Kumekucha ten Kwa kipesile ay wap baba mdogo wa kipelie kazi anayo 😂😂 mwaka huu funga mwaka ni 🔥🔥🔥 Kwa kipelie np hap mm mwana kama mwan supa Oman🇴🇲waif za Bure za warabu
Mtoto wangu kwanza ali fariki 😂😂😂😂😂ndo maana nime fika nyuma sana. Ata kama nina uzuni Kipesile filamu langu bora lina niondoa uzuni. ATA KAMA NIME FIKA NYUMA NAWAOMBENI NIPENI ATA LIKE MOJA JAMENI.
Pole sana , Ndugu YETU kwa matatizo yaliyokukuta. ... Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu ulichonacho ... Pole sana na asante sana kwa kuzitazama Filamu zetu
Wa kwanza from Kenya naomba like ❤❤
Hatari sasa kipesile uyu kageuka shani kabisa.
😂😂😂
❤❤❤❤😊
Number one from Kenya 🇰🇪 ❤❤AKA the baddest people 😂😅❤❤
Wakwanza Leo nipeni like zangu❤❤
ilakipesile weenoma tena noma sana bamdogo nimuoga dah nimecheka jamani mbavu zangu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂mm mwenyewe sina mbavu
Dahhhh ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mungu awape uwezo zaidi ya hapo mlipo🎉🎉🎉🎉
Amin yaraby at na ss watazamaji
❤❤❤❤❤❤🎉
Nzuri sana kama umeipenda kama Mimi Dunga like Moja tu 🎉❤
ISIZID MAPENZI
Nimeipenda❤❤
🎉@@VivianKwamboka-w6t
❤❤❤❤
❤
Duuuh Hii Move Niki Boko Yani Nikali Kuliko Zote, ❤❤
Leo mm wa kwanza naombeni likes zenu🇲🇿🇲🇿🇲🇿kutoka Mozambique
Mapema sana leo
Nimeipenda muvu yenu mmeigiza uhalisia wa mambo tunayoishi nayo.namkubali sana Kipesile ni bonge la star.
Mwanangu wa nimekumaindiiii 😅😅 like kidooogo bas
Kvp😢😢
Sasa sikia Kuna lijimwanamke limekaa humo ndani gogo😂😂😂
Wa kwanza kutoka Kenya wapi likes zangu😅
Jamani naombeni likes❤❤❤ much love from Kenya❤ l❤l❤❤❤❤l
Asalamu walekum bwana yesu asifiwe utakayesoma hii coment uwe na maisha marefu🤝🙏🤲🤝🙏🤲🙏🤝🤲🤝🤲
Walykum msalamu warahmatuallah wabarakatuh nawe pia
Waalaikum salam warahmatullah wa barakatuh,pia nawe insha'Allah 🤲
Amen
Nawe pia inshaalaah
Walykum salaam warahmatullah wabarakatuh AAAAAAAAMIIIIIIIIIIIN
Wa kwanzaaa leooo naombenii like zangu vipenz vyangu 💕💕
Wa kwanza 😂💃
Wapi
❤
Muzee yopo vizuli sana kama unakubali lik
Dah mrembow kweli
Top five Leo....like Moja inatosha
Dada,nko na swali limensumbua sana,,Mimi nmkenya cjui majina za tz,je,kipesile anakuaga mvulana au ni msichana?
Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩🇨🇩🥰💯🎉🎉🙏🙏
Mambo ? KIPESILE hapa , asante kwa kufuatilia filamu YETU ... Tafadhari nakuomba Usubscribe maana muda so mrefu tunakuletea mwendelezo
WA kwanza from team majinun
Nimekumaindi sana wewe 😂😂 mwamba nimependa nilivyomuona umu ndani🎉🎉
Kazi nzuri sana Adery 🎉🎉
Mbona Leo watu wa kwanza Leo wapi wengine sana tumuelewe nani Sasa 😢😢😢😢
Wa Kwanzaa leo, naombeni mauwa yangu wakuu 🙏 !!
😂😂😂😂😂😂.bamdogoooo rohoo itachomoka bureee sio kwauogaa huo
Kumekucha ten Kwa kipesile ay wap baba mdogo wa kipelie kazi anayo 😂😂 mwaka huu funga mwaka ni 🔥🔥🔥 Kwa kipelie np hap mm mwana kama mwan supa Oman🇴🇲waif za Bure za warabu
Waoh wakwanza na mm naombeni like❤❤
Mtoto wangu kwanza ali fariki 😂😂😂😂😂ndo maana nime fika nyuma sana.
Ata kama nina uzuni Kipesile filamu langu bora lina niondoa uzuni.
ATA KAMA NIME FIKA NYUMA NAWAOMBENI NIPENI ATA LIKE MOJA JAMENI.
Pole sana , Ndugu YETU kwa matatizo yaliyokukuta. ... Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu ulichonacho ... Pole sana na asante sana kwa kuzitazama Filamu zetu
Mbona unachek Mxwiiiiiiiiii Ndio wachawi yenyewe
Kipesile hatari. Nipo kenya nawafatilia polepole🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Baba mdogo wa kipesile kazi nzur nakupend bure❤❤❤❤❤
Congrats bro adery huna kazi mbovu ❤
I like kipesile❤❤❤best actress in tz
Mlioqngalia uncle jj kanumba na Jennifer mko wapi season 2 hii apa mje uku.
Naupenda huu mchezo sema wanachelewa kutowa❤
Mtoto Huyu Nikicheche Mtoto Huyu Niheka, Heka Mbaraa
kipesile😂😂😂😂😂toto dogo unaangaisha watu sana😂😂😂
Aderry your in road to 100000k sey alhamdulillah
Wa kwanza
Jamniii mnachelewa Sana kutoa kazi zenu
Aaaah nimesubili pak nimesahau jamn
Kazi zuri kabisa musikawe kutocha
Kazi safi Adery
wa 20 😅😅😅
Weeeeh yaani ikifika time ya kipesile kila kitu kwa kina simama, adi kupumua
Naipenda sana sema mnachelewesha 🙌
Naomba mnisaidie kitu hv kipesile ni wa kiume au wa kike maana anavaa sket
Kazi safi sana
Jitaidini kuwai kutoa movies kwa wakati mnajua sana nawapenda buree❤❤❤❤❤❤
Wa Kwanza leo
Ila daaah huyu mama pole ndo watoto wa sku hz , umekosa Kaz kwa sababu ya mtoto mmoja duuuh
Team Strom tujuwane🇲🇬
Kabisa tujuane ndañi ya Riyadh 😂😂
@@janecharo1196 🤣🤣
Jmn kipesile we ni noma sana
Kipesile nakukubali sanaaaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani tuna subiria mwenderezo igizo nzuri sana nataka mtoe episode 200 mpo vizuri san nimeipenda
kazi nzuriiiii❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉😂hii inachemsha mbongo
❤❤❤❤❤kipesire we noma hatamim naigiza pia kunakitu nimejifunza humo
Swari kaka Kenya twawapenda
Kaz nzr 🎉🎉🎉
Jamani munatu grande PiQui kutoka Moçambique naombeni angalau namna ya Ader masta🎉🎉😊
Kipesile ukosawa shida unachelewesha sana😂😂😂
😂😂😂😂kipesile umetish kaka❤❤❤❤sio Kwa Paka huyo mwezi tiii😂😂😂😂😂
Mambo ? KIPESILE hapa , asante kwa kufuatilia filamu YETU ... Tafadhari nakuomba Usubscribe maana muda so mrefu tunakuletea mwendelezo
Bom trabalho brow 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kipezile ee kipezile unafanya maabalaa😂😂 umuri Ni mdogo babygal 😂😂🎉❤
Leo nimejitahid kuwah naomben like😊😊
Jaribu hats kutoa episodes nyingi
Movie hadi raha jamani nawapongeza mungu awaongoze mzidi kutuburudisha inshaallah naipenda bure movie hii
13min ago msha jaa uku much love from kenya
Teteh teh😂 kipesire
Kipesile kma kijana kumbe binti na mpenda sana ❤❤❤❤❤
Ongera sana 🎉🎉 from 254 tunawapenda 😂😂😂😂
Kazi safi Sana,,,,
Bro adery kazi yako nzuri Sana Ila unachelewesha bro....
Esther daud nawapata huku trm axee munatixha kinoma Yan hongelen kwakaz nzur❤
Wakuanza kutoka 🇰🇪 nipe likes zangu
Ba mdogo ameshutukua kidogo rahoo ichomoke 😂😂😂 haya kaketii ulee wali samaki..halafuu bamdogo kapewa sharti gumu iseeeee😮😮 umkatae
Nimefurah kumuon nimekumaind❤
Kazi njema natazama kutoka kenya
Me mwenzenu simwelew kipesile ni jinsia Gani ambao hatumwelewi gonga like
Hadi mm mwenyewe si mwelewi
Uyu mwenzake kipesile nilicheka cheka tu
Niko hapa wa kwaza ata ijafika seconds 10 😅😅😅😅
Kazi nzuri sana mungu akupe nguvu sana adery
❤❤❤😮
@@SukhairaHemedi 💯💯💯💯
Keep going brother 🎉
Wa pili kucomment
Jamani tujibuni kipesile ni mvulana au msichana huyu waongozaji tupeni jibu
Msichana
Waaah kadogo bt maajabu😢😢😢😢😂❤🎉😂😂😂
Nimependa hiyo nyimbo 😊
Sekunde ya 38 leo
Nzuri sana ❤❤❤🎉🎉
Kipesile atari sana sema mna chelewa mno😂😂😂😂
Kila mmoja hamekuwa wa kwaza tena mnadayi na maua Sasa nani tumpe na nani tusimpe😂❤
Huyo jamaa anazingua sana kuharibu masharti
Sema mna chelew sana mpak tunasaau
🎉🎉 kipesile pumbavu zako
Daaaaaahhh nzr sana hii jmn msiwe mnachelewesha jmn
Ulikuwa nawa subiri kwaamu 😂❤❤❤❤ uk love u guys
Kipesire unareta mabaraa jmn kwanini r na l kwa watz wengi ni tatizo hata hivyo kazi nzuri sana sana keep it up
Et million mbili hahahah makubwa, kumbe wachawi wanalipwa
Waa KIPESILE HII N KALI SANA
Waaaah mwenyezi mungu ndio kimboko ya wachawi na miungu