SOO [ACTION MOVIE FULL HD FULL MOVIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @benjaminmuhaya3193
    @benjaminmuhaya3193 2 роки тому +5

    wow kazi nzuri sana sana sana. nimependezwa. ila niruhusu kidogo nishauri kidogo, vitu mtakavyo fanyia kazi na kazi itakayofuata itakuwa nzuri zaidi.
    1) Costumes- movie out fits
    2) audibility - sound katika sehemu nyingi Kuna sauti zimesikika za watu wengine zaidi ya waigizaji.
    3) Lighting also improve.
    but I give you thumbs up👍👍👍👍👍👍👍👊💪

  • @paulmunocka133
    @paulmunocka133 2 роки тому +2

    nimewapenda kazi nzur je naweza kuwatengenezea story

  • @MichaelYoram
    @MichaelYoram 4 місяці тому

    Very nice Kwa kazi nzuri

  • @leebrownkech7758
    @leebrownkech7758 2 роки тому +4

    Jameni nahitaji kuwa mwana sanaa

  • @alikenga7493
    @alikenga7493 Рік тому +1

    Move poa sana hii mambo na maisha yani na nivitu viko kwa maisha haya ya sahi

  • @globalmind6321
    @globalmind6321 2 роки тому +2

    Kali sana

  • @mwangoterrecord3153
    @mwangoterrecord3153 2 роки тому +2

    Kazi nzr but kuna baadhi ya vitu vidogo vya kurekebisha, ukiangalia huyu dogo ambaye ni muhusik mkuu na huyo haliempeleka katika kazi za ujambazi ambaye ameonesha kumshaangaa mwezie baada ya kumkuta anauza maji anaeonekana kavaa rafu kama maskini ni huyo halieonesha kumshangaa mwezie kuwa anauza maji

    • @kingmediatz5243
      @kingmediatz5243  2 роки тому

      Asante kwa mawazo

    • @chaguselya2760
      @chaguselya2760 Рік тому

      Yap inabdi paonekane if there's some different kati ya aliye na maisha bora na masikan hapo tasnia ya filamu zetu zitakuwa zimepaa juu chukulieni mfano movie za akina The Rock, Vin Diesel finishing inaeleweka wanaenda kuwa after mapambano ya kukomboa au kukomboana

  • @mwangoterrecord3153
    @mwangoterrecord3153 2 роки тому +2

    Kosa jingine huyu jamaa kumbukumbu zimepotea hila kafika kwake na amemtambua mke wake kwa jina

    • @shahanajash8449
      @shahanajash8449 2 роки тому

      Big mistake. Probably wangetengeneza mazingira kwamba alikuwa anawafanyia drama wale jamaa, ingesaound good

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 Рік тому

    Nawapa pongezi kubwa kwa kazi yenu nzuri👍👊

  • @RabiaSaid-sh1km
    @RabiaSaid-sh1km 2 місяці тому

    Movies inaboa kweli yan staring wa mchezo anapigwa hadi movie inatia usingizi 😂😂😂😂😅

  • @Paplick9
    @Paplick9 Рік тому +1

    Keep moving forward 📌📌📌📌

  • @jobmasika7110
    @jobmasika7110 2 роки тому +1

    Mke mwema kumpata ni kazi

  • @MwanapiliSidi
    @MwanapiliSidi Рік тому

    😂😂😂😂😂 NIMEPENDA apo,Kwa kujuana na kipigo waah

  • @Joseph-u4g5z
    @Joseph-u4g5z 3 місяці тому

    Usilipue kube hiyo msemo iko mpaka uko tz dur😮

  • @mandwekemsechu4616
    @mandwekemsechu4616 Рік тому +2

    Gosto muito do vosso trabalho👌, amei ❣️

  • @chaguselya2760
    @chaguselya2760 Рік тому

    Labda niwarekebishe kidg kiukweli mnajitahdi lakini kuna sehemu mnafeli sanaaa, hebu kwenye kumalizia ielewek kdg tujue huyo mpelelezi katokaje hapo na mke wake na aliumizwa katibiwa au kadedi pawe na kumalizio basiii🤣🤣🤣

  • @DanielKimaeio
    @DanielKimaeio 5 місяців тому

    Sema punguzeni bagi maliazia story😂😂😂

  • @khamisomary7428
    @khamisomary7428 3 місяці тому

    Kazi nzuri ila kamera yenu mbovu+ editing yenu sio,,, yawezena kwenye ima kamera ama location

  • @Josern.msengi
    @Josern.msengi 8 місяців тому

    Movie.nuri.ila.stering.mubadilishe.huyo.hafai.amelegeea.sana.anapigwa.pigwa.sana

  • @WilliamCharo-td4ug
    @WilliamCharo-td4ug 10 місяців тому

    Eeeee hiii Kali Sana

  • @halimaiddiijengo7376
    @halimaiddiijengo7376 4 місяці тому

    Hongeren ilahaya matangazo

  • @ngalamwadziwe5601
    @ngalamwadziwe5601 2 роки тому +1

    Mke wema jamani....kumpata matanga

  • @OnyangoBonface-gg4bf
    @OnyangoBonface-gg4bf 2 місяці тому

    Watching 2024 from kenya

  • @WILLIBETHDAUDI
    @WILLIBETHDAUDI 8 місяців тому

    Very good

  • @issasanjari2063
    @issasanjari2063 2 роки тому

    Huyo star anapigwa mpka Radha ya movie inapotea

  • @wanjalacomedian1106
    @wanjalacomedian1106 2 роки тому +2

    Wanjala comedian e

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 роки тому +1

    Hii kali sana

  • @mustafaomongot1556
    @mustafaomongot1556 2 роки тому

    Nice movies are got from Africa

  • @allymuhunzi
    @allymuhunzi 8 місяців тому

    good

  • @musamatewa-gj1dp
    @musamatewa-gj1dp Рік тому

    Movie kali bro ap umechez

  • @bakresboy9393
    @bakresboy9393 Рік тому +2

    ❤😂🎉

  • @MasanjaNguno-hi9sm
    @MasanjaNguno-hi9sm Рік тому +1

    Masanja

  • @BrianDalu-dx7xm
    @BrianDalu-dx7xm 11 місяців тому

    Very pain

  • @jumarobert4929
    @jumarobert4929 Рік тому

    Move zenu ni nzr ila stealing anapigwa weeee jifunze kwa j white yule mmarekan au skot au don yen

  • @DaimondGaudencioAmimoSalimo

  • @muhammadjuma3133
    @muhammadjuma3133 2 роки тому +1

    Saikt

  • @senseisafari1355
    @senseisafari1355 Рік тому

    Safi sana

  • @KelvinNduta-ld1qj
    @KelvinNduta-ld1qj 6 місяців тому

    😮😮😮😮

  • @nemesmaombi8900
    @nemesmaombi8900 2 роки тому +2

    Bonge la move

  • @mandwekemsechu4616
    @mandwekemsechu4616 Рік тому +1

    Gosto muito do vosso trabalho👌, amei ❣️

  • @barutithedoni9538
    @barutithedoni9538 2 роки тому +2

    Very good