Kuna nyakati najisahau mimi, natamani nikusimulie Baba, ulikonitoa mimi, ila nakumbuka unajua. Nieleze namna gani juu ya matendo yako kwangu Yesu,, hakika mimi nakosa namna, mimi nakosa namna......isingekuwa rahisi mimi kuwepo leo......acha nilie nilie, maana sina jinsi mimi ya kushukuru Baba yangu, hata cha kukupa sina.....hakika ni neema yako oo, Yesu ni upendo wako kwangu....this part makes me cry and I sing like I am closely thinking about God's mercy in my life....endeleeni tu kubarikiwa watumishi ❤️❤️❤️
@@Mt.Andreakwaya I also want to reply and say that the part my colleague has mentioned moves my spirit a lot. I can't sleep. If I had the power, I would travel to Dodoma to meet this choir and all the lead singers. Naamini siku moja miujiza itafinyika tukutane.💗💗💗💗💗💗❤❤❤❤
nimeshindwa kutazama video ya wimbo huu na kutoka pasina kusema chochote. Hakika ni Mungu!! Mungu awabariki waimbaji wote. Kilichonifanya nitafute ukurasa wenu huu UA-cam ni baada ya kuona mahojiano yenu yaliyofanyika mbashara Dodoma Tv. Hakika mmebarikiwa.
"Hakika ninakosa namna. Acha nilie mimi kwako".... Roho yangu imeinuliwa sana na huu wimbo. Ningependa kuambia kwaya ya mt Andrea ya kwamba ninabarikiwa sana. Nimesikiza wimbo huu usiku kucha na sitosheki. Ni ndugu yenu Benard katika kristo Yesu kutoka magharibi mwa Kenya.
@@Mt.Andreakwaya mimi nawakumbuka kila siku. Hata nime download huu wimbo na nausikiza usiku na mchana. Kwa roho yangu, ninawapenda sana....Mwendwa Devitupa, Seche Roni na mandugu zangu kule Dodoma, nawapenda sana. Mungu awabariki.🙏🙏🙏
Nawapendaa jamani mi nahudumiwa Mungu awatunze 😭😭😭nyie ni vyombo vya Bwana Yesu Mtumikeni Yesu anarudi, Niko Dodoma ntakuja Kanisani kwenu siku moja. Nyimbo zenu zinaupako jamani😭😭😭🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Karibu sana mtumishi wa Mungu. Itakuwa ni furaha kubwa kwetu ukifika Msalato. Karibu sana na Mungu akubariki. Tafadhali tusaidie kushare link ya wimbo huu.
Hakika ni kwa Neema maombi yangu Leo Mungu aendelee kuwatunza, natamani mtambue thamani ya kazi mliyoifanya katika taifa la Mungu ,Mungu walinde vijana Hawa katika Umri walionao usiwaache Mungu wangu 💖💖💖
Amen. Asante sana mtumishi wa Mungu. Endelea kufuatilia kwa kusubscribe maana hivi karibuni tutaleta album yetu ya tatu. Tafadhali tusaidie kushare link na kwa wengine ili wapate kuhudumiwa na ujumbe huu uliopo katika nyimbo hii.
Wapendwa Bwana apewe sifa, hongereni kwa kazi ya Mungu. Nipende kusahihisha kidogo juu ya maandishi na matamshi wa neno "NYIMBO", neno hilo hutumika kama ni zaidi ya wimbo mmoja chini ya hapo ni "wimbo". Neno "nyimbo" ni wingi na huwekwa kwenye sentensi ya uwingi mfano huwezi kusema "Nyimbo maalum ya kumshukuru Mungu" bali sentensi sahihi ni "Wimbo maalum wa kumshukuru Mungu" tudumishe na kuongea kiswahili sahihi.@@Mt.Andreakwaya
Wapendwa Bwana apewe sifa, hongereni kwa kazi ya Mungu. Nipende kusahihisha kidogo juu ya maandishi na matamshi wa neno "NYIMBO", neno hilo hutumika kama ni zaidi ya wimbo mmoja chini ya hapo ni "wimbo". Neno "nyimbo" ni wingi na huwekwa kwenye sentensi ya uwingi mfano huwezi kusema "Nyimbo maalum ya kumshukuru Mungu" bali sentensi sahihi ni "Wimbo maalum wa kumshukuru Mungu" tudumishe na kuongea kiswahili sahihi.
Daaa 🔥🥁😭😭😭 basi tu, Mungu awabariki tuu.
Amen 🙏
Bado niko hapa. Na nitaendelea kuwa hapa tu. Nilibarikiwa na huu wimbo kupita kiasi. Baraka💓💓💓💟💟💯💯💯
Nami nilikuwepo na nitaendelea kuwepo hapa mpaka pumzi yangu ya mwisho. Wimbo unanibariki upeo,, wazidi kubarikiwa watumishi wa Mungu hawa.
Amen
Kuna nyakati najisahau mimi, natamani nikusimulie Baba, ulikonitoa mimi, ila nakumbuka unajua. Nieleze namna gani juu ya matendo yako kwangu Yesu,, hakika mimi nakosa namna, mimi nakosa namna......isingekuwa rahisi mimi kuwepo leo......acha nilie nilie, maana sina jinsi mimi ya kushukuru Baba yangu, hata cha kukupa sina.....hakika ni neema yako oo, Yesu ni upendo wako kwangu....this part makes me cry and I sing like I am closely thinking about God's mercy in my life....endeleeni tu kubarikiwa watumishi ❤️❤️❤️
Amen. Ubarikiwe pia.
@@Mt.Andreakwaya I also want to reply and say that the part my colleague has mentioned moves my spirit a lot. I can't sleep. If I had the power, I would travel to Dodoma to meet this choir and all the lead singers. Naamini siku moja miujiza itafinyika tukutane.💗💗💗💗💗💗❤❤❤❤
Nabarikiwa sana sana na huduma yenu!! Wimbo mwingine wenye manukato❤️
Amen 🙏
nimeshindwa kutazama video ya wimbo huu na kutoka pasina kusema chochote. Hakika ni Mungu!! Mungu awabariki waimbaji wote. Kilichonifanya nitafute ukurasa wenu huu UA-cam ni baada ya kuona mahojiano yenu yaliyofanyika mbashara Dodoma Tv. Hakika mmebarikiwa.
Amen, ubarikiwe pia mwana wa Mungu.
"Hakika ninakosa namna. Acha nilie mimi kwako"....
Roho yangu imeinuliwa sana na huu wimbo. Ningependa kuambia kwaya ya mt Andrea ya kwamba ninabarikiwa sana. Nimesikiza wimbo huu usiku kucha na sitosheki. Ni ndugu yenu Benard katika kristo Yesu kutoka magharibi mwa Kenya.
Ubarikiwe sana ndugu Benard. Endelea kutuombea tunapoandaa toleo jingine.
Ubarikiwe sana ndugu Benard. Endelea kutuombea tunapoandaa toleo jingine.
@@Mt.Andreakwaya mimi nawakumbuka kila siku. Hata nime download huu wimbo na nausikiza usiku na mchana. Kwa roho yangu, ninawapenda sana....Mwendwa Devitupa, Seche Roni na mandugu zangu kule Dodoma, nawapenda sana. Mungu awabariki.🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana, binafsi umenibariki. Pongezi kwenu nyote 👏🏾👏🏾👏🏾
Amen
Kazi nzuri sana. Mungu awabariki sana
Amen 🙏
What an anointing song. May the Lord let thee starve not, for though has sing with thy own mouth of his Glory... I ❤️ u Andrea's
Mungu ana watu wwngi aana ,One six aliondoka lakini kwa uaminifu wa Mungu namuona kijana anaimba kwa sauti mzuri sana. Hongereni sana watumishi.
Mungu hajawahi kuishiwa. Akitoka Musa, Joshua atasimama. Alipo Mungu hakuna litakalo shindikana.
Endeleeni kusonga mbele kama kwa Bwana
Amen 🙏
Wapendwa ktk bwana huu ni mzuri saana pongez kwenu bwana awapiganie msonge mbele💋💋
Amen. Asante kwa pongezi tafadhali tusaidie kushare zaidi ili na wengine wapate kujua ukuu na uzuri wa Mungu kupitia nyimbo hii.
Nawapendaa jamani mi nahudumiwa Mungu awatunze 😭😭😭nyie ni vyombo vya Bwana Yesu Mtumikeni Yesu anarudi, Niko Dodoma ntakuja Kanisani kwenu siku moja. Nyimbo zenu zinaupako jamani😭😭😭🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Karibu sana mtumishi wa Mungu. Itakuwa ni furaha kubwa kwetu ukifika Msalato. Karibu sana na Mungu akubariki. Tafadhali tusaidie kushare link ya wimbo huu.
Nice
Truth at its core. Mmebarikiwa mno 🔥🔥🔥
Amen 🙏
Blessed always with your songs
Video mngeirudia wimbo mzuri ila sound na video havipo sawa
Umeingia kwa njia gani mtumishi? Sometimes ukiingia kupitia link inakuwa hivyo. Jaribu kusearch youtube utapata kwa usikivu tofauti.
My favorite singers from a special place. The song is so spiritual. You kill it.
Amen. Thank you very much. Please help us to share the link.
🙏 and 🙏, ni kwa neema TU!
You guys dah...a'm speechless! May God keep you.
Hongereni Sana kazi nzuri inapendeza Sana,Mungu Awabariki
Amen
Amen 🙏
Mungu awatendee mema nyinyi na vizazi vyenu... wimbo ni mzuriii mnooo nimebarikiwa😊😊
Amen 🙏
Nabarikiwaa Sanaaaa✋😇🙇🙇 Mungu aendelee kuwatumia Kwa viwago vingine zaidi na zaidi🙏🙏
Amen 🙏
Mungu ni mwema kazi yake ni njema sana. Hongereni kwa kazi njema.
Amen 🙏
Hakika ni kwa Neema maombi yangu Leo Mungu aendelee kuwatunza, natamani mtambue thamani ya kazi mliyoifanya katika taifa la Mungu ,Mungu walinde vijana Hawa katika Umri walionao usiwaache Mungu wangu 💖💖💖
Asante dada Grace kwa maombi yako nasi tunapokea kwa imani. Mungu akubariki sana.
Bado nimerudi hapa kusikiza huu wimbo. Sitosheki. Mungu abariki kwaya ya Mt Andrea Msalato Dodoma🙏🙏🙏
Kuna nyakati najisahau mimi, natamani nikusimulie baba ulikonitoa mimi ila nakumbuka unajua
Asante sana
Rose hujawahi niangusha natamani siku Moja tukutanetu unibariki nimekufuatilia kuanzia alibam yakwanza mpaka Sasa hongera mno
Hivi mimi Nilivyo ni kwa neema yako... Amen
Hakika sote tupo kwa Neema ya Mungu.
Nikupe nini Yesu wangu Asante ni kwa Neema tu🥺🙏🏾🙏🏾🙏🏾♥️♥️♥️
Amina kubwa pongezi nabarikiwa na jumbe nzuri MUNGU awinue zaidi
Amen. Asante sana mtumishi wa Mungu. Endelea kufuatilia kwa kusubscribe maana hivi karibuni tutaleta album yetu ya tatu. Tafadhali tusaidie kushare link na kwa wengine ili wapate kuhudumiwa na ujumbe huu uliopo katika nyimbo hii.
Mungu awabariki Sana mnakazi nzuri Sana Mungu awalinde ktk viwango vingine
Amen
Wimbo mzuri sana sauti zimepangiliwa vizuri sana. Nimerudia kuungalia huu wimbo zaidi ya mara 10. Big up sana. Wapendwa Mungu azidi kuwainua
Amen. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Zidi kupata kibali na Neema kuu itokayo kwa Mungu. Huwa mnanibariki sana. Mch.Nelson from Kenya wa Kanisa la Kilutheri
Amen. Tunashukuru sana mchungaji. Tutaendelea kufanya zaidi na zaidi ili Jina la Yesu lipate kuinuliwa zaidi na zaidi.
Amen. Nikija Tz nitatembea kanisani Msalato niwasalimie
"Isingekuwa rahisi mimi kuwepo leo kama ungeniacha YESU" ni kwa neema.
Hakika ni kwa Neema.
Mungu awabariki sana.. Kipande kilichovuja miaka miwili iliyopita hatimaye wimbo umetoka..
Naam, sasa unaweza kusikiliza wimbo wote.
Kipande lile kimesababish tumeutafuta namshukuru Mungu nimeupata2023 🙏 God
Proud of you St' Andrew choir Msalato.
Nyimbo nzuri sana inatafakarisha. Mungu azidi kuwainua mzidi kukua katika viwango vikubwa zaidi ya hapa.
Amen. Asante sana mtumishi wa Mungu.
Wapendwa Bwana apewe sifa, hongereni kwa kazi ya Mungu. Nipende kusahihisha kidogo juu ya maandishi na matamshi wa neno "NYIMBO", neno hilo hutumika kama ni zaidi ya wimbo mmoja chini ya hapo ni "wimbo". Neno "nyimbo" ni wingi na huwekwa kwenye sentensi ya uwingi mfano huwezi kusema "Nyimbo maalum ya kumshukuru Mungu" bali sentensi sahihi ni "Wimbo maalum wa kumshukuru Mungu" tudumishe na kuongea kiswahili sahihi.@@Mt.Andreakwaya
Hongereni sana nyimbo ina maudhui mazuri sana
Asante sana.🙏
Hongereni Sana Kwa kazi nzuri
Amen 🙏
Natamani siku moja nisali pamoja nanyi nawapenda Sana
Karibu sana sana, tutafurahi ukifika . Ubarikiwe
Naskia kubarikiwa sana sana sana sana
Amen
Ooooh kumbe ni huu wimbo nilitafutaa sanaaaaaaaa nawapenda nyie watu jamanii
Asante dada Rachel, Mungu akubariki sana
Baraka ndahani wherever you are ! Mungu azid kukuinua brother
Kazi nzuri hongereni Sana mt Andrew
Asante sana 🙏
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
🙏🙏🙏
Nikija I wish nije niwaone live ,Endeleeni kubarikiwa Isingekuwa rahisi kwangu mimi kama ungeniacha Yesu hakika ningepotea
Karibu sana
MUNGU AWABARIKI
Amen
Mungu awakumbuke wapenda by biliaprisca
What a song,hongera St. Andrew's
Amen 🙏
Amen mmbarikiwe watumishi tunabarikiwa
Amen
Acha nilie Mimi Kwako....
Nilikuwa nangoja huu wimbo. Ahsante Sana. Tena nasema ahsante.
Ubarikiwe sana mwana wa Mungu.
Yaani Nawapenda Sanaa, Mungu awabariki sanaa
Amen
Niliusubiri huu wimbo wa hamu, Mungu Aendelee kuwapa mafunuo
Amen, ubarikiwe sana dada Eliza
KAZI nzuri Mungu awabariki!
Amen, asante sana
Nabarikiwa Sana nahuduma yenu
Mungu awainue katika viwango vingine
Amen 🙏
Hakika ni kwa Neema
🙏🙏
Hiiii nyimbo jamani acheni tuuu Mungu azidi kuwabariki wagogo wangu
Amen, asante sana . Mungu akubariki pia
@@Mt.Andreakwaya amen 🙏
Mungu awabariki
Amen
Hakika nyie ndyo fahari ya dodoma sifa na utukufu apewe bwana
Salama na pongezi zimfikie mwalimu wa kwaya na Mr sailas
Asante sana mtumishi
Huu wimbo nmeutafuta sanaa baada ya miaka 4 leo ndonmeupata😊
Pole sana, ila ni jambo jema kwakuwa umeupata sasa.
Bado nausikiliza huu wimbo 🎉🎉🎉❤❤❤❤
🙏
Nimebarikiwa sana amen nilikua na usubiri sana hatimaye nimeupata
Amen
Hakika nakosa namnaa wimbo wange pendwa kila ninapofika siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwngu
Amen 🙏
I really love this Choir.Angelic voices.
Thank you. Be blessed
Mungu awabariki kwa wimbo wenye ujumbe mzuri
Amen 🙏
Tengenezeni free style yake tena ambayo anaimba mwenda peke yake na inakuwa na gitaa tuu bila ngoma.
Ni nyimbo ya Kwaya mtumishi siyo ya Mwendwa. Mwendwa ni mwimbishaji tu.
Mungu ni mwema nimebalikiwa mnoo
Tunafurahi kama umebarikiwa na ujumbe huu
Wow nilivokuwa nasubili aise
🙏🙏🙏😭😭😭hakika Ni kwa neema tu ya Mungu nimengi ya kukusimulia Mungu ila neno moja tu Ni kwa neema
Sasa umeupata mtumishi wa Mungu
Hongereni sana kazi yenu sio bure
Amen 🙏
Wooh once again
Mbarikiweee sanaaaa watumishi mko vizuri sanaa 😘😘😘😘💞💕💕💞
Amen 🙏
Appreciation
🙏🙏🙏
Wimbo wa ndoa
Naomba kuuliza, Album hii inatarajiwa kutoka lini?
Endelea kutuombea mtumishi, tumekamilisha kuandaa album mbili za audio tunajiandaa kufanya video.
Nawapenda Sana mbarikiwe ❤️❤️❤️
Amen 🙏
Good job
🙏🙏🙏
GOD BLESS YOU ST. ANDREWs
Amen 🙏
❤❤❤❤
Nawapenda Sana Andrea mtakatifu
Amen 🙏. Asante sana
Hongereni sana watu wa Mungu.
Amen
Wapendwa Bwana apewe sifa, hongereni kwa kazi ya Mungu. Nipende kusahihisha kidogo juu ya maandishi na matamshi wa neno "NYIMBO", neno hilo hutumika kama ni zaidi ya wimbo mmoja chini ya hapo ni "wimbo". Neno "nyimbo" ni wingi na huwekwa kwenye sentensi ya uwingi mfano huwezi kusema "Nyimbo maalum ya kumshukuru Mungu" bali sentensi sahihi ni "Wimbo maalum wa kumshukuru Mungu" tudumishe na kuongea kiswahili sahihi.
Asante
Hongera
Asante sana 🙏
God bless you abundantly
Amen 🙏
Naomba mniunge kwenye group
Sawa karibu. Tutumie namba yako tafadhali
I like it
This is a blessing
Thank you 🙏
Upako wa kifalme
Amen
Amen
Amen 🙏
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
🙏🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙏
🙏
KAZI nzuri Mungu awabariki!
Amen 🙏
Mungu awabariki
Amen 🙏
Mungu ni mwema nimebarikiwa mnoo
Amen 🙏