MANGUNGU AVUNJA UKIMYA "SIMBA HII HAICHEZEWI | KAMA INAKUKERA ONDOKA | TUMEJIPANGA KI UBAYA UBWELA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 30

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 2 місяці тому +3

    Mangungu linda wachezaji sana ,heshima yako itarudi.

  • @AllyKimeme
    @AllyKimeme 2 місяці тому +1

    Simba nguvu moja

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 2 місяці тому

    😂😂😂 Wavaa Sanda wamekutana

  • @yohanatlatlaa4205
    @yohanatlatlaa4205 2 місяці тому

    Ni Jambo njema kutanguliza mungu kwa kila njema kabla hujaanza kufanya mungu atupe uwepesi msimu huu nawa

  • @roberttagaya9098
    @roberttagaya9098 2 місяці тому +1

    Huyy mzee hana ushawishi wa uongeaji.

  • @kingsniper9769
    @kingsniper9769 2 місяці тому

    ubaya ubwela kombe tunachukua kombe next season

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 2 місяці тому

    Mwandishi Mbona hujauliza kuhusu Mpanzu hapo umebugi

  • @chambusochambuso9847
    @chambusochambuso9847 2 місяці тому

    Simba nguvu moja UBAYA UBWELA

  • @LeopoldNgakoka
    @LeopoldNgakoka 2 місяці тому

    Yanga SC

  • @WilbertManjonda
    @WilbertManjonda 2 місяці тому +1

    Mimi huyu najisikia kichefuchefu niki mwona

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 місяці тому

    Tarehe 8 tukutane kwa Mkapa

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 2 місяці тому

    Nimefurai sana kwamlichokifanya mama huu atakae subutu kutuangusha mwaka hu anacho

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 2 місяці тому

      Simba ndio wachawi wakubwa waliroga hadi kule south kwenye mechi dhidi ya Orlando Pirates sasa sijui anayewafanyia ubaya ni nani,mtaumia wenyewe.

    • @neemamwijage
      @neemamwijage 2 місяці тому

      ​@@aminaomari2312 na waliomtumia majini Mayele ni nani😅😅

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs 2 місяці тому

    Siukalime mzee kwani Simba Ni Dini adi usitoke utumbo tuu ATA kuongea alijuii😅😅

  • @azizially557
    @azizially557 2 місяці тому

    Yani watu wanaomba Dua yeye ananuna yeye mwaka hajana na mwaka juzi si alikataa hebu makiza miaka yako miwili utuajie Simba yetu ww uende Kwa otopolo😮😮😮

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 2 місяці тому

    Ili simba ipate mafanikio ww lazima uondoke..Acha kujisafisha

  • @Papaamasha
    @Papaamasha 2 місяці тому

    Simba Nguvu moya

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 місяці тому

    Chezea mangungu nyieeeee, huyo siyo wakuchezea.

  • @EmmanuelMatogolo-l2y
    @EmmanuelMatogolo-l2y 2 місяці тому

    Tatizo mnaletaga siasa kwenye mpira wakati mpira ni mchezo wa wazi, ulipo tukela kumleta manzoki na kutuaminisha ili upite kwenye uchaguzi hapo tu, hatuna imani na ww

  • @MastarKuntuabaharia
    @MastarKuntuabaharia 2 місяці тому

    Mzee wahachie timu yao Kwa amani hata ukifanya mema ni Bure hawakupendi wanachama na washabiki wa simba

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 2 місяці тому

    MBONA ILICHEZEA GOLI 5,MUNGU SIO WA UPANDE MMOJA

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 2 місяці тому

      Acha ujinga weww hata yanga alifungwa sita

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 місяці тому

    MZEE UKISEMAA KILA ANAE KUKERA SIMBA AONDOKE, SIMBA UTABAKIA WEWE PEKE YAKO, MAANA KARIBIA WANASIMBA WOTEE UNAWAKERAA

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 2 місяці тому

    Hutakiwi

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 2 місяці тому

    Kifup jua kusame ata ss tumekusame

  • @yohanatlatlaa4205
    @yohanatlatlaa4205 2 місяці тому

    Ni Jambo njema kutanguliza mungu kwa kila njema kabla hujaanza kufanya mungu atupe uwepesi msimu huu nawa

    • @MansourKabuhaya
      @MansourKabuhaya 2 місяці тому

      Dua sawa lkn hauendani na Mambo ya mipiraaaa

  • @frankraphael7546
    @frankraphael7546 2 місяці тому

    Simbaa nguvu moja