Wimbo za Sarah magesaa ni za MTU ako annointed,huyu hakujiitaa,aliitwa na munguu!!she's not after fame,anaonyesha tu vile anapenda munguu!!.. !na atainuliwa sanaaaaaaaaa na sanaaaaaa❤❤🎉🎉🎉🎉mungu akubarikii mammy!!
Praise God Sarah my name is mercy mimi ni mkenya nashukuru mungu kwa neema yake lakini niko na mawili au moja ambayo nitakwambia kama mungu ataachilia kibali nitamshukuru mimi ni mwimbaji lakini kila siku ninakuota kamba nimekutana na wewe lakini pale tu ninapoenda kukuongelesha ghafula mdomo unafungwa na siwezi ongea tena na ni mara nyingi inafanyika hivyo pale ninapo kutana na wewe kwa ndoto na huwa najitia moyo kwamba iko siku ambayo mungu ataifanya maana nimetamani mda mrefu lakini kuna siku ubarikiwe milele mtumishi wa mungu
Tuned in from Dubai Wow the love i have for this lady is in another level nakupenda bure mommy Napenda nyimbo zako sana Kuna wakati wakupanda na kuvuna💃💃🎤🎤niko na imani na wewe Bwana Yesu 🎺🎷
My sister you are a blessing to me since huwa unanibariki Sana na kunipa Imani wakati navunjika moyo.Hakika Bwana atatutendea yaliyo mema.Barikiwa Sana Kwa Jina la Yesu Kristu dadangu Sarah Magesa.
Sarah mageza, és um amor pela sua voz, e a qualidade do serviço gospel, infelizmente não entendo a linguagem preciso de uma tradução, de Angola que Deus abençoe muito o vosso trabalho Ámen ❤
MUNGU akubariki Sana wimbo Huu unaguza sana
Wimbo za Sarah magesaa ni za MTU ako annointed,huyu hakujiitaa,aliitwa na munguu!!she's not after fame,anaonyesha tu vile anapenda munguu!!.. !na atainuliwa sanaaaaaaaaa na sanaaaaaa❤❤🎉🎉🎉🎉mungu akubarikii mammy!!
ukweli kabisaa
Shes blessed
Amen ame
Your songs comforts my soul.. be blessed 🎉🎉
Hakuna kitu kitanitoa kwako yesu
Nice one
Amen 🙏 to Our Almighty God
Napenda sana nyimbo zako barikiwa sana katika uimbaji wako mum sarah
MUNGU akuinue zaidi maana nyimbo zako zimeniimalisha sana kwenye kipindi hiki
Barikiwa dada
From luyha land am ohangala gospel rhumba kazi safi piga likes tukifuatana
Hii hit imetoka lini
From Kenya ..wimbo mtamu umeguza hasa maisha yangu..it has given me hope
Kazi nzuri ma'am, nakupenda Sana your songs inspire me a lot.blessings
Praise God Sarah my name is mercy mimi ni mkenya nashukuru mungu kwa neema yake lakini niko na mawili au moja ambayo nitakwambia kama mungu ataachilia kibali nitamshukuru mimi ni mwimbaji lakini kila siku ninakuota kamba nimekutana na wewe lakini pale tu ninapoenda kukuongelesha ghafula mdomo unafungwa na siwezi ongea tena na ni mara nyingi inafanyika hivyo pale ninapo kutana na wewe kwa ndoto na huwa najitia moyo kwamba iko siku ambayo mungu ataifanya maana nimetamani mda mrefu lakini kuna siku ubarikiwe milele mtumishi wa mungu
Sarah Magesa...huu wimbo n mzuri ni kwa mtu ambae amejitoa kisawasawa kwa Mungu...nataman nifate maneno ya wimbo huu yawe mayendo
Wakwanza leo naombeni likes zenu
Nina imani kabisa na Mungu wangu.baraka sarah.nabarikiwa sana na your songs
Amen
MWAKA WAKO HUU DADA SARAH
Tuned in from Dubai
Wow the love i have for this lady is in another level nakupenda bure mommy
Napenda nyimbo zako sana
Kuna wakati wakupanda na kuvuna💃💃🎤🎤niko na imani na wewe Bwana Yesu 🎺🎷
My sister you are a blessing to me since huwa unanibariki Sana na kunipa Imani wakati navunjika moyo.Hakika Bwana atatutendea yaliyo mema.Barikiwa Sana Kwa Jina la Yesu Kristu dadangu Sarah Magesa.
Tuned in from Saudi 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Mungu akitakase kibali chako Binti mzuri wa Mungu. Barikiwa!@
Amen 🙏🙏🙏🙏
Hongera saana mtumishi wa mungu
Sarah mageza, és um amor pela sua voz, e a qualidade do serviço gospel, infelizmente não entendo a linguagem preciso de uma tradução, de Angola que Deus abençoe muito o vosso trabalho Ámen ❤
My sister 🎉hii nyimbo ndio fungua mwaka kali
Neema imekubeba
🎉
Barikiwa saana mtumishi wa Mungu ujumbe mzuri saana
Nimebarikiwa na wimbo huu! Ubarikiwe mwanangu Sarah! Mungu aitunze na kuichochea zaidi karama yako.
Ameeen wonderful gospel God is great oooh
My nick name good job❤❤❤
Baraka. Sarah Magesa
Amen dada mungu akuinue zaidi kazi safi ❤❤❤
Wimbo huu umenibariki sana
Nina uhakika na Yeye maana akisema, Yeye hutenda.
Dada yangu nasema hivi Mungu akubariki saana nakutakiya safari nzuri ya Imani kama vile uko naimba na ndani njovile, Mungu akupe uduma wa juu.
Ubarikiwe dada nina uhakika na Mungu
Kazi njema dada
Woooooh nilimiss kazi yako....,🎉
Mummy God bless you so much 👏👏👏
Amen, ninaimani ya Yesu
Kazi nzuri mwanetu ❤
My sister Sarah God anoint you the more to continue with such encouraging songs.
Wimbo mzuri sana barikiwa sana my sister
Mungu akupe maisha marefu katika uimbaji wako mama
Amen Amen
My lovely sister you're blessed♥️
May Almighty God bless you mightly, you always make my day and increase my faith in God 🙏
Barakaa❤
Hataliii hongera
Nina Imani Na wewe Mungu 🙏🙌 barikiwa mamangu
Barikiwa my
Halleluya my Sister the song is so power full
Wow🔥🔥🔥🔥 hakika Nina uhakika Na wewe❤
Barikiwa sana
Powerful
May the lord bless you sister sarah
God bless you mummy. This song is a blessing to me😢😢😢😢😢😢😢
Good.song
🙌🙌...Nina imani na wewe Mungu
We glorifying his name
Oh yes Nina Imani na uhakika na Mungu
❤❤❤Kazi nzuri
Mungu.nimwaminifu
Ahadi.zake.niorijino
Haleluya.munguniorijino.ahadi.zake.nikweli👍⭐
Always powerful ❤❤❤❤
Amen, amen, amen.
Hongera
Wow, wimbo wa baraka sana
Another great release there ... More grace madam magesa
Be blessed my sister 🙏🙏🙏🙏
Wow
God bless you❤
Nice song 🔥🔥🔥🔥
Naku penda dada wimbo safi sana
God of wonders
Amen my sister more grace
❤🎉 congratulations 👏👏
Kazi nzuri
Thank you Jesus Amen.
Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️
You always bless me mum
Amina
Ubarikiwe sanaaaaaa mtumishi wa MUNGU, hakika hakuna cha kunitoa kwa Yesu
Kweli Mungu Ni mkuu
Barikiwa mtumishi wa mungu
Amen glory to God
Baraka
Powerful ❤❤
Kweli kabisa
Love your songs mumy
Amen❤❤
Amen Amen Amen ❤❤❤❤
❤❤❤❤
Amen 🙏
Barikiwa sana
Ubarikiwe sana Dada na uzingatiye sana icho kupaji
Amen
Powerful
Amen 🙏🙏
Amina