DC MAGOTI ATOA TAMKO PIKIPIKI HAZIRUHUSIWI KUBEBA MKAA - ''NIKIKUKAMATA - FAINI MIL 1''...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 жов 2024
  • DC MAGOTI ATOA TAMKO PIKIPIKI HAZIRUHUSIWI KUBEBA MKAA - ''NIKIKUKAMATA - FAINI MIL 1''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 37

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 місяці тому +2

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 2 місяці тому +1

    Uko vizuri comrede DC Magoti

  • @DeoKanje
    @DeoKanje 2 місяці тому +1

    Huyu magoti hana akili nzuri awatafutie ajira hao vijana wa pikipiki

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz 2 місяці тому +2

    Mheshimiwa watoto wetu awana ajira

  • @Mzalendo14
    @Mzalendo14 2 місяці тому +1

    Sasa huyu anakoelekea....😂😂😂😂😅😅😅 Niaminini Mimi...DUNIANI KUNA UTELEZI MWINGI SANA.

  • @mwajohari4385
    @mwajohari4385 2 місяці тому +1

    Wewe mungu amekupa uwezo wa kutumia gesi,sio kila mmoja anapenda kutumia kuni au mkaa,,,sasa mtu hana pesa ya gesi,afe,,na mkaa upo juu,ewe Allah tusaidie,,,mnajiona mnahali ya uwezo wa kipato sio,,kwanza kisarawe yenyewe bila kuni na mkaa hawawezi kula hiyo pesa ya gesi kashamzomeshea mtoto shule, hebu angalieni na kila mwanadam anakipato chake kikiwa cha halali,,mnawaonea wa hali ya chini sio,,mlivyojaaliwa nyie

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 2 місяці тому +1

    Punguzeni gesi bei watu tuweze kumudu tofauti na hapo mtatuweka pagumu sana gesi elfu 50 kurichage upikie chakula kila siku ni ngumu angalieni upya bei ya gesi

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 місяці тому +1

    Mnajifanya kusimamia misimamo ya kukataza matumiz ya mkaa wakati hamjawawezesha wananchi wa kipato cha chini kupata nishati ya kupikia kwa bei anayo imudu nikuwaongezea ugumu wa maisha gesi yenyewe iko wapi mbona mpaka hatuoni mikonga ya gesi ikipita kwenye mitaa ili kuwasamazia wanachi hiyo gesi

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 2 місяці тому +2

    Ingekua kwenu bukoba ungefanya?

  • @beatricemhongole8852
    @beatricemhongole8852 2 місяці тому

    Hapo Mheshimiwa aangalie vizuri Sheria ya Maliasili ya mwaka 2021inaruhusu mazao ya misitu kusafirisha masaa 24.
    Sasa Mkaa upo kundi hilo.
    kuna mahali wasaidizi wake wanampotosha

  • @godfreyjames5218
    @godfreyjames5218 2 місяці тому +1

    Sasa gari na pikipiki zitalipaje faini ya shilingi million mojaaaa zote

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 місяці тому +1

    Serikali ishushe bei ya nishati mbadala..gesi,umeme,makaa ya mawe na majiko banifu.. hakuna mtu anataka moshi wa miti/mkaa wa miti

  • @tonchanthol5329
    @tonchanthol5329 2 місяці тому

    😮😮😮

  • @jumaalmasjuma1700
    @jumaalmasjuma1700 2 місяці тому

    Mmmh yaNI MAGOTI SASA KIKI ULOKUWA UNATAFUTA UNAIPATa
    Kesho kutwa sipati picha maandamano ya boda

  • @DeoKanje
    @DeoKanje 2 місяці тому

    Huyo DC ni dishi gesi hai shikiki yeye analinganisha maisha yake na wanannji nisawa anaonea vijana hao wa kisarawe

  • @salimsalim-ut4jk
    @salimsalim-ut4jk 2 місяці тому

    Huyu kiongoz angalileta angalau tathmini ni watu wangap wakaaz wa kisaraw wanawez kutumia nishati ya gesi au umeme sio kuporoja tu ²

  • @ambelemwakalobo3327
    @ambelemwakalobo3327 2 місяці тому +2

    Wasaidie bure vijana hawana Ajira

  • @bennymponzi2914
    @bennymponzi2914 2 місяці тому

    Magoti kaliona hilo kwani hao jamaa wanabeba mkaa kwa njia hatarishi sana

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 2 місяці тому +1

    MUHESHIMIWA MKUU WA WILAYA KTK VITU AMBAVYO WA TZ HAWAVITAKI NI KUFUATA SHERIA NA KANUNI KWA MASLAHI YA VIZAZI VIJAVYO.
    GHARAMA ZA MKAA NI KUBWA KULIKO GESI,ILA KICHWANI MWETU TUNADHANI KUWA MKAA NI RAHISI,PIA GASI NI SAFI KWA MAMA ZETU.

  • @abdulkilihindi7725
    @abdulkilihindi7725 2 місяці тому +1

    Kisarawe is a poverty district

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 2 місяці тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 duuu seeee

  • @topfreelancer5151
    @topfreelancer5151 2 місяці тому

    Kuna muda sheria haifuatiki. Utaumiza watu mkuu usiwe kama ROBOTI

  • @KimanguShemwaliko-ht2jr
    @KimanguShemwaliko-ht2jr 2 місяці тому

    Kwan DC huchahuliwa na wananchi ?

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 2 місяці тому

      Sasa wewe unandika nini mafuriko unyafurahia?

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz 2 місяці тому

    Sasa wengine mtaji mdogo tunabeba kwenye pikipiki

    • @StAr-yu3vz
      @StAr-yu3vz 2 місяці тому

      Mushimiwa wilaya ya kisalawe hatuna kitega uchumi chochote kutupatia ajira kuingiza pesa tununue hiyo gesi

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 2 місяці тому

    We ni mjinga wewe ni mkuu wa kijiji

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 2 місяці тому +1

    Yani huyu jamaa ana kiki sana ila hakai hata mwaka hi wilaya watu wafupi ndo walivyo

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 2 місяці тому +1

      Mpuuzi wewe huna hoja umebaki kumkosoa muumba hujafa hujaumbika utazaa zaidi yake Afadhali yeye mfupi lakin mwenyezi mungu kama akili wewe usishangae utazaa zezeta au chizi kwasababu tu ya dhihaka zako

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 2 місяці тому +1

    Kwa nini faini iwe milioni mmoja?.
    Lakini Mama Samia hajachaguliwa na mtu yeyote kuwa rais😂

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 місяці тому

      Unataka faini iwe ngapi xaygen..

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 2 місяці тому

      Na wewe bwana😂
      dohho iwe ya kuelewana,​@@josephlorri431

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 2 місяці тому

      ​@@josephlorri431Mkuu wa Wilaya Bwana Magoti yuko sahihi ila nawaza hao wabeba mkaa wote wa pikipiki ni wahalifu au watu wanaotafuta chakula!

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 2 місяці тому

    Peleka hizo sheriya nyumbani kwako

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 2 місяці тому

    Wee usiige makonda yule sio levo yako acha ujinga sasa wapakie na gari yako wacha ushamba

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 2 місяці тому

    We mbwaa

  • @godfreyjames5218
    @godfreyjames5218 2 місяці тому

    Raisi nani kamchagua wewe