🔴MANAGER DING'ANO ASLAY FUNDI MARIOO KAFUNIKWA KWENYE WIMBO WAO WALIMPOTEZA ILI WAONGOZE WAO KIMZIKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 12 днів тому +2

    Ding'ano points 👉

  • @imrizzy9668
    @imrizzy9668 10 днів тому +2

    Mbona husemi uongozi wa harmo ulivyombovu mpaka wasanii wakatoka? Kama hupendi mtu usimpende tu ongea ya kwako

  • @Khellymigeyo-u2u
    @Khellymigeyo-u2u 12 днів тому +1

    Ukwelii mtupuu ❤❤

  • @imrizzy9668
    @imrizzy9668 10 днів тому +1

    Wasafi itamregesha Aslay wengine zii

  • @EnoqueJoaoMamba
    @EnoqueJoaoMamba 12 днів тому

    KKKKK Ding'ano umezidi, mtoto kama class

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 12 днів тому

    Kwer Aslay katisha sana mule ndani pin 📌 ni pin 📌 kwer 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SimonSichone-z6t
    @SimonSichone-z6t 12 днів тому

    Ukwel mtupu❤

  • @YusuphMtanga
    @YusuphMtanga 8 днів тому

    Uyo chizi mnamuoji sana tumechoka kumsikiliza kila sku anamsema mond kila sku mbona hamo anamapungufu mengi lakini anakaa kimya

  • @BakariMwakesi-v1b
    @BakariMwakesi-v1b 11 днів тому +1

    Mario analolote nyota yake ishaisha

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 11 днів тому

    watasema unaroo mbaya

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE 12 днів тому +1

    ASLAY muda alosaini kwa ibilisi kuvuma umekwisha, Hata kwa kolabo na kiba au jeshi hawezirudi, waliosaini majuzi ndo wanaTrend haijalishi wanaimba nini

    • @BakariMwakesi-v1b
      @BakariMwakesi-v1b 11 днів тому

      Apo umeongea bro

    • @Abby_Shawn_KE
      @Abby_Shawn_KE 11 днів тому

      @BakariMwakesi-v1b 😁sio kama nawaonea, kuna kipindi nimejihusisha na sanaa nikiwa chipukizi nikashinda tuzo flan hivi alaf walionipokea kuendeleza na kukuza nilichokuwa nakifanya baada ya muda wakaniambia natakiwa kujiunga kwenye chama huru cha ibilisi na iwapo nitakaidi MEDIA ni zao wataninyamazisha ukawa ndo mwisho wangu kwenye sanaa saivi naendeleza shughuli zingine bila lawama za kutoa familia kafara

  • @AntishowMkNk-c6y
    @AntishowMkNk-c6y 5 днів тому

    Wewe umbwa wa Ding'ano Wcb Unatafutaga Nini wewe ni msenge kweli