by Bizzy B for Genius Records/Directed by Dantey for Genius Visuals.
    (C) 2018 Genius Records.
    Lyrics
    Verse 1
    Ukifika nyumbani msalimie baba na mama yangu / mimi nipo salama na mungu kwa maisha ndio rafiki yangu / kale kabiashara ka mayai baiskeli yangu iliibiwa / unapoona situmi visenti endelea kuniombea / safari ni safari mi na Yesu mi naamini nitafika / kama sina gari haina issue nina hakika ntafika / safari ni safari mi yesu mi naamini ntafika ata kama sina gari haina issue atanifakisha salamaaa...
    Chorus
    Mama yangu, Baba yangu (niombeeni)
    Ndugu zangu, dada zangu (niombeeni)
    Si kwamba nimenyamaza sana ila naomba (niombeeni)
    Huku mjini bado mi nang’ang’ana hilo naomba (niombeeni)
    Niombee niombee (niombeeni) x4
    Verse 2
    Hata mamangu mi najua atafurahi kuniona kwa TV / nilimwambianga oh mama tulia naongeza bidii / oh mamangu najua atafurahi kuniona kwa TV nilimwambianga oh mama tulia naongeza bidii / safari ni safari mi na Yesu mi naamini ntafika kama sina gari haina issue nina hakika nitafika / safari ni safari mi na yesu mi naamini ntafika kama sina haina issue atanifikisha salamaa...
    Chorus
    Bridge
    Mama najituma sana niombee, niombee
    Baba najituma sana niombee, niombee x2
    Chorus

КОМЕНТАРІ • 56