D'WIKEND CHAT SHOW EXCLUSIVE NA CHIDI BENZ - PART 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • D'WIKEND CHAT SHOW EXCLUSIVE NA CHIDI BENZ - PART 2

КОМЕНТАРІ • 81

  • @jentam6081
    @jentam6081 8 років тому +2

    nothing is impossible to God , you will make it bro, mweke Mungu mbele kwa kila jambo

  • @vicmassluodollar
    @vicmassluodollar 8 років тому +1

    Chidi Benz mad respect mazee am your number one fan toka Nairobi Kenya,Mungu akufungulie njia,katika Hip Hop Africa Nzima ki mimi naamini uko top Tena...... Ilalalalalala standUP Africa Mashariki standUp..

  • @AmCool_
    @AmCool_ 8 років тому +1

    Huyu ni Chidi Benz???? apana labda dogo wake!! omg!!!!!!!!! 😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨

  • @edmondjr17
    @edmondjr17 7 років тому +2

    kaka wewe bado huko fresh ila acha hivyo vitu..........

  • @asimaismail5559
    @asimaismail5559 8 років тому +2

    jaman utafikir makina ya uarabun

  • @abdelwahab5106
    @abdelwahab5106 8 років тому +4

    Turn to GOD man dunia haina maana

  • @lilianmwinamila9506
    @lilianmwinamila9506 8 років тому +1

    Maisha yanabadirika jamani, huwezi jua reasons behind...lakini dah hii ni hatari tuige mifano jamani tuige mifano .Mwenyezi Mungu akujalie afya njema kwaa kweliii

  • @izechuckmnyama2870
    @izechuckmnyama2870 8 років тому +2

    Daaaaaah brother nikikumbuka machozz yananitoka,am your no 1 fan from Mbeya u're still the best Rapper .we ndo chaguo langu,ww ndio kila kitu kwangu mamaaa ,much respect broder

  • @shariffabdunuru1426
    @shariffabdunuru1426 8 років тому +2

    Chidiiiiiiiiiiiiiiiiii hatareeeee!!!!!!! Duh!

  • @rachaeltoili2241
    @rachaeltoili2241 7 років тому +4

    Chiddi I pray that u bak in the game.Try to avoid using the thing I can see u r that strong minded

  • @muhammedabdulla4687
    @muhammedabdulla4687 8 років тому +2

    HUYU CHIDY VITZ NA SIO BENZ

  • @goodmusicabdallah3849
    @goodmusicabdallah3849 8 років тому +1

    mmmmh lol naakome mungu mkubwa kuliko unavyofikiri

  • @barakachawe6241
    @barakachawe6241 8 років тому +1

    Watu hamsikiliz anachoongelea mmekazia kweny afya nyie mko wazima au ndio yale y kuhukum, na hajawaambia anataka msaada, so kahen kimya....

  • @judyhassan6246
    @judyhassan6246 6 років тому +1

    Sina lakisema mm sio Chid ninae mjua uyu

  • @imanraphael2923
    @imanraphael2923 8 років тому +1

    mungu akusaidie upone kwa maradhi

  • @saimmabula3442
    @saimmabula3442 8 років тому +3

    LIFE CHANGES

  • @johnsayimathias2618
    @johnsayimathias2618 8 років тому +1

    aisee huyo ndo chid au siye

  • @jacksonpaul3078
    @jacksonpaul3078 7 років тому +1

    namuomba Mungu akubadili tabia ya kupenda madawa amii

  • @lisamedy9439
    @lisamedy9439 8 років тому +1

    heee mwenyenywzi mungu tuepushe na haya ya dunia

  • @abdelwahab5106
    @abdelwahab5106 8 років тому +2

    This guy need GOD

  • @johanikwelikwaninihakiyaok7373
    @johanikwelikwaninihakiyaok7373 7 років тому +1

    chidi jamany itakuwaja kuwa tena enzi zile za 2008

  • @djmirrow6485
    @djmirrow6485 8 років тому +2

    ali cio nzur tusipo kuwa makini tutabaki na marapah wa 2 tyu

    • @aliali189
      @aliali189 8 років тому

      chid umeisha kaka wap unaiacha familia yako ilala akiwemo chiku k nkiwemo izo d akiwemo micfa kabaisa jaman

  • @joycelambwe9016
    @joycelambwe9016 8 років тому +1

    Mwasiti kazingua

  • @carolineingati880
    @carolineingati880 8 років тому +2

    huyu ni chidi Benz
    Ama ni chidi vitz

    • @benjaminsteven7560
      @benjaminsteven7560 8 років тому

      +Caroline Ingati flow

    • @carolineingati880
      @carolineingati880 8 років тому

      +Benjamin Steven jamani mwenyezi Mungu atunusuru na Janga hili la madawa Ya kulevya manake duh.....

  • @yvetteniyibigira3833
    @yvetteniyibigira3833 6 років тому +1

    Maskini mpaka macozi ananitoka to see you

  • @sylvanoshauti2961
    @sylvanoshauti2961 8 років тому

    Naamini kwa management aliyoipata ya mkubwa Fella atarud kwenye game mm namkubali chidi namuombea akae sawa arud kama zaman aache maujinga

  • @khadijamalifedha5862
    @khadijamalifedha5862 8 років тому +1

    jmn mungu atusaidie vijana huyu kaka kawa kama sio yeye

  • @irenairena8711
    @irenairena8711 8 років тому +1

    La haula wala kuwatta illa bilah..

  • @sirialemmy37
    @sirialemmy37 8 років тому

    heee huyu ndio Chid Benz? Mungu wanguuuuuuuuu aiseeeee tumekwisha, alimwimba mzee Edward Lowassa......dunia is dunia

  • @nkurufi
    @nkurufi 8 років тому

    Mimi najisikia huzuni, naomba msaidieni chidi kujitibia....anadhofu jamani....kweli msaidieni nyie wadau wa midia mpelekeni kwa wataamu wa councelling ajitambue na tiba apate pia, badla ya kumsanifu hapo ni kituko.

  • @carlosmoshi392
    @carlosmoshi392 8 років тому +1

    SHIDAAA.........haina mwenyeji

  • @jabirawadh5593
    @jabirawadh5593 8 років тому +1

    du!

  • @josephelisha6713
    @josephelisha6713 8 років тому +1

    poor chid... kweli chid soooooooooooo

  • @robawamaggy7880
    @robawamaggy7880 8 років тому

    lv u benz koz umejikubali vile maisha yalivyo kubadilixha

  • @HASASON
    @HASASON 8 років тому +1

    devil turned him to alien

  • @darlinmamawatatu6411
    @darlinmamawatatu6411 8 років тому

    He need to stop unga n he need stop kujisifiasifia he look like sketol it so sad cz ilost someone cz ya madawa dah y in first place kaingia kwa drug y jamaniiiii it so sad and painful..God bless him

  • @marciakassimkassim9275
    @marciakassimkassim9275 8 років тому

    duuu ...chid..pole tena pole sana....maana duuuu....

  • @innocentmatoju7442
    @innocentmatoju7442 8 років тому +1

    Dha ukimwi noma

    • @briebella3895
      @briebella3895 6 років тому

      hyper _6691 sio ukimwi madawa ya kulevya heroine

  • @ashalikata1417
    @ashalikata1417 8 років тому

    najisikia kulia yani dah Mungu amsaidie chid

  • @hilalyrajab7618
    @hilalyrajab7618 8 років тому

    uyo n mtihan kaka chd benz Mungu atakusaidia

  • @kalokola0966
    @kalokola0966 8 років тому +1

    Well done bro! Millard Ayo

  • @somoeomar5973
    @somoeomar5973 8 років тому +1

    big up to mr.blue😍

  • @olivayunusmanji484
    @olivayunusmanji484 8 років тому

    duu ndo alivyo chid masikini

  • @doneebahatimallya2040
    @doneebahatimallya2040 8 років тому

    tufunze kwa kuona kabla ujaabiwa

  • @fettylishaz2384
    @fettylishaz2384 8 років тому

    Mungu amsaidie cn chidi benz

  • @epifaniapaul9993
    @epifaniapaul9993 7 років тому

    kaaaaah amekua modo atar...shkamoo unga

  • @asmasaidyasmasaidy3736
    @asmasaidyasmasaidy3736 8 років тому

    Huyo chid kawa km mtoto

  • @simonlusuga9779
    @simonlusuga9779 8 років тому

    mh chidi mambo si mazuri

  • @rasbwayu1801
    @rasbwayu1801 7 років тому

    Huyo chizi habebeki

  • @roqerz
    @roqerz 6 років тому

    Chid vitz

  • @michaelchitto9698
    @michaelchitto9698 8 років тому

    dah jamaa kaisha kama ana act

  • @jameschanja8304
    @jameschanja8304 8 років тому

    gud man chid benz we mic u in the game we need u back but achana na unga bro unatusikitisha sana fans wako tukikumbuka harakati zako kama kipindi cha chidbenz show! illaalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

  • @allymtewele1596
    @allymtewele1596 8 років тому +1

    amekuwa chid mkokoteni...

  • @abukondo5330
    @abukondo5330 8 років тому +2

    Realest! Wishin this legend a speedy recovery

    • @aliali189
      @aliali189 8 років тому +2

      mtu anajua kuimba vizuli anafata stalehe za matajili wakat yeye fukala haya kaisha tena huyu syo chid benzi inatakiwa tumuite chid teja wa ilala

    • @hawahamisi6237
      @hawahamisi6237 8 років тому

      +Ali Ali 😂😂😂😂chid teja wa ilala boma

    • @joanwacira6464
      @joanwacira6464 8 років тому

      +Ali Ali angalia rudi shule ufunzwe kuunga sentensi

  • @shaacirmilionea9408
    @shaacirmilionea9408 8 років тому

    Wtf happened to this bro man Millard Ayo explain this shit man bro wtf happening to Benz?

    • @aliali189
      @aliali189 8 років тому

      kajisahau huyu jamaa pole yake amebaki kichwa

    • @eugeniaakochi2187
      @eugeniaakochi2187 8 років тому

      +Ali Ali Me reading through the comments and seeing you being exta.Tumuombee Sir God,tusimkashifu

    • @HASASON
      @HASASON 8 років тому

      +Shair Milionea is millard your doctor? go ask his medical report fucken moron

  • @hawahamisi6237
    @hawahamisi6237 8 років тому

    🙊🙏

  • @mauwam3627
    @mauwam3627 8 років тому

    Dj mirrow ali gan

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 8 років тому

    Chid - benz

  • @soipei3359
    @soipei3359 8 років тому

    really rapper

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 8 років тому

    Alien

  • @aliciousdaqueen6385
    @aliciousdaqueen6385 8 років тому +1

    big up chidi Benz im also a recovery addict love your confidence mwaaaaaaaaaa

    • @HASASON
      @HASASON 8 років тому

      +sabrina bby so you a now a sober young lady

    • @aliciousdaqueen6385
      @aliciousdaqueen6385 8 років тому

      +HASASON yes 2years on lane Thanks God

    • @HASASON
      @HASASON 8 років тому

      Oh! very impressive, congrats to you my dear queen of mine

    • @aliciousdaqueen6385
      @aliciousdaqueen6385 8 років тому

      +HASASON thanks im happy when I see addict getting out of slavery breaking tha chains of addiction and winning his life and freedom may Allah guide us

    • @HASASON
      @HASASON 8 років тому

      yeah sure, brings comfort to parents and fans