MBUNGE MATIKO Apiga SIMU 'LAIVU' Kuongea na POLEPOLE, Ambana kwa MASWALI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 760

  • @ojasoojaso9479
    @ojasoojaso9479 4 роки тому +57

    Kwanini wanaocoment wanatukana badala ya kujenga hoja, tujifunze kupingana bila ktukanana

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 4 роки тому +4

      Hilo ndio tatizo la uteam wa vyama maslahi ya nchi hatujal ndio linalocost

    • @praykyara2604
      @praykyara2604 4 роки тому +3

      Kwel kabisa

    • @witneskilinda5034
      @witneskilinda5034 4 роки тому +2

      watanzania wengi tumekuwa wajinga sana, wamezoea ndioooo

    • @solemba595
      @solemba595 4 роки тому +1

      WaTz wengi hawajui wanachoongea, wanategemea mwanasiaa wawatafsirie...

    • @h.jrugashaula1296
      @h.jrugashaula1296 4 роки тому +2

      Tangu lini Watanzania tukajibu hoja kwa hoja....Tumelelewa hivyo ukihoji unachapwa makonde au unatiwa korokoroni

  • @edwinernest2012
    @edwinernest2012 4 роки тому +1

    Hongera sana Ester Matiko! Kumbe unasoma ilani ya chama cha mapinduzi!!

  • @amosgerald7763
    @amosgerald7763 4 роки тому +1

    Asante sana mbunge wangu Matiko

  • @dennisstafford450
    @dennisstafford450 4 роки тому +2

    Polepole ni katibu mwenezi wa ccm anayejua kazi yake the best ever

  • @charlesmwandenuka7986
    @charlesmwandenuka7986 4 роки тому

    Umemjibu vizuri sana mwenezi wangu wa kitaifa hongera sana kwa ujuaji wa kiswahili fasaha kabisa kabisa unaongea nikama wewe ndiye uliye fanya hayo kaka
    Nikupongeze sana ..... Sina cha kukupa ila moyo wangu wa dhati nakushukuru sana kijibu majibu mepesi kwakua unayajua sana...

  • @josephatjohn1848
    @josephatjohn1848 4 роки тому +3

    Big up da ester real to educate a woman is to educate the whole society

  • @ayoubmwaitebele8157
    @ayoubmwaitebele8157 4 роки тому +8

    Global Tv huu ndiyo muundo mzuri wa kuijenga nchi yetu.
    Vyama vitoe upeo yakinifu wa kuipeleka nchi yetu mbali zaidi.
    Vilevile muwaonye watu ambao muda wote ni matusi.
    Mitandao itumike kuijenga nchi yetu

  • @nuruawadh4353
    @nuruawadh4353 4 роки тому

    Ama kweli uwalimu ni kazi ya kupewa heshima kubwa sana. Hivi mtu wa aina gani usiyeweza kuelewa alicho kiongea POLEPOLE
    na ni mtanzania unayeishi wapi uliyeshindwa kujua serikali ya chama cha mapinduzi ilivyo tekeleza ilani yake kwa vitendo kwa zaidi ya 100%. Ama kweli sio wote wenye macho wanaweza kuona na sio wote wenye masikio wanaweza kusikia na sio wote wenye miguu wanaweza kutembea hii ni sawa na kumpigia mbuzi guitar. POLEPOLE kiatu ulicho kivaa kinakutosha kweli wewe ni mwenezi wa chama cha mapinduzi taifa. Keep it up!!

  • @yasiralkindi5332
    @yasiralkindi5332 4 роки тому +4

    Duh hayo majibu yapo tofauti na maswali aliyoulizwa

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 4 роки тому

    Well done kumbe lami hadi inataka kufika mugumu kazi nzuri

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 роки тому +1

    Asante san kiongozi wangu porepore kwa maerezo wako mazuri mwenyezi MUNGU azidi kukuongoza vyema

  • @malaryhillary3075
    @malaryhillary3075 4 роки тому +5

    Kweli polepole Kashindwa kujibu hoja za Matiku

  • @angelinahogqvist7710
    @angelinahogqvist7710 4 роки тому +5

    Weoooooo mungu awabaliki ccm oyeeeeeeee

  • @sempaprudence9052
    @sempaprudence9052 4 роки тому +1

    Mh. Polepole umejibu vizuri maswali ya Mh. Matiko, mimi nafikiri kwa wale wanaoona umejibu tofauti na maswali yalivyoulizwa ni mtazamo wao pengine wanajua namna moja ya kujibu lakini kimsingi Mh. Matiko ameuliza juu ya utekelezaji wa ilani ya CCM na msingi wa majibu ya Mh. Polepole ni ilani ya CCM.

  • @yahasalel-sheibany5403
    @yahasalel-sheibany5403 4 роки тому +8

    Ester matiko: humpherey una miaka mingapi?
    Humphrey: Unajua mtoto wang ana miaka tisa na mke wang ana miaka 30 😂😂😂.

  • @jamesmwafumbila7027
    @jamesmwafumbila7027 4 роки тому +5

    Daaaah......! Ni kheri nizime nisimalize bando langu maana swali lingine majibu mengine anajibu vingine 🤣🤣

  • @msuyamsuya6976
    @msuyamsuya6976 4 роки тому +6

    Chadema hawajui kinacho endelea humu TZ in maskini was akili hawaoni,hawasikii jamani mbunge naelimu yako unauliza maswali ya kitoto! Du!! Poleni

  • @paulinaobiria9649
    @paulinaobiria9649 4 роки тому +17

    Natamani tufike mahali tunasikiliza hoja na kujibu hoja kwa maslahi ya taifa bila kujali uchama, Yaani kuna muda natamani watu waache uchama tusimamie maendeleo ya taifa kwa ujumla,
    Naipenda serekali yangu na nampenda rais wangu,
    Ninapenda kukoselewa ili kunisukuma kusonga mbele, siku zote changamoto ni daraja la kutuvusha.
    Kipekee mimi nawachukulia wapinzani kama Kioo cha chama tawala, bila wao tunaweza tusione madhaifu yetu,
    Nimependa hoja zilizohojiwa zinatupa dira, hongera Esther kwa utulivu wakati wa kuhoji Upo vizuri,
    Changamoto zipo kwenye utekelezaji na haya yanajibiwa kwa hoja kuntu, Mheshimiwa Rais anapambana Sana na anatamani Sana tufike mbali ila utekelezaji wa watendaji wengine ni changamoto.

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 4 роки тому

      Aaa bwana we ukosowaji gani huu wakinafiki hembu tujuzane yani hiyo tabia haina tofauti na vipofu tisa Waliyopo yew alafu kumshukuru bure wesjindwa

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 4 роки тому

      Kuna wengine wakisoma ulivyompongeza Esta roho zitawauma sanaaa!!

    • @angojothammbossa6385
      @angojothammbossa6385 4 роки тому

      Ukiacha uchama ccm inatoka madarakani

  • @johannesmaloda8209
    @johannesmaloda8209 4 роки тому +2

    well done...nlfkr jamaa atayumba kwenye maswali kumbe anafuatilia utekelezaji,hongera pia Ester Matiko kwa maswali mazur ya kimkakati...yu r better than Bulaya a little

  • @edwardmagori6630
    @edwardmagori6630 4 роки тому +9

    Polepole uko vizuri..... CCM Oyeeeee

  • @gavethhans5242
    @gavethhans5242 4 роки тому +1

    Mheshimiwa polepole elewa kuwa watanzania kwa sasa tunajielewa sana baada ya kujibu maswali straight unatueleza habari za maji sijui barabara hayo sio maswali uliyoulizwa

  • @obedygoldenmwakyambile1620
    @obedygoldenmwakyambile1620 4 роки тому

    Kwani miaka hiyo ya nyuma kulikuwa na chama kingine kilichoshika dora kabla ya ccm?

  • @lesashigeneral9213
    @lesashigeneral9213 4 роки тому +1

    Mh. Polepole tunashukuru kwakutufikishia habari njema za Miradi ya Maendeleo ilio tekekelezwa sehem mbalimbali hapa Nchini na Serikali yetu ya Chama Cha Mapinduzi.

  • @francisanania1765
    @francisanania1765 4 роки тому +2

    story balanced. good 👍👍

  • @furahamwajeka7463
    @furahamwajeka7463 4 роки тому

    Dada nimekupenda Sana katika kuuliza maswali bt huwezi sema imetekelezwa 30 % hapana talk of 80 %

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 4 роки тому +20

    Ukiwasikiliza wanaCCM wanapojieleza utafikiri kwamba kuna chama fulani kilikuweko madarakani halafu kikatolewa ndio sasa CCM ikaingia.

    • @twaibumatimbwa5023
      @twaibumatimbwa5023 4 роки тому +1

      unakili sana

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 4 роки тому

      Ni kweli kabisa

    • @brysonkaale7106
      @brysonkaale7106 4 роки тому

      Paka anakimbizana na mkia wake,siku akiukamata atakuwa kajikamata!

    • @sasha-ri7tf
      @sasha-ri7tf 4 роки тому

      Ndio propaganda za ccm kuwadanganya wa baazi ya Tz wasiojitambua, chama kimechoka ndio sababu kimepata Rais wazim kama alivyosema kikwete.

    • @enockniko5834
      @enockniko5834 4 роки тому

      Kweli aisee

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 4 роки тому +8

    Upo vizuri Pole pole uchambuzi wako nakumbuka enzi zile unachambua soka na Musiba.

    • @issamasimba9813
      @issamasimba9813 4 роки тому

      Yuko vizuri jinsi ulivyo wewe hoja anaacha majibu as nakimbilia yasiokueepo kwenye mada

  • @jumakinenekejo1009
    @jumakinenekejo1009 3 роки тому

    Mheshimiwe Pole pele Jisikilize some times for improvements to respond questions ?

  • @jahhloveyou4462
    @jahhloveyou4462 4 роки тому

    Vizuri sana vijana ,kulikoko kuingia mitandaoni-kilakitu wazi sauti picha hukweli wazi

  • @Joekwid960
    @Joekwid960 4 роки тому +1

    Yani nilicho kiona hapo Ni hili.
    Swali : Mhe Ester 1 + 1.
    Jibu : Polee Unajua bwana hauwezi kutoa hesabu ya mtoto wa darasa la kwanza Yani Kwakweli si Jambo la kunipima Yani nadhani Mimi Kama Mimi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Jibu swali moja kwa moja acha kuzunguka zunguka 😂😂😂. Fisiemu Kama Fisiemu bana toka 1961 porojo porojo

  • @yassirmabuku7832
    @yassirmabuku7832 4 роки тому +7

    Watangazaji wa Global Tv mimi nilitegemea wakat polepole anajibu Matiko angekua hewani ili awe anaanamuongoza kujibu maswali alio uzwa ama nyinyi ndo mngemuongoza Polepole kujibu maswali yale alio uliza Matiko kimsingi watangazaji mmepoteza radha ya kipindi maana Polepole hajajibu hata swali moja alilo uzizwa na Matiko
    Au nakosea jaman

    • @Ranaimuye
      @Ranaimuye 4 роки тому

      Global TV behaves as a mouth piece. Very unprofessional

    • @hajiharun3587
      @hajiharun3587 4 роки тому

      Wanaogopa kumuongoza,utasikia wafutwa kwenye air.

    • @korekalukumay7197
      @korekalukumay7197 4 роки тому

      Ndgu watangazaji mbona mweshimiwa hendi kujibu maswali ya mwingi,hapo ndyo unapata siasa na kazi kazini pamoja

  • @oyay2821
    @oyay2821 4 роки тому +1

    Ester Matiko ni mwanasiasa mzuri sana

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 роки тому +5

    Mbona Watu hamna shukrani!
    Yaani anasema vitu ambavyo bado havijatimizwa na Ana conclude kuwa ni asilimia 30tu muongo. Ester

    • @kazembally6032
      @kazembally6032 4 роки тому

      ajajibu hoja hata moja ii ndy ccm mpya hata katibu mwenezi ajui hat kujibu maswali mepes jibu hoja kwa takwim

  • @wanainchitvrdc6705
    @wanainchitvrdc6705 4 роки тому

    Safi sana ndugu pole pole awamu hii hawana hoja . hapa kazi tu

  • @seifabdallah1197
    @seifabdallah1197 4 роки тому +1

    Me cjamuelew polepole alichongea km na ww hujanielew naomb like

    • @nashonkalinga8806
      @nashonkalinga8806 4 роки тому +1

      WATU WAPINGE, WAKATAE AU WAKUBALI,
      UKWELI NI HUU: RAIS MH. J.P. MAGUFULI KAZI ILIYOFANYIKA KATIKA KIPINDI CHAKE NI KUBWA SANA; WANANCHI WAMEONA ,HAKUNA HAJA KAMPENI YEYE ANAPITA BILA KUPINGWA , AENDELEE TUU , ANAFAA SANA. RAIS WETU KWA SABABU AMETAMBUA NAFASI YA MUNGU KTK TAIFA LAKE , MUNGU ATAMUINUA NA KUMTUKUZA.

    • @faridhassan2308
      @faridhassan2308 4 роки тому

      Huwezi kumuelewa Kwa sababu tayari ushapanga usimuelewe

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 4 роки тому

    Shida ipo,viongozi wengi wanataka kila kilichoandikwa kwenye ilani kitekelezwe kama walivyoandika.kumbe kuna kuamisha matumizi ya kile ulichoandika kwenda sehemu nyingine kulingana na uhitaji wa mazingira husika.

  • @itsjonahfather7941
    @itsjonahfather7941 4 роки тому +1

    Kila kitu kitaanza itakapo fikaa december, na pesa ishatengwaa🤣🤣🤣Hapo tunaenda mitano minginee hivyooo

  • @mjombaanko8635
    @mjombaanko8635 4 роки тому

    Pozi Kwake Mzee Wa Ruksaaaa Bila Yeyeeee Mpaka Sasa Raizo, Bugaluu. Pekozi. Chachacha. Na Vingine Vingi. Mungu Hampe Afya Njema Na Uwai Mrefu na Kauri Thabiti.

  • @samwelmushi4741
    @samwelmushi4741 4 роки тому +1

    Naomba nimuulize rais maswali kodi zetu ndio zinae mueka madarakan alifu leo anaongea kwamba tusipo mpa kura ata leta maendelea hata kidogo jee hizo kodi zetu sindio zinaojenga nchii au nipesa zake mfukon atuambie kuusu Ilo

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 4 роки тому +1

    Mimi shahidi nimepitia njia
    Ya Serengeti. Najua Nata
    Na Mugumu togea nina
    1972. Haikuwa na lami.

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 4 роки тому

    Majubu ypo vizuriii😘

  • @jumasaidi8157
    @jumasaidi8157 4 роки тому +19

    Mhe polepole umemjibu vizuri sana mhe matiko.

  • @faridhassan2308
    @faridhassan2308 4 роки тому +6

    Amemjibu kisomi kabisa,asiemuelewa Polepole hawezi kuelewa hata jina lake milele

  • @hanifawaliya7976
    @hanifawaliya7976 4 роки тому

    Safi dadangu. Huo ndio upinzani Mzuri. Jazakallahu khair

  • @johnsonphilliminus4199
    @johnsonphilliminus4199 4 роки тому +1

    Duuuuh!! Huyu jamaa anajibu ambacho hajaulizwa. Kweli akili ni nywele na jamaa ana upara

  • @fabianmwambwalo2379
    @fabianmwambwalo2379 4 роки тому +1

    This is my Tanzania

  • @worldtechnology492
    @worldtechnology492 4 роки тому +3

    Ester safi kwa maswali pili polepole safi kwa kujibu tunaomba media zetu zifanyee hizi challenge za maswali

    • @icesue6613
      @icesue6613 4 роки тому

      Umeulizwa kuwa irani yenu mmeitimiza kwa asilimia ngapi ? Punguza uongo mkuu.

  • @abednegolazaro291
    @abednegolazaro291 4 роки тому

    Comrade kwa sehemu ambayo serikali yetu imesahau ni Serengeti kwenye barabara , barabara ya kutoka Serengeti to bundi ni vumbi , barabara ya Serengeti to Arusha ni vumbi , barabara ya Serengeti to Tarime ni vumbi , barabara ya Serengeti to musoma ni vumbi , ,
    Watu wa Serengeti wamesahaulika sana wanadhaniwa nao ni wanyama pori , that is why Mara kuna upinzani mkali kisiasa coz wanaona kwamba wanabaguliwa

  • @lawmaina78
    @lawmaina78 4 роки тому +1

    Hongera sana Polepole umeeleza vizuri.

  • @jonascharles6825
    @jonascharles6825 4 роки тому

    Polepole unajua kujieleza sana,hongera

  • @stephenmligo7179
    @stephenmligo7179 4 роки тому

    Daaaaa Polepole Noma aseeeee Nimekaa Longido Kuanzia Mwezi wa Pili mpaka wa Saba Ni Ukweli Mtupu Kwa wanalongido Bomba Linatokea West Kilimanjaro to Longido na Sasa wanataraji kuupeleka Namanga Lakini Mifugo Na wananchi wa Longido ni wanufaika DC Frank Mwaisumbe Ni Shuhuda

  • @ibrahimsimon95
    @ibrahimsimon95 4 роки тому

    Pole pole nakukubali, unajibu vizuri

  • @meesipro6799
    @meesipro6799 4 роки тому +3

    Yote haya ni mazao ya upinzani japo wengi hawajui kama wapinzani wasingepaza sauti hata haya tunayaona tusingeyaona so bg up sana wapinzani

  • @ayububenjamin2217
    @ayububenjamin2217 4 роки тому

    Umejibu vizuri sanaa, mzee polepole

    • @dominicusmapunda405
      @dominicusmapunda405 4 роки тому

      Mbona hakuna mkeka kutoka makutano kwenda natta, yaani barabara iliyoanza kujengwa mwaka 2013 mpaka leo hata km 20 hakuna unadanganya watu, hata hayo maji Butiama hamna.

  • @bahatimichael4538
    @bahatimichael4538 4 роки тому +14

    Kama hakuna mtu aliyeelewa majibu ya ndugu Pole pole akajifungie mpaka 2021

    • @faustinluambano2958
      @faustinluambano2958 4 роки тому

      Hiyo ni story nyingine hajibu hoja. Mnabahati sana wananchi wengi upeo mdogo.

    • @simonmanyelezi628
      @simonmanyelezi628 4 роки тому

      @@faustinluambano2958 Wananchi hatuhitaji kuelewa tunahitaji kuona nn kinafanyika na aliyosema polepole yote yanafanyika.

    • @sweetbertrwiza5982
      @sweetbertrwiza5982 4 роки тому

      Wewe kama umemwelewa basi unatafuta cheo

    • @hassaname3534
      @hassaname3534 4 роки тому +1

      akili ni nywele wewe unakipara du

    • @josephatjohn1848
      @josephatjohn1848 4 роки тому

      Bahat hayo sio maswl kama alivyoulizwa

  • @taffgong7751
    @taffgong7751 4 роки тому +1

    Kwani tangu kupatikana kwa uhuru wa Tanzania mpaka kufikia saivi serikali inaongozwa na chama gani? Na wahujumu wa uchumi na wapiga dili wako chama gani? Mbona majibu yake Pole pole hayaendani na mwaswali aliyoulizwa?

    • @mbarikiwambarikiwa3988
      @mbarikiwambarikiwa3988 4 роки тому

      Chama cha Ccm lkn viongozi tofauti, hvyo punguzeni midomo mushukuru kwa mnayoyaona na siyo kulaumu tu kwa kila kitu wakati macho yenu yanaona.

  • @bakariamour6024
    @bakariamour6024 4 роки тому

    Mh jee wilaya ya nayo ina lami ? au haiko Tanzania ?

  • @raymondroyer7414
    @raymondroyer7414 4 роки тому +7

    Serikali ya Awamu ya 5 imefanya makubwa upinzani wamekosa hoja wabunge kama hawa wanatafuta makosa au kiki za kipuuzi CCM IMARA TUMEIAMINI TUTAZIDI KUIENZI

    • @abdhihariabdhallah760
      @abdhihariabdhallah760 4 роки тому

      Kwani chadema wametawala lini tuiseme ccm toka 64 mpaka Leo hayo maendeleo yawapi

    • @hassaniidrissa5916
      @hassaniidrissa5916 4 роки тому

      Tumekuwelewa bablai

    • @hassaniidrissa5916
      @hassaniidrissa5916 4 роки тому

      Lakini bablai kwanini ndege zetu zisibebe minofu?

    • @depaolo3461
      @depaolo3461 4 роки тому +1

      @@abdhihariabdhallah760 maendeleo ya tz Kwan we unataka ya wapi

  • @chescomolla5557
    @chescomolla5557 4 роки тому

    Pole pole Ana piga story badala ya kujibu hoja, Mariko kamuuliza ametimiza ilani yake kwa asilimia ngapi? Ajibu maswali hizo nyingine Ni blaa blaa tu. Tupe namba, hoja ya matiko haijajibiwa.

  • @charlesmataba8344
    @charlesmataba8344 4 роки тому

    Kuna tofauti KUBWA sana kati ya Esther matiko na mh polepole....

  • @morismnubicharles4665
    @morismnubicharles4665 4 роки тому +7

    Sasa kuchelewa kooote huko ni kwa sababu CCM ndiyo imechelewesha maana ndiyo imenadi ilani yake kipindi chote hicho

  • @omarimsangi3136
    @omarimsangi3136 4 роки тому

    Mradi wa maji wilaya ya Mwanga(Lembeni,Mgagao,kisangara,ishinde etc)-Kilimanjaro umeishia wapi? Muheshimiwa @Polepole

  • @damemoney5140
    @damemoney5140 4 роки тому

    Global tv online...
    Hongereni sana kwa kazi nzuri ambayo mnafanya katika mazingira yote ambayo mnapitia na kutupatia taarifa sahihi na kwa wakati sahihi lakini sikosoi nashauri tu wakati wa habari au maelezo mtu kapiga simu sisi kama watu wenu tunahitaji kusikia anayoyasema bila kupata kusikia chengine ningeomba na nawaomba wakubwa wetu hizo soundtrack za chini ya maneno huwa zinatatiza sana katika kusikiliza habari hilo tu lakini hongereni kwa kazi nzur na mbarikiwe sana..

  • @rehemaomar7856
    @rehemaomar7856 4 роки тому

    Hivi Polepole unalikumbuka swali uliloulizwa?

  • @doctorgames5011
    @doctorgames5011 4 роки тому +1

    Mim ni mwalimu wa sayansi kimu shule ya msingi kinegamgosi naulizia laptop zetu lini??

    • @rehemaomary3267
      @rehemaomary3267 4 роки тому +1

      Nilipewa mimi mwanafunzi badala yako

    • @doctorgames5011
      @doctorgames5011 4 роки тому

      @@rehemaomary3267 basi kwa muktadha huo kidumu chama

  • @sahidinamoto8927
    @sahidinamoto8927 4 роки тому

    Toka nimezaliwa mwaka 1976 wilaya ya newala kwa mzee mkuchika ni shida ya maji tu tunakunywa maji ya kuchacha ambayo hayana uhakika na usalama ya kutuamisha visimani ya mvua ya mjomba hadisi tokahenzi za mzee mwinyi maji newala ni hadisi

  • @africanheroestz-acapella2458
    @africanheroestz-acapella2458 4 роки тому +5

    Watanzania hebu tumuache Magufuli amepiga kazi awamu hii tena kwa speed sana, mi niko Arusha sioni kitu Lema amefanya huku kazi ni majungu tu

  • @amostuliza2508
    @amostuliza2508 4 роки тому

    Kwa kiwango gan huo utekelezaji umefanyika kulingana na ahadi zilizoko kwenye ilani ya chama Cha mapinduzi Hilo ndio swali la msingi. Hamjafikia hata 35 asilimia ndio hoja ya msingi

  • @emmanuelmwitathomas834
    @emmanuelmwitathomas834 4 роки тому +2

    Aiseee majibu tofauti na maswali et

  • @veelusa
    @veelusa 4 роки тому

    Ester umeuliza swala kama siyo mbunge. Nimeamini bungeni munatoroka kwa hiyo hamuelewi kinachoendelea. Yaani umesihindwa kujua maeeneo ambayo yalikuwa hifadhi wamerudishiwa wanaanchi kwa ajili ya wakulima na wafugaji

  • @gavethhans5242
    @gavethhans5242 4 роки тому +1

    Jibu maswali uliyoulizwa wananchi sasa tunajitambua sana hizo siasa tumezichoka

  • @jejufima4887
    @jejufima4887 4 роки тому +14

    Mwenye akili huwezi kuacha nyumba yako ikiteketea kwa Moto ,, ukasaidie kuzima moshi unaofuka kwa jirani.. eti leo matiko unauliza utekelezaji wa ilani ya chama Cha mapinduzi,! Nyie mnalipwa rudhuku miaka mitano hata ofisi yenu ya chama yenye hadhi tu inawashinda..🤣🤣🤣 akili ni nywele

    • @comrademlewaisavile336
      @comrademlewaisavile336 4 роки тому

      Unaijua ilan ya ccm au ww unaipenda ccm. Acha kukoment kama hujuw coz anachoongea nichakisomi. Je ww unayajua

    • @othmanmajuto5080
      @othmanmajuto5080 4 роки тому

      Uko nje kabisa hiyo sio Sera
      Inayo jadiliwa hapo ,acha majungu

    • @nelsonkazaura6954
      @nelsonkazaura6954 4 роки тому

      Uwe na akili sio kinachasemwa na CCM wewe kazi ni kupongeza tu, chambua hoja kwa kufuatilia yaliyonenwa awali.wewe ni bendeta hufuata upepo tu!

    • @jejufima4887
      @jejufima4887 4 роки тому

      @@nelsonkazaura6954 heri umejuwa kuwa CCM inabendera ya kupeperuka na tukaifata, chadema sikumbuki mbendera ilichanikiaga wapi..🤣🤣🤣 mtanyooka mwaka huu 💚

    • @girbartmaganga3778
      @girbartmaganga3778 4 роки тому

      Kwahiyo ruzuku unataka upewe wewe

  • @janethgerald7871
    @janethgerald7871 4 роки тому

    Xaxa mngekuwa ninyie chadema mngefanya??? Acheni kutuchanganya bwana

  • @patrickmwambungu8471
    @patrickmwambungu8471 4 роки тому +1

    Hapo umezunguka sana umepoteza muda

  • @bakariamour6024
    @bakariamour6024 4 роки тому

    Barabara mpaka leo ina mahanda hivi hamuoni aibu ?

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 4 роки тому

    Huhuhuhuhuhu katibu unakwama sana. Hayo mliyoyafanya ni kwa asilimia hata 80

  • @prosperrugaimkamu4586
    @prosperrugaimkamu4586 4 роки тому +19

    Hivi nyie watangazaji mnafanyakazi gani hapo? yani mtu anaulizwa maswali mengine yeye anaongea yakwake. mnatumika!!

  • @laurensiapeter8555
    @laurensiapeter8555 4 роки тому

    Hata roma haikujengwa kwa ck moja wapinzani tulieni mambo ni polepole mwisho tutafika

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 4 роки тому +3

    Mtake msitake mstari ni mmoja tu kijaniii.....full stop

  • @malabashitendo8990
    @malabashitendo8990 4 роки тому +1

    Hongera CCM

  • @mathewkolobe7798
    @mathewkolobe7798 4 роки тому

    Aaaah pole pole bhana jibu maswali iliyoulizwa mbona we vip bwana

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 4 роки тому +1

    Hii Tv nimeipenda iko sawa kila pande safi sana

  • @vincentakulumuka4961
    @vincentakulumuka4961 4 роки тому +2

    Hayo ndio maswali mnayosema Esther amembana Polepole? Mbona yamejibiwa kiufasaha?

  • @marcbiroturo4937
    @marcbiroturo4937 4 роки тому +1

    Hiyo barabara ya makutano to Mugumu imejengwa kwa miaka nane na hazifiki 120km Polepole umetaja suguti roho imeniuma namna shida ya maji ilivyo.

  • @missmoresa8854
    @missmoresa8854 4 роки тому +1

    Polepole nakupenda bure unajibu hoja kw mpangilio
    Ccm no one

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 4 роки тому +1

    Huyu ametunga mtihani wake NA kujibu halafu anajisifu amefaulu. Specific questions need specific answers. Hii ni ilani YA CCM anababaisha.

  • @sikudhanimachaku7836
    @sikudhanimachaku7836 4 роки тому +6

    Puuuuumbaaaa kabsaaa.

  • @jonakajigili6991
    @jonakajigili6991 4 роки тому

    Ahahaaa siasa banaaaa.... Ingekuwa hata maswali Darasani ukiona magumu unatoa majibu unayokumbuka tuuu, haki ningesoma sanaaaaaaaaaa, polepole usiende Nje ya swali, mwana Ccm Mwenzangu

  • @bakariamour6024
    @bakariamour6024 4 роки тому

    Mh polepole ile wilaya ya Pangani mbona mmeitelekeza ? Au hii wilaya haipo Tanzania ?

  • @kadyuwegeyetv5310
    @kadyuwegeyetv5310 4 роки тому +6

    Dada nimekuelewa sana

  • @rashidmalilo3657
    @rashidmalilo3657 4 роки тому

    Hongera polepole umenena point tupu

  • @lusajomwakalinga5965
    @lusajomwakalinga5965 4 роки тому +12

    Out of my marking scheme lol

  • @oscarpaul6327
    @oscarpaul6327 4 роки тому +1

    Polepole bhana usituvuruge tunataka ujibu maswali

  • @markomuna5037
    @markomuna5037 4 роки тому +5

    Umeulizwa mengne unajibu mengne nyny globo mnamsikiliza badala ya kumhoji

  • @smileboy6199
    @smileboy6199 4 роки тому

    Hongera polpole

  • @emmanueljackson1245
    @emmanueljackson1245 4 роки тому

    Polepole kashindwa kujibu maswali alioulizwa badala yake anaongelea mambo mengine ambayo hajaulizwa, na yale aliojaribu kuyaongelea bado kachemka kwakweli hana la kujitetea

  • @kipokendirangu2572
    @kipokendirangu2572 4 роки тому

    Huyu dads alikuwa anajishughurisha na uvamizi wa magereza kwa muda mwingi hiyo ilikuwa kwa manufaa yake 2 alichukuwa wiki mbili wanavyo jipenda chadema eti wanajifungia karantini usisahau hapo kila mbunge alichukua mamillion ya pesa wakaenda nyumba za kulala wageni huko ndiko walikuwa wanatanua.sasa anachukua agenda zake kwa pole pole hilo nikosa alikuwa na wakati mwingi aliutumia kufanya vurugu zilizo mshushia umashuhuri sana. Pole pole siyo bunge.

  • @tumainitumaini8740
    @tumainitumaini8740 4 роки тому

    Pole pole mjinga sana unchoulizwa cyo unachojibu!

  • @sixmangwela4543
    @sixmangwela4543 4 роки тому +8

    ayo ndo maswali uliyoulizwa?

  • @ephraimkanyambo4829
    @ephraimkanyambo4829 4 роки тому

    Kuna vikubwa zaidi ya malambo ndege moja ya 787 dreamliner inaweza kutengeneza malambo elfu