😭f!ght btwn mama shiku & baba shiku mlezi after ruracio event bounced 😭

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 562

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 17 днів тому +56

    Hapa mama shiko kua mkweli usiwe una chezea baba shiko coz after sanitization ulikua una beg wacira like huna bwana at alll😢😢😢😢

  • @cewaki799
    @cewaki799 17 днів тому +56

    mama ciku I will ask you again, why did you entertain wachira in your house yet you are already married to baba ciku mlezi💔💔💔‼️‼️‼️‼️‼️

    • @jamesabuki381
      @jamesabuki381 17 днів тому

      Unaona anakaa Wachira hakulala kwa hio nyumba

    • @NorineEdesa
      @NorineEdesa 17 днів тому

      yaaan mama shiko alianguka mtihani siwezi hata kidogo kukubali washira niwache this hardworking man ghai

    • @stephensonkimeu7504
      @stephensonkimeu7504 17 днів тому +1

      Good question

    • @hannahmanu8642
      @hannahmanu8642 17 днів тому +1

      Ww baba mlezi enda zako huyu mama anajuwa vle anafanya....

    • @fredrickmuli4857
      @fredrickmuli4857 17 днів тому +1

      Mkora 😢anataka kukula side zote😢

  • @mantusgitonga6129
    @mantusgitonga6129 17 днів тому +46

    Kuna siri sana kwa hii familia.... Im very sure ciku amezaa na babake mlezi😢

  • @gingergarlic6356
    @gingergarlic6356 17 днів тому +28

    Sanitize baba mlezi, sanitize Ciku😂.

  • @nashryans7727
    @nashryans7727 17 днів тому +67

    Mama shiku why did you accept wachira in your house for three weeks while you knew very well you had the man of the house..??u are the problem in the whole situation.

  • @antonykariuki2069
    @antonykariuki2069 17 днів тому +10

    I love baba shiko mlezi venye Ako composed na mtulivu. Wachira anashinda akimuita kijana ati amuoshee gari ambayo watu wenye tunajua gari ninini hio c gari ni kadudu

  • @elizabethkosgei4731
    @elizabethkosgei4731 17 днів тому +14

    Sanitize Baba mlezi Na shiko Pia

  • @elizabethbuluku858
    @elizabethbuluku858 17 днів тому +9

    Sanitize baba mlezi wa ciro

  • @GitongaJosyline
    @GitongaJosyline 17 днів тому +6

    Wewe baba mlezi jitoe mapena hapa kimekuramba baba ito plot niya mwenyewe mama ciko uko na siri fiche

  • @euniceouko650
    @euniceouko650 17 днів тому +17

    Samaritan ebu tuambie kama Abigael na Christabel wana enda shule on Monday and how is mama Abigael?Hii ya Akina Ciku waaaah!!!!

    • @deeruta9894
      @deeruta9894 17 днів тому

      True kbsa

    • @LizWachy
      @LizWachy 17 днів тому

      True

    • @davidmohammed4942
      @davidmohammed4942 17 днів тому +1

      Conducting a follow up is very important for any person of good will.samaritan Fanya jambo

    • @poghon
      @poghon 17 днів тому

      Aletwe studio

  • @Smokeylucas
    @Smokeylucas 17 днів тому +7

    Kwani baba Ciku mlezi inakaa ako na another family.

    • @EUNiCEMaish
      @EUNiCEMaish 16 днів тому

      Hata kaa ako nayo.amesaidia huyu mama na watoto wake sana

  • @queenyakinangop4096
    @queenyakinangop4096 17 днів тому +4

    Huyu Baba mlezi haji Ni mzuri Na Ni muhamble Sana Mungu amusaindie

  • @ge-wan
    @ge-wan 17 днів тому +20

    Kama Wachira aliishi hapo 3 weeks yet mama ciku anakana, then she has a mission.

  • @jamesmwangi9242
    @jamesmwangi9242 17 днів тому +6

    Mama shiku,you may not accept it but you messed when you allowed wachira into your house.That was a grave mistake.
    The second mistake is buying a plot that belonged to wachira.
    Third mistake was not telling baba mlezi that you had been married to wachira.

  • @SamiraMulama-op6bm
    @SamiraMulama-op6bm 17 днів тому +6

    But pia mama shiku Samaritan akiwapata u were with wachira and begging him ati huna mzee mwingine...ona sasa

  • @AgnseseAlqahtin
    @AgnseseAlqahtin 17 днів тому +6

    Huyu mama shiko ndo ariharibu kwann mutu akuache miaka kumi then akuje umiridie ulale nayeye kisha una bwana mungine wewe uliwagonganisha hawa nanauwe unge kataa tu umwambie Mimi nko na mmewangu so wewe Rudi huko au uangalie muke mwengine😢

  • @AgnesKamau-h6j
    @AgnesKamau-h6j 17 днів тому +9

    Wewe mama shiku unahalibia bwana2 maisha yake watoto hana plot hana wewe unajua ni yako wewe utalipia hapa duniani

    • @gracekaruga897
      @gracekaruga897 17 днів тому +1

      Kama alikua anapeda huyu baba mlezi walai hangekubali anunue hio plot

  • @hawababy120
    @hawababy120 17 днів тому +6

    MAMAM CIKU WEWE HAUKO MKWELI 😮AJE BABA CIKU AKUJE ALALE HAPO 3 WEEKS??????KUNAWIZI HAPO😮BABA MLEZI POLE SAN

    • @BintiDanford
      @BintiDanford 17 днів тому

      Siku zote hizi anaenda ukweni huyu baba hajuwi wachira akija hapo na sama hamwambii mume wake huyu mama hapendi huyu baba mlezi nivile hawezi sema anaona aibu

  • @PeterNgungi-qf9vh
    @PeterNgungi-qf9vh 17 днів тому +3

    Weee!!! Aya mambo nimagumu

  • @Jescah-d2c
    @Jescah-d2c 17 днів тому +6

    Pia mum cku is something else

  • @EsthermuthoniKinuthia
    @EsthermuthoniKinuthia 17 днів тому +4

    But huyu mama ciku sio mzuri km alikua kwa akina wacira 2wks ago shes behide all this shame on you ww mmeru

  • @LeahMungai-ge6fi
    @LeahMungai-ge6fi 17 днів тому +10

    Mlezi ni mali safi always looking smart that's means mlezi ako na bibi,ata yeye alisema hawenzi wacha maguo yake kwa mwanamke

    • @Sharin-e5f
      @Sharin-e5f 17 днів тому

      So two players on the field,dunia haina huruma.

    • @zippyjamesmwangi6551
      @zippyjamesmwangi6551 17 днів тому

      Mzee wa three buttons shirt always,, baba mlezi ni 👌

    • @rahabmaina3240
      @rahabmaina3240 17 днів тому +1

      I think he is married

    • @lillianngugi4546
      @lillianngugi4546 16 днів тому

      At least tuliskia hii.... This guy is Married

  • @micahkariuki1322
    @micahkariuki1322 17 днів тому +1

    Hio plot endeni mwandikishe both of you coz kama ni moja anaeza ruka mwingine😊

  • @annkariuki3281
    @annkariuki3281 17 днів тому +2

    Mama shikoo Yu TRIED TO PLAY YUA CARDS WISELY BUT OLE WAKO GOD NI NANIII Lazima Kila Kitu ijulikane .playing with Mzee,s brains akhhhh woiyeeee youl pay 4 it.polee mzae

  • @lucymacharia4134
    @lucymacharia4134 17 днів тому +2

    Mungu hufanyaa vitu tofauti ndio maana mungu aliharakisha wachira arudi Kenya

  • @blastking2006
    @blastking2006 17 днів тому +2

    Mzee amefunguka macho anajengea mtu family yake he will pay dearly for this

  • @sky-nj1nq
    @sky-nj1nq 17 днів тому +6

    Is ciiku not in love with the person she is getting married to.....juu aaah....NO.....no one could have stopped my love to my fiance a few days to the wedding...or ruracio

    • @Jane-fi8on
      @Jane-fi8on 17 днів тому +1

      Yes, that is another perspective. If Ciku really loves her husband, she needs to stand with him.

    • @wamzy1110
      @wamzy1110 17 днів тому

      Very important question

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 17 днів тому +1

    mamashiko ungenunua shamba mbali hukae na kama aungemkaribisha Baba shiku kwa maisha yako angalia washachukua Shikoku Badoo Huyo mdogo

  • @gingergarlic6356
    @gingergarlic6356 17 днів тому +7

    My question is, y did mama ciku entertain Washira!? In the first episode she said she's not married. If Washira was not in support for the last ten yrs mbona alimkubali kutembea na yeye on that day? I guess Washira has been in support of his children na huyu mama alitaka kula kote kote. Akwende na huko.

  • @patiencewatarethepoetmoifo907
    @patiencewatarethepoetmoifo907 17 днів тому +7

    The genesis is accomodating huyo Wachira in the house 😢

  • @raelmarete4943
    @raelmarete4943 17 днів тому +3

    Mama shiko mimi sitaki kukupiga mawe sana, but next time be tranferency every side.

  • @JanetKenyatta
    @JanetKenyatta 17 днів тому +1

    Uyu mama shiko anajua kile anafanya juu angekua anapenda uyu baba shiko mresi angemusaria ata kama n kamoja hee aky c kikuyu n wasuri uwesi kaa kwa mkisii iyo miaka kumi bira mtoi wake ata na dawa uyu mama shiko anacheza uyu mzee c mungu angenipea mwanaume kama uyu cwesi kaa ata mwaka moja kama cjamipee kamutoi aky nimemurumia sana 😢😢😢

  • @eddahwanjiru1529
    @eddahwanjiru1529 17 днів тому +5

    Baba shiko mlezi aki ni mpole

  • @JanewambuiWambui
    @JanewambuiWambui 17 днів тому +2

    Sama the best way to do now mahari tumefika can you santise baba mlezi and if possible santise ata chiku!!

  • @airojane1754
    @airojane1754 17 днів тому +2

    Mama shiko anampenda baba ciku was South Africa. The only stranger here is huyu baba mlezi juu huyu mama ako na watoto na huyu mama

  • @lennarwigi6145
    @lennarwigi6145 16 днів тому

    😂😂😂😂😂😂😂hii shida yote inaletwa ns mama shiku....mbona alilela wachira kwa boma 3 weeks...

  • @rebicahmutish
    @rebicahmutish 16 днів тому +2

    Huyu baba mlezi ni type yangu kabisaa 😊😊

  • @makenaadeitha7050
    @makenaadeitha7050 17 днів тому +9

    Samaritan to be blamed for this.

    • @paulkaranja9257
      @paulkaranja9257 17 днів тому

      Wanawake hafai kushikwa cheating, hawafai kuitwa malayaz hatakama walienda ViCT na Wachira mara 3.

  • @elizabethwambui9117
    @elizabethwambui9117 17 днів тому +1

    Shama sanitize simu ya huyu mzee na shiko please please please...kuna maneno hapa. Mtoto washiko inaezekana ni wa baba mzazi 😮

  • @mosesmuchitsa2205
    @mosesmuchitsa2205 17 днів тому +2

    Zaaa watoto wako wacha kudandia wa mwenyewe , mtoto si nguo utaomba mtu

  • @ZN21-y9y
    @ZN21-y9y 17 днів тому +2

    Mama shiko bado tu anaweka baba mlevi gizani hamwambie ati Shiko alilala kwa kina Wachira, then hamwambia walikuwa wameenda na Sama huko kwa kina Wachira ku solve maneno ya pesa na plot. Anamficha kila kitu..

  • @PamelaOtieno-i5i
    @PamelaOtieno-i5i 17 днів тому +5

    Mama Ciku, ukweli ni kwamba uliishi na Wachira kwa hiyo nyumba for two weeks.

  • @PhiliceIsutse
    @PhiliceIsutse 17 днів тому +1

    Gold inaenda,alifanya kila kitu kisiri but iko wazi.Huyu mkora kitamramba 😢

  • @DorcasBett-t4e
    @DorcasBett-t4e 17 днів тому +1

    Mama ciku kama wewe ulikua mzuri mbona ulimleta wachira na kama haungekutana na Sama ingekuaje kweli i sympathy baba mlezi

  • @mariagichuri7273
    @mariagichuri7273 17 днів тому +1

    Baba shiku 2 call it a quit.Yashamwagika.Bona huyu mama hajakuzalia for ten years if at all anakupeda?maswali ni mengi yakujiuliza but those two are enough for a quit.

  • @helenmugure2055
    @helenmugure2055 17 днів тому +3

    Hata kama ,baba mulezi ana nyumba nyingine ni nani ataliya watoto na hana wake hapo pls check the his phone

  • @charleskabuthi9101
    @charleskabuthi9101 17 днів тому +1

    Mwanamke ako na mtoto,aki usiwai oa.Never entertain that woman coz she has a story.

  • @MaryWairimu-xj4kk
    @MaryWairimu-xj4kk 17 днів тому +2

    Sama sanitaize hiyo simu ya bb ciko pliz a sikue Kama bwana ya Wangari kabera akijifanya mzuri hapo

  • @kadetenyar6597
    @kadetenyar6597 17 днів тому +28

    Samaritan can you convinced bb mlezi ,uangalie phone yke,,, please tunamshuku,,,kuna shida mahali,,,hata shiko angekuja tunaomba,, you do the same please 🥺🥺

    • @sabinamuthike
      @sabinamuthike 17 днів тому +5

      Hapo umeongea ukweli..

    • @paulkaranja9257
      @paulkaranja9257 17 днів тому +5

      Mama Ciku alishikwa, wacha kumpendelea ....biscuit haupati ata ukipiga magoti.

    • @isaacturkeybaze8024
      @isaacturkeybaze8024 17 днів тому +1

      Wise suggestion

    • @DoubleSeven-y1u
      @DoubleSeven-y1u 17 днів тому +6

      Baba Shiko in SA for 10years
      Mama Shiko married for 10 years, where's the suffering period?
      Waiting period?

    • @paulkaranja9257
      @paulkaranja9257 17 днів тому

      I'm waiting to see mama ciku kneel and do acrobatics for Wachira.

  • @Rachel-j2b
    @Rachel-j2b 17 днів тому +3

    Check his conversation between Chiku na baba mlezi

  • @HottensiahWaweru
    @HottensiahWaweru 17 днів тому +1

    Am so sorry for what happened but thea will right after all this darkness Mungu mbele

  • @ruthwachera984
    @ruthwachera984 17 днів тому +1

    Makosa ni why did you accept to buy that plot...so you didnt want to loose wachira...ya pili you did not allow gari itoke not to loose him

  • @maggieshi690
    @maggieshi690 17 днів тому +4

    Baba shiko mlexi ulinunua hii plot aje yet ulipata huuo mama akiishi hapo je alikwambia plot ni ya inlaw??? Heri ungenunua .bali na hapa...

    • @dianambura7180
      @dianambura7180 17 днів тому

      Alimwambia amerent nyumba ya mabati. Mkora sana

  • @bedicaambani4741
    @bedicaambani4741 17 днів тому +10

    Mliambiwa muachane na wamama wako na watoto mkakataa sasa ona vile kulea watoto sio wako iko na hasara... Mwishowe atarudi tu kwa babake bila shukrani

  • @antonykariuki2069
    @antonykariuki2069 17 днів тому +1

    Samaritan Leo unakaa kama mfanyakazi wa equity bank. Kua unavalia hivyo achana na jeans zimelaruka magoti plzz

  • @TabbyCheres
    @TabbyCheres 17 днів тому +1

    Baba shiko are sure huyo mtoi sio wako ?Sama si ufanye ile kitu ututegulie hiki kitendawili bro😂

  • @annwaweru226
    @annwaweru226 17 днів тому +14

    But from beginning nalauma mama shiku Kwa kukaribisha baba shiku wa South Africa , kama sio hivyo hii yote hainge happen

    • @josephinenjoki2068
      @josephinenjoki2068 17 днів тому +2

      Lazima kueleweke huyu mwanaume amechezwa

    • @annwaweru226
      @annwaweru226 17 днів тому

      @josephinenjoki2068 eeh mm naona baba mlezi anachezwa

    • @VeronicaMathenge-by5ec
      @VeronicaMathenge-by5ec 17 днів тому +2

      Ata mimi hapa na blame mama Shiko bona alimkalibisha kama hana haja na yy...

    • @janeshigami8769
      @janeshigami8769 17 днів тому

      True.

    • @rhodamatalanga4556
      @rhodamatalanga4556 17 днів тому +2

      Kweli Kabisa. Na tena, Baba Shiko SA hakujua Mama Shiko alikua ameoleka na Baba Mlezi Shiko. Yeye ndo mwenye makosa, alipiganisha both Fathers without their knowledge.

  • @njeriwakarongo9069
    @njeriwakarongo9069 17 днів тому

    Mungu bona mtu kama mimi siwezi pata bwana kama huyu aki😥😥😥

  • @virginiawanjiru3239
    @virginiawanjiru3239 17 днів тому +2

    Sanitize simu ya baba mlenzi

  • @MaryGathagu-tb9jl
    @MaryGathagu-tb9jl 17 днів тому +1

    Shiku alisema baba mlezi alikua anataka wakue marafiki mbona hio mambo Samaritan huongerei

  • @user-sx2eo5ho2n
    @user-sx2eo5ho2n 17 днів тому

    Wish God can grant me with such a humble to earth man,ningeomba Mungu sana anisaindie sana nisiwapi mkosea

  • @annewaithera3261
    @annewaithera3261 17 днів тому +1

    Mama ciku usipee Samaritan kitu aangalie Simu ya baba mlezi.

  • @elizabethmatolo6512
    @elizabethmatolo6512 17 днів тому +3

    Na niukweli wenye wanasema ciku alizaa na baba mlezi hio ni ukweli samaritan hujawai sanitize simu ya baba mlezi ebu do the necessary pls kuna Iden agenda hapo na yy mama ciku ni mwingine gunia sana

  • @antonykariuki2069
    @antonykariuki2069 17 днів тому +1

    Mimi najua wachira alilala na mama shiku hio 3weeks. Mwanaume huezi mkausha na mnakaa nyumba Moja 3weeks.

  • @ceciliawanjiku7281
    @ceciliawanjiku7281 17 днів тому +1

    Nilisema Mama Chiku utapoteza everything,why did you accept huyu mzai wa South Africa ukijua Una bwana Mwingine

  • @hermanmwangigreatandwoderf7583
    @hermanmwangigreatandwoderf7583 17 днів тому +1

    Baba mlezi ako sawa finally huyu mama atarudi kwa Wachira

  • @Faluthe
    @Faluthe 17 днів тому

    Kibe was right about ...😮

  • @cheponandi
    @cheponandi 17 днів тому +1

    Sanitize huyu mzee , I'm sure kuna wife mahali

  • @filandote9025
    @filandote9025 17 днів тому +3

    Huyu Mzee anakufa bure

  • @BisharaAlbimani
    @BisharaAlbimani 17 днів тому +4

    Samaritan please check phone ya bb mlezi nafikiri Kuna kitu hapo baina yake na chiku

  • @colletambula8984
    @colletambula8984 17 днів тому +3

    Mama ciku uliplay card zako wrong, kutoka mwanzo

  • @teresakarugu9932
    @teresakarugu9932 17 днів тому

    I wish ungekua umezaa ataa kamoja baba mlezi

  • @davidnjuguna825
    @davidnjuguna825 17 днів тому +1

    Mama ciku you did that to your self,,,,how comes unadanganyana wachira hakuwa huko gari iliingia aje huko...vifunguu za gari ya wenyewe ulikuwa unakataa nazo za nn

  • @mikekalushi9541
    @mikekalushi9541 16 днів тому

    Team wachira!!!!!!! Lazima wachira apate haki yake,,, Wewe Mubabaz rudi kwa your first wife contract imeisha 😂😂😂

  • @irunguwanjiru5260
    @irunguwanjiru5260 17 днів тому

    C nipewe huyu baba Shiko mlezi aki nimuangalie vizuuuri

  • @Moseszaji
    @Moseszaji 17 днів тому +2

    Ujama amefungunga majo

  • @lydiakambua2942
    @lydiakambua2942 17 днів тому

    Hahaa ...Ati mlezi amesema ,mchezo iko na huyu na familia Yake ....😅😅😅weuh

  • @AgnesKamau-h6j
    @AgnesKamau-h6j 17 днів тому +2

    UlileA 10yrs babake akalea 13yrs na hata akalea mimba

  • @MbulwaMunyao
    @MbulwaMunyao 17 днів тому +1

    Bb cku mlezi unachezwa n mm cku alipeana mzigo 3 wks

  • @rosemwikali5562
    @rosemwikali5562 16 днів тому

    Sanitize ciro na baba mlezi

  • @joycemuthoni9566
    @joycemuthoni9566 17 днів тому

    Mama shiku hautawai ingililia mambo ya wachira na family yao...
    My question is what were u doing with wachira when samaritan met u with wachira??????behind b

  • @BeatriceWaruhiu
    @BeatriceWaruhiu 17 днів тому +1

    This step dad was moving with step-daughter so he know everything

  • @CharlesPaul-bd8vo
    @CharlesPaul-bd8vo 17 днів тому +9

    Sama hebu sanitize huyo baba mlezi😮😮.naona kama alizaa na shiko yule mtoto haki😮😮😮😮😮

    • @lucymacharia4134
      @lucymacharia4134 17 днів тому

      Samaritan nikama amepewa na baba mlezi

    • @lilianmanirakiza7875
      @lilianmanirakiza7875 17 днів тому

      Kwanza hii mambo ya mtoto imesemwa baadaye ni kama ni kitu hawakua wanataka kuongea mpaka mama shiku hakuna tym ameongea mambo ya huyo mtoto. Alot of questions

    • @lucymacharia4134
      @lucymacharia4134 17 днів тому

      @lilianmanirakiza7875 hapa Kuna ngiza lakin mungu atafichua yote

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 17 днів тому +1

    Mama na Mzee mukikosana juu ya mahari huyo mjinga wachira ndio anataka,msiruhusu kutengena , hii ni majaribu mtashinda

  • @alvanboy
    @alvanboy 17 днів тому +2

    Ama uyo mtoto wa shiku ni wa baba mlezi

  • @mercimerci9540
    @mercimerci9540 17 днів тому

    Mama ciku umejipika na mafuta yko,baba ciku mlezi run for your life plzz ,huyu mama is not open up to you plz anakupole mali zako 🏃 🏃 🏃 🏃

  • @estherkinyua914
    @estherkinyua914 16 днів тому

    Baba mlezi, ondoka, hio family ni mbaya

  • @philomwangi496
    @philomwangi496 17 днів тому +1

    I think this man hana doesn't have another family,

  • @ayubkamau5130
    @ayubkamau5130 17 днів тому

    Huyo mtoi wa shiko na wa Baba mlezi,

  • @janeshigami8769
    @janeshigami8769 17 днів тому +3

    Na niulize....inamaana...huyu baba mlezi hana familia ingine???...ni kweli simu yake iangaliwe.

    • @sky-nj1nq
      @sky-nj1nq 17 днів тому +1

      I don't know why am suspecting he does not have kids....maybe wife ako....could be baba mlezi mom takes the other daughter as their blood as she is named in their side...why does he value the daughters more than ma ciiku the wife....mlezi is abaut to give up on their marriage

    • @ayubkamau5130
      @ayubkamau5130 17 днів тому

      Lazima ako na familia ingine

  • @JulianaAnatoli
    @JulianaAnatoli 17 днів тому +1

    Yani hapo huyu baba wa. Mzazi ndiyo ni mwanga ameenda kuroga ili kuharibu iteni Mchungaji aje avunje hizo nguvu

  • @nancymuchiri3096
    @nancymuchiri3096 17 днів тому

    mama shiko alifanya vinay kuwelcome huu mzee kwa boma to an extend kulala huko

  • @ElizabethKiboro
    @ElizabethKiboro 17 днів тому

    Mungu wangu ingilia kati ya hili jambo, juu wewe tu ndio unajua ukweli.

  • @evangelinemunene
    @evangelinemunene 17 днів тому +1

    Mwenye ni msafi sana tuendelee kurusha mawe Kwa ma Ciku ......wenye wanalaumu ma Ciku after this lazima sama asantize simu zetu uone wote tutajaza langata na kamiti juu ya zile dhambi tuko nazo.....

    • @gabriel-ns3mb
      @gabriel-ns3mb 17 днів тому

      Na bona wewe unarusha mawe kwa hao wengine.

  • @thediplomat6165
    @thediplomat6165 16 днів тому

    mama ciru u r responsible.

  • @vianneykaskalavi5362
    @vianneykaskalavi5362 17 днів тому +14

    Huyu mama alipea wachira rosecoco, kwa nini hajazalia huyu mlezi, plot iko kwa jina ya huyu mama ni mkora

    • @Sharin-e5f
      @Sharin-e5f 17 днів тому +2

      Baba mlezi pia akona familia,uliskia akisema"siwezi Wacha nguo Kwa mwanamke"

    • @vianneykaskalavi5362
      @vianneykaskalavi5362 17 днів тому

      @@Sharin-e5f Acha akule kiburi yake

    • @annewaithera3261
      @annewaithera3261 17 днів тому +2

      Uyu mama ni mkora Sana siku saba wachira alipewa palepale 🤣🤣🤣🤣

  • @PhilipGikonyo
    @PhilipGikonyo 17 днів тому +1

    Angalia hiyo simu ya mzee.

  • @jamesmwangi9242
    @jamesmwangi9242 17 днів тому

    Mama shiku,wachira karnataka kukuharibia Arafu aende. He is very bitter. Take care na ukuwe na msimamo.

  • @tabithashimenga4742
    @tabithashimenga4742 17 днів тому +1

    Baba mlezi nashuku Ako na familia engine ya kwanza.

  • @annewaithera3261
    @annewaithera3261 17 днів тому +1

    Niko na swali baba mlezi hakuwa ameoa before