Baba levo. Ninakuagiza unapo enda dodoma mwambie mama samia. Atupunguzie bei ya kuunganishiwa umeme huku mjini ghalama ni kubwa ashushe mpak 27000) HILO NDO DENI TULILO BAKI TUNAMDAI WATU WAMJINI
Yaani laona ni sifa kuongea utumbo tuu.... yaani mbosso atoke bila kulipa 😂😂😂😂usitulishe matango pori hapa,hio biashara ya mbosso na wcb itakua 50-50 katika uingizaji wake kwa platforms
😂😂😂😂😂hilo mapuaa limeumbuka,si alisema mwenyewe atanunua jet??uongo mwambino ndio maisha yake
Baba levo. Ninakuagiza unapo enda dodoma mwambie mama samia. Atupunguzie bei ya kuunganishiwa umeme huku mjini ghalama ni kubwa ashushe mpak 27000) HILO NDO DENI TULILO BAKI TUNAMDAI WATU WAMJINI
😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwasababu anaogopa vijembe badae kwamba nilimsaidia bure yule dogo
Yaani laona ni sifa kuongea utumbo tuu.... yaani mbosso atoke bila kulipa 😂😂😂😂usitulishe matango pori hapa,hio biashara ya mbosso na wcb itakua 50-50 katika uingizaji wake kwa platforms
Mbosso kwanza ndo anaanza pale wcb hatoki
uongooi