Hakika Dr. Rev. Adam Hajj unatufundisha mambo mengi sana kuhusu majaribu. "Kuteseka kwa ajili ya Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo" Mungu akutie nguvu zaidi. "Tujitoe kuisukuma mbele ya Kazi ya Mungu.."
Pole, mtumishi Mungu awatie Moyo katika kazi yake ambayo siyo nyepesi lakn yeye hutenda kazi na sisi..pia ndugu zangu tusiwaseme vibaya watumishi wa Mungu tunakausha jamani vizazi vyetu...wewe kama unania ya kutoa toa kama huna jitahidi kunyamaza usimsaidie shetani kazi
@@samweli7985 kipi kibaya ulichokiona pia ni vizuri sana kutoa sababu kwa manufaa ya wengi pia ukitoka huku kilichokutoa ni kipi naomba mfano ulimwengu wa leo ni elimu ndo inatakiwa yale mambo ya kuwambia watoto mama amenda kununua mtoto dukani sidhani kwa karne hii yanakubalika lete hoja sababu tuone karibu
@@samweli7985 pia tunafunguliwa ufahamu na aliyetumba yaani Mungu manabii wote wa mungu wanatumwa wanakuja kufanya kazi wakimaliza hawana msaada wowote tena hata mtume muhammad hana msaada tena wa kumwombea mtu aliyehai mafundisho yote ya manabi wanafundisha watu wamwombe na kumtegemea Mungu ndomana hata yesu alifundisha watu namna ya kusali kasome sala ya Baba yetu yesu alikuwa akimwomba Mungu kwa kila jambo mfano heloi heloi lamathabatani pili ikiwezekana hiki kikombe kiniepuke iko wazi ndugu tatizo ni uelewa wa maandiko tu tunatakiwa kusoma maandiko sio juu chini
@@samweli7985 kuna mahali yesu aliulizwa na mama mmoja aliwaombea watoto wake wawili wakae upande wakulia na kushoto yesu atakapo kuwa mbinguni yesu akamjibu akamwambia mama hujui uliombalo kukaa upande wa kulia na kushoto ni kazi ya mungu pekee yake maanake fundisho hilo linatufundisha nini kwa mtazamo wako kuwa Mungu ndo wakutegemewa kwa kila kitu sasa wewe ukiniambia kuwa yesu aniongoze nashindwa kukuelewa embu tusome tena kwa upole tutaelewa
@@stevenmwenda3005 nani kakudanganya mohammad ni nabii wa Mungu??? Kama Yesu ni nabii na umenukuu aya za biblia kwamba alikuwa anaomba Kwa Mungu. Je,aya hizi za biblia umeshawahi jiuliza kwanini Yesu asiitwe mdhambi sababu amekufuru Kwa kujifananisha na Mungu katika vitabu vya biblia na quraan na vimemwita ni mtakatifu na wakati amejifananisha na Mungu??? Nitakupa chache katika nyingi Yohana 10:30 Mimi na Baba tu umoja. Yohana 11:25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi. Yohana 14:8-14 Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba? Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
Tunapenda watumishi wakutunyanga na sio wanao omba, na pia watumishi wajisikiye huru kuongeya ,sisi sote ni mali ya CHRISTO YESU, asante kutufunguwa mawazo.
Mr Maige kuwasema vibaya wa tumishi wa Mungu ni kuweka rehani vizazi vyako..hata kama hawatoi hukumu Iko na Mungu wao wewe ni nani hata uhukumu..nawaonea huruma watu wako Kwa sababu ya laana unayoitafuta Kwa kutafuta umaarufu...
Kapunge nduguzo wanakuhitaji hukesha wak8la miraa magomen huku waume wanafi........nyumbani eti m7me wn hunileta kula miraa alafu yuaenda kulala magomen k8tovu cha ushoo na .....tokaaas kwa jina lipitalo majina yooote ya mtume hamadi lilokuwa kimwil kuliko rohon tumegundua uislamu uongo mm na my fmly hatubaki hk tumezaliwa huko lkn YESU MWANAMUME kafanya maajabu kunawachungaji na wanamaombi njoo kwavjina la allah km we umevaa kavu tukuvishe utukufu wa YESU
Hakika Dr. Rev. Adam Hajj unatufundisha mambo mengi sana kuhusu majaribu. "Kuteseka kwa ajili ya Injili ya Bwana wetu Yesu Kristo" Mungu akutie nguvu zaidi. "Tujitoe kuisukuma mbele ya Kazi ya Mungu.."
Nakutia moyo usije kurudi nyuma kamwe na mungu akulinde
Man of God may The Lord protect u n your family. May His light shine upon your lives
😢 ndio kwamana ulipotea pole mutumishi wa mungu may God protect you 🙏♥️
Ukweli kabisa jamani tuwasaidie watu wa MUNGU wale genuine kama hawa na tutabarikiwa sana na pia tutakua na amani moyoni .
Pole ndugu yangu,Mungu akubaliki sana.Mungu yu pamoja nawe.
I'M praying for you mtumishi
Hongera sana Rev Hajji
Tunakuombea Mungu upone napia akuzidishie afya bora na Baraka kibao
Mungu akubariki mchungaji mafundisho yako yanatujenga sana
Pole, mtumishi Mungu awatie Moyo katika kazi yake ambayo siyo nyepesi lakn yeye hutenda kazi na sisi..pia ndugu zangu tusiwaseme vibaya watumishi wa Mungu tunakausha jamani vizazi vyetu...wewe kama unania ya kutoa toa kama huna jitahidi kunyamaza usimsaidie shetani kazi
Mutumishi wa Christo hapa Burundi tunakuombea kweli upumuzike!!Arakini iyi namba hayipiti!! Tuambie njiia yingine ya kutuma our contribution!!!
Najua dini ulioitoka ukaja kwa yesu ni usalama wako ili kujianda ili kwa maisha yabadae mbinguni, watataka kukua lakini yesu ndio ulinzi wako
Amen Amen...❤❤❤❤❤ God Bless u
Mungu akubariki upone in Jesus name.
Ubalikiwe mtumishi wa Mungu
BARIKIWA sana Mtumishi tunatma kwenye NAMBA gani SADAKA zetu kumsapot
I'm dying pray for me
Uislamu ni dini ya Mungu kwa wanadamu wote namshukuru mungu kunitoa kwenye ukristo na kuniongoza kaningiza kwenye dini ya haki uislamu.
Tulio Toka huko na tumesoma Toka utotoni , soma pole pole utaelewa, kuwa uislam nihatar sana. Yesu akufungue ufahamu sana
@@samweli7985 kipi kibaya ulichokiona pia ni vizuri sana kutoa sababu kwa manufaa ya wengi pia ukitoka huku kilichokutoa ni kipi naomba mfano ulimwengu wa leo ni elimu ndo inatakiwa yale mambo ya kuwambia watoto mama amenda kununua mtoto dukani sidhani kwa karne hii yanakubalika lete hoja sababu tuone karibu
@@samweli7985 pia tunafunguliwa ufahamu na aliyetumba yaani Mungu manabii wote wa mungu wanatumwa wanakuja kufanya kazi wakimaliza hawana msaada wowote tena hata mtume muhammad hana msaada tena wa kumwombea mtu aliyehai mafundisho yote ya manabi wanafundisha watu wamwombe na kumtegemea Mungu ndomana hata yesu alifundisha watu namna ya kusali kasome sala ya Baba yetu yesu alikuwa akimwomba Mungu kwa kila jambo mfano heloi heloi lamathabatani pili ikiwezekana hiki kikombe kiniepuke iko wazi ndugu tatizo ni uelewa wa maandiko tu tunatakiwa kusoma maandiko sio juu chini
@@samweli7985 kuna mahali yesu aliulizwa na mama mmoja aliwaombea watoto wake wawili wakae upande wakulia na kushoto yesu atakapo kuwa mbinguni yesu akamjibu akamwambia mama hujui uliombalo kukaa upande wa kulia na kushoto ni kazi ya mungu pekee yake maanake fundisho hilo linatufundisha nini kwa mtazamo wako kuwa Mungu ndo wakutegemewa kwa kila kitu sasa wewe ukiniambia kuwa yesu aniongoze nashindwa kukuelewa embu tusome tena kwa upole tutaelewa
@@stevenmwenda3005 nani kakudanganya mohammad ni nabii wa Mungu???
Kama Yesu ni nabii na umenukuu aya za biblia kwamba alikuwa anaomba Kwa Mungu.
Je,aya hizi za biblia umeshawahi jiuliza kwanini Yesu asiitwe mdhambi sababu amekufuru Kwa kujifananisha na Mungu katika vitabu vya biblia na quraan na vimemwita ni mtakatifu na wakati amejifananisha na Mungu???
Nitakupa chache katika nyingi
Yohana 10:30
Mimi na Baba tu umoja.
Yohana 11:25
Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi.
Yohana 14:8-14
Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba? Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya.
Tuombee mtumishi Ili sote tuweze kumtumikia Mungu wetu kwa uaminifu.
Very true...❤❤❤ .. Amen
Pole sana mutumishi wa Mungu
Endelea kumpiga shetani na watu wake, Bwana akutie nguvu sana mtumishi.
Muchungaji tunakuombea upone mungu amesha kuponya yote ni ushuda barikiwa ijili ya yesu itaendelea.
Mungu akurie nguvu
Amen Mutumishi
Amen Amen Amen Amen Amen Amen
Barikiwa sanaaaa...
Pole sana mtumishi wa Mungu.Nitumie namba zako za simu please
Hakika Mungu hatakuacha.
Pole mchungaji
Amen amen
Jama ako jaba mbaya sana
Number ya simu tafazali tuku tumie hiyo pesa Yesu ni Bwana
Baliwa mno pasta Mungu azidishe kibali kwako
Bila shaka dini ya haki mbele za mwenyezi ni usilamu
Sasa unataka watu wawe waislamu waanza kufanya ngono na wasichana wa miaka tisa kama mtume wenyu mohammed
Mtoto wako ama ? Ama hana wazazi ?@@emmanuelyambo4143
Tunapenda watumishi wakutunyanga na sio wanao omba, na pia watumishi wajisikiye huru kuongeya ,sisi sote ni mali ya CHRISTO YESU, asante kutufunguwa mawazo.
Asifiwe BWANA YESU gisi gani ya kuku tumiya msaada ?
Amen
Pumzika
Mpaka urejeshe afya
Jambomutumishi , unaweza nitumiya namba yako, tuwasiliyane kuhusu hiyo pesa, leo njoo nimeona hiyo video.
Tuna shida watumishi twapitia magumi
Mwongo mkubwa huyu na mwehu kupindukia na mtapotea wote mtakao mwamini na kumfwata, anapeana habari zisizo na mwelekeo
Kweli tunapitia mambo magumu sana
Football
Hakuna watu wabaya km pastors hawatoi pesa wao huitisha tu lkn kutoa ni neema wachache sn wanaokubali kujitoa
Mr Maige kuwasema vibaya wa tumishi wa Mungu ni kuweka rehani vizazi vyako..hata kama hawatoi hukumu Iko na Mungu wao wewe ni nani hata uhukumu..nawaonea huruma watu wako Kwa sababu ya laana unayoitafuta Kwa kutafuta umaarufu...
We kuma uko na laa ya mungu na ya wazazi wako na mwaka huu utakufa hizo stress hata uzime simu mwaka hazitakwisha
Huhuuuuuuu dini ya allah chezea allah ww kajaa matusi huyo
Hata bila kutukana ungeeleweka tu
MUHAMAD ALIYEKUFA KWA SUMU ALIKUWA NA LAANA YA NANI?
Kkkkk
Kapunge nduguzo wanakuhitaji hukesha wak8la miraa magomen huku waume wanafi........nyumbani eti m7me wn hunileta kula miraa alafu yuaenda kulala magomen k8tovu cha ushoo na .....tokaaas kwa jina lipitalo majina yooote ya mtume hamadi lilokuwa kimwil kuliko rohon tumegundua uislamu uongo mm na my fmly hatubaki hk tumezaliwa huko lkn YESU MWANAMUME kafanya maajabu kunawachungaji na wanamaombi njoo kwavjina la allah km we umevaa kavu tukuvishe utukufu wa YESU
Hahah wanadhani wataweza hawajui mahali MUNGU amekutoa. Wanapikana na MUNGU wao ni wajinga unaweAje kupikana na mtumishi anaelindwa na MUNGU.
Number ya simu plis