NASHEED ILIYOLIZA UMATI WAWATU KATIKA MAHAFALI YA SKULI YA KIISLAMU FIRDAUSI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 310

  • @hashyatkid1716
    @hashyatkid1716 5 років тому +10

    mashaallah mashaallah Allah wajalie subra wanowalea mayatima awajalie neema ya duniani na kesho akhera waingie peponi amin

  • @halimamajid4042
    @halimamajid4042 4 роки тому +15

    Yaarab wajaalie moyo wa huruma kwa wale woote wanaolea watoto wakiwa mayatima au sio mayatima. Amin

  • @hassanibrahim3270
    @hassanibrahim3270 2 роки тому +4

    Masha Allah mwenyezi mungu hawaone mayatima na jicho lake la huruma

    • @salmasaid7112
      @salmasaid7112 2 роки тому

      Allah awalinde mayatima wote...aamiiin😂

  • @brothershebezo2446
    @brothershebezo2446 3 роки тому +6

    MASHALLAH MANENO MAKALI NAWAHUSIYA MUSIWAWACHE MAYATHIMA WAO PIYA WANA ROHO KAMA SISI ALLAH ALISEMA TUNAPO MPAPASA YATHIMA UNYWELE MMOJA TUNA THAWABU NGAPI TUNA ZIPATA WASIYA WANGU TUSIWATHUPE MAYATHIMA WAO PIYA WANA HAKI ZAA KUISHI

    • @Nasro-t4g
      @Nasro-t4g Рік тому

      😭😭😭😭😭😭😭😭🤲in Sha Allah 🤲😭😭🤲

    • @maoulidaattoumani3862
      @maoulidaattoumani3862 9 місяців тому

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭✊✊✊✊✊ c'est vrai ils ont aussi le 💫💫 droit d'avoir une vie imple isha'allah amine ❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢

  • @OmarOmar-em1ol
    @OmarOmar-em1ol 3 роки тому +8

    Mtunzi wa Nasheed hii ameongelea maisha Yang kabisa 😭😭😭

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 роки тому +6

    Maashaallah Allah atawajaalia mtakua tuu kwa uwezo wa mananu Aamiin yaraab Aamiin

  • @sabrasalum9992
    @sabrasalum9992 2 роки тому +2

    Mashallah nasheed nzuri sana hongera kwa walim wa firdaus mtunz na wana funzi pia Allah awajalie kila kheri ishallah hongera sana T.Asma kwa mafunzo mazuri na yenye faida pia Mashallah 😘😘😘

  • @massabdias1703
    @massabdias1703 3 роки тому +4

    MashaAllah nasheed hio inafundisha mambo mengi Sana

  • @rayuuabdallah5270
    @rayuuabdallah5270 3 роки тому +4

    MashaAllah nasheed nzuri raya kutoka kenya

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 4 роки тому +3

    Mashaallah watto wapo vizur lazima machozi yakutoke jaman Allah awape subra kwalia anofikwa na mtihan yarab

  • @yusramadina4972
    @yusramadina4972 3 роки тому +8

    This nasheed wallah makes me cry,may Allah make it easier for all orphans in the world.

  • @asmaathumaniabdallah9843
    @asmaathumaniabdallah9843 3 роки тому +2

    Mashahallah mungu awalinde kwakila baya litakalowatokea

  • @hamadsuleimaan8232
    @hamadsuleimaan8232 5 років тому +1

    Fund Juma upo vizur kwny hizi fani, kaswida, nasheed, utunzi, barzanjy, qiraatul quran n.k mashaallah kiongozi

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  5 років тому

      Asante sana fundi Hamad suleiman

  • @khamissubuki850
    @khamissubuki850 4 роки тому +13

    Maashaa allah kwa kazi nzuru na ni maneno ambayo yanaingia kwenye fahamu za watu
    ni kweli mayatima wanateseka ni jukumu letu kuwaangali.
    daah hongera sana maalim juma bin fakih

  • @muhammedkhamis1407
    @muhammedkhamis1407 3 роки тому +2

    Masha Allah nashidi inatulimisha vizu sana

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 роки тому +1

    Allah wasahalishie mtihani mlionao poleni sana mumeniliza sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭Allah anijalie kipato zaidi nisaidie mayatima

  • @muqbulmuqbul7589
    @muqbulmuqbul7589 3 роки тому +3

    MaashaaALLAH, wa Tanzania anashid tamu. Nawasalimu kutoka Kenya

  • @salmamohammed8416
    @salmamohammed8416 3 роки тому +5

    Masha allah baraka allah 🥰 . nakuona mdogo ake RAHMA kazi nzur masha llah

  • @abuunuswaibahahmadi8288
    @abuunuswaibahahmadi8288 3 роки тому +5

    Nasheed nzur SANA mashaallah Allah awazidishie lakin mafadhitujitahid

  • @hawaamohammed8743
    @hawaamohammed8743 3 роки тому +6

    May Allah protect all the orphans whenever they are and make life easy for them Amiin 🤲😭😭😭😭😭😭

    • @hawaamohammed8743
      @hawaamohammed8743 3 роки тому +1

      It's so touching wlhi hao watoto venye wanaimba hio nasheed SubhanaAllah ........

    • @maoulidaattoumani3862
      @maoulidaattoumani3862 9 місяців тому

      It warms my heart that 😢😢😢😢😢May Allah help isha'allah the orphans, it makes me so sad that I don't know how to take off my arms ✊

    • @maoulidaattoumani3862
      @maoulidaattoumani3862 9 місяців тому

      ✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗😭😭😭😭😭😭💗💗💗💗💗💗

    • @maoulidaattoumani3862
      @maoulidaattoumani3862 9 місяців тому

      ساعد الله جميع الأيتام في العالم وجعل الحياة أسهل وأن يجدوا عائلة تطعمهم وتساعدهم إن شاء الله أمين.😢😢😢😢

  • @fahmialhatmyonline6093
    @fahmialhatmyonline6093 5 років тому +19

    Jamani tunaposikiliza vitu kama hivi...tusisikilize kama ni burudani tu,tutilie maanani yanayosemwa humu na kuyafanyia kazi kwani Nasheed hii ina ujumbe mkubwa na mzito.... ALLAH AWAHIFADHI MAYATIMA WOTE IN SHAA ALLAAH

  • @dianalweganwaoctavian6509
    @dianalweganwaoctavian6509 3 роки тому +1

    Masha Allah masha Allah hongeleni cnaa watoto wazurii Allah awaongoze na maalim juma....shukrani

  • @mwanaidikhamis8223
    @mwanaidikhamis8223 3 роки тому +2

    Mashallah allah awazidishie kipaji mashallah mashallah

  • @aishaali284
    @aishaali284 4 роки тому +2

    Hongera sana kwa hawa wanafunzi na alowafunza pia

  • @ramlasuleiman9236
    @ramlasuleiman9236 Рік тому +1

    Mashallah.allah awarehemu wazazi wetu waloyangilia inshallah..hongereni sana

  • @fadhilikawambwa5159
    @fadhilikawambwa5159 3 роки тому +1

    INAUMA SANA.YAALLAH YAALLAH YALLAH TUJAALIE MWISHO MWEMA

  • @jaridayassin1893
    @jaridayassin1893 Рік тому

    What a sad mood thanks Allah for keeping my parents

  • @maoulidaattoumani3862
    @maoulidaattoumani3862 9 місяців тому +1

    May God help orphan children because they too have the right to have a life like normal children. God said. You have my protection don't forget who would like to be in your place the poor orphans don't forget that they too would like to have your destiny so don't let them go . Don't give up on yourself. That can Change the destiny of all so respect yours and help us only by God and high and great amine. May God protect the orphans isha'allah amine.😢😢😢😢😢

  • @khalidbinali6028
    @khalidbinali6028 5 років тому +5

    Mashaa Allah mungu awazdshie kipaj n mungu atuepushe kufany mamb mabaya kwa mayatima

  • @mahmoodalghefeili5370
    @mahmoodalghefeili5370 4 роки тому +4

    mashaallah ujumbe mzur wenye kuuzunisha allah tujaliie rizki tuweze kuwatunza mayatima😭😭😭🙏🙏🙏

    • @Nasro-t4g
      @Nasro-t4g Рік тому

      In Sha Allah 🤲😭😭🤲🤲🤲🤲

  • @omanoman1576
    @omanoman1576 4 роки тому +3

    Mashallah kwann ostz jm fkky kwann ukishilikishwa unaimba vzr sana nimeona kwa mau mpemba ulikuwa vzr sana

  • @remmysammy1290
    @remmysammy1290 4 роки тому +4

    Mwenyezi mungu awajalie na awaondolee matatizo yenu ...Inshaallah

  • @Qalbaleata
    @Qalbaleata 3 роки тому +3

    Masha Allah,Allah awafanyie wepesi kwenye hii Dunia na kesho Akhera

  • @maimunasalumujelejeza943
    @maimunasalumujelejeza943 2 роки тому +1

    ALLAH awasimamie mayatima inshallah

  • @rahmarajabu3100
    @rahmarajabu3100 4 роки тому +5

    😭😭😭😭😭😭Allah kareem. Insha Allah kher

  • @brothershebezo2446
    @brothershebezo2446 3 роки тому +1

    IME NILIZA SANAA SUBHANALLAH

  • @rajabmaulid2465
    @rajabmaulid2465 2 роки тому +1

    ALLAH AWAPE SALAMA WATOTO YATIIMA

  • @murshidalam9398
    @murshidalam9398 3 роки тому +2

    Masha Allah imenigusa kwakweli ♥️♥️😘😍😭😭

  • @gloryprojest4336
    @gloryprojest4336 3 роки тому +1

    Jamani poleni watoto mungu awakumbuke

  • @KadengeRama-qg1os
    @KadengeRama-qg1os Рік тому

    Mashallha it's good to me❤💗💖🌹💓

  • @nunumohamed1105
    @nunumohamed1105 4 роки тому +3

    Manshallah muntaz firdaus

  • @FathiyyaAthman
    @FathiyyaAthman 15 днів тому

    Mungu asitujalie maisha maguma

  • @fatumamuiya6089
    @fatumamuiya6089 3 роки тому +3

    Masha Allah watoto wazuri

  • @hafsamohammed9439
    @hafsamohammed9439 4 роки тому +10

    mashaa Allah 🥺🥺 blessed by God

  • @habibuseif2200
    @habibuseif2200 4 роки тому +4

    Mashallah kaka Ali faki Allah akueke kaka ... me mtoto wa Said seif kama wamjua ila hongera

  • @zainabubakari3872
    @zainabubakari3872 4 роки тому +4

    Good mercy and Grace it

  • @rahmayazidi7990
    @rahmayazidi7990 4 роки тому +1

    Nasheed nzur mashallah ,,bila shaka ujumbe umefika sehem husika.........

  • @tatufundi4532
    @tatufundi4532 3 роки тому +2

    🤗🤗🤗🤗mashaall

  • @mohamedswalehe9019
    @mohamedswalehe9019 2 роки тому +1

    Mashaallah imenikumbusha mbal 😥😥😥

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 4 роки тому +1

    Maashaallah huu ujumbe tumeupata hakika inahuzunisha sana inshaaallah ujumbe umefika

  • @bakhresaismail9461
    @bakhresaismail9461 3 роки тому +1

    Ma shaa Allah. Ujumbe umefikishwa. Allah awajaze kheri nyie na awahidhi mayatima wote. Ameen

  • @jayba8134
    @jayba8134 2 роки тому +3

    Please Allah help them

  • @nassorcholo4705
    @nassorcholo4705 5 років тому +5

    Maashaallah ustadh

  • @HiboAbdullahi-e9t
    @HiboAbdullahi-e9t Рік тому +1

    Woah 🎉

  • @yusrahasnuu2673
    @yusrahasnuu2673 2 роки тому +1

    Mungu awalipe kher kwa mafunzo mazur ya kaswida hii .ili wapate kujirekebisha kwa wanao fanya hiz hbr

  • @hawamussa1285
    @hawamussa1285 4 роки тому +4

    Mashaallah ujumbe nzuri sana

  • @Nasro-t4g
    @Nasro-t4g Рік тому

    Alhamduliallah kulluhal 😭😭😭😭🤲🤲🤲

  • @swaumathuman4602
    @swaumathuman4602 3 роки тому +3

    Zuri sana nimeipenda sana kaswida hii

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 4 роки тому +4

    Mashaallah wapo vizuri sana

  • @sniper93999
    @sniper93999 4 роки тому +2

    Masha Allah my young sister nakuona but all the best for all students ujumb umefikaaa

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 4 роки тому +7

    Mashallahu nkweli haya yote yanatokeya ktk jamii zetu tubadlike kwan mayatma nizamana kwetu

  • @nassormohammed3965
    @nassormohammed3965 5 років тому +1

    Bismillah MashaAllah...kazi nzur mnooooo

  • @FathiyyaAthman
    @FathiyyaAthman 15 днів тому

    Alhamdulil Allah

  • @livinshayo4311
    @livinshayo4311 4 роки тому +3

    good nasheed ostadh

  • @abuuhartha
    @abuuhartha 3 роки тому +1

    mashallah,mpaka nimelia jaman

  • @fahmialhatmyonline6093
    @fahmialhatmyonline6093 5 років тому +4

    Maa shaa Allaah

  • @maimunajuma1665
    @maimunajuma1665 5 років тому +1

    Mashaallah shukran allah awawek mzid kutufikishia ujumbe

  • @wakatiomar5123
    @wakatiomar5123 4 роки тому +4

    Masha Allah

  • @nassorally7226
    @nassorally7226 3 роки тому +1

    Mungu atawasaidia

  • @saphiashabani2328
    @saphiashabani2328 2 роки тому

    Mwenyenz mungu awaajaaloie

  • @zayfahmi5130
    @zayfahmi5130 4 роки тому +2

    kunao wazz wengine ndivyowalivo insha Allah mwez mungu atuepeshe roho kama hiz

  • @kingmansa7703
    @kingmansa7703 4 роки тому +1

    Allah tupe moyo wa huruma tuwalee mayatima inshaALLAH

  • @halimaally5296
    @halimaally5296 4 роки тому +2

    Maashallah

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 4 роки тому +1

    Hadi machozii.. yanitoka 😭😭 Allah awafanyie wepesi mayatima wote inshaAllah 😭🤲🏻🤲🏻

  • @الهاشميفارسالرحلات

    Subukhanallah kz nzur

  • @maimunashaban9538
    @maimunashaban9538 3 роки тому +2

    Subhanallah

  • @samiraalajmi7993
    @samiraalajmi7993 3 роки тому +2

    😭😭😭😭😭😭😭😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭subhanaallah

  • @Miss_popularity
    @Miss_popularity 3 роки тому +2

    the voices of this kidz makes me happy ,l m also a child

  • @abubakaralifoum7499
    @abubakaralifoum7499 5 років тому +4

    She juma watoo wapo vizuri waendelezwe

  • @bxrkeshorts738
    @bxrkeshorts738 4 роки тому +5

    Mashallah very good

  • @halimamohammed8081
    @halimamohammed8081 3 роки тому +1

    Masallah may Allah bless

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 3 роки тому +2

    Mashaallah ujumbe mzuri

  • @sidemjapan-1941
    @sidemjapan-1941 Рік тому

    Kiukwel km itashindwa kukugusa hii nasheed basi unaitaji ubadilishwe moyo😢😢

  • @buthainarashidsalum8620
    @buthainarashidsalum8620 3 роки тому

    Maashallh

  • @abuukarbiyoole6394
    @abuukarbiyoole6394 4 роки тому +2

    Mashaallah Watoto soiwti masuri

  • @stebotv100
    @stebotv100 9 місяців тому

    Mwenyez awajaliye❤😢😢😢😢

  • @muryd6999
    @muryd6999 5 років тому +3

    Maa shaa Allah

  • @DirectorOne.t
    @DirectorOne.t 4 роки тому +1

    Ujumbe .. mashllh

  • @alhajbinyazid9696
    @alhajbinyazid9696 3 роки тому +1

    Mashallah hakika yahuzunisha

  • @yasirabdallah9378
    @yasirabdallah9378 5 років тому

    Masha allha shukrn sana Allah awadhishie

  • @issashaban2695
    @issashaban2695 4 роки тому +6

    Mashaallah!!!

  • @adilabinadrus3799
    @adilabinadrus3799 3 роки тому +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭wallah kweli yote haya yapo duniani yanafanyika nani hata muacha mwanae yatima

  • @maidmaissa9203
    @maidmaissa9203 4 роки тому +4

    Masha Allah mzr 😭😭😭😭😭😭

  • @HalimaAli-e4w
    @HalimaAli-e4w 3 місяці тому

    Mashallah ❤❤❤❤❤

  • @twaibaaayub504
    @twaibaaayub504 Рік тому

    Inahuzunisha ❤❤❤❤

  • @oscargdf6271
    @oscargdf6271 5 років тому +1

    Maalim juma wewe ni hatari sana kwa nasheed na kusoma qur an kwa hakika mmoja wa mfatiliaj wa kazi zako ni mm In sha Allah Allah akuzidishie.

    • @jumafaki1697
      @jumafaki1697  5 років тому +1

      Aamin nawewe pia

    • @oscargdf6271
      @oscargdf6271 5 років тому

      @@jumafaki1697 Nip mbali na zanzibar natataman kupata kaz zako ila inakuwa ngumu cuz kuna ingne cwez kuzipta youtube samahan sana kma iwezkn kma manunuz naomba nipatie 0779747258 whatsp

  • @dareymcute5790
    @dareymcute5790 4 роки тому +1

    Mashaallh wapo juu

  • @nirathkhaliphan4927
    @nirathkhaliphan4927 4 роки тому +1

    Allah barik

  • @kijolijuma3416
    @kijolijuma3416 2 роки тому

    Mlashallha
    Mupeneza

  • @eshaaly5404
    @eshaaly5404 4 місяці тому

    Mashallh❤