PAUL SELELI_WENYE UHAI(Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025
  • Yesu asifiwe
    namshukuru Mungu tena amenipa neema ya kuwa na huu wimbo wa kumtukuza yeye. Kitu cha kujifunza ni kwamba tumepewa pumzi na hata sasa tunaishi ni kwasababu ya kusudi moja tuu Kumuabudu na kumsifu yeye.
    barikiwa
    credits
    Song whitter: Joshua Mvungi
    Back vocals: Felista Baitan
    Producer: Jushua Mvungi
    Graphics:Joshgraphics

КОМЕНТАРІ • 46