BREAKING NEWS, MAREKANI NI HATARI YAPELEKA MANOWARI KUBWA ZAIDI YA NYUKLIA KOREA KUSINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

КОМЕНТАРІ • 97

  • @user-lv4cx1sc5d
    @user-lv4cx1sc5d 2 місяці тому +4

    Marekani Bado sanaa kwa urusi wajipange miaka 1000

    • @WilbertMalula-vv7ml
      @WilbertMalula-vv7ml 2 місяці тому +1

      USHABIKI AU

    • @user-lv4cx1sc5d
      @user-lv4cx1sc5d 2 місяці тому +1

      Uhalisia ndio ivyo

    • @theempire4058
      @theempire4058 2 місяці тому

      ​@@WilbertMalula-vv7mlushabiki mwingine bana😂😂😂 watu hawawazi kwa kutumia akili

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 2 місяці тому

      ​@@theempire4058marekani mashoga waoga

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Usicheze na marekani.kwa sasa hakuna taifa lenye nguvu na vifaa bora kama Marekani.urusi kila akitishia mwenzake wala hatishiki.

  • @Prosperkisama
    @Prosperkisama 2 місяці тому +3

    ACHA wazisumbue hizo meli za nyuklia Hadi zilipuke bila kukusudia ndio raha

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 місяці тому +3

    China ndio kabisa marekani hawezi vita lwe anga au arizini au baharini ameshindwa Kila Kona ya Dunia anakwenda kuanguka kwa nn nchi nyingi zimebadiki mfumo wa vyombo vya kivita manuari ya kubeba ndege za kivita zimepitwa na wakati zipo meli za kivita za urusi zinarusha makombora masafaa marefu na mafupi ndege za magaribi zikiruka zinatakiwa kupiga kilometers 20 wakati meli ya kivita za urusi zinapiga kuanzia kilometers 50 na kuendelea

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 2 місяці тому

      Uko vizuri kwa porojo! Au uliwahi kupigana vita ya Urusi dhidi ya Chechnya?

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому +1

      Ni kipi urusi anacho marekani hana.usikaririshwe ujinga.

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 2 місяці тому

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @NepporSabith
    @NepporSabith 2 місяці тому +4

    Bado sana moto utaendelea kuwanyosha

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 2 місяці тому +1

    Marekani anauwezo mkubwa sana ila tatizo moja tu anajali sana raia wake

    • @francismuhuga8158
      @francismuhuga8158 2 місяці тому

      Sio ukweli, marekani haijawahi kumpenda hata raia wake inawatumia raia wake kama njia ya kujinufaisha yenyewe kwa kupata sababu ya kukuvamia kama unamadini au mafuta au gesi

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 2 місяці тому +6

    Marekani ni mnafiki anauma Huku na huku mbweha yule Mavi debe 😂so putin ni jembe jeshi la mtu mmoja nguvu kazi 💪💪💪💪💪 wapige spana hao mashoga 😅😅Korea kaskazini @ putin 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @user-bl3vk3vt2o
      @user-bl3vk3vt2o 2 місяці тому

      Oky mwambie kidugu alete jeur aone

    • @user-xk7vy4gb6g
      @user-xk7vy4gb6g 2 місяці тому

      @@user-bl3vk3vt2o Marekani hafui dafu shoga tu

    • @user-bl3vk3vt2o
      @user-bl3vk3vt2o 2 місяці тому

      @@user-xk7vy4gb6g unajua Tz Kuna mashoga wangapi.?na uongozi wako umekaa kimya.?

    • @user-bl3vk3vt2o
      @user-bl3vk3vt2o 2 місяці тому +1

      @@user-xk7vy4gb6g alafu hao hao mashoga ndio wanakupa dawa za ARV na unatumia vzr tu

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      ​@@user-bl3vk3vt2ojuzi tu serikali yetu ilienda kopa kwao.Huu mtandao wa youtube na internet ni vya huyo huyo marekani.Hawajielewi .

  • @RajabuHussein-to7jz
    @RajabuHussein-to7jz 2 місяці тому +3

    Acha uruss iendere kutandika mbuzi mbuzi wanae jipendekeza

  • @KamardinTebe
    @KamardinTebe 2 місяці тому +3

    Marekani siasa wapo sawa ila vitendo wamwachie putin

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 2 місяці тому +1

      Kwani una kumbuka putin amewakufanya kitendo gan zaid ya kugombna na kanchi kadigooooo ka ukraine

  • @user-nt5sj2sq2u
    @user-nt5sj2sq2u 2 місяці тому +4

    Bado amjasema

  • @omarifadhili651
    @omarifadhili651 2 місяці тому +1

    Nzuri hii

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 2 місяці тому +5

    chezea Putin atakuja tu kujaa Ajui watu wanataka kuiangusha dola bado atapeleka kila kitu

    • @user-ou5qj8fw8m
      @user-ou5qj8fw8m 2 місяці тому

      😮fikiria upya😂

    • @davismuzahula907
      @davismuzahula907 2 місяці тому +1

      Watawaliwa hawawezi kuelewa but US kwisha habari na hizi zote ni strategy 😂😂

    • @adolfkanju9905
      @adolfkanju9905 2 місяці тому

      Putin nigaidi na mloho wa madalaka

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 2 місяці тому +1

      ​@@adolfkanju9905marekani mashoga tu

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 2 місяці тому

      Mashoga qwa shobo anapotimba Putin nao hao ila black water ndo inawanyima usngz pale Havana😂

  • @officiallugano8991
    @officiallugano8991 2 місяці тому +2

    Tatizo nyie mnaichukulia poa Marekani

  • @user-pd5hl9di2q
    @user-pd5hl9di2q 2 місяці тому +1

    Manuari hiyo inapoteza muda tu N. Korea chakumfanya hakuna kumbuka ananyuklia inchi yoyote ikimgusa inapotea duniani

  • @jumajuma9492
    @jumajuma9492 2 місяці тому +2

    subiri na arus asogeze yake utajua haujui

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 2 місяці тому +3

    Hahahahaha hiyo manowari kama itarudi Tena marekani vita vikianza niite mbwa

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 2 місяці тому

      Nakuita umbwaa

    • @user-bl3vk3vt2o
      @user-bl3vk3vt2o 2 місяці тому +1

      Kwann isirudi kwanza umeona mzigo uliopo hapo juu.?ndege zote hapo juu zinabeba nuke,sasa ww leta ubishoo kama kiduku uone shoo

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 2 місяці тому

      Hakuna chochote,,,hapo zinapasuliwa na s400 ballistic missiles nusu saw tu,,,zilaha alizopeleka Ukraine zimechakazwa 😀,,ukija na swala vita ,,,,USA hamuwezi RUSSIA ,, nchi 30 west Europe zinpambana kumtoa Putin Ukraine lakini wapi,,,,Sasa je ,,china akitangaza naingia Ukraine upande wa urusi,,,unafikiri NATO watafanya Nini,,enzi zao zimepita,,,za kutishia watu duniani

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 2 місяці тому +1

      Wajerumani ndo wanawajua warusi vizuri battle group,,,,watu wote waliojaribu kupigana na urusi hakuwahi kupata success,,,,hakuna teknolojia ambayo mrusi anashangaa,,,,angani ,,ardhini,,etc.we ujui NATO ilianzishwa Ili kupambana na urusi,,na SI vinginevyo,,,,

    • @user-bl3vk3vt2o
      @user-bl3vk3vt2o 2 місяці тому

      @@issalyanali4119 Russia 🇷🇺 Ana technology hipi ambayo USA 🇺🇸 hana.?unatumia Microsoft zote ambazo zinaongoza makombora kwa mfumo wa GPS zote Zinamilikiwa na bill gate,au hujui Microsoft inamilikiwa na nani.?sasa niambie ubabe wa Russia upo wp

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 місяці тому +1

    Nilijua tu kma wataanza kuarisha juu ya hii sain baina urusi na kidugu

  • @HajiKlein-so1rk
    @HajiKlein-so1rk 2 місяці тому +5

    🇷🇺🇷🇺🇹🇿🇹🇿👏

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 2 місяці тому +1

    Uraaaa

  • @HarunaShabani-hy8mx
    @HarunaShabani-hy8mx 2 місяці тому +1

    wajanja wa vita hao waogaaaaaaa

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 2 місяці тому +6

    Ziara ya Putin Wamarekani imewashughulisha sana

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 2 місяці тому +1

      Hata sijui ni kwa nini? Taani wamekosa Amani

  • @user-to4jw7tm1j
    @user-to4jw7tm1j 2 місяці тому +3

    Mashoga wao kila sehemu wanaenda wanzao wasishirikiane huu ni unafk wa wazi mpaka kipofu Kaoma sasa

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 2 місяці тому

      Ukiona mtu anakimbilia hoja ushoga ujue huyo hana akili timamu.Unatumia mtandao na internet yao.Taifa lako juzi limekopa huko huko unakowaita mashoga.

    • @user-to4jw7tm1j
      @user-to4jw7tm1j 2 місяці тому

      Wewe ndie nãona inakuuma si uolewe mkundu

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p 2 місяці тому

    Watu wanashindwa kuelewa kuwa Putin sio Gadafi au Sadam,magharibi mbona wanalijua hilo ?yuko mwenyewe jeshi la mtu mmoja wao wako zaidi ya 30,mwaka wa pili sasa wanakaa vikao zaidi ya elfu lakini ziro,huyu bwana ni powerful

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 2 місяці тому

    Marekani ndio tatizo na uo wote ni uoga tuu baada kuona ile nyambizi cuba

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 2 місяці тому +1

    Marekani nifara tuu wacha kutudanganya

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 2 місяці тому +1

    Ivi Marekan wao uwaga awaishiwi slaa na mabomu mbona Kila sehemu anapeleka vifaa kanakwamba anapigana yeye Bado sijawah kusikia ameishiwa

    • @ce-08
      @ce-08 2 місяці тому

      Wanazo nyingi sababu wao wanawakopesha watu wengine na kuwauzia hata Russia kuchukua silaha Iran au Korea kaskazin Haina maana kuwa yeye hajiwezi hapana mda mwingine Korea kaskazin au Iran anampa silaha Russia kwenda kumjaribu matumizi yake kama kweli zinafanya Kazi ipasavyo katika vita kama marekani anavyotest silaha zake kupitia vita mbalimbali dunia kwa kumuuzia mmoja ya washirika wa vita au yeye kwenda Hilo eneo na kusema anazuia ugaidi

    • @user-fm5md9xn5g
      @user-fm5md9xn5g 2 місяці тому +1

      Hata Mimi nashindwa kuelewa

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 2 місяці тому +1

    USA❤❤❤❤❤❤💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪....dude lime jaaaa 😂😂😂😂 acha vilusii vinapereka feri ya mwanza😂😂😂😂

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 2 місяці тому

    Ah marekani si mpiganaji mdomo tu

  • @josephelias7364
    @josephelias7364 2 місяці тому

    The US

  • @anthonypatrice5247
    @anthonypatrice5247 2 місяці тому

    Mwanzo wa maandalizi ya vita ya 3 ya dunia

  • @AliBakar-sx7lu
    @AliBakar-sx7lu 2 місяці тому +1

    Hio manoari angeipeleka kule bahari ya sham yemen tuone uwezo wake

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 2 місяці тому

    Mashoga wana jinyea 😂

  • @user-lv4cx1sc5d
    @user-lv4cx1sc5d 2 місяці тому +1

    Hawana lolote saizi washagunduliwa ni washenzi ni maneno mtupu

    • @user-bl3vk3vt2o
      @user-bl3vk3vt2o 2 місяці тому

      Mwenye maneno ni Russia 🇷🇺 ambae kila kukicha ety napiga nuke alafu hata asipe hyo nuke,tunataka matendo na sio kuongea tu

    • @user-lv4cx1sc5d
      @user-lv4cx1sc5d 2 місяці тому

      Marekani hawajui vita na wake zao wale kule akina metanyoko mashoga saizi ombaomba wamekandwa na hamasi walizani kubomoa majengo ndio kuwamaliza hamasi

  • @wiliampaulo5556
    @wiliampaulo5556 2 місяці тому

    Haya sasa heeeeeeeee

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 2 місяці тому +1

    Putin piga hao mashoga hadi waombe poa.

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 місяці тому

    Uraaaa😂😂 piga uyu

  • @RosemaryMwaipopo-qd4vw
    @RosemaryMwaipopo-qd4vw 2 місяці тому +1

    Mbona ampeleki ukren iyo manuar kama Putin ajateka pumbafu mumebak mkwara

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 2 місяці тому +1

    Putin anatafuta wakufa nao

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 2 місяці тому

    Putin kawa ombaomba

  • @user-rr2vw2ng8r
    @user-rr2vw2ng8r 2 місяці тому

    Puti ana jipya

  • @mohammed-_-home-_-boy0018
    @mohammed-_-home-_-boy0018 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @francismuhuga8158
    @francismuhuga8158 2 місяці тому +1

    😂

  • @SimbaBoy-ij9pm
    @SimbaBoy-ij9pm 2 місяці тому +1

    Marekani mashoga tu

    • @panadomadola3064
      @panadomadola3064 2 місяці тому

      Hivi wewe unae jihita simba boy ulikuwaga shoga je ulisha acha au bado?

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 2 місяці тому

    Kifo kwa putin