THELATHINI AWACHANA MAKAVU CHADEMA AWATAKA KUACHANA NA MAANDAMANO "WANAMUHUJUMU RAIS/WAFITINA WENGI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 53

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Місяць тому +8

    Umeongea point sana sana sijui kama watakuerewa

  • @jessegodson8575
    @jessegodson8575 Місяць тому

    Safi sana point hio

  • @VuaiBabaSafi
    @VuaiBabaSafi Місяць тому +7

    Wenye akili watakuwelewa km Mimi 👍👍👍👍

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 Місяць тому +1

    Mzee anahekima sana nimsomi mzuri sana na nimwanasiasa kweli

  • @VenaEliki
    @VenaEliki Місяць тому +9

    Mheshimiwa umeongea point kuepusha vifo

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 Місяць тому

    Sawa sawa kwamaneno kuntu

  • @abubakarmustwafa-lg8fe
    @abubakarmustwafa-lg8fe Місяць тому +5

    Ndiyo HIKMA na Buswara hizo,kasema Kweli,hakuna Serikali Duniani isiyo na kiburi Cha Madaraka❤❤

  • @misanamaige
    @misanamaige Місяць тому

    Umeongea vizuri kiongozi. Mungu akubariki

  • @protaslwila9523
    @protaslwila9523 Місяць тому +1

    Mawazo mazuri sana lakini tuangalie upande wa pili kua inawezekana kabisa hao polisi waliosafiri kutoka mikoa mbalimbali wakalinda hayo maandamano vzr kabisa mpaka mwisho wa safari na watu wakatawanyika kwa aman

  • @michaelmeshaki9931
    @michaelmeshaki9931 Місяць тому

    WELL SAID

  • @dorcasjonathan9793
    @dorcasjonathan9793 Місяць тому

    Yani salasin nimekuelewa 🎉🎉🎉

  • @MaulidNdunda-cl3gz
    @MaulidNdunda-cl3gz Місяць тому +3

    Mim nishauri maandamano yasiwepo tu hakuna faida yake zid ya hasara tu Kwa unyenyekevu mkubwa yasiwepo lakin mtakapo kaidi basi tutaruhudu serikali watuwekee ulinzi Kila Kona kulinda wa mama zetu masikini wanaotafuta wale Kwa ajili ya Leo coz wanaotaka maandamano wananacho ndani ila Kuna mama atafute Leo ndio akale hapo ndio shida

  • @AbdulMpogo
    @AbdulMpogo Місяць тому +1

    Jamaa ana hoja sana

  • @BaloziMngasu
    @BaloziMngasu Місяць тому

    Big kiongoz hii ndio maana ya kuwa na wazeee❤

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 Місяць тому

    SAF SANA UMEONGEA POINT KUBWA SANA

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Місяць тому +1

    Yaani Chadema, sijui hata wana dhamira gani na hii nchi........ ila ndio wanaenda kupotea..... kisiasa.....

  • @gulalakitinya7615
    @gulalakitinya7615 Місяць тому

    Bado nafasi za u dc zipo?NCCR Mageuzi bado ipo kweli? Ukilinganisha maneno aliyosema baada ya Kibao kuokotwa ameuwawa na anachosema hivi sasa kuna kitu nyuma ya pazia.Alitoka CDM akahamia NCCR Mageuzi kwenda kuua hicho chama.Leo eti ana busara, kutoka kona gani.Tayari Abdul kamtembelea.😮

  • @stationerykinondoni7241
    @stationerykinondoni7241 Місяць тому +1

    Hakuna mtu ataandamana hii nchi kila mtu anaamka asubuhi kutafuta mlo huo muda wa kuandamana anaupata wapi😂

  • @abdallahlugendo3221
    @abdallahlugendo3221 Місяць тому +2

    Huyu ni wa kùpewa uongozi
    Moja kwa moja aongoze nchi

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn Місяць тому +2

    Huyu ni muasisi anajua mengi akina mbowe msikilizeni huyu mpitie katika maarifa yake na mzee warioba achaneni na siasa za mihemko

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Місяць тому +1

    CHADEMA NI CHAMA CHA UBAGUZI KIKABILA NA HATA KIDINI PIA...
    SASA HIVI NDIO WANAJIONYESHA WAZI WAZI HAWAWEZI KUONGOZA INCHI HII YENYE MAKABILA ZAIDI YA 100.
    UBAGUZI WAMEWEKA MBELE SANA HICHI CHAMA SI CHA KUWEKWA HATA KIPAUMBELE NI HATARI SANA KWA NCHI KAMA HII AMBAYO UBAGUZI SIO JAMBO LETU....

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 Місяць тому +2

    Ashalipwa tayari 😂😂😂

  • @iddynjonjo
    @iddynjonjo Місяць тому

    30 asali nitam sana kama ukiwa huna uhakika wakuipata

  • @binseif2216
    @binseif2216 Місяць тому +2

    Chadema wehu

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Місяць тому

      Wehu ni wale wanaofinya mawazo ya wengine na hata kuuwa.

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Місяць тому

    Waende tu wakaandane iwe sababu ya kuwaweka ndani wote kama ilivo kuwa huko nyuma nchi iwe kimyaaa

  • @SimbabweSaid
    @SimbabweSaid Місяць тому

    Thelathini hao chadema kama hujui naomba utambue hao chadema ndio watekaji wa watu wao jiulize mbona vyama vingine hamtekwi wanaoitwa mahafidhina ni chadema washenzi

  • @ayoubyussuf906
    @ayoubyussuf906 Місяць тому

    Mawazo mazuri kuntu

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t Місяць тому

    VIVA MH. SELASINI.... MANENO MAZITO YA HEKIMA NA BUSARA KWA MH. RAIS SAMIA, CHADEMA NA WATANZANIA WOTE.

  • @moddysunshine6618
    @moddysunshine6618 Місяць тому

    Shikamoo.Kamanda Selasini

  • @AbdallahYanga
    @AbdallahYanga Місяць тому

    Ktk taifa kunawatuwana busara basi ndio huyu

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому

    Wameuwawa wangapi hadi sasa

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe Місяць тому +1

    Si fara ni mtazamo wake lakin pia watanzania ni kweli tunamaumivu sana kwa tunayo yaona yani askali anampoga makofi raia kwa uhuru tu wala aogopi nazan ni mwanza jamani wachache wanataka kutule

  • @abdulhamidnjovu6031
    @abdulhamidnjovu6031 Місяць тому

    Wewe ni kichwa na nusu....Siasa za jino kwa jino hazina afya njema. Wakati tunasisitiza kudumisha kwa haki na uhuru wa kikatiba, pia tuheshimu Mamlaka ya Kikatiba ya Serikali kuongoza!

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 Місяць тому

    Sasa wewe, mbona hukumbuki alichosema, Silaha na Joseph ambaye wamesema wazi wazi nini hufanywa nà red brd

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu Місяць тому +1

    Muda Gani CHAWA Huyu, Rais Aruke na Mafere Faustine

    • @SabihaibrahimRajabu
      @SabihaibrahimRajabu Місяць тому

      Huyu ni kibaraka mujuwe wamempora chama mbatia kwa nguvu ya samia na msajili sasa wanategemea kupata cheo uchaguzi ujao hapo ni mnafiki hatari anamwenzake hapo

    • @peterhelpeterluena9191
      @peterhelpeterluena9191 Місяць тому

      Alikuwa chadema, joulize kwanini aliondoka. Chadema ni jipu, na J3 waingie mtaani waone chamoto.​@@SabihaibrahimRajabu

  • @MohamedLanga-dg4tf
    @MohamedLanga-dg4tf Місяць тому +1

    Waache waandamane waje wajute mkaee mbele sio watoto wa maskin wakae mbele vita havinamacho mtu akivunjwa mguu atajiuguza yrye na familia yake

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Місяць тому

      Exactly MTOTO AKILILIA WEMBE MPE 😢😢😢😢😢

  • @mkushioriginalsillo5074
    @mkushioriginalsillo5074 Місяць тому

    wewe ni zito type ,you are after ruzuku

  • @MichaleMwakyambiki-pq4co
    @MichaleMwakyambiki-pq4co Місяць тому

    Sasa umeamza kupotea.

  • @igulug5450
    @igulug5450 Місяць тому

    Amehongwa

    • @Jal210
      @Jal210 Місяць тому

      Mjinga sana wewe una mawazo mafupi

  • @EvaristPaul-q6c
    @EvaristPaul-q6c Місяць тому

    Aende zanzibar ndo apewe mda sio tanganyika maana tunayoyapitia ni magumu

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 Місяць тому +2

      Sahivi zamu yenu zanzibar walishaumia sana tulieni tu

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji Місяць тому

      TULIA DAWA IKUINGIE MGALA HAKUNA MIUJIZA TOKA KWA WACHUNGAJI 😢😢😢😢😢😢

    • @huyu1993
      @huyu1993 Місяць тому

      Nyinyi tunakujueni toka asubuhi niwabaguzi ila madhali mpanga yote ni Mwenyezi Mungu si binaadamu , mwenyezi Mungu atampa hekima namatarajio ya ungozi uliotukuka ,Kwa wale wote wenye nia mbaya Mungu atawambua wakiwemo matapeli kina Madema,

  • @Batam2022-hu1ph
    @Batam2022-hu1ph Місяць тому

    Nyie ingieni Kati tuone mafala nyie

  • @hebronmwamwaja7660
    @hebronmwamwaja7660 Місяць тому

    Mwandishi fara wewe

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 Місяць тому

    UMELAMBISHWA ASALI TAYARI. Ndiyo tatizo la nyie watz hata aibu jina.

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Місяць тому

    Waende tu wakaandane iwe sababu ya kuwaweka ndani wote kama ilivo kuwa huko nyuma nchi iwe kimyaaa