Aslam Tz - Wakuniliza (Official Video Lyrics)
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Hanipendi Tena by Aslam Tz
Wakuniliza is OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Link ffm.to/aslam-w...
audiomack.com/...
For Bookings: managementaslam@gmail.com
Follow Aslam Tz on:
Instagram / aslam__tz
Twitter / aslamtz
TikTok / aslam__tz
(C) 2024 All rights reserved Aslam Tz
Mashabiki wa aslam tz ambao tuko kenya gonga like apa
Msaniii😂🎉
@@malindianking3271 yooo bro
Uko kenya mmepata aman mpaka unamtazana aslam
Mara moja Kwa week nomasana huyu jamaa
Unamkubali aslam gonga like hapa 🙌
Nasubiri kuisikiliza Kwa hamu nabashasha aslam tz
Mafans tulio kwa aslam like ❤❤❤❤
100
@@Ronaldo-cr7-l4q wee
Aslam Tz unajua Sana kaka na Baya huna mziki wako unanikonga moyo zidi kukaza na mafanikio utayaona
Kama wewe ni team aslam laki kama mvua humu tu humu tu
😂humu tuuu
@@NaomiLolo-co1cg
Nakukubali aslam Tz kaka ww ni mashine ya kusaga na kukoboa
Kak hujawahi kosea jmn kama unamkubali Aslam subscribe,,n like nyingi
Bro nasikiliza sana nyimbo zako unajua keep it up
Ngoma tamu sanaaa bro 💗🔥
Broo hujawahi kukosea aisee unajua sana mzazi mwenyezi mungu akufanyie wepesi 2 katika harakati zako one day itafika pale unapostahili
Ngoma Kali sana Mzee wangu ila beat kama ya Ile Ngoma yako ya hanipendi Tena umeirudia badilika na simamia kwenye melood hii hiii ❤❤ team Aslam for ever
Sisemi kitu ila uyu mwamba ni noma wallahi
Hii ndo kali siku zote Omi Vokolz all the way from kenya
Kaka unajua mpaka unaboa me ndo shabiki Yako namba 1 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu azidi kukuza kipaji chako ❤❤ nikiwa Omana🎉🎉🎉 wanipa raha sana🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Kama unamkul aslam gonga like apa
Under ground artist nahitaj saport Yako pitia kwangu
Kumla tena?😂😂😂😂
Leo nimewahi kabla hata ya dk10 nipeni like zangu.. sema Aslam anajua nyieee 🎉🎉🎉
The Combo of This man and Yammi Will Be superb
All the way from Zenji#Marashi ya Karafuuu🔥🔥❤❤🙌🙌
Nakupenda sana ❤
Hiiii nyimbo inaniumizaa 😢na situation nilipo
😢😢daaaaah kunawatu wanaimba jmn
Umeona
Unaimba vizuri kwakwel, pokea maua yako.
Bola tuhamie INDIA mana, TZ🇹🇿 kila kukicha ni mapiano tu🔥 ngoma kali
Ngoma imeweza kaka🙏🙏🙏
Umeua sana kaka 🔥 🔥 🔥 🔥
Master peace song
Inshallah utafikia unapotaka ❤❤
Broo ipo siku utatoboa❤❤❤❤ inshala
Kumbe kuna maiti iliyokufa na iliyohai na hamsemi
Dunia ngumu hii ohoooo
Hongera sana unajua❤❤❤ big up mdogo wangu
Sikupingi KAKA,,, Aslam,,
,, Aibi Boy,,Ni Soppty You tube,, Salam nakukubali Sana naomba pia tufanye colabo❤❤
Daaah tunaoumizwa na mapenz tusubil kufutwa na mungu
Kwanj diamond haoni watu kama Hawa anatuletea wakina d voice sijui wanaimba Nini
Hainamana huna bahati pambana kazi nnzuli cn unafanya binafsi nakuona mbali ila ongeza juhudi bradi tutafika walipo
bro anakuja vizuri ❤ nice song 🎵 🇰🇪
Uyo projuza usimuache anakujulia sana kaka
Kua mwamba taratib just keep moving on
Nakukubali my brother ❤❤ naomba like jamani ❤❤
Kali sana mkuu
❤❤❤❤❤❤❤ unajuwa sana brother pambana mpaka mwisho
Kali sana💯
Nakukubalee sana kaka unajua❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤ Unajua mpaka unajua Tena
Nyimbo nzur sana❤
Aslam Wa Yammy 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
We Mshindi...naskiliza sana kazi zako..from 254_003
ebana aslam ngoma kali sana video ndio atari ila remix lazima brue ausike itakuw moto
Wewe mkali 🙌🏻🙌🏻
Nakubaliana nawe bro 🔥🔥🔥
Nimeipenda sn jmn ameimba uongo mby
Keep it up
Good job 👏👏👍
Ngoma ipandishe kweny mitandao mingine naichek boomplayer haipo wala spotfy
Aslam good singer . I love you
kama umeachika utabid ulirudie hili dude walah😢 naomba video mtafute mtu wa laana bad location bro❤❤ ustuangushe plz #aslam
Ka kaida aslam on this one✌✌✌
Kazi nzuri kaka🎉❤
Hii imeenda kaka 🔥
Ingoma.nikubwa.sana nitacheza sana kazn kwangu broo kuku sapoti.
Nice one
Unaandikaaaa Sanaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🙌
Ngoma Kali Atari mauwa yako kaka
Jini Aslam mtu mkubwa 👑🙌
Good job brother
Post song kwa apple music brother iko lit fire
Kali sana song❤❤❤❤
Uyu ndo Aslam sasa🔥🔥
Yaan nataman kufanya kaz na ww siku moja ila acha nipambane one day tutafanya
Anajua sana namkubali sana
Unyama sana mwana
Aslam to the world
Tanga boy proud of you 🔥🔥🔥
Yammy uyo
Fundiiii Aslam tz Ngoma Kali sana
Keep going my G
Good job❤❤❤❤❤❤
Baki humo humo 🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥 FUNDI 🙌🏾 #aslamTz
fresh kbs bro
MY BRO ASLAM NAKUONA MBALI PAMBANA SAAANA KAKA.. WW NI CREAM ONE DAY YES
Hit ❤
Wa kwanza kubabaake
Fundiii sanaaa unajua sanaaa music
Unatukumbusha lava lava wa zile enzi🥹
Noma
Nice song🎉
Much love ❤
Mr hit song 🔥🔥👑👏💯 fundi
Unajua adi unakela Aslam
Unaweza
🔥🔥🔥noma
Hilii jamaaa linaimbaa aiseee daaah🔥🙌
Umeona eeh 😂😂😂 anajua snaa
🏃🏃🏃 Hongera
Good job 👍🇨🇩🇨🇩
Salute broo
Kalii
Moto hii ngoma