EXCLUSIVE; ALIENDA KWENYE MKESHA WA MWAMPOSA AKACHUKUA MAFUTA NA MAJI / NILIMKUTA NDANI AMEKUFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    UA-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

КОМЕНТАРІ • 113

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 місяці тому +5

    Mtu mwenye dini ya kweli na kamshika mungu sawasawa, hawezi kumsogelea mwamposa! Giza na nuru hazikai pamoja!

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 місяці тому

      @@danieljoseph1610yakikukuta utapatafuta,hayajakukuta.

  • @purityneema-gh6jc
    @purityneema-gh6jc 2 місяці тому +2

    Mungu atusamehe atujakamilika mungu aipumzishe roho yake kwa amani

  • @MarkoWMichael
    @MarkoWMichael 2 місяці тому +11

    Mtakufa sanaaa jaman tumuamini Yesu peke yake anaweza yote achaneni na hawa manabii niwauwaji hawa

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 2 місяці тому

      Huyo muuwaji mwenyewe ana muubiri yesu

    • @martinamahenge4476
      @martinamahenge4476 2 місяці тому +1

      Hata Yesu alikuja na watu hawakumuamini so Yesu anapitia kwa watumishi wake

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 2 місяці тому

      Ni kawaida ya binadam kila kitu kwao ni kusema, Luka 11:14 hata YESU Kristo walimsema, baada ya kumtoa mtu pepo mchafu na yule pepo alipomtoka na kuanza kuongea wakashangaa na wengine wakaanza kusema Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa beelzebuli, Yule mkuu wa pepo wachafu wote,

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 місяці тому +1

      Vidonda vya tumbo na tibii haviui????acha uongo .Mbona watu wanakufa wakiwa hospitalini?!!!!!! MWAMPOSA anakosa Gani hapo.Tubu.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 місяці тому +14

    Mwamposa Mungu anamuona .Kuwadanganya watu siyo unabii 😢😢

    • @martinamahenge4476
      @martinamahenge4476 2 місяці тому +4

      Kwan amekufa kwa Mwamposa au mwamposa anasema usile !? Why unahukumu mtumishi wa Mungu epuka laana zisitokuwa na ulazima

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 2 місяці тому

      ​@@martinamahenge4476mtumish gan ww chz nn

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 місяці тому +1

      Ekufa kwa matatizo yake siyo kwa sababu ya MWAMPOSA.Hata hivyo hujielewi

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 місяці тому

      ​@@martinamahenge4476wanaropoka tu.

    • @nuhhumwakanyamale4771
      @nuhhumwakanyamale4771 2 місяці тому +1

      ​@@martinamahenge4476Wewe mtumishi wa tembo au?

  • @RutiMasaryk
    @RutiMasaryk 2 місяці тому +6

    Tukumbuke tu yakuwa yesu alisema omba utakalo kwa imani naye atakupa that means unaweza kabisa kujiombea mwenyewe kwa imani yako mwenyewe ukafanikiwa. achaneni na hawa mabii wauwongo jamani ,yani wakristo tumekuwa kama mbuzi wa mnadani ,kila soko jipya umtaka kwenda kama umechoka kutulia kwenye zehubu lako tulia nyumbani sali kwa imani yako mwenyewe .

  • @MarkoWMichael
    @MarkoWMichael 2 місяці тому +11

    Nyie hamjui tu MwAmposa ni wakala wa kuzimu anawatoa kafara yeye amazon di kujaza watu

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 місяці тому +2

      Kwani yeye ndiye amemuua?/?????acha hizo.

    • @happinessmushi8962
      @happinessmushi8962 2 місяці тому +2

      Sasa kufa kwake na mwamposa vnauhusiano gan???

  • @nanaritho6850
    @nanaritho6850 2 місяці тому +8

    Ninachoona huyo vidonda vilikiwa vimepasuka!

  • @BernadetteKiwelu-kg6fv
    @BernadetteKiwelu-kg6fv 2 місяці тому +1

    Mama pole sana sana mungu akutie nguvu mungu ampumzishe kwa amani

  • @IzkiOamn
    @IzkiOamn 2 місяці тому +5

    Siku ilikuwa imefka achane kuchafua majna ya watuu

  • @suziemichael4338
    @suziemichael4338 2 місяці тому +3

    Huyo mama achunguzwe vizuri . Mkavuu anatoa maelezo vizuri kabisa

    • @alinependo-bk4jj
      @alinependo-bk4jj 2 місяці тому +2

      Kamuuwa tu kaka wawatu kwenye interview ya kwanza alisema ana watoto 3 nahuo marehem now anasema hana mtoto nawe dah

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 2 місяці тому +4

    Kifo kipo acheni ujinga

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 місяці тому +2

    Mwenyezi Mungu ampokee mja wake. Pole bi mkubwa kwa msiba.

  • @MumyGifty-rs7yx
    @MumyGifty-rs7yx 2 місяці тому

    Pole sana mama

  • @MichaelLambo-oh4bw
    @MichaelLambo-oh4bw 2 місяці тому

    Barikiwa mama

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 2 місяці тому

    Pole mama angu

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs 2 місяці тому +2

    Pole Dada Mungu awatie nguvu 😂😂😂

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 2 місяці тому +4

    Mafuta hayo unakunywa ??? daaah watu wangu mtaangamia kwa kukosa maarifa

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 2 місяці тому

    YESU KRISTO ndiye mponyaji wa kweli

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 місяці тому +3

    Mhiiii hyu mama jamani mbona mtu mzima sana yaani nisawa na mama ake mkubwa😮😮😮😮😮

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 місяці тому

    Hii😢

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 2 місяці тому +10

    Jamani Kama mtu anaogonjwa unaomsumbua aende hospitalini maana Kama Ni maombi nenda huku ukiendelea kutimia dawa za hospital

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 2 місяці тому +3

      Hujasikia alikuwa na dawa pia za hospitalinii,mafuta hayo ya kuzimu ndo yanawanyonga.

    • @PaulinaSemindu-ob3de
      @PaulinaSemindu-ob3de 2 місяці тому +1

      ​@@odilomwemeziernest646hakuna mafuta yanayonyonga mtu achen zenu jmn Kila mtu atakufa tu

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 2 місяці тому +2

      @@PaulinaSemindu-ob3de wewe huna unalolijua ukae kmya juu ya hayo mafuta.Mimi ninajua nilikuwa wapi na niko wapi maana hao matapeli tuliwapa sisi mafuta kabla hatujaokoka,ila namshukru Yesu kwa kifo cha msalaba.

    • @daslamonline4665
      @daslamonline4665 2 місяці тому

      Huna Imani wewe yesu anaponya magonjwa yote usjichanganye hospital na yesu

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 місяці тому

      Kwani wanaokwenda hospitali hawafi ????!!!!! Kwani alikuwahanywi dawa!!!!.

  • @JohanMwambage
    @JohanMwambage 2 місяці тому +2

    Kama mnasema mwamposa sio kweli kama nikufa ningekufa mm nimeenda kwa mwamposa sana tu nina miaka nakwenda naenda popote penye uduma ya kiroho uyo siku yake imefika bc tu usisingizie mwamposa

    • @VenitaRugemalila
      @VenitaRugemalila 2 місяці тому

      Sio imefika kaifikisha yeye na ndg zake sasawanajua anavidonda halafu eti wanaandaa uji anauwacha bila kumpa kweli mnapendana au Giza sema watu wa kaskazini bize kusaka noti na wengine mnasahau kula mimi toka nijue nina vidonda kula lazima yaani msosi kwanza hata km sijaingia class yaani nakula madent ndio watasoma na maombi napiga yaani watumishi nawafuatilia ,watumishi hawajasema tusile jamani pigeni msosi yaani menu mpaka tumbo liite mmaaa

  • @shakilaburhan9552
    @shakilaburhan9552 2 місяці тому +1

    Kala cream mama

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 2 місяці тому +4

    Hapo mwamposa anahusikaje, siku imefika,hakuna awezae kuizuia,si Lutheran/mwamposa tupo sokoni ukifika bei unaondoka,ukiacha dawa ujinga wako,alikua snatafuta kupona,likikufika ndio utajua

  • @HappynessJose
    @HappynessJose 2 місяці тому +3

    Kama anamadonda ya tumbo ni vimbaya sana kushinda ajala pia inachangia pole kwa family

  • @LamekiMichael-pz7rv
    @LamekiMichael-pz7rv 2 місяці тому +1

    Nilijua tu mawazo ya wtz washahamishia kwenye imani ya alikokwenda kukesha mbona wapo wanaofia baa wengine gesti wengine kwenye mabasi wakisafiri hua mnawazaje hao nao wametolewa kafala na wenye hivyo vitu? kila mtu na siku yake hata asingeenda dar asingevuka sikuhiyo.

  • @pendodaniel5766
    @pendodaniel5766 2 місяці тому +3

    Aiseee ni nooma ni mke?nilijua mama ake mzaz

  • @samweli7985
    @samweli7985 2 місяці тому +2

    Kufa kupo tu, kwasababu ninjia ya kila aliye hai kurudi kwa Mungu wake

  • @starlily07
    @starlily07 2 місяці тому +4

    Kila mkutano wa mwamposa lazima watu wafe, dadeeki ,. lazima atoe kafara, watu wakae kwenye makanisa yao jamani, mtakufa hadi mkome

    • @GilgariMinistryTanzania
      @GilgariMinistryTanzania 2 місяці тому +1

      Hujui unachoongea ww Kaa kimya ujitambui

    • @winfridahubert4072
      @winfridahubert4072 2 місяці тому

      Watch ur mouth mwamposa hajawahi kumwambia MTU aache dawa siku yake ilifika tu acheni kujibebea laana

    • @happinessmushi8962
      @happinessmushi8962 2 місяці тому

      Kama huna chakucoment siukae kimya jmn,achen kumuhuhukumu mwamposa kahusikaje hapo kwenye vdonda vya 2mbo

  • @marymary8313
    @marymary8313 2 місяці тому

    Yoyote anaongea Mwamposa vibaya ni mchawi but hamutamuweza msipobadirika mtakufa

  • @SamiriHassan-dp9kn
    @SamiriHassan-dp9kn 2 місяці тому

    Rip

  • @AishaTarimo-hj2nj
    @AishaTarimo-hj2nj 2 місяці тому +2

    We mama muongo si ulisema kipindi ulipo hojiwa mwanzo ulisema unawatto wa 3 umezaa nae alafu unaongea ukiwa mkavu

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 2 місяці тому

    Jamani wacheni kumharibia mwaposa kama kufa nigekufa mimi maana mimi mfuta ya mwaposa nakunywa kila siku siku yake irikuwa imefika tu mwaposa mwachini jamani

  • @Amut-s6v
    @Amut-s6v 2 місяці тому

    Comment nyingi kuna mtu ka Comment hapo ni ndugu yao alikua na TB

  • @lazaroletion
    @lazaroletion 2 місяці тому +6

    Tuende hosiptalini wakati tunatumia maji, mafuta ama chunvi ya imani

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 2 місяці тому +2

    Inaonyesha alikuwa mugonnjwa uyo kaka RIP kaka wawatu kutapika damu dalili ya TB imesha mumaliza

  • @KhadijaSaidi-y5k
    @KhadijaSaidi-y5k 2 місяці тому

    Kwani mim xijaelewa huyo baba aliekufa mwamposa ndokamuuwa au ni mungu tu ndokapenda amchukue kwanialiewambia kuwa mtuakienda kwamwamposa hafi Ninani jmn me najuwa kifo tumeumbiwa sot jmn akipenda yey lazimatuf hakuna awezae kuziwia kifo kinacho tupasa tumuombe mung atupe mwixho mwema

  • @marymary8313
    @marymary8313 2 місяці тому

    Mwamposa ni mtumisi wa mungu, kama unaenda kwa Mwamposa tena unaendelea kufanya maofu utaesa kufa kama uchawi na kuua, mimi sijawai fika kwa Mwamposa ila natumia youtube na tuko mbali lakini tunapokea ,waja kuongea Mwamposa vibaya, wachawi wafe wametusumbua

  • @Mchuzwambwa
    @Mchuzwambwa 2 місяці тому

    Pumzika kwa amani hiyo nimipango yamungutu wala sio mafuta yamwamposa

  • @JumaMbaga-sd5yi
    @JumaMbaga-sd5yi 2 місяці тому +1

    Jamani huyu ndugu yetu alikua na tb na alikua na dozi ikaishA ila tb haikuish

  • @VenitaRugemalila
    @VenitaRugemalila 2 місяці тому

    Huyu kafa kwa njaa bwana au maradhi ya TB,au vidonda tumbo jamani tule tutalaumu watu bureee,hata mimi nina vidonda vya tumbo kanuni tunza muda wa kula sasa mtu unakuta anakunywa soda afya,pepsi andazi unaongeza chemical mara bia sasa tumbo halipati msosi jamani maombi na kula sasa mchungaji unataka awakumbushe kula nyie mnaouguza pia muwajali wagonjwa kuwapikia msosi wale washibe walazimisheni sio mnawaacha bila kula

  • @emmanuelmasatu
    @emmanuelmasatu 2 місяці тому

    Jamani hebu tuelezeeni vizuri. Mwaposa amehusika vipi na kifo cha huyu mgonjwa.

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 2 місяці тому +1

    Ww mtangazaji acha kuchafua mtumishi wa mungu kufa na mwaposa kunausiana na nn acha ujinga na kumuusisha hata mtangaze namna gan mwaposa baba yao walikutuma wambie wajipange
    Upya

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 місяці тому

      @@GilgariMinistryTanzania yep!!!!👏👏👏👏Tena ajitathimini yeye na MTUMISHI WA MUNGU MWAMPOSA.

  • @alinependo-bk4jj
    @alinependo-bk4jj 2 місяці тому

    Unaonekana huo mama kamfanyia kitu ukisikiliza kwenye interview ya kwanza alisema anawa wtoto 3 namalehem hapa anaulizwa kama ana mtoto nae anasema hapana Mungu atakuumbuwa

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 2 місяці тому

    Yesu alitukanwa na kutemewa mate lakini,,,,,,kunasiku walimpigia magoti

  • @vero57
    @vero57 2 місяці тому +4

    Mwamposa haja sema uki umwa usinywe dawa!!!Acheni kuchafua jina la mwamposa

  • @JosephMbunju-y7x
    @JosephMbunju-y7x 2 місяці тому +1

    HIVI HUYU NI MTU WAKWANZA KUFA MBONA KAMA MNAFANYA KITU KIWE KIKUBWA WAKATI NIKAWAIDA

  • @PaulPassword-yq7gp
    @PaulPassword-yq7gp 2 місяці тому

    Wapi wewe tulia na utamtafuta huyo huyo anayesema vibaya akusaidie

  • @DivaMsukuma
    @DivaMsukuma 2 місяці тому

    Acha kumchafua mwamposa uyo njaa imemwua

  • @lukasielibariki3181
    @lukasielibariki3181 2 місяці тому +4

    Hihi chaneli ni ya kumchafua mwamposa

    • @claudiangowi9628
      @claudiangowi9628 2 місяці тому

      Halafu wameandika kichwa cha habari ili kuinua hisia za watu mwamposa anahusikaje hapo😢

    • @zulfafengu3783
      @zulfafengu3783 2 місяці тому

      Kweli kabisa mbona machaneli yote atuon tunaona cheli III

  • @EnaraMfwango
    @EnaraMfwango 2 місяці тому

    Mbn makasilik jaman Kwan mwamposa ndy mung mpak azuie kif Cha mtu kufa kup tu msitumie Kam Ako ndy katiket kakumchafua mtu lakn Kwa mwamposa ndy atuach😂😂😂.

  • @AishaTarimo-hj2nj
    @AishaTarimo-hj2nj 2 місяці тому

    Mm namashaka na huyu Mama mbona naona kama kuna kitu kimefanyika

  • @HilderNdunguru-cx2ig
    @HilderNdunguru-cx2ig 2 місяці тому +4

    Wewe mtangazaj unatafuta tu mtumishi wa Mungu umuhusishe na hii ishu aisee maan uliza yako ni ya mashaka

  • @zulfafengu3783
    @zulfafengu3783 2 місяці тому

    Acha kudaganya watu kufa kupo yeye sio mtoa roho adi imefika km mmempa ela kiss Mwamposa imekula kweli sis waumini wa Mwamposa bado tupo nae San sis tunavyo juu kufa kupo wawaojin osptal mbona wanakufa

  • @NeemaGauso
    @NeemaGauso 2 місяці тому +3

    Huyu mama mbona kama mkubwa

  • @samweli7985
    @samweli7985 2 місяці тому +2

    Alikuwa anaumwa mda mrefu, sema tu hakujiongeza kwenda hosipitali, na siyo kafara wala, ila mawazo na imani zenu tu

  • @barutiabuu9492
    @barutiabuu9492 2 місяці тому +1

    Eti mafuta ya upako majinga nyie acheni upuuz mtakufa nyie majinga ya akili mafuta mafuta haya kamuua sasa asee mtuwawatu

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 2 місяці тому

    Alikuwa anaishi mashangaIziiiaa

  • @JanetNjobvu-xf4vq
    @JanetNjobvu-xf4vq 2 місяці тому

    Yani huyo dada mfiwa kweri mbona aonekani kama kafiwa macho makavu

  • @lissaMetta
    @lissaMetta 2 місяці тому

    😂acheni zambi uyo mwamposa anahusikaje,mtu afe na ahadi yake eti mwamposa anahusika

  • @lilyabel2320
    @lilyabel2320 2 місяці тому

    Huyo alikuwa anaumwa TB hamkujua tu

  • @FatmaHassan-t4q
    @FatmaHassan-t4q 2 місяці тому

    Yaani nnavyoona huyu muandishi anamuhoji Kwa udadisi huyu dada Bila Shaka wanamdhania huyu dada kamuekea kitu labda kwenye chakula ama kafanya lolote Khusisha kifo cha huyu kaka. Kuna watu hawana imani na vifo vya ghafla kufa ghafla wanajua mt kauliwa ama vyovyote. Kufa C lazima umwe au update ajali au unyongwe mauti hayana ivo unaweza kua mzima sasa iv ndani ya sekunde 1 to ukaondoka duniani.

  • @IzkiOamn
    @IzkiOamn 2 місяці тому

    Yaani me nilijua mama wa marehemu ndo anahojiwa kumbe mkee 😂😂😂dunia imeisha jmn😂😂

  • @NeemaGauso
    @NeemaGauso 2 місяці тому

    Umri huo bi mkubwa mtoto labda wa miujiza ya mwamposa

  • @shadrackwilfred2606
    @shadrackwilfred2606 2 місяці тому

    mwamposa wakala wa giza jiadharini naye

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 місяці тому

    Vumbi hilo la machimboni

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 2 місяці тому

    Mhiii hyu kweli m bibiii yaani kafiwa lakini bado kapata Nguvu ya kujikwatwa jamanii anavyo jieleza utasema ni jirani hata choziii allooh 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Gracengwavi-d1l
    @Gracengwavi-d1l 2 місяці тому

    Usihukumu usije ujekuhumiwa mwenyew Kila Mt angalie dhambi yake mwaposa Kila siku mwamposa mwCheni mtumishi wa mungu Kam mda umefika umefika ty tujihadhalin na kutubu dhambi zetuuu

  • @josephmadukashambalawokovu642
    @josephmadukashambalawokovu642 2 місяці тому

    Wajinga ndo waliwao

  • @zulfafengu3783
    @zulfafengu3783 2 місяці тому

    Acha kupanga watu we muache aposo wetu mbona uwendi kuoji osipitali Kila siku watu wanakufa unaunacho kipata umona mazuli anayo yafany mmulushi

  • @beatricemwakasyuka699
    @beatricemwakasyuka699 2 місяці тому +1

    Acha kumchafua mwamposa

  • @TedyEmanuel
    @TedyEmanuel 2 місяці тому

    Mwacheni baba yetu wa upako,,,ck yake ilikua imefika tu, nyie mnaomsema mtumishi wa mungu mungu anawaona nyie na ushetani wenu