Mama Ciku invites us for Ruracio Ceremony happening Tomorrow Saturday at her Home

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 326

  • @lucymaina7216
    @lucymaina7216 День тому +14

    Mama is a strong woman....lmagine she respected mam wachira even after insulting her.......wachira aende kabisa

  • @43naomim
    @43naomim 22 години тому

    🎶nitakaseee baba...wee ni mwanzo tena mwisho naomba .. nishike mkono🎶💃🏾💃🏾

  • @divinahnyabuto1482
    @divinahnyabuto1482 2 дні тому +28

    I love the dressing style of mama Ciku..... she has the same taste as me

    • @angelineomusula3083
      @angelineomusula3083 День тому +2

      I like it too

    • @philipchania6342
      @philipchania6342 18 годин тому

      Na tabia? Unakaa na mtu ex kwako 3 weeks wakati uko na mwingine unaita bwana...

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 30 хвилин тому

      She is beautiful 😍

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 30 хвилин тому

      ​@@philipchania6342yako ikoje tuambie

  • @aronkibet1475
    @aronkibet1475 День тому +1

    Nothing can separate wachira and mama ciku they have a real love shida tu nikuelezea baba mlezi real things all will be back

  • @tabithashimenga4742
    @tabithashimenga4742 2 дні тому +12

    Mama alikua anacheza game underground. Alifikiria haitajulikana but now it has come to light

    • @alicenjiru4002
      @alicenjiru4002 День тому

      Game gani wee acha zako fuata story mama. Shiko did what she had to do under such circumstances

    • @Teeruagos3300
      @Teeruagos3300 День тому

      Na Wachira hakua anacheza game kule SA. After all Mama Shiku alirundisha ruracio.

    • @paulkaranja9257
      @paulkaranja9257 День тому +1

      kweli, 3 weeks alilala na Wachira akimfichia baba mlezi

  • @rogerslubanga5955
    @rogerslubanga5955 2 дні тому +17

    Hapo Mahali ya kwamba hawajawai kulala pamoja ooo please sisi sio watoto

    • @annettenekesa6375
      @annettenekesa6375 День тому +1

      Wachira said they had good times akijua hapo ni kwake😂😂😂 SA ni head quater ya HIV mama I pity you usiuwe baba ciko Bure na vile amekusaidia. You did a grave mistake entertaining that silly guy Wachira

    • @joycewairimu2448
      @joycewairimu2448 День тому

      Angelipua huko kwake kama angepewa kakiru... Wachira ni confused

    • @elvisbabu1324
      @elvisbabu1324 День тому

      😂😂😂sisi siowajinga bwana

    • @tabbyshiro2310
      @tabbyshiro2310 День тому

      😅😅😅😅

  • @janerosemaina7542
    @janerosemaina7542 День тому +2

    Sama what do you mean kama mtu anafaa kuvumilia. Remember wachira aliacha mama Shiku akiwa mchanga Sana. Akakataa hata kuwa anacomunicate Na yeye. Hakuwa ana support family yake. After 10 good years mama Shiku angengojea mtu mwenye ako Na wanawake wengine South Africa. Mama wachira pia wamehanda ithigi Kwa mwingine. Kwani wamama hawana feelings? I support mama Shiku 💯

  • @RosalineAgatha
    @RosalineAgatha День тому +1

    She did the right 👍 thing because even wacira moved on in south Africa

  • @mayatamnai3080
    @mayatamnai3080 День тому +7

    My baby daddy im waiting for ile siku utajaribu😂😂😂 i swear utaenda 6 feet

  • @lucymaina7216
    @lucymaina7216 День тому

    Mama shiko, we love you....keep on with Macharia.

  • @salimmaluki5551
    @salimmaluki5551 День тому +5

    Huyu mwanaume wa south Africa ni mtoto wa mama ndio alitupa bibi sababu ya mama yake what could you expect alitupa bibi akaokotwa kwa hivyo mama shiku she's very Wright huyu bwana arudi south Africa kwa bibi yake wa huko

  • @MariyaOnzico
    @MariyaOnzico 2 дні тому +9

    You walk away ,unavumilia nini,alifanya vizuri

  • @angelineomusula3083
    @angelineomusula3083 День тому

    Mama hiko angenunuliwa shamba mahali pengine ndio awe n amani.

  • @LuciaSamuel-j2p
    @LuciaSamuel-j2p День тому +4

    I love the way mama shiquo dresses herself ❤

  • @CarolineWanjiku-ff9xh
    @CarolineWanjiku-ff9xh День тому +2

    Kuzaa c KAZI kulea Dio KAZI baba shiku mlezi apokee mahali

  • @Teeruagos3300
    @Teeruagos3300 2 дні тому +4

    It was good, Mama chiku walked away.
    Hapo mama Shiku umesema Pahali ulitolewa nguo, dipo Mungu atakuvalishia..karibu nirukeruke. Mimi ni mushuhunda ya hayo. God told me the same town I was disrespected is the same town I will be honored. I only wish you could see the blessings God has given me in the same city!

  • @rogerslubanga5955
    @rogerslubanga5955 2 дні тому +8

    Hata wakati ulikutana na wao they were walking as a couple

    • @davidotieno5694
      @davidotieno5694 День тому +2

      It's a deal gone wrong

    • @paulkaranja9257
      @paulkaranja9257 День тому +1

      exactly, why was she kneeling for him in the streets ? Now she is talking different.

  • @DoubleSeven-y1u
    @DoubleSeven-y1u 2 дні тому +29

    Huyu mama Shiko hakuvumilia, Wachira left for 10 years, she's been married for 10 years, where is the waiting period?

    • @wanjablessed9559
      @wanjablessed9559 2 дні тому +8

      Unaongea hivyo coz hujawai achwa

    • @janekarani7376
      @janekarani7376 2 дні тому +9

      Why would you wait for somebody who is not in contact with you

    • @annelunazo6660
      @annelunazo6660 2 дні тому +5

      Huyu alifukuzwa na mother inlow

    • @fridahombaki3272
      @fridahombaki3272 2 дні тому

      ​@@wanjablessed9559😢😢😢 hajui yale matezo mtu upitia

    • @dinahraluoch-ut6rz
      @dinahraluoch-ut6rz 2 дні тому +6

      Why vumilia yet umetupwa na mtoto? I really don't blame her. Some people are Godsend

  • @Jer74
    @Jer74 2 дні тому +5

    Mtashutuka kesho kuona Samaritan na wachira for more dramas kwa Ruracio ...huyu ni Samaritan

    • @JacklineWaithera-g4f
      @JacklineWaithera-g4f День тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂niuwe

    • @Jer74
      @Jer74 День тому

      @JacklineWaithera-g4f tuonane kesho hapa 😀

  • @paulinewangila-cs6ys
    @paulinewangila-cs6ys 2 дні тому +17

    SAMARITAN SANITAZE SIMU YA BABA MLEZI WA CIKU,INAKUAJE UNAISHI NA MWANAMKE HIYO MIAKA YOTE NA HUMZALII,AMEKUNUNULIA PLOTI,AMEKUJENGEA NYUMBA ANALEA WATOTO WA KAMBO NA HATAKI WAKE NA YUKO NA MALI,CIKU ALITUAMBIA MZEE UWAGA ANAMTAKA❤

    • @vionahandrew1428
      @vionahandrew1428 День тому

      May be asahi

    • @mumbisandtmann8931
      @mumbisandtmann8931 День тому

      Unajua hio presence ya hao watoto he felt they are his own,lets agree their are good people out there but I believe he might had other kids before@paulinewangila-cs6ys

    • @PeterNgungi-qf9vh
      @PeterNgungi-qf9vh День тому +3

      Kuzaa sio maamuzi ya mtu ni baraka kutoka kea mungu,ndio maana kunakuwa na mgumba,kuna mwenye mtoto mmoja na mwingine watano mwingine kumi na zaidi.

    • @CatherineMumbua-ue5pn
      @CatherineMumbua-ue5pn День тому +7

      Am single an accountant financially stable, I have no kid and I don't intend having any... Not everybody wants kids for your information.

    • @hellenkathambi8694
      @hellenkathambi8694 День тому +2

      It might be his decision or medical reasons. Staying with someone for 10 years is not a joke, he is a determined man and loves this family.

  • @BintiDanford
    @BintiDanford День тому +4

    Hata kama baba mlezi anafamiliy yake nyingine bado ni baba bora na mume bora kwa mama shiko na sio huyu baba shiko mzazi mwanaume anayeendeshwa na mama mzazi mwanaume hana akiri maneno mingi kama mama yake mbaya zaidi haoni makosa yake kila kitu yeye yuko sawa ni ngumu kuishi na mtu kamahuyo ameacha mke na watoto watatu na bado haoni kama nikosa

  • @karosamuel8644
    @karosamuel8644 2 дні тому +4

    Sama watching from uk. Big question to mama. Why did she welcome wacira back into her life if she had moved on and how did she get to know this man was coming from SA?

  • @shikusteve
    @shikusteve День тому +8

    I think at first kama mama Shiku alikuwa anaheshimu baba mlezi hangekubali wachira akuje kwake kama sio Sama wangeendelea kukaa pamoja

  • @jamesmwangi9242
    @jamesmwangi9242 День тому +2

    Let mama shiku get restraining orders from the court so that he is restrained from getting to your house.

  • @hellenkathambi8694
    @hellenkathambi8694 День тому +1

    Mama shiku did the right thing.

  • @angelineomusula3083
    @angelineomusula3083 День тому +2

    Mbona mama chiku alileta huyo mume kwa nyumba akiwa n bwana mwingine.

  • @MaryMunyao-dw8xb
    @MaryMunyao-dw8xb 2 дні тому +7

    Baba mlezi ndo anafaa kupewa mahari huyo mwingine ni mdomo tu na kutaka kuharibi shiko

    • @blastking2006
      @blastking2006 2 дні тому +1

      Nikama wewe hatuelewi Sheria za Dunia , kama hapa Kenya huyo Mzee amjingiza kwa shida atapoteza hio investment ya shamba na kujenga na aambiwe alipe damages ya kuaribu family hio Sheria inaitwa enticement of a spouse lawsuit

    • @blastking2006
      @blastking2006 2 дні тому

      Nge kuwa yeye ningeomba masamaha waelewane vile atarudishiwa pesa ya kujenga na kununua plot

  •  День тому +2

    Unge nunuliwa shamba kwengine wachania na advice za wanawake without point. Hio plot mlikosea sana kununua without watu wa family ya wachira period disagree to agree 💯

  • @joycewairimu2448
    @joycewairimu2448 День тому

    I love mama Kendi

  • @knklifestyle777
    @knklifestyle777 День тому +1

    Mbona hapa mama cikù anaonekana akiwa mkongwe hivyo😮

  • @estherkinyua914
    @estherkinyua914 День тому

    Baba shiku mlezi ni tasa kabisa

  • @antonykariuki2069
    @antonykariuki2069 День тому

    Mama chiku umeharibu na hio manywele ya wig. Unakaa kim-nyama

  • @angelineomusula3083
    @angelineomusula3083 День тому +1

    Mbona hiv test n ako n mume mwingine?

  • @joycewairimu2448
    @joycewairimu2448 День тому +1

    Watoto ni Mungu hupeana . Mkulima hawezi zaa na alijua thats why he took in this family with alot of care... Its happens when a man can't sire. Anajua anakuvalisha mke wake tunguo very smart

  • @Trizah-Nga
    @Trizah-Nga День тому +1

    My question is Mtoto wa shiko ni wanani?

  • @jamesmarley5981
    @jamesmarley5981 День тому +2

    Wachira ni mamasboy mama chiku angevumilia sai ndio shiko angesoma for ten years mzazi sio kuzaa mlezi ndio mzazi

  • @ThaddesusNyaenya
    @ThaddesusNyaenya День тому

    Kesho nikiona imeisha ndo nitajua imeisha but baba shiko atakujia msichana wake 😂😂😂

  • @hellenkathambi8694
    @hellenkathambi8694 День тому +1

    Wameru are very clever indeed. Kudos Mama, Sisi msimamo tunao❤

  • @CatherineMukiira
    @CatherineMukiira День тому +2

    Mama ciku kwani unataka kujilipa na Gari ya Wachira? It seems you need ruracio because ulilea ciku. If you love baba ciku 2 let Wachira be for your safe marriage

    • @annenjoroge9695
      @annenjoroge9695 День тому

      But they give Wachira the keys to his car already...

  • @ndettothejuice3094
    @ndettothejuice3094 День тому +1

    Huyu madam amepitia mangumu sana na bado anarespect mama wachira mwenye umtusi kila akijiskia lakini hawezi mjibu juu ya heshima.

  • @MariyaOnzico
    @MariyaOnzico 2 дні тому +3

    Si walikuwa wameongea wanaenda pamoja

  • @Mwewesa
    @Mwewesa День тому

    Mana Shikoh hananga nguo za mtumba , zote ni boutique 😮❤🎉, This man baba mlezi needs a lot of respect.
    I don't know why you invited Wachira in your home for 3 weeks, 😢😮yet you had a caring responsible husband.
    I don't know why you haven't given your caring current husband a kid🤭🤭, only you and God knows.
    You betrayed this man baba mlezi. He has pure intentions. The only thing with you , is that you don't seem to be a transparent partner.😉🤔🤫You MIGHT be having a hidden agenda , we are not sure of.
    I hope you will not kick this baba mlezi out in the next coming years, arudie familia yake na paper bag. 😮😮.
    All in all , we wish you success and happiness in your life mum.❤❤❤

    • @hellenkathambi8694
      @hellenkathambi8694 День тому

      You have spoken my mind but one thing you should know is that Baba mlezi is a rich man with many lands and lorries. He just bought the land for Mama kendi as a gift

  • @salomenjeri5085
    @salomenjeri5085 День тому +5

    She did the right thing 💯💯✅✅

  • @everlynechepkoech5649
    @everlynechepkoech5649 2 дні тому +10

    Huyu ndio mwanamke bomba...leta baba ciku hapa tumsalimie

  • @jane-bv8sm
    @jane-bv8sm 2 дні тому +9

    Mom ulifanya vizuri mom niko side yako

  • @munyasiasamuel4701
    @munyasiasamuel4701 День тому +1

    Mama ciku you are wright hata baba ciku alilelewa na baba mwingine...uliishi kwa ndoa ambayo siyako uko sawa kabisa for those ten years huyo wachira alikuwa anajua unavaa aje?! Unakula aje...wachana na huyu mushenzi

  • @blackylampard640
    @blackylampard640 День тому +1

    The good question is how was mama chiko moved on very fast
    Imagine the husband left for ten years and mama chiko has been married again for ten years how

  • @Esthermwikali-bn9rs
    @Esthermwikali-bn9rs День тому +10

    Samaritan you should investigate all people baba shiko 2 hana bibi somewhere

    • @susanngugi2489
      @susanngugi2489 День тому +3

      I believe the lady knows so let her enjoy life

    • @wambuimwangi5123
      @wambuimwangi5123 День тому

      I bet he has a wife the reason he is not bothered in getting kids with mama shiko and still the reason the land is written under her name.

    • @janerosemaina7542
      @janerosemaina7542 День тому +1

      Hata kama ako Na Bibi you can't advice her to go back to wachira.

    • @knklifestyle777
      @knklifestyle777 День тому +2

      Unataka akuoe wewe pia?

    • @hwambugu0
      @hwambugu0 День тому +1

      Sanitize for what? There's really no need for that. Mama Shiku must be knowing

  • @philistersokumu1158
    @philistersokumu1158 2 дні тому +1

    Am now struggling with my daughter with the step dad sai babake ako sawa and nothing bothers and then mtoi akishafanikiwa the world will say baraka hutoka kwa baba you can't serve the devil and expect blessings from God !

  • @MariyaOnzico
    @MariyaOnzico 2 дні тому +5

    Ulifanya makosa kuleta huyo bwana kwa nyumba yako

  • @ClarahMwatati-yd3tu
    @ClarahMwatati-yd3tu День тому

    Looks like mama shiko wants another baby na wachira,coz wachira said for 3weeks they were mating ,she could be pregnant 🤰 now

  • @jesusismyeverything1630
    @jesusismyeverything1630 День тому

    Uko sawa kuondoka ungeendelea ungepata afya ya akili ,

  • @Sunshine_Amy
    @Sunshine_Amy 2 дні тому +1

    Mama shiku move on....usipewe presha....go where your heart feels peace....washira ni mjinga he doesn't know how to solve things ..ten years no help ,mom in law chased you out 😔😔😔😔....it's too late for washira... problem ni buying your father in law land, nothing else

  • @karosamuel8644
    @karosamuel8644 2 дні тому

    Sama been following this story but twice baba mlezi said he was going to to take this macaria to jail but mama objected both time. She even offered a chair I in front of baba mlezi and he interjected hata amekuwa mzee wa boma umempa kiti.

  • @anngithinji7109
    @anngithinji7109 День тому +1

    Mama Shiku wewe ulifanya vizuri Kila mtu ako na maisha yake. Wachira mama's boy ukwende South Africa.

  • @gracekelly7682
    @gracekelly7682 День тому +2

    How come Wachira alienda 10years na she is with the other one 10 years how is that possible?

  • @jacklinemusau9464
    @jacklinemusau9464 День тому +1

    I salute this woman, she did good to move on from this mashida coz you should not suffer just for basic needs. Na mungu ni nani akamuinua

  • @wambui185
    @wambui185 2 дні тому +5

    Naomba unishike mkono Mungu 2025🎉🎉🎉

  • @isaacmbugua2132
    @isaacmbugua2132 День тому +1

    Wachira arudishe ujinga south Africa

  • @stellawoelke6012
    @stellawoelke6012 День тому +3

    Hi Samaritan
    Watching from Germany Hamburg

  • @PeterNgungi-qf9vh
    @PeterNgungi-qf9vh День тому +1

    Niko side ya mom ivo tu

  • @nafulakingasia
    @nafulakingasia День тому

    Bado mama ciku anampenda wachira

  • @SiaCollins
    @SiaCollins День тому +1

    Mama shiku nakupenda bure, unamsimamo kabisaa na hakuna kurudi nyuma

  • @blackylampard640
    @blackylampard640 День тому

    Mama ciko still loves her first husband coz there's no way she allowed him to come to the house and sleeping with him

  • @nafulakingasia
    @nafulakingasia День тому

    Mama ciku did what she had to do to survive with her children.survival is for the fittest.hongera Mama ciku and hongera baba mlesi.wachira is very arrogant ,rude and disrespectful. His mum is the same .Mama ciku you don't need a man disrespecting you infront of your daughter and teaching your daughter the same.keep your lovely new family close ,wachira has come to Kenya abandoning another child in SA

  • @peteropere9125
    @peteropere9125 День тому

    She new the land belonged to Wasiras family, but still she bought the land.

  • @puritynjuguna2889
    @puritynjuguna2889 День тому

    Ameulizwa maswali na sijaskia amejibu

  • @Dominicmutua-h5h
    @Dominicmutua-h5h День тому

    Samaritan nfio chanzo cha jho shida jata maseali snayomuuliza mama shiku ni kuonyesha analalis upande wa wachira,we van judge fron the way you jave been handling this issue cz hakuna wakati tuliona sama akimwelezea msichana kwamba alona pesa yoyote mamake mama ciku akitumiwa pesa na wachira,🤙

    • @Easterntvsamaritan
      @Easterntvsamaritan  23 години тому

      Kuna vitu mingi sana huwa haziletwi kwa camera shiku knows everything that has been happening even the videos tushaa mwonyesha bt she is confused

  • @EuniceMacharia-l3x
    @EuniceMacharia-l3x День тому +4

    Mom shiko hata huwezi sema ni mmeru, na wameru ndio huruka na kelele na machungu na hawajui huongea kwa upole ..😂wameru ni noma lakini mom shiko unaweza fikiria ametoka nyandarua ,wakikuyu wa nyandarua wakila viazi wanaongea pole pole ...

    • @JacklineWaithera-g4f
      @JacklineWaithera-g4f День тому

      True😂😂😂😂😂😂

    • @kezzymbugua5954
      @kezzymbugua5954 День тому

      Exactly 💯😂

    • @LydiaKaroki
      @LydiaKaroki День тому

      Uuuuui eeee kama n mm shiko angelaani siku yke y kuzaliwa kwanza apa aliita mamake Malaya 😭😭😭

  • @joycewairimu2448
    @joycewairimu2448 День тому +1

    She is beautiful and smart, very wise lady... She was mistreated kabisa by the wachira s... Na yuke mama akalaani watoto wake ati hawataki huko kwake.

  • @lucywanjiru7284
    @lucywanjiru7284 День тому

    Sama u r asking her the tough question of which mama ciku was supposed to say why she was with wachira

  • @agnesmutindi3094
    @agnesmutindi3094 День тому +1

    Madam alicheza hata zaidi yampango wangu ingekua ni mimi, so kudos mamaaaa, wanaume wametuchezea sana

  • @DorisDorisdongle-rw8lb
    @DorisDorisdongle-rw8lb 2 дні тому +1

    Uyo wachira na mamake nikitu mbaya angekua na hanja na bibi yake hangeamini wazazi wake
    Wachira arijiharibia boma yake wakiwa na wazazi wake waachane na mama shiko akae maisha yake yenye anafirahia

  • @lucywanjiru7284
    @lucywanjiru7284 День тому

    Sama nikama ilikuwa Kwa my brain asking mama ciku why did he invite that man in another man house

  • @RwabwogoJohn
    @RwabwogoJohn День тому

    About giving baba Mleezi his own biological child, the reason is, Mama Shiko is using the man to raise up her children first because she feels when the man gets his own child might reduce the love and care for the abandoned children and shift the bigger effort to his child.But ten years is enough to give the man a child sincerely. Mama Shiko please appreciate the man for God to bless you and your abandoned children. He also needs to be happy like you are.

    • @hellenkathambi8694
      @hellenkathambi8694 День тому

      Broaden your mind please, this man could have other reasons why he has no kid, one is, medical reasons, another is personal choice 😂

    • @janerosemaina7542
      @janerosemaina7542 День тому

      That is between them, they have their own reasons for not having other kids.

  • @DoubleSeven-y1u
    @DoubleSeven-y1u 2 дні тому +1

    Hakuvumilia 10yrs, in less than 3 months she was already in a relationship

    • @kapampakamona5562
      @kapampakamona5562 2 дні тому

      Ni malaya tu

    • @annettenekesa6375
      @annettenekesa6375 День тому +2

      ​@@kapampakamona5562Eti Malaya??? Wewe ushawai achwa na mtoto na mimba nyingine na hauna chochote????stop judging this woman harshly. Baba ciko is a God sent

  • @jacintamumbi-c6v
    @jacintamumbi-c6v 2 дні тому +4

    Huo wimbo ni 🔥🔥🔥sana

  • @fatumaadam4271
    @fatumaadam4271 День тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @tabbydiallo2
    @tabbydiallo2 2 дні тому +1

    Wachira anaonekana hakuwa SA alikuwa amejificha huku Kenya,achunguzwe😂😂.Vile alitokelea kwa Mama Chiku bila kitu hata kiatu au nguo za mtoto is questionable,huyu Wachira ni mambo bad😂😂

  • @joycemuthoni9566
    @joycemuthoni9566 День тому

    Mama shiku hapendi wachira...huyu mama aache kusema ni mambo ya wachira....mama shiku u entertained wachira in ur own house....u even accepted wachira, s car in ur house...u hosted wachira in ur house...my question is why were you entertaining wachira????

  • @peteropere9125
    @peteropere9125 День тому

    Most guys who are commenting here are single, that is what have noticed.

  • @mungaikimani3328
    @mungaikimani3328 День тому

    But the question is ,,why did she entertain him? if don't love someone,,,what are doing with him or her?

  • @antonykariuki2069
    @antonykariuki2069 День тому

    Wachira kushinda ulisema, this is my daughter haitakusaidia. Bona haukulea familia yako miaka kumi? Wachira unaudhi na unaongea sana

  • @peteropere9125
    @peteropere9125 День тому

    "Aki umenivujia ndowa Samaritan"this are type of women people call good, someone leaves for SA, before the day ends you are married to another man, what of if Wasira could have come back immediately or afternoon one month?10yrs marriage and he left 10yrs back.the land he left is also sold and the title Dead is written under the wife's name.this is conspiracy of the highest order.

  • @packlinc
    @packlinc День тому

    Some callers are too opinionated. Just enjoy the content

  • @davidotieno5694
    @davidotieno5694 День тому +1

    Why did she welcomed the former husband? When sama met them, they were walking as couples! So she is equally not innocent as some people here are trying to put it

  • @antonykariuki2069
    @antonykariuki2069 День тому

    Hio anasema aliambia wachira wapimwe mara tatu ndio alale naye ni uongo mtupu. Wachira ali enjoy 3weeks kabla Samaritan apatane nayeye. Hata body language inasema anadanganya

  • @redemptorwayua9151
    @redemptorwayua9151 День тому +3

    Mama Shiku kindly give baba shiku mlezi mtoto aki,he is such a good man with amazing heart

  • @peteropere9125
    @peteropere9125 День тому

    So one above 18 year's is not a kid,if it' is to support,he will support only the young one.

  • @ClarahMwatati-yd3tu
    @ClarahMwatati-yd3tu День тому

    Baba shiko 2 does she have another wife coz they don't appear to make their own baby with mama shiko.

  • @elshadaiuniforms1196
    @elshadaiuniforms1196 День тому

    Away for 10 yrs..,....surely after coming back ,where by you were officially married ,you still welcomed him in to your MATRIMONIAL Bed of THAT OTHER FOSTER ?
    .....this is pretence of the highest.
    ......WACHIRA is still in your heart....en this will not stop it will continue forever.
    ...
    You are too cheap.....

  • @werelawrence4686
    @werelawrence4686 День тому

    mama shiko ni mlafi, mbona ukatalie gari ya wenyewe???Mtaka yote hukosa yote

  • @karosamuel8644
    @karosamuel8644 День тому

    Wacira arikura huyu mama and she is not forthright and she might loose everything. Tell her to stop double dealing. Yeye anamezea the thought of South Africa money, which is neither here or there.
    Please tell her to shut the door for wacira completely and to respect baba mlezi.

  • @joiceokombo9276
    @joiceokombo9276 День тому +1

    Good woman.

  • @rosawanjiku9484
    @rosawanjiku9484 День тому

    Hiyo ruracio ntacome, nipee location.

  • @munyasiasamuel4701
    @munyasiasamuel4701 День тому +2

    Mama shiku your are right

  • @philipchania6342
    @philipchania6342 18 годин тому

    So bwana number two ako hustle goat wife anaweka mwanaume waliachana 10 years ago kwa nyumba? Huyu mumama ni malaya tu lakini I'd not judge her for getting a new husband after kuachwa na msouthafrican

  • @faithmurila9359
    @faithmurila9359 День тому

    U were having kibanda yet unasema hukua na food

  • @temupaul6332
    @temupaul6332 День тому

    The other man (baba mlezi) does he have a wife and children?

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 День тому +1

    hata baba shiku mlizi ako na bibi sioww tu💁‍♀️