Mwambien Deborah mavambo anagharimu timu kwasababu anacheza mpira wake mwenyewe uwanjani, amekuwa kiungo Malaya Malaya haturii kwenye eneo lake ndio maana Hana ata assist tunamuimba TU lakini ajifunze kwa namba 8 wengine ambavyo wanakuwa watulivu na kutoa assist za kusaidia timu, atazame viungo waliopita walivyokuwa watulivu pia ata ulaya akina debrune,modrick, ata chama anautulivu pamoja na uzee wake, namba 8 ndio anaiongoza timu anapaswa kuwa mtulivu kapisa, check okjepha anacheza vizuri mno amekosa wa kusaidizana naye TU, ndio maana yusuph kagoma majeruhi hayaishi anapocheza na Deborah mavambo anatumia nguvu kubwa sana
Mwamba mpole,mtaratibu ila ana hatari uwanjani beki haswaa wa boli💪💪💪
MUNGU AWALINDE WACHEZAJI WA SIMBA.
Bigapu sana
Unanikumbusha mbali beki Aldolph Kondo,na una vinasaba na Che Fondoh Malone,nakuomba mtu asipake rangi mbele yako.
Guyz nampenda san huyu jamaa nampnda mno i wish one dei nikutane nae face to face
Nenda uwanjani utawaona sana au uwanja wa mazoezi bunju ukiwa na mda ww nenda uombe kabisa picha roho yako isuuzike😂
Mwamba huyu hapa
Kitasa Cha ball
Mwambien Deborah mavambo anagharimu timu kwasababu anacheza mpira wake mwenyewe uwanjani, amekuwa kiungo Malaya Malaya haturii kwenye eneo lake ndio maana Hana ata assist tunamuimba TU lakini ajifunze kwa namba 8 wengine ambavyo wanakuwa watulivu na kutoa assist za kusaidia timu, atazame viungo waliopita walivyokuwa watulivu pia ata ulaya akina debrune,modrick, ata chama anautulivu pamoja na uzee wake, namba 8 ndio anaiongoza timu anapaswa kuwa mtulivu kapisa, check okjepha anacheza vizuri mno amekosa wa kusaidizana naye TU, ndio maana yusuph kagoma majeruhi hayaishi anapocheza na Deborah mavambo anatumia nguvu kubwa sana
Weeeeeeee ndie hujui mpira kabisaaaaaaaaaaa mawazo ya kiutopolo kinyela mmo fc😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Gisakijamaduda jibu hoja mi nimeona hivyo rafiki yangu
@Gisakijamaduda usitukane toa maoni
acha kuropoka malaya wewe
Unajua mpaka unakela MUNGU akuongoze ww Pamoja na wachezaji wenzako
Dogo kaza unajua
Huyu jamaa mpole Hadi huruma
Ubaya ubwelaa
Mimi nitakuja kuwa kama wewe mana ndo mchezaji ninae muiga staili ya uchezaji wake
mchezaji mwenye nidhamu mxtarab xhuhuri yake uta tanga