Jmn mm sio mtu wa mitandao kumbe alichofanyiwa Dullah na manala ni ile kaul ya malipo dunian akhera mahesabu tu 😂😂😂bado zamu ya mzungu zailisa una ndere ya Tanga utaua watoto wa watu na huyo mzungu ushaambiw ana ugonjwa wa kuzimia
Huyu naona kakaa na jux kamwiga kuongea mpaka kujisifia ujinga ndo maan mnaacuwa solemba vee money alimkimbia jux leo mpiga picha wake kakimbiwa tafuta ela broo acha kulamba mdomo
Hahahh hii ndo dawa ya mwanaume akikuacha ni kusonga mbele kama injili pumbavu hakuna kulia lia ona anavo hangaika alidhani ataanza kumlilia hehehh ndo kwanza mwenzie kaenda kuolewa safi sana 😂😂😂🙌🏻
Huyo Dem alikua analiwa na Dulla kitambo, alf mambo ya kutiana vbao yashaapitwa na wakati mjini akili nguvu vijijini kulimia una misuli umejaza mimbavu watu wanakuchana na viwembe
Unajua wkt mwngne mwanamke unaweza kusababisha upigwe mwnyw angalia vzr na usikilize vzr maelezo utagundua nani anaporojo na kutafuta mazingira ya kujitetea
@@zayumar2955 Asante kunifahamisha🤣🤣🤣🤣basi mi naishi chini ya jiwe🤣🤣nae bi.dada ana moyo,hali ile bado alikimbilia mwanaume mara tu🤣🤣mmmmh kweli mapenzi shkamoo
Yan hapo uyo msichana inavyoonyesha alitaka kumuumiza uyu mjamaa,,ila walivyozinguana tu ikabidi afanye maamuzi yakuolewa inaonekana Hawa walikuwa wanapendana,,
Na Dullah analiona hilo mzee hata mm nna dem wameachana na boyfriend wake yupo namimi ila nnaona upendo wake kwangu ni wa 55% ila kwa ex wake ni 100% wanawake wakipenda wamependa jamaa akiamua kumtombea Dullah anamgongea fresh tu maana jamaa anamjua fresh huyo dem na udhaifu wa huyo manzi anaujua vzr t
Hapana uyu jama ni wale wakiwa Kwa mausiano anaona mwanamke awezi kweda Kwa mwanaume mwengine na kumpiga matokeo ya wanawake wengine halafu nifaa ni mkimia yalipo fika ukigoni alitoka ukimia alichukulia ukimia wake na kumyeyekea kama uthaifu akahaza kumchagaya na wake wengine alikua Tu nitamuomba msamaha tutarufiana Dio uyu mwanaume alivio ata maogezi yake SASA alimepata alicho kipata
Na hajamchukua kilazima kwasbabu yule zia sio mtoto kwamba anaamul8wa maamuzi na ktk watu walikuwa wakimtaka si dulla tu sema yy kamchaagua dulla ni maamuzi yake pia
IV wenye pesa hawateswi na mapenz ? Wenye pesa ndyo wanateseka haswa kwa sababu wengi wanapenda ulicho nacho hawakupendi wew ivyo mpenz mzuri anapatikana kwenye shida
Tuliorudia hii interview ya huyu jamaaa baada Dullah kuachwa na na yy gonga like hapa chini 😂😂😂😂😂😂😂😂
Haikua riziki yako insha'allah mungu akupe mwenye kheri na wew
Utazoea tuu mdogo wangu. Hizo mambo zipogo tuu.💔. Tibu jeraha maisha yasonge
Hakika hakuna kitu kitadumu milele vyote vinapita
Uyu Bro anaongea kama JUX, ila mshukuru Mungu sio rizk yako,ipo rizk yako inshallah 🙏
Mmm! Huyu si alikuwa mpiga picha ya jux Sasa amemuiga Hadi kuongea na kujilamba juu haaaa!
Mwanamke akiamua kumthibitishia mtu kwa njia yoyote ile hashindi bonge la neno☑️☑️
Kumbe dulla anayopitia ni sawa na ile kauli malipo ni hapahapa dunian😂😂😂😂😂😂na yeye leo kalipwa na Albino
Kuachwa kubaya jamani unaweza ongea chochote kumbe unajidhalilisha😳
😂😂😂Dada wee kuachwa kubaya sana hahaha tena mwanaume akiachwa anaumia mara mia
@@rukiaiddyyahaya9506 hatariiiiiii maskini anahisi anaongea kawaida kumbe maongezi yake yote yanaonyesha maumivu aliyonayo
@@rukiaiddyyahaya9506 Et nilihisi yameisha kwa hiyo washakariri mwanamke ni dhaifu atasamehe tu😂
@@saniaidrisa3920 🤣🤣🤣alijua huyu kwangu hafurukuti sasa kakomeshwa
@@saniaidrisa3920Ndo kilicho m cost !😂 Ndo maana ana haha😂! Namuonea huruma tho😅
Kenya 🇰🇪 ❤❤❤
Ulijuwa utanikomowa lakini wapiii
Sauti na mbwembwe zake ktk kuongea km Jux
Kweli ongea yake na pozi Kama jux aisee.
tatizo ulikuwa umefanya mazoeyaa,,kama siku zote ulikuwa nae ulishindwa vip kumtia kitanzi kwa maana kumuowa,,,
Simuelewi
We mwanaume si Basi Tena kila siku kusimuliaaa tu km binti, unajichoresha tu, mtu Kesha olewa Wewe bado tu na masimulizi Jamani 🤔🤔🤔
Jmn mm sio mtu wa mitandao kumbe alichofanyiwa Dullah na manala ni ile kaul ya malipo dunian akhera mahesabu tu 😂😂😂bado zamu ya mzungu zailisa una ndere ya Tanga utaua watoto wa watu na huyo mzungu ushaambiw ana ugonjwa wa kuzimia
Angekuwa sio levo yako angekuchukulia mwanamke 😂😂😂😂
💥🔥🔥🔥🔥
Huyu naona kakaa na jux kamwiga kuongea mpaka kujisifia ujinga ndo maan mnaacuwa solemba vee money alimkimbia jux leo mpiga picha wake kakimbiwa tafuta ela broo acha kulamba mdomo
Sheeeenzyyyy sana,
Mnaigana sauti mpka mapozi hahahahhqha
PAKA shume WEWE sio Kila MTU ana copy
@@Mina.15 sawa paka jike nimekuelewa
@@mkuluwaukae2221 😂😂😂
😂😂😂wanaume siku zote huwa hawakubali kuaachwa kabisa hasa kwa wanaume km huyu ambae anaamini hawezi kuishi bili yy pumbavu kbs
❤❤❤
Hahahh hii ndo dawa ya mwanaume akikuacha ni kusonga mbele kama injili pumbavu hakuna kulia lia ona anavo hangaika alidhani ataanza kumlilia hehehh ndo kwanza mwenzie kaenda kuolewa safi sana 😂😂😂🙌🏻
Na bado anampenda mshkaj Pa1 kaolewa na Dullah ila moyo upo kwa huyu mwamba
Mwanamke akichoka harudi nyuma ,inawezekana hayo magomvi Wewe ulikuwa unachulkulia poa ,kumbe mwenzako anaumia
Nikweli usemacho mwanamke nimvumilivu sana lakini akishasema basi kutoka moyoni utachukuwa karne kumrudisha
Kilcho kukuta nae dulla pia kimemkuta aisee mapenzi shikamoo 😅😅😅
Nyie wanaume mkipendwa mnazalau sana ndio ujifunze bwege ww
Wanangu Uyuu mwamba anapitia magumu sanaa aise kama yashawai kukukuta lazma umuonee huruma mwana ilaa dulaa asijione mjanjaa ata yeye wataachana tu
Kosa lake ni.moja tu alizoea ugomvi akachulia ni sehemu ya maisha Yao
Huwezi kukubali kubali wewe nikweli huwezi kumduu yule dem
Kaka umeongea fact mpk nmekupenda bure
Sio levo yako duh watch your mouth young men.wangapi tumewaona wenye levo zaidi ya kwako .sasa hivi wako wapi.
Utampata mwenqine pale kwa dullah kachemsha
Huyo Dem alikua analiwa na Dulla kitambo, alf mambo ya kutiana vbao yashaapitwa na wakati mjini akili nguvu vijijini kulimia una misuli umejaza mimbavu watu wanakuchana na viwembe
Na ninshisi na huko wanaweza shindwan......maaan dullah haelewk
Kabisa
@@maimunaulotu2075dullah tena haeleweki kweli
Tafuta Hela
😜😜hata mm nakuacha makofi teena 😤😤😤😤
Dogo mshamba sana kubali yaishe
Tafuta dem mwangine wachewaoane😂😂😂😂
Yametbtsha macho lakin moyo unakataa 😂😂😂😂😂😂hajui hio nyimbo
Kwanza huyu si anafaa kuwa jela au???au siye aliyemfanyia unyama?
Siyee baada ya kupigwa kule ndio akawa na huyu kamponya ndio akakimbia kaenda kwa dulaa😅😅
Unajua wkt mwngne mwanamke unaweza kusababisha upigwe mwnyw angalia vzr na usikilize vzr maelezo utagundua nani anaporojo na kutafuta mazingira ya kujitetea
@@mwajumayunus419 sawa ila mkichokana bora kuachana tu kuliko kufanyiana ukatili
@@zayumar2955 Asante kunifahamisha🤣🤣🤣🤣basi mi naishi chini ya jiwe🤣🤣nae bi.dada ana moyo,hali ile bado alikimbilia mwanaume mara tu🤣🤣mmmmh kweli mapenzi shkamoo
Ukichengwa tulia biggerup dulla mkali wasingeli
Uyu jamaa yupo sahihi 80%
Mingo kaka
Yan hapo uyo msichana inavyoonyesha alitaka kumuumiza uyu mjamaa,,ila walivyozinguana tu ikabidi afanye maamuzi yakuolewa inaonekana Hawa walikuwa wanapendana,,
Na Dullah analiona hilo mzee hata mm nna dem wameachana na boyfriend wake yupo namimi ila nnaona upendo wake kwangu ni wa 55% ila kwa ex wake ni 100% wanawake wakipenda wamependa jamaa akiamua kumtombea Dullah anamgongea fresh tu maana jamaa anamjua fresh huyo dem na udhaifu wa huyo manzi anaujua vzr t
Madhara ya kuchukulia pouw maugomv yaan huyu bwege anachukulia pouw maugomv 😂😂😂😂Hay 2lzwa komwe ushaachwa mwl nyumba kchwa cha nyoka. Endeleen kuchukulia pouw m2 unampenda alafu unachukulia 2lia dawa ikuingie kjana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Yaan Co kuoa uende kumchukua muish 🤦♀️
MWAMBA YUKO NA MAUMIVU YAKUACHWA,,,,,, Anaropokwa tuu UJINGA ☹️☹️☹️
Duniani wawili wawili, kufanana hutokea.
Miziki sahv bila kik za wanawake hauendi ehh
Huyu jamaa anaongea kama jux
Sasa si ungetangaza ndoa siku zote sasa kaolewa
Huyu mbuz c alimpiga Naira akome
Kuachana kwa namna hiyo ni MCHOKO WA HALI YA KIFEDHA. hivyo mzee mwenzangu tutafute pesa
Hapana uyu jama ni wale wakiwa Kwa mausiano anaona mwanamke awezi kweda Kwa mwanaume mwengine na kumpiga matokeo ya wanawake wengine halafu nifaa ni mkimia yalipo fika ukigoni alitoka ukimia alichukulia ukimia wake na kumyeyekea kama uthaifu akahaza kumchagaya na wake wengine alikua Tu nitamuomba msamaha tutarufiana Dio uyu mwanaume alivio ata maogezi yake SASA alimepata alicho kipata
@@magynzioka1122 kabisa alizani naira ataanza kumbembeleza kama kawaida
@@magynzioka1122 nifaa tena au Naira
Na hajamchukua kilazima kwasbabu yule zia sio mtoto kwamba anaamul8wa maamuzi na ktk watu walikuwa wakimtaka si dulla tu sema yy kamchaagua dulla ni maamuzi yake pia
Tatzo ukiwa nae unaona wann huyu ...akiondoka ndo unachanganyikiwa
He sounds like just his mouth too
@@Majer-wf6np 😂😂😂😂😂😂😂
Just move on bro 😂
Kwani ilikuwa ni ndoa au ni kugombana tuu
Tafuta mwngne bhna izo mambo czo
Toka kule
Oa mwingine huyo si riziki yako
Kaka yangu tafuta pesa Ukiwa na pesa hakuna kinacho kosekana pesa ndiyo kila kitu haswa kwa Dada zetu wa Karine hii
IV wenye pesa hawateswi na mapenz ? Wenye pesa ndyo wanateseka haswa kwa sababu wengi wanapenda ulicho nacho hawakupendi wew ivyo mpenz mzuri anapatikana kwenye shida
Jmn uyu kaka ana sauti kama ya jux eeee ao kakayake
Ana mudomo tu blablabla toka
Jux ndy nani
Kajimbo kamoja tu anajiona conboi
Weak Men
Huo niushamba wewe Wacha kujisifu
Tafuta mwngne bhna izo mambo czo